Asante sana kwa mafundisho mazuri sana hamna cha muislm na mkristo tunamwabutu allah sisi wote,tufundishe angalau wengine wetu tuelewe ...from 🇰🇪 kenya
Mungu unae mtajua wewe sio Mungu wa Mbinguni, Mungu wa Mbinguni haanzi na herufi ndogo Mungu wa Mbinguni anaanza na herufi kubwa mungu wa herufi ndogo ni shetani ambaye anajiita mungu wa Duniani, jina la Mungu wa Mbinguni nijiba la kuogofya huwezi ukaandika ukalianza na herufi (m,) badala ya (M)
Matukio ya Yesu yalikuwa yamepangika vizuri tu ahadi, mimba, kuzaliwa, kutolewa hekaluni, kubatizwa, kufundisha na miujiza, kuteswa, kufa, kuzikwa kaburini; kufufuka, maisha baada ya ufufuko yaani kuwakabidhi mitume kazi, kupaa ,pentekoste kumsubiri arudi tena. Je yuko wapi na anafanya nini mpaka arudi? Anarudi alisahau nini? Piga chura teke tena.
Yohana 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako. Kwanza msichokijua Yesu alikuwepo👆👆👆 hata kabla ya misingi ya Dunia kuwekwa hapo ndipo ambapo waislamu mnachanganyikiwa akili
Ufunuo wa Yohana 1:7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina. Ufunuo wa Yohana 1:8 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi. Sasa Alfa na omega ni jina la nani ni jina la Mungu mwenyewe na anasema yeye ndiye mwanzo pia mwisho na atakaye Kuja atakaye Kuja Tena ni nani ni Yesu mnaemdharau lakini ashukuriwe Mungu Kwa sababu the day of the and dharau zenu zitawaishia mifukoni Kwa sababu hata mpindishe ukweli kiasi Gani ukweli utabaki ukweli na uongo utabaki uongo tu
Na hakuna ukweli wowote anaouongea hapo nyie mwaminini lakini siku mkija kugundua kuwa aliwapiga changarawe usoni ndio mtajua Cha kumfanya huyo doctor sule.
Wewe ndugu yangu mkristo rudi kwa Mola wako nauombe msamah ivi mwana wa Mungu ataweza kusulubiwa na kuvikwa ka cupi yani akafulamia dunia nzima kweeeli??Subhanallaaaah!!Allah awaongoze.
Mungu akusamehe Kwa sababu tu umenyimwa macho ya roho unamacho ya kawaida sana, tatizo lako ni Moja tu hujaujua upendo wa Mungu Kwa mwanadamu laiti ungepewa filamu ya upendo wa Mungu Kwa mwanadamu usingethubutu kuropoka hayo unayo ropoka, na tatizo hujui kwamba mama Yako wa kwanza alipomkosea Mungu na kudanganya na shetani adhabu yake ilikuwa ni kifo Cha milele inamaana huenda hata wewe Leo unaeropoka hayo maneno usingekuwepo kabisa historia Yako ingeishia Kwa wazazi wako wa kwanza lakini Mungu akaona kwanini mwangu aangamie milele basi ngoja nishuke Mimi katika umbo la kibinadamu nife badala yake Kwa hiyo Mungu akaamua kubeba adhabu Yako Ili wewe usife kifo Cha milele lakini Bado waislamu hamlitambui Hilo hakika nimeamini kweli mnalishwa matango pori Mungu awasamehe Kwa sababu hamjui mlitendalo.
Dr. Nikusaidie kitu, wanasali misikitini ni WAYAHUDI na WAISLAM, na YESU KRISTO hakuswali Msikiti wa Kiislam bali alisali Msikiti wa Kiyahudi..! YESU KRISTO alifundishwa TORATI, Co Quran..! Pia kuna mistari unakubali YESU ni KRISTO baadae unakana tena😂😂😂😂😂😂😂😂
Unajua kama Mimi siijui Qurani hata mtu akinifafanulia uongo nitajua kuwa ni mtaalamu wa Quruani Sasa ndio wewe huijui biblia na tafsiri zake na mafumbo yake ndio sababu unamuona doctor sule yupo vizuri, lakini napenda kukujulisha kuwa doctor sule haijui biblia hata nukta Mimi naona Kwa hicho langu la rohoni doctor sule biblia haijui kabisa naona ananilisha makande yasiyo na kazi yoyote mwilini, labda ni mtaalamu wa Quruani lakini sio biblia, biblia awaachie wenye uwezo wa kuidadafua.
Ukifuatia mduara wa maisha ya Yesu yaani nabii Isa huwezi kubabaika na Wagiriki ama wapiga chura teke. Yamejidhihirisha wala si la kuambiwa ila tu Mungu mwenyewe apende kukufunulia sio hizi hekima za kibinadamu " "amewaficha wenye hekima akawafunulia watoto wachanga". Ogopa mtu anayefundishwa namna ya kubishania imani ( siasa dini). Imani ni jambo la kwa neema tu ( utoto mchanga). Hukuwa mwisilam ama mkristo ama mpagani kwa hiari yako! Ni kwa neema tu.
QURAN 19:34-Huyo ndio Isa Mwana wa Maryam,Ndiyo kauli ya Haki ambayo wanaifanyia shaka,YOHANA 16:6 Mimi ni njia na uzima,mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Menye kuelewa kaelewa.
Katika kitu Mwanadamu anaogopa ni kifo. Hakizoeleki. Mungu alileta gharika na kuwaangamiza Wanadamu kwa sababu ya dhambi zao. Baadaye dhambi ziliendelea. Mungu aliamua Nabii wake afe na kufufuka ambaye hakutenda dhambi ili Mwanadamu apate kuamini. Mwanadamu hadi leo anatafakari na kustaajabu na kuamini.
Usidanganye watu Dr.,wakristo wapo na Quran inatambua kuwa kiongozi wao ni Mtume na Nabii Isa,SURAT ALBAQARA 2:62 Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.
YESU ALIULIZWA LINI NYUMBA TAKATIFU ITAVUNJWA,NYUMBA HIYO NI HEKALU LA WAISRAEL NA BAADA YA WAHARIBIFU KUVUNJA HEKALU WAKAJENGA MSIKITI,KILICHOVUNJWA NI HEKALU SIO MSIKITI MBONA KUELEWA HAKUHITAJI UDANGANYWE KWAMBA BAADA YA KUVUNJWA HEKALU WAHARIBIFU WAKAJENGA MSIKITI
Luka 9:20-22 [20]Akawaambia, Nanyi mwasema ya kwamba mimi ni nani? Petro akamjibu akasema, Ndiwe Kristo wa Mungu. [21]Akawaonya, akawakataza wasimwambie mtu neno hilo; [22]akisema, Imempasa Mwana wa Adamu kupata mateso mengi, na kukataliwa na wazee na wakuu wa makuhani na waandishi, na kuuawa na siku ya tatu kufufuka.
@@hassanimouigni6648 wakristo twamuita YESU waislamu wanamuita issa hayo maaniko yapo hivyo hivyo kwenye biblia in kristo wa mungu ukitafuta biblia ukasoma mwenyewe itakusaidia
Iwapo waislamu watamshika Mtume na Nabii Isa basi hakutakuwa na uislam,katika Shahada amesifiwa sana ndio mana wanaishia Shahada mbili badala ya Zote tatu, QURAN 2:87. Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
@@mwemeziernestmwemeziernest9085 Nyinyi wakristo mmeaminishwa kwamba majini ni mashetani, hao majini kuna majini wema na majini waovu, hata sisi wenyewe Binadamu kuna Binadamu wema na waovu
Hakuna dini inayoitwa kristo....Kristo ni Mungu wa kigiriki.....Tatizo lenu hao viongozi wenu hawasemi ukweli ili mjitambue....Kazi yenu kwenda tu na kurudi so tulia wacha dawa IWAINGIA😂
MIMI NI MWAFRIKA WALA SIJAKARIRISHWA, NIMESOMA QUR'AN NA INJILI ....VYOTE NI VITABU VYA MWENYEZI MUNGU MAZYRI YA QUR'AN NIMEYACHUKUA NA YA INJILI MAZURI NIMEYACHUKUA. WALIOZILETA HIZI DINI MBILI WOTE HAWAKUWA NA NIA NZURI NA WAAFRIKA. CHUKULIA LEO TUSINGEKUWA TUMEPATA UHURU ...YAANI WANGEKUWA BADO WANATUTAWALA HATA HIZO DINI ZINGEONEKANA KANDAMIZI. SHIKA AMRI KUMI NA NGUZO TANO ZA UISLAAM FULLSTOP MENGINE YOTE NI STORY TU. MALUMBANO NI UPUUZI, MARA ETI YESU HAKUFA MSALABANI, MARA ETI WAISLAAMU WANAFUGA MAJINI EBO .....UPUUUZI MTUPU. TUFUATE MANABII WALIVYOTUFUNDISHA ACHENI KUWADANGANYA WAUMINI NA HIZO NJAA ZENU...
Narudia tena kama ulivoisoma wagaratia3;13 mi nasema kwa kuwapenda watu wote yesu alikuja ili kukukomboa ww na laana ya torati na Muombe Mungu akupe roho mtakatifu kukufunulia maandiko ipasavyo yesu ni kristo lakn wapo watakuja na kusema wao ndio kristo
Jitahidi sana, maana ukiwa mwongo mzuri, uwe na kumbukumbu na yale uliyoyasema. Umetoka kusema yesu si kristo, halafu umesoma mwenyewe "na yesu kriso uliyemtuma"!! Yn 17:3 Andiko hilo limedanganya pia? Fjndixha uislamu uliouzoa, huku umejichanga sana. Ku
Sasa wewe na yesu nanizaidi kama yesu alisujudu alafu wewe unakataza watu wasi yafate ya yesu wafate yako yesu alisema yeyeninjia yani inatubidi tujifunze kwake alafu wewe unataka kupotosha ulimwengu inamana njia unayo ifata siyoile alifundisha kwamana alituhusia tujifunze kwake sasa tujifunze nini kamatunayapinga aliyo yatenda angali ndugu yangu
@@hassanimouigni6648 mungu.unamjua.ulimwona wapi? Amino alichosema yesu uwe salama. Yoh:14. 6. Maneno ya yesu yanaishi milele hayatabadilika mpaka kiyama
@@aboubahebura8144 Soma .kitabu chote Cha injili ya yesu . Hukuti yesu akisujudu kwenye Sinagogi. Sisi sii waisram chakula alicho toa. Yesu. Na. Muhamadi. Tofauti. .
2 Yohana 1:7 [7]Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo.
Mimi na kiri kwamba yesu ndie kristo, soma MATHAYO 26 :62-64 yesu mwenyewe akiri kwamba yeye ndie kristo ndio makuhani wa wakapata sababu kubwa zaidi ya kumwua wakisema ya kwamba amekufuru akijiita kuwa yeye ni Mungu hii inatudhihirishia wazi walimwuua maana hawakutaka kuamini kuwa yesu ni Mungu na
Wengi watakuja na kusema:mimi ndie kristo. Apa bwana yesu anasema hao ndo watajitambulisha kwamba ndie kristo,yesu ajakataa kwamba sie kristo. Kwanfano:mtoto wangu alikuja na akasema:mimi najua kuimba. Apa mtoto anasema kwamba anajua kuimba na asema kwamba baba yake anajua kuimba,kama angemsema baba yake ingekuwa ivi:mtoto wangu amekuja na kusema:baba yangu anajua kuimba
Sulle hapa umejikanyanga hadi aibu,kuhusu hekalu hujui,kufa nakufufuka kisha kupaa kwa YESU kwenda mbinguni huwezi lazima ukwepe maana kufanakufufuka kwa YESU nipigo kubwa kwa mashetani na niukombozi wa mwanadam kwakila amwaminiye .utaloloma mengi lakini kwenye kufa kwa YESU msalabani kisha kufufuka na kisha kupaa mbinguni lazima shetani uduwawe!!
isaa ndiye yuaja wa mwisho,, kila dini linalokubali mungu litapata uzima lakini wanaompinga kristo ni wengi mungu ni mmoja tu,,,,watuwaije abudu binadamu mwabududu mungu na msimpinge kwa maana hukumu ni kwake tu soyo ukristo au uslamu ni roho inayosema ukweli
Msalaba ni kifo cha laana na ndio maana laana zikabebwa kwa njia ya kujitolea kufa msalabani. Labda useme nani wale 3 waliosulubishwa pamoja na maneno yote ya msalabani yalitolewa na nani. Hongera kwa kumpiga chura teke kumbe unamsogeza bwawani. Chambueni bibilia kila siku. Mnawakumbusha wenzeni.
Kufa na kufufuka kwa Yesu au Nabii Isa huwa kuna fichwa na Wahubiri wa kiislam ila Quran inaeleza vizur,muislam yeyote asome Surah Imran 3:55 pamoja na 5:117 na katika Quran kwanza hata haijitambui Issa ni Nabii ama mtu,Soma Hadith 3435.
Msalaba maana yake ni mateso na si kwamba yesu achorwe kwenye msalaba watu wavae ndiyo ibada ya kweli si kweli .yesu ni roho na si sanamu msalabani.shetani ndiyo anatumia msalaba,
Yes alifanyika laana ndipo akachukuwa laana xetu pamoja na maovu yetu yote ili tuwe huru ndiposa tunaona baada ya siku tatu alifufuka kutoka kwa wafu c kaa Muhammad aliyeliwa na mbwa na Mambo ake yakaishiwa hapo
Kama umesamehewa zambi unaenda kufanya nini kanisani. Zambi ya asili ni kuzaa kwa kwa uchungu na kutafuta kwa jasho . Leo wewe uliza kwa mzazi yeyote kama alizaa huku akiwa ame relux.
1 Yohana 2:4,22 [4]Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake. [22]Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.
Kumbuka anayosoma hapo ni biblia anaichambua na sio Quran, Uislam unamtambua Yesu kama nabii Issa, na tunakubali kama Yesu (nabii Issa) ni mtukufu wa mwenyezi mungu. Muislamu kusema Yesu sio dhambi sio kosa
Ujaelewa kwa Nini Yesu alimjibu vile Sasa Yesu ni uzao wa Ibrahim na Mungu, anamwambia Ibrahim kupitia wewe mataifa yote watabalikiwa. Sasa wewe Ni mtu unapotosha mada usizo jua Sasa Soma pia ufunuo 17:1-10 ufundishwe alafu acha kuwadanganya kwamba hekalu Ni msikiti wa Al akisa utaungua wewe na wanao kufuata wewe
Yohana 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako. Sikiliza wewe huyo Yesu👆👆 unaemdharau alikuwapo hata kabla ya hii Dunia kuumbwa sawa kuzaliwa Kwa mariamu ilikuwa tu ni mpango wa ukombozi Kwa ajili ya kutufikia sisi wanadamu wenye dhambi mariamu alitumiwa tu kama njia ya mwana wa Mungu kutufikia lakini Yesu yupo kabla hata ya Dunia kuumbwa na kabla ya Kuja Duniani aliitwa neno.👇👇👇 Yohana 1:1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Yohana 1:2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Yohana 1:3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. 👇👇👇👇 Yohana 1:14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli. Na atakuja Tena mala ya pili kutuchukua Ili tukaishi nae Mbingu Sasa sijui wewe unaemkataa utaingia Mbingu ya nani wakati unae mkataa na kumdharau ndiye atakaye Kuja mala ya pili kutuchukua👇👇👇👇 Ufunuo wa Yohana 1:7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina. Ufunuo wa Yohana 1:8 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi. Unajua nakuonea huruma sana Kwa sababu unaemdharau ndiye atakaye Kuja mala ya pili kuukomboa ulimwengu Sasa best yangu utaweka wapi sura Yako utakapo ona wenzio wanaokolewa halafu wewe unapotea na dharau zako?
Huyu jamaa mwongo, soma Mathayo 28:18 yesu anasema mamlaka yote mbinguni na duniani nimepewa mimi enendeni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu.yesu anamamlaka yote mbinguni na duniani,we unasema kwa waisrael 2 . vifungu Unavyo soma ni wakati christo anaongea na Waisraeli kwa sababu huko ndiko injili ilikoanza soma yohana 4:22 na ilikuwa hivyo kwa sababu ya utengano uliokuwepo katika mataifa au makabila soma yohana 4:9 lakini yesu christo ndiye aliyetuunganisha wote soma Waefeso 2:11-22
Mamlaka ya mbingu ni ya mungu siya bibaadamu,ambae alizaliwa,linyonyeshwa,alikula,alitahiliwa,sifa hizo so mungu,mungu haisi njaa na hatailiwii,ni hivyo
Unapokataa kwamba Muhamad hakuoa mtoto wa miaka6 kisha akamuingilia akiwa na miaka 9 unathibitisha kwamba wewe si msomi wa kiislam na ninaposema mnafundishwa hivyo niko sahihi sababu nyie mnafuata suma za Muhammad na ni wazi kwamba huwezi sema mtoto wa miaka 6 ameolewa kwa mapenzi yake na ndio maana tunawaambia Muhamad huwezi kuwa mtume WA kufuatwa, na sio hivyo tu acha kulipa kodi uone, piga wanawake uone qurani 4:34,waueni wasio kuwa waislam uone qurani 4:89 mufundisho haya yote tunapo yapima tunaona kwamba mtu huyu hakutumwana Mungu anadanganya. Biblia inatwambia tupime kila roho Kama inatokanana Mungu angalau mseme mtume wenu ni mwaposa lakini kwa haya na kwambia shekhe usifanye moyo mgumu njoo ubatizwe
Hawa dugu zetu wanasema yesu simuislamu,sawa mbona basi yale aliofanya yesu hao hawafati mpaka waislamu ndio wana mfata ?yesu wanamjua lakini hawamfati....nawakimfata yale ambayo yesu alifanya hahaa watafanya vitendo vya waislamu
Inamaana Uisilam ulikuwepo toka enzi ya nabii Isa? Mbona Isa hakuitumia Quran kama ilikuwepo? Je injili zote 4 ziliandikwa na Isa? Vipi Injil na Zaburi hazitumiki ktk maisha ya uisilam? Hekalu maana yake msikiti? Sinagogi je? Yesu aliacha dini ipi? Kwanini alibatizwa na Yohane Mbatizaji lakini akiwapa maagizo wafuasi wake wabatize tofauti na Yohana?
Ni kwel yesu alipokufa hekalu takatifu lilipasuka?nchi yote ilitiwa giza na unaamini yesu alifufuka na kupaa mbinguni kama unaamini unao uzima tena uzima telee huyu ndiye pekee anayeogopwa na shetan sasa kama unamwamin yesu aminii no one like jesus na hakuna atakaye mwona Mungu pasipo kupitia yesu
Aliye laaniwa .msalabani si. Yesu ni mwanadam. Yesu kafa kwa kuzibeba dhambi za mwanadam nalaana . . Ilimwana dam. Asamehewe. Anatakiwa. Akubalikusamehewa kwa. Dam ya yesu. Apokee msamaha. Binadam wote typo mikononi mwa yesu. Mungu ashughuliki na ulimwengu Tena anayeshughulika ni yesu. Torati 18;18. 19. Matayo 10 :. 31. 32. 33 .
Waislamu wote wapochini ya mungu,nasichini yamwanaadamu,aliezaliwa,alitahiliwa,Bali kwetu sisi issa ni mtume tu wamwenyezi mungu,miujiza yote aliyoifanya,mwenyewe alisema ninafanya haya kwa sababu ya mungu aliyemuumba,ni hivyo
Usipokubalikutubu .unabeba. Mzigo .wa. Zambi. Ukikubalikutubu unasamehewa. Mzigo ni dhambi wasiokubali kutubu na.kuacha wanabeba. Sala nihii. Yakutubu dhambi mbele za bb au mungu. Umepiga magoti una. Tamka Bb. Niko mbele zako Mimi mwenye dhambi. Nimekutenda dhambi wewe mungu wangu uliye mkamilifu nawahaki naomba unisamehe ...maovu yangu yote. Kwa dam ya yesu iliyo mwagika msalabani kwaajili ya maovu yetu inioshe inisafishe. Asante kwa kunisamehe. . kwa njia. Hii unapatakibali mbele za mungu kusamehewa na kuitwa mwana wa mungu
@@selemanmakau5967 matayo 10:31. 32. 33. Usimchukulie yesu Kama mitume wengine guys kaja kivingine yaamini maneno yake uwe salama. Yesu anahubili.juu ya.ulimwengu na mwisho wa.dunia..nayeye.naye. ndiye atakae hukumu ulimwengu.
Kuhusu umungu wa Yesu yeye mwenyewe alijita mwana na hata alisubutu kusema huwezi kujua Baba bila kumjua Mwana na Mfuasi akamuuliza kila mara unataja Baba hebu tuoneshe baba na alimjibuje? Piga chura teke. "Mambo hayo amewaficha wenye hekima akawafunulia watoto wachanga". Wenye hekima pigeni chura mateke mengi watoto wachanga tunaufaidi! Endeleeni kutujuza ndivyo sivyo ili tujikumbushe kupitia mazaifa ya wenye hekima.
As long as you refute the dead of our Jesus Christ,then you are unable to know the meaning of his death, but I urge you to understand Qur'an first couse Qur'an is directing to seek more knowledge from christians.
Hilo hekalu lingekuwa takatifu wangechezea kamari humo? Yesu alipindua meza kwa hasira akaSema " meifanya nyumbabya Baba Yangu kuwa pango la wezi". Utakatifu wa hekalu ulikwishne
Heeeeeh shekhe wangu Allah akumiminie kheri zake na baraka zake maana umenipa elimu ambayo sikuwahi kuijua.. nashukuru nimerudi katika uislam wangu❤
Asante kwa mahubirii ubarikiwee sanaa na pia tunakuombeaa umpokee yesu kristo katika maisha yako
😂😂😂😂😂😂😂njoo kwenye dini ya haki
Mashaallah sheikh SULE Allah akuweke muda mrefu sana
Asante sana kwa mafundisho mazuri sana hamna cha muislm na mkristo tunamwabutu allah sisi wote,tufundishe angalau wengine wetu tuelewe ...from 🇰🇪 kenya
Unakuja vizuri dada, ongeza utafiti kidogo in shaa Allah utaweza kuelewa zaidi
Uko poa sana inshallah mungu akujaalie ulewa zaidi
Hivi allah na Mungu wa Israel ni sawa sawa?
Mashaallaah shekhe wetu Allah akuzidishie umri mrefu
ManshaAllah sheih wetu Allah akupe afya na umri inshaAllah
Nakukubali sana Alhaji, MUNGU NI WA WOTE WENYE MWILI, tunabaguana tu duniani, ila Mungu anatujua
Yaaa Allah muifadhi Sheikh wetu naumpe umri mreefu Allahumma Ameen
Mashallah amin
Yesu alisumbiwa Kwa ajili yako upate uzima wa mlele Amen Jina la Bwana lihimidiwe Amina Milele
Mungu akulinde
Dr sule nakukubali sana mungu nyumba akutangulie tunaelimishwa sana hakika allah akubaliki daima amina
Mungu unae mtajua wewe sio Mungu wa Mbinguni, Mungu wa Mbinguni haanzi na herufi ndogo Mungu wa Mbinguni anaanza na herufi kubwa mungu wa herufi ndogo ni shetani ambaye anajiita mungu wa Duniani, jina la Mungu wa Mbinguni nijiba la kuogofya huwezi ukaandika ukalianza na herufi (m,) badala ya (M)
Asante Kwa elim 🤲
Mashallah
باركم الله فيكم
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl
Matukio ya Yesu yalikuwa yamepangika vizuri tu ahadi, mimba, kuzaliwa, kutolewa hekaluni, kubatizwa, kufundisha na miujiza, kuteswa, kufa, kuzikwa kaburini; kufufuka, maisha baada ya ufufuko yaani kuwakabidhi mitume kazi, kupaa ,pentekoste kumsubiri arudi tena. Je yuko wapi na anafanya nini mpaka arudi? Anarudi alisahau nini? Piga chura teke tena.
Allah akujaze hero na salama .
Yohana 1:29
[29]Siku ya pili yake amwona Yesu anakuja kwake, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
Maasha allah shekh tunakushukuru kwa elim unayotupa japo majina ya kina john na Joseph wanachukia hawatak kuukubal ukwel
Yohana 17:5
Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
Kwanza msichokijua Yesu alikuwepo👆👆👆 hata kabla ya misingi ya Dunia kuwekwa hapo ndipo ambapo waislamu mnachanganyikiwa akili
Ufunuo wa Yohana 1:7
Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina. Ufunuo wa Yohana 1:8
Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Sasa Alfa na omega ni jina la nani ni jina la Mungu mwenyewe na anasema yeye ndiye mwanzo pia mwisho na atakaye Kuja atakaye Kuja Tena ni nani ni Yesu mnaemdharau lakini ashukuriwe Mungu Kwa sababu the day of the and dharau zenu zitawaishia mifukoni Kwa sababu hata mpindishe ukweli kiasi Gani ukweli utabaki ukweli na uongo utabaki uongo tu
Na hakuna ukweli wowote anaouongea hapo nyie mwaminini lakini siku mkija kugundua kuwa aliwapiga changarawe usoni ndio mtajua Cha kumfanya huyo doctor sule.
Allah akulipe pepo insha'Allah 🙏
Doctor sure ukweli umeutoa Allah akuwezeshe zaidi kutawanya zaidi haki.
Maashaallah Allah awape nguvu zaid za kuilingania dini ya haki....
Mashaallah
Wewe ndugu yangu mkristo rudi kwa Mola wako nauombe msamah ivi mwana wa Mungu ataweza kusulubiwa na kuvikwa ka cupi yani akafulamia dunia nzima kweeeli??Subhanallaaaah!!Allah awaongoze.
Mungu akusamehe Kwa sababu tu umenyimwa macho ya roho unamacho ya kawaida sana, tatizo lako ni Moja tu hujaujua upendo wa Mungu Kwa mwanadamu laiti ungepewa filamu ya upendo wa Mungu Kwa mwanadamu usingethubutu kuropoka hayo unayo ropoka, na tatizo hujui kwamba mama Yako wa kwanza alipomkosea Mungu na kudanganya na shetani adhabu yake ilikuwa ni kifo Cha milele inamaana huenda hata wewe Leo unaeropoka hayo maneno usingekuwepo kabisa historia Yako ingeishia Kwa wazazi wako wa kwanza lakini Mungu akaona kwanini mwangu aangamie milele basi ngoja nishuke Mimi katika umbo la kibinadamu nife badala yake Kwa hiyo Mungu akaamua kubeba adhabu Yako Ili wewe usife kifo Cha milele lakini Bado waislamu hamlitambui Hilo hakika nimeamini kweli mnalishwa matango pori Mungu awasamehe Kwa sababu hamjui mlitendalo.
Wewe ndio utubu Kwa sababu siku ukijua Nini maana ya kifo Cha Yesu utalia machozi ya damu na hayatakusaidia kitu maana utakuwa umechelewa
Dr. Nikusaidie kitu, wanasali misikitini ni WAYAHUDI na WAISLAM, na YESU KRISTO hakuswali Msikiti wa Kiislam bali alisali Msikiti wa Kiyahudi..! YESU KRISTO alifundishwa TORATI, Co Quran..! Pia kuna mistari unakubali YESU ni KRISTO baadae unakana tena😂😂😂😂😂😂😂😂
Macha Allah tuna tosheka
Nashukuru Mungu nimepata elimu juu ya naabii issa alysalm ,ssa nimejua imani ya kweli .
Napenda mafundisho yako dr.sulle.unachambua bibilia vizuri.
Unajua kama Mimi siijui Qurani hata mtu akinifafanulia uongo nitajua kuwa ni mtaalamu wa Quruani Sasa ndio wewe huijui biblia na tafsiri zake na mafumbo yake ndio sababu unamuona doctor sule yupo vizuri, lakini napenda kukujulisha kuwa doctor sule haijui biblia hata nukta Mimi naona Kwa hicho langu la rohoni doctor sule biblia haijui kabisa naona ananilisha makande yasiyo na kazi yoyote mwilini, labda ni mtaalamu wa Quruani lakini sio biblia, biblia awaachie wenye uwezo wa kuidadafua.
Daaa leo nimejifunza kitu na shukuru sana
Kweli nimeamini bibilia vile imesema kabla ya siku ya mwisho kufika kila mtu atakua amefikiwa na gospel of Christ,sasa shelkh anahubiri gospel
Kwaani unadhani hajui kwamba biblia ndiyo kitabu kitakatifu?ni ugumu tu wa mioyo yao, ndiyo maana wakitaka kujua uumbaji wa Mungu lazima wasome biblia
Nakuelewa.
Kila mmoja abaki na imani yke tu maana Dini na maandiko ni vipana sana ukisema unasoma bila kuumiza kichwa ni kumkufuru mungu
Amen 🙏
Ukifuatia mduara wa maisha ya Yesu yaani nabii Isa huwezi kubabaika na Wagiriki ama wapiga chura teke. Yamejidhihirisha wala si la kuambiwa ila tu Mungu mwenyewe apende kukufunulia sio hizi hekima za kibinadamu " "amewaficha wenye hekima akawafunulia watoto wachanga". Ogopa mtu anayefundishwa namna ya kubishania imani ( siasa dini). Imani ni jambo la kwa neema tu ( utoto mchanga). Hukuwa mwisilam ama mkristo ama mpagani kwa hiari yako! Ni kwa neema tu.
Wakristo waliooueneza Ukristo hawakutumia mitandao,lakini wameushinds Ulimwengu na walimwengu hawawezi kamwe kuushinda ukristu
QURAN 19:34-Huyo ndio Isa Mwana wa Maryam,Ndiyo kauli ya Haki ambayo wanaifanyia shaka,YOHANA 16:6 Mimi ni njia na uzima,mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Menye kuelewa kaelewa.
Na musa alikuwa njia kipindi chake
Katika kitu Mwanadamu anaogopa ni kifo.
Hakizoeleki.
Mungu alileta gharika na kuwaangamiza Wanadamu kwa sababu ya dhambi zao.
Baadaye dhambi ziliendelea.
Mungu aliamua Nabii wake afe na kufufuka ambaye hakutenda dhambi ili Mwanadamu apate kuamini.
Mwanadamu hadi leo anatafakari na kustaajabu na kuamini.
Usidanganye watu Dr.,wakristo wapo na Quran inatambua kuwa kiongozi wao ni Mtume na Nabii Isa,SURAT ALBAQARA 2:62
Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.
YESU ALIULIZWA LINI NYUMBA TAKATIFU ITAVUNJWA,NYUMBA HIYO NI HEKALU LA WAISRAEL NA BAADA YA WAHARIBIFU KUVUNJA HEKALU WAKAJENGA MSIKITI,KILICHOVUNJWA NI HEKALU SIO MSIKITI MBONA KUELEWA HAKUHITAJI UDANGANYWE KWAMBA BAADA YA KUVUNJWA HEKALU WAHARIBIFU WAKAJENGA MSIKITI
Luka 9:20-22
[20]Akawaambia, Nanyi mwasema ya kwamba mimi ni nani? Petro akamjibu akasema, Ndiwe Kristo wa Mungu.
[21]Akawaonya, akawakataza wasimwambie mtu neno hilo;
[22]akisema, Imempasa Mwana wa Adamu kupata mateso mengi, na kukataliwa na wazee na wakuu wa makuhani na waandishi, na kuuawa na siku ya tatu kufufuka.
Kristo wa mungu awu kristo wa mariyam(issa bni mariyam) awu kuna issa na yesu?
@@hassanimouigni6648 wakristo twamuita YESU waislamu wanamuita issa hayo maaniko yapo hivyo hivyo kwenye biblia in kristo wa mungu ukitafuta biblia ukasoma mwenyewe itakusaidia
@@hassanimouigni6648 Mathayo 1:16
[16]Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
Nakuaminisana shekh
Iwapo waislamu watamshika Mtume na Nabii Isa basi hakutakuwa na uislam,katika Shahada amesifiwa sana ndio mana wanaishia Shahada mbili badala ya Zote tatu, QURAN 2:87. Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
Njia iliyonyoka ndohii dini ya kiislamu pole siyo wewe umekalilishwa hata Mimi nilikuwa hivo😢
@@mwemeziernestmwemeziernest9085 Nyinyi wakristo mmeaminishwa kwamba majini ni mashetani, hao majini kuna majini wema na majini waovu, hata sisi wenyewe Binadamu kuna Binadamu wema na waovu
Hakuna dini inayoitwa kristo....Kristo ni Mungu wa kigiriki.....Tatizo lenu hao viongozi wenu hawasemi ukweli ili mjitambue....Kazi yenu kwenda tu na kurudi so tulia wacha dawa IWAINGIA😂
@@mwemeziernestmwemeziernest9085 Sawaa Asantee Kwa kutuita wachawi ubarikiwee 🙏
MIMI NI MWAFRIKA WALA SIJAKARIRISHWA, NIMESOMA QUR'AN NA INJILI ....VYOTE NI VITABU VYA MWENYEZI MUNGU MAZYRI YA QUR'AN NIMEYACHUKUA NA YA INJILI MAZURI NIMEYACHUKUA. WALIOZILETA HIZI DINI MBILI WOTE HAWAKUWA NA NIA NZURI NA WAAFRIKA. CHUKULIA LEO TUSINGEKUWA TUMEPATA UHURU ...YAANI WANGEKUWA BADO WANATUTAWALA HATA HIZO DINI ZINGEONEKANA KANDAMIZI. SHIKA AMRI KUMI NA NGUZO TANO ZA UISLAAM FULLSTOP MENGINE YOTE NI STORY TU. MALUMBANO NI UPUUZI, MARA ETI YESU HAKUFA MSALABANI, MARA ETI WAISLAAMU WANAFUGA MAJINI EBO .....UPUUUZI MTUPU. TUFUATE MANABII WALIVYOTUFUNDISHA ACHENI KUWADANGANYA WAUMINI NA HIZO NJAA ZENU...
Eti maandiko ya kiswahili kuyajua mpaka uwe na roho mtaka tifu kweli kazi kubwa sana uzima wa milele kuupata kazi kweli
MIMI NI MWIISLAAM LAKINI YESU NAMPENDA SAAAAAAANA NA MUHAMMAD NAMPENDA SAAAAAAANA MALUMBANO YA KUWADHALIKISHA MANABII NI UJINGA.
Alafu utuambie yashua meshiah akija atakuja kufanya nini na issa akirudi atakuja kufanya nini tuambie mtu wa mungu
Kuna namna nyingi zakutafsiri maandiko.unaweza kuliacha andiko lijitafsiri lenyewe au unaweza kulifanya andiko lisadifu kile unachokitaka.kher asomae nakuelewa.nabila roho mtakatifu huwez kuelewa maandiko
Mafundisha mazuri sana
Narudia tena kama ulivoisoma wagaratia3;13 mi nasema kwa kuwapenda watu wote yesu alikuja ili kukukomboa ww na laana ya torati na Muombe Mungu akupe roho mtakatifu kukufunulia maandiko ipasavyo yesu ni kristo lakn wapo watakuja na kusema wao ndio kristo
Jitahidi sana, maana ukiwa mwongo mzuri, uwe na kumbukumbu na yale uliyoyasema.
Umetoka kusema yesu si kristo, halafu umesoma mwenyewe "na yesu kriso uliyemtuma"!! Yn 17:3
Andiko hilo limedanganya pia?
Fjndixha uislamu uliouzoa, huku umejichanga sana.
Ku
Yohana. 6:50. 59. Kwenda uwisram.ni kuyaacha .maneno .ya mungu . Acha waisram .wasujudu. Baki na. Yesu. Kusujudu. Hakumpi mtu kibali Cha kusamehewadhambi. Wala .kuingia. Mbinguni. Yohana 8:. 31. 32. 33. Yohana. 14. 6. Yesu ndiye. Mwokozi wa ulimwengu ukitaka. Kumwona mungu mkalibie yesu. Ukitaka kusamehewa.amini.alikufa msalabani.kamailivyoandikwa.
Sasa wewe na yesu nanizaidi kama yesu alisujudu alafu wewe unakataza watu wasi yafate ya yesu wafate yako yesu alisema yeyeninjia yani inatubidi tujifunze kwake alafu wewe unataka kupotosha ulimwengu inamana njia unayo ifata siyoile alifundisha kwamana alituhusia tujifunze kwake sasa tujifunze nini kamatunayapinga aliyo yatenda angali ndugu yangu
Kusujudu wanakosujudu waisram nimtindo waibada.walionyiwekea.yesu hakuwai kusujudu kwenye.sinagogi na hakunasheria aliyoweka.watu wasujudu. Hizo niibada zenu zilizotungwa na.muhamadi. wakristo.haziwahusu kwani ukristo na uwisram tofauti.kubwa mno kuitwa mwisram nikufuata Sheria za.mwamadi kuitwa.mkristo ni.kufata sheria.za yesu. Kuruani.na..injili miungu. Wawili. Tofauti. Miungu wa kuruani anaushirika na majini. Miungu wa injili. Hana ushirika.na majini kuruani imeruhusu hukumu.mwanadam . Injili haimruhusu mwanadam .kuhukumu
Dhambi anasamihi mungu sio yesu mwenyewe anataka kusamehewa ata msamihi mtu ana kudanganya nani?
@@hassanimouigni6648 mungu.unamjua.ulimwona wapi? Amino alichosema yesu uwe salama. Yoh:14. 6. Maneno ya yesu yanaishi milele hayatabadilika mpaka kiyama
@@aboubahebura8144 Soma .kitabu chote Cha injili ya yesu . Hukuti yesu akisujudu kwenye Sinagogi. Sisi sii waisram chakula alicho toa. Yesu. Na. Muhamadi. Tofauti. .
Sulle Biblia unaisoma kama gazeti la Nipashe ili Kusoma Biblia ni suala lingine na kuielewa ni suala lingine
2 Yohana 1:7
[7]Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo.
Mimi na kiri kwamba yesu ndie kristo, soma MATHAYO 26 :62-64 yesu mwenyewe akiri kwamba yeye ndie kristo ndio makuhani wa wakapata sababu kubwa zaidi ya kumwua wakisema ya kwamba amekufuru akijiita kuwa yeye ni Mungu hii inatudhihirishia wazi walimwuua maana hawakutaka kuamini kuwa yesu ni Mungu na
Wengi watakuja na kusema:mimi ndie kristo.
Apa bwana yesu anasema hao ndo watajitambulisha kwamba ndie kristo,yesu ajakataa kwamba sie kristo.
Kwanfano:mtoto wangu alikuja na akasema:mimi najua kuimba.
Apa mtoto anasema kwamba anajua kuimba na asema kwamba baba yake anajua kuimba,kama angemsema baba yake ingekuwa ivi:mtoto wangu amekuja na kusema:baba yangu anajua kuimba
Sulle hapa umejikanyanga hadi aibu,kuhusu hekalu hujui,kufa nakufufuka kisha kupaa kwa YESU kwenda mbinguni huwezi lazima ukwepe maana kufanakufufuka kwa YESU nipigo kubwa kwa mashetani na niukombozi wa mwanadam kwakila amwaminiye .utaloloma mengi lakini kwenye kufa kwa YESU msalabani kisha kufufuka na kisha kupaa mbinguni lazima shetani uduwawe!!
isaa ndiye yuaja wa mwisho,, kila dini linalokubali mungu litapata uzima lakini wanaompinga kristo ni wengi mungu ni mmoja tu,,,,watuwaije abudu binadamu mwabududu mungu na msimpinge kwa maana hukumu ni kwake tu soyo ukristo au uslamu ni roho inayosema ukweli
Ndugu yanguu ni heri ukasimama kwenye misingi ya imani yako nafikiri unachochea kupotosha imani za watu Mungu akusaidiee na utubu kwa muumba wako.
Hao wamepotea wanao sema krsto 34:09 34:09
Msalaba ni kifo cha laana na ndio maana laana zikabebwa kwa njia ya kujitolea kufa msalabani. Labda useme nani wale 3 waliosulubishwa pamoja na maneno yote ya msalabani yalitolewa na nani. Hongera kwa kumpiga chura teke kumbe unamsogeza bwawani. Chambueni bibilia kila siku. Mnawakumbusha wenzeni.
Kufa na kufufuka kwa Yesu au Nabii Isa huwa kuna fichwa na Wahubiri wa kiislam ila Quran inaeleza vizur,muislam yeyote asome Surah Imran 3:55 pamoja na 5:117 na katika Quran kwanza hata haijitambui Issa ni Nabii ama mtu,Soma Hadith 3435.
Isa ni mtu alizaliwa na Mariam,alinyonya alikula alikunya,nata alitahiliwa,sasa awe mungu kwa sifa hizo?
Uliwahi kusikia bikira amezaa mbali na Mariam@@selemanmakau5967
Msalaba maana yake ni mateso na si kwamba yesu achorwe kwenye msalaba watu wavae ndiyo ibada ya kweli si kweli .yesu ni roho na si sanamu msalabani.shetani ndiyo anatumia msalaba,
Yes alifanyika laana ndipo akachukuwa laana xetu pamoja na maovu yetu yote ili tuwe huru ndiposa tunaona baada ya siku tatu alifufuka kutoka kwa wafu c kaa Muhammad aliyeliwa na mbwa na Mambo ake yakaishiwa hapo
Kama umesamehewa zambi unaenda kufanya nini kanisani.
Zambi ya asili ni kuzaa kwa kwa uchungu na kutafuta kwa jasho .
Leo wewe uliza kwa mzazi yeyote kama alizaa huku akiwa ame relux.
1 Yohana 2:4,22
[4]Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake.
[22]Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.
Ndio yule asie mfwata yesu kuwa muislam ana jidanganya sio kuyimba awu kutowa mapepo
Zaman ilikuwa Kosa Kwa muislam kusema YESU Sasa ata apo wamefikia ni pazuri tu praise God 👏
Kumbuka anayosoma hapo ni biblia anaichambua na sio Quran, Uislam unamtambua Yesu kama nabii Issa, na tunakubali kama Yesu (nabii Issa) ni mtukufu wa mwenyezi mungu. Muislamu kusema Yesu sio dhambi sio kosa
Kaa mbali na iman za watu tafadhari
Ujaelewa kwa Nini Yesu alimjibu vile Sasa Yesu ni uzao wa Ibrahim na Mungu, anamwambia Ibrahim kupitia wewe mataifa yote watabalikiwa. Sasa wewe Ni mtu unapotosha mada usizo jua Sasa Soma pia ufunuo 17:1-10 ufundishwe alafu acha kuwadanganya kwamba hekalu Ni msikiti wa Al akisa utaungua wewe na wanao kufuata wewe
Mpakambingu na nchini zitakapo ondoka yodi wala nukta moja ya torati haitaondoka mathayo5:17-18 hizo mbwebwe unapoteza Muda njoo ubatizwe,
Eti yesu ni mungu tena mwana wa mungu pia kasulubiwa mmm hata hili lina hitaji roho mtakatifu mungu anaomba subhanallah Allahu Akbar
Mungu mtoto wa mungu ndasha katoa mpia tena ye ndio dini tena
Yohana 17:5
Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
Sikiliza wewe huyo Yesu👆👆 unaemdharau alikuwapo hata kabla ya hii Dunia kuumbwa sawa kuzaliwa Kwa mariamu ilikuwa tu ni mpango wa ukombozi Kwa ajili ya kutufikia sisi wanadamu wenye dhambi mariamu alitumiwa tu kama njia ya mwana wa Mungu kutufikia lakini Yesu yupo kabla hata ya Dunia kuumbwa na kabla ya Kuja Duniani aliitwa neno.👇👇👇
Yohana 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1:2
Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
Yohana 1:3
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. 👇👇👇👇
Yohana 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Na atakuja Tena mala ya pili kutuchukua Ili tukaishi nae Mbingu Sasa sijui wewe unaemkataa utaingia Mbingu ya nani wakati unae mkataa na kumdharau ndiye atakaye Kuja mala ya pili kutuchukua👇👇👇👇
Ufunuo wa Yohana 1:7
Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Ufunuo wa Yohana 1:8
Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Unajua nakuonea huruma sana Kwa sababu unaemdharau ndiye atakaye Kuja mala ya pili kuukomboa ulimwengu Sasa best yangu utaweka wapi sura Yako utakapo ona wenzio wanaokolewa halafu wewe unapotea na dharau zako?
wacha kusema usioyajua hauelewi hata ad[after death of christ]sasa wasema alitushauri akiwa amekufa
Jifunze tenauwe makini hayowachungaji huwa awakusomeeni kazikuku danganyenitu
Kama dok sule hajui anajua nani? ubishi hakuwezini mafundisho hamumwezi anasema ukweli
Huyu jamaa mwongo, soma Mathayo 28:18 yesu anasema mamlaka yote mbinguni na duniani nimepewa mimi enendeni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu.yesu anamamlaka yote mbinguni na duniani,we unasema kwa waisrael 2 . vifungu Unavyo soma ni wakati christo anaongea na Waisraeli kwa sababu huko ndiko injili ilikoanza soma yohana 4:22 na ilikuwa hivyo kwa sababu ya utengano uliokuwepo katika mataifa au makabila soma yohana 4:9 lakini yesu christo ndiye aliyetuunganisha wote soma Waefeso 2:11-22
Mamlaka ya mbingu ni ya mungu siya bibaadamu,ambae alizaliwa,linyonyeshwa,alikula,alitahiliwa,sifa hizo so mungu,mungu haisi njaa na hatailiwii,ni hivyo
Unapokataa kwamba Muhamad hakuoa mtoto wa miaka6 kisha akamuingilia akiwa na miaka 9 unathibitisha kwamba wewe si msomi wa kiislam na ninaposema mnafundishwa hivyo niko sahihi sababu nyie mnafuata suma za Muhammad na ni wazi kwamba huwezi sema mtoto wa miaka 6 ameolewa kwa mapenzi yake na ndio maana tunawaambia Muhamad huwezi kuwa mtume WA kufuatwa, na sio hivyo tu acha kulipa kodi uone, piga wanawake uone qurani 4:34,waueni wasio kuwa waislam uone qurani 4:89 mufundisho haya yote tunapo yapima tunaona kwamba mtu huyu hakutumwana Mungu anadanganya. Biblia inatwambia tupime kila roho Kama inatokanana Mungu angalau mseme mtume wenu ni mwaposa lakini kwa haya na kwambia shekhe usifanye moyo mgumu njoo ubatizwe
Mamlaka ya mbinguni Niya Mungu safi jibu nzuri, Sasa Soma mwenyewe yohana10:30 maelezo zaidi Tito 2:13
Hayo mamlaka yesu alipewa na nani kama yeye ndo mungu?.
Shehe mm sikielewi yesu mbona kwenye misikitini hampi heshima kama muhamadi,nauku unakili kua yesu ni zaizi ya muhamadi?
Hawa dugu zetu wanasema yesu simuislamu,sawa mbona basi yale aliofanya yesu hao hawafati mpaka waislamu ndio wana mfata ?yesu wanamjua lakini hawamfati....nawakimfata yale ambayo yesu alifanya hahaa watafanya vitendo vya waislamu
Wakristo lazima wapanic HAPA😂
Yaan Mimi sku haiezi Isha nsisikie mafundisho ya huyu mtu maana nmejifunza mengi
Inamaana Uisilam ulikuwepo toka enzi ya nabii Isa? Mbona Isa hakuitumia Quran kama ilikuwepo? Je injili zote 4 ziliandikwa na Isa? Vipi Injil na Zaburi hazitumiki ktk maisha ya uisilam? Hekalu maana yake msikiti? Sinagogi je? Yesu aliacha dini ipi? Kwanini alibatizwa na Yohane Mbatizaji lakini akiwapa maagizo wafuasi wake wabatize tofauti na Yohana?
Pole sana ulitaka yesu yatumie quran tarizo kubishana bure
9:43 acha wafe na chuki zao,, sisi tunatosha,,,
Dr.Issa ni Mtume na nabii,huyo ndio Roho ya mwenyezi Mungu kama quran inavyosema katika Hadithi 3435,
Issa sio roho ya Mungu Bali yy ni tamko litokalo kinywani mwa Mungu...hivyo ndivyo Quran isemavyo
Kuna kitu ningeomba utufunze kuhusu issa mwenye alizaliwa mecca na.yesu mwenye.alizaliwa bethlehem
Waelimishe shekhe wetu japo niwagumu kuelewa hawa akinajakobo
wewe Mimi namuelewa sana Dr sure
Kwani hawa elewi hawataki tu ubishi huwawoni kweyne debat
@@jacobozummaa3152 🤣🤣🤣🤣🤣katajwa jacobo mara paa jacobo huyu apaa
Naomba mwislam yeyote aniambie Shahada tatu za uislam,na kwanin mnaishia na Shahada mbili,
Shahada ni mbili hakuna Tatu.hata wakati wa yesu Shahada ilikuwa mbili.
Shahada zitakusedia nini badala yaku tafuta ukweli ufwate unahangaika na shahada
No hizi hapa mungu mmoja Muhammad ni mtume wake na yesu ni mtume wake
Ni kwel yesu alipokufa hekalu takatifu lilipasuka?nchi yote ilitiwa giza na unaamini yesu alifufuka na kupaa mbinguni kama unaamini unao uzima tena uzima telee huyu ndiye pekee anayeogopwa na shetan sasa kama unamwamin yesu aminii no one like jesus na hakuna atakaye mwona Mungu pasipo kupitia yesu
Unajua kwa nini Wakristo hawajiusishi na kuihibiri ama kuikosoa Quran? Hawampigi chura teke.
Kitabu kitufu hakina kosa lakukosowa mta sowa nini?
Iko Siku utajua yesu ninan wala hana haraka na mwanadamu maana mdomo hauna pazia ila kumbuka tumekombolewa kwa dam ya yesu
Hadith 3435
She umenibariki sana kweli unauwezo mkubwa mno wa kufundisha.
Na Muhammad alitumwa kwa ajili ya waarabu. Wewe yamekupataje
Huwezi kutaja kupaa Yesu ukasahau petekoste. Hebu piga tena chura teke katika pentekoste. Maana kupaa kulifuatiwa na tukio la petekoste.
Aliye laaniwa .msalabani si. Yesu ni mwanadam. Yesu kafa kwa kuzibeba dhambi za mwanadam nalaana . . Ilimwana dam. Asamehewe. Anatakiwa. Akubalikusamehewa kwa. Dam ya yesu. Apokee msamaha. Binadam wote typo mikononi mwa yesu. Mungu ashughuliki na ulimwengu Tena anayeshughulika ni yesu. Torati 18;18. 19. Matayo 10 :. 31. 32. 33 .
Waislamu wote wapochini ya mungu,nasichini yamwanaadamu,aliezaliwa,alitahiliwa,Bali kwetu sisi issa ni mtume tu wamwenyezi mungu,miujiza yote aliyoifanya,mwenyewe alisema ninafanya haya kwa sababu ya mungu aliyemuumba,ni hivyo
Mbona kanisani mnasema kila mtu anabeba mzigo wake ni mzigo anabeba mwenyewe na mzigo gani mna mbebesha mtoto wa mariyam
Usipokubalikutubu .unabeba. Mzigo .wa. Zambi. Ukikubalikutubu unasamehewa. Mzigo ni dhambi wasiokubali kutubu na.kuacha wanabeba. Sala nihii. Yakutubu dhambi mbele za bb au mungu. Umepiga magoti una. Tamka Bb. Niko mbele zako Mimi mwenye dhambi. Nimekutenda dhambi wewe mungu wangu uliye mkamilifu nawahaki naomba unisamehe ...maovu yangu yote. Kwa dam ya yesu iliyo mwagika msalabani kwaajili ya maovu yetu inioshe inisafishe. Asante kwa kunisamehe. . kwa njia. Hii unapatakibali mbele za mungu kusamehewa na kuitwa mwana wa mungu
@@selemanmakau5967 matayo 10:31. 32. 33. Usimchukulie yesu Kama mitume wengine guys kaja kivingine yaamini maneno yake uwe salama. Yesu anahubili.juu ya.ulimwengu na mwisho wa.dunia..nayeye.naye. ndiye atakae hukumu ulimwengu.
Alafu jina kamili la yesu ni yashua messiah sio issa
Kuhusu umungu wa Yesu yeye mwenyewe alijita mwana na hata alisubutu kusema huwezi kujua Baba bila kumjua Mwana na Mfuasi akamuuliza kila mara unataja Baba hebu tuoneshe baba na alimjibuje? Piga chura teke. "Mambo hayo amewaficha wenye hekima akawafunulia watoto wachanga". Wenye hekima pigeni chura mateke mengi watoto wachanga tunaufaidi! Endeleeni kutujuza ndivyo sivyo ili tujikumbushe kupitia mazaifa ya wenye hekima.
Hapigi teke anakupeni ukweli bado uko kwenye usingizi mtoto wa maryam mungu mtoto wamungu kuna mpya tena ye ndio dini mafundisho ya ndugu yako ndasha
Asee ama kweli sikio lakufa halisikii dawa loh
Yesu na muhamadi nani atamfufua mwenzie siku ya ukumu?
Mapepo ni viumbe vilivyolaaniwa na Mungu ,vipo wewe mpotoshaji unasema kuwa mapepo walishilikisha kujenga nyumba ya Mungu?
As long as you refute the dead of our Jesus Christ,then you are unable to know the meaning of his death, but I urge you to understand Qur'an first couse Qur'an is directing to seek more knowledge from christians.
Yani biblia bado aujaelea vizur
Nikupongeze kusaidia kuhubiri INJILI ,lakini kuna sehemu unachanganya Nuru na Giza Kwa wakati mmoja
Wapi? Taja ujibiwe!
Anachanganya nuru na giza.aya tuonyeshe wewe jinsi alivyo changanya.bisha kwa hoja usibishe bila hoja hutoelewaka.
Kwani huyu ni pastor?
Hilo hekalu lingekuwa takatifu wangechezea kamari humo? Yesu alipindua meza kwa hasira akaSema " meifanya nyumbabya Baba Yangu kuwa pango la wezi". Utakatifu wa hekalu ulikwishne
Daaima wakeristo huwa wabishi
Uislam ni raha elimu tupu makafiri hawatuwezi hata wasome vp vichwa vyao vina MB 3
Wewe ni mjinga tu hi dunia inangozua na wakristo inchi zenye nguvu dunia ni za wakristo
Utuelezee siku ya sabato ni nini kwa Sasa.