Uisilamu ni mtamu sana,hasa unapopata msimulizi Mzuri wa visa ndani ya Qur'an,utafikiri Mtume Muhammadi s.a.w ndio Mtume wa kwanza kuja Duniani,maana anasimulia Mambo ya tangu Mpango wa kuumbwa Mwanaadamu wa kwanza hadi atakaekuja Mwisho,hili huwezi kulikuta ktk Dini nyingine zaidi ya ktk Uisilamu, ALLAH atujaalie tufe ndani ya Uisilamu
Wallah huyu sheikh alinifanya nifunge safari ya zenji ili tuu nipate kuswali na kumsikiliza live, masheikh wawili ninaowapenda saana hata natamani waje kua ma mufti ni sheikh walid na sheikh othman maalim
Mpuuzi mwingine hawez hata kuifasiri Suratul fatiha anasema Othman maalim Ni mtu wabidaa sowakuskiliza mm nishapgana na mtu Allah akulinde na vibaraka wasokupenda mwanachuoni Wetu WA Zama zetu est africa
Wewe ni mfano wa kuigwa na mashekh wote wa mipasho badala ya kufikisha ujumbe wao wanawagawa makundi kwa taasisi zao na kuwadharirisha wenzao kwa kuwatukana na vijembe na mipasho.
Sheikh samahan naomba kuuliza kuwa mitum wote walukuwa warabu na wengn walikuwa wa zungu na wa iziraer na walikuwa wana inadi dini wakiwa kwai je afrika ulikuwa hain dini
Sheikh Othman Ma'alim Linapofika suala la kusoma A'aya katika Qur'an Hutotamani Aache kusoma wallahi 🥰
Wallahi alafu hadith zina elmu sana
Fuatilia na hadithi ya yusuf utapenda
Hakika , huyu kajaaliwa ukweli wa kujaaliwa
Sana wallah nataman hata nikutane nae siku moja
@@Abuuhasani26yupo mbona hana makubwa ukionana nae utamwambia tu nataka kujua RAFIKI wako basi anakupa nambar hana sida mwalim wetu
Sheikh is the best when he recites the Quran! Beautiful voice
Shukran sana shekhe Othman Maalim, Allah akulipe Jannah inshallah 🙏
Insha Allah
@@Mahmoud_763❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Uisilamu ni mtamu sana,hasa unapopata msimulizi Mzuri wa visa ndani ya Qur'an,utafikiri Mtume Muhammadi s.a.w ndio Mtume wa kwanza kuja Duniani,maana anasimulia Mambo ya tangu Mpango wa kuumbwa Mwanaadamu wa kwanza hadi atakaekuja Mwisho,hili huwezi kulikuta ktk Dini nyingine zaidi ya ktk Uisilamu, ALLAH atujaalie tufe ndani ya Uisilamu
Allahumaamina
amiin 😢😢na vizazi vyetu 🤲
Allahumma aamina yaa Rabbii
Masha Allah sheikh Allah akuzidishie
Allahu akbar mungu akuzidishie elmu nyingi zaidi
Allah akuongezee Elimu zaidi na akupe nguvu zakuendelea kutupa mafunzo inshallah
Mashaallah Allah akupe umri mlefu
Huyu OTHMAN MAALIM ni mwamba haswaa wa visa vya mitume...Allah akuhifadh shekhe wetu
A'ameen Ya Rabbul A'alameen.
Allah akujalie mwisho mwema nasi pia
Mungu akupe pepo njema firdaus
Amiin
Subhana Allah, Shukran Sana Shaikh, Allah akuzidishie Elimu na atuzidishie nasi kuifaham Aamiin.
Jazakallah khaira shehk wetu
ALLah mtukufu akupe mwesho mwema Amiyn
MashaAllaah tunafaidikaa na hadithi hatuja zisikiyaa Barrakkah Allaah huu fiek sheikh…
Sema:
MAA SHAA ALLAH.
Allah akulipe kila lililojema Sheikh wetu
MashaAllah Allah atujaaliw mwisho mwema
Mashallah Allah akuogezee i
Ma Sha Allah, Allah akujalie jannah firdows
Subhana Allah 😢shukran sheikh kwa ukumbusho
Mashalllah ALLAH Amekuchagua kukupa neemma zake ili uwe kgenzo kwa wengine
Shukrani shekhe kwa mawaidha mazuri
Mashaallah Allah azidi kukubariki pamoja Na sisi
Allah akbarik sheikh wetu
MashaAllah Shiekh
Mashaaha jazakallah khaira
سبحان الله العظيم..😢 جزاك الله خيرا انشالله ❤
MashaAllah ustadh Maalim
Mashallah nice ❤❤❤
Inshallah Allahu akuzidishie
Mashaallah mungu akuhifadhi sheikhwetu
ALLAH AKULIPE KHERI INXHAALLAH
Masha Allah Tabarakallah
Sheikh nakukubali sana vitu unavyosema vinagusa moyoni
Mashallah❤ barakallah🎉
Jazakumullahu khayran sheikh
Ma shaa llah, ma shaa Allah
اللهم صلي وسلم وبارك على حبيبنا محمد صلى الله عليه وسلم
آمين
Allah akuogezee elimu
Insha Allah mwenyenzimungu akuhifadhi na jamia islamia
جزاك الله خير
Shukran,,, san......
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu dini haina mashaka
MashaALLAH. ❤. MashaALLAH
Allah akubarik shekh wetu
Mashallah, mashallah
I love you so much.allah please don't give up him.
Allah akuhifadhi ustadh wetu.
Mashaallah ❤🎉
I'll vizuri shkh
ALLAH akutengezee mambo yko
Mashaa Allah
Wakati wa sasa wakorofi wapo ila wenzetu walichupa mipaka,Allah atujaalie mwisho mwema na atusamehe makosa yetu.
Amiin amiin inshallah
Aaamin thumma Aaamin ❤❤
0Q
❤
Mashallaah Kwa visa vizuri
wow
Subhanallah
Shukran kwamawaidha mazuri
Subhana llah.
❤❤❤❤mashalla h🎉
Marshall ❤❤❤
All akupe kila lakheri
Allah akuzishie
Alhamdulillah
Subhana Allah
Mashaallah
Ma sha Allah
Allahu akkibaru
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wallah huyu sheikh alinifanya nifunge safari ya zenji ili tuu nipate kuswali na kumsikiliza live, masheikh wawili ninaowapenda saana hata natamani waje kua ma mufti ni sheikh walid na sheikh othman maalim
Bingwa wa visa na historia ya dini ya Kiislam Afrika Mashariki na Kati
Hicho kisa kinapatikana sura gan
Mpuuzi mwingine hawez hata kuifasiri Suratul fatiha anasema Othman maalim Ni mtu wabidaa sowakuskiliza mm nishapgana na mtu Allah akulinde na vibaraka wasokupenda mwanachuoni Wetu WA Zama zetu est africa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💯
🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤
Wewe ni mfano wa kuigwa na mashekh wote wa mipasho badala ya kufikisha ujumbe wao wanawagawa makundi kwa taasisi zao na kuwadharirisha wenzao kwa kuwatukana na vijembe na mipasho.
Where is party 2
Marshall shekhe mungu akupe ilimu kubwa katika umma huu na sisi pia
Mwenyezimungu atujaalie mwisho mwema pamoja na shekh othman Maalim
Sheikh samahan naomba kuuliza kuwa mitum wote walukuwa warabu na wengn walikuwa wa zungu na wa iziraer na walikuwa wana inadi dini wakiwa kwai je afrika ulikuwa hain dini
💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
hata warabu WA Karne yetu ni vituko je hao wa swaleh ilikuwa wako vipi????
الله أكبر سبحان الله العظيم
😂
warabu nafanya nao kazi vituko vyao hatari ndio utajua mitume walipitia shida 😢
Mola wape umri mrefu wenye manufaa wanazuoni hawa
Masha-Allah
Allah akuogezee elimu
Mashaallah ❤
I love you so much.allah please don't give up him.
Mashaallah
Mash Allah
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Allah akuogezee elimu
Mashallah
Mashaallah ❤
Mashaallah ❤
Mashallah
Mashaalaah
Masha allah taal
Mashaallah