Kinuthia: Wangechi hakunionesha mapenzi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 апр 2019
  • Matatizo ya uhusiano wa kimapenzi ndiyo sababu kuu ya Naftali Kinuthia kumuua Ivy Wangechi, aliyekuwa akisomea udaktari katika chuo kikuu cha Moi. Hii ni baada ya Kinuthia kumfichulia afisa wa upelelezi mjini Eldoret, masaibu yaliyomsukuma kutekeleza kitendo hicho cha unyama. Hata hivyo, majirani wa Ivy Wangechi wanasisitiza kuwa alikuwa msichana wa kuigwa katika jamii.
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.com/+CitizenTVKenya
    / citizentvkenya
  • Авто/МотоАвто/Мото

Комментарии • 183

  • @sylvesterndundu6918
    @sylvesterndundu6918 5 лет назад +18

    There is never a justifiable reason to murder. This was an emotional evil reaction. Whenever you are very angry try as much as you can to pray and even call your parent/uncle/aunty to talk to and pray together.

  • @Esty1248
    @Esty1248 5 лет назад +13

    Kama hupendi mtu mwambie mapema ajipange na gifts zake usichukue, atajua humpendi ajitafutie mapenzi kwingine. Ukiachwa achika kiroho Safi

  • @michaelg.1079
    @michaelg.1079 5 лет назад +11

    There is a reason why the bible says, " Daugters of Zion, do not awaken love before its apointed time." And also boychild, there are so many beautiful women out there. If it doesnt work out with Kenyan chics, there are very beautiful women in Rwanda, Tanzania and best of all, Ethiopia that you can go for instead of killing . Its 2019 bana, we are not forcing things this year.

  • @queenelma3941
    @queenelma3941 5 лет назад +17

    Problem of dating hustlers they spend with reasons

  • @marionoletiptip1112
    @marionoletiptip1112 5 лет назад +3

    Good lesson indeed!

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 лет назад +38

    So after kutumiwa pesa akazima simu

    • @silvotorestyles9728
      @silvotorestyles9728 5 лет назад

      James Gathaiya you know she was in ward rounds and she was in 6th year..it’s very tough and busy..and he kept on calling..while she was in school

    • @joewamwai315
      @joewamwai315 5 лет назад +1

      @james,ikiwa wamekua pamoja over 6 yrs wat do u expect?..

    • @maryamashmrei9999
      @maryamashmrei9999 5 лет назад

      Akawa mteja

    • @joewamwai315
      @joewamwai315 5 лет назад +1

      @Cruz montel ,I can't tell how much he had sent so far for the 6yrs she was in skool but am trying to do the maths,..but that's the best way he ended it so that gold diggers n such can learn..

  • @kelvinnmoses
    @kelvinnmoses 5 лет назад +10

    2TIMOTHY 3.Siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.
    2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi,
    3 wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema,
    4 wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu;
    5 wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.
    JESUS IS COMING.

    • @virginiakuria9430
      @virginiakuria9430 5 лет назад +1

      Wacha nikae single

    • @kelvinnmoses
      @kelvinnmoses 5 лет назад +1

      @@virginiakuria9430 1CORINTHIANS 7:8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
      9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

    • @Sofia-wx2ht
      @Sofia-wx2ht Год назад

      ​@@kelvinnmosestruly said🙏🏽

  • @nancyruoruo1025
    @nancyruoruo1025 5 лет назад +25

    Ladies acha kuchezea pesa za hushler man. ....utakufa tu

  • @laussanga1496
    @laussanga1496 5 лет назад

    Inauma sana

  • @cynthiacyndy9095
    @cynthiacyndy9095 5 лет назад +10

    Ukisha kufa kila mtu useme wewe ulikua na tabia nzuri

  • @joewamwai315
    @joewamwai315 5 лет назад +3

    Siku hizi mwanamke ni wako wakati uko juu,..that's the life we are living...

  • @zawadimwikali9466
    @zawadimwikali9466 5 лет назад +45

    Wacha nikae single nikule pesa ya mwarabu jasho langu sitki kuja kufa bure

  • @jojoembwaga2931
    @jojoembwaga2931 5 лет назад +4

    Eee Mwenyezi Mungu toune huruma sisi wanawako.God's internation.Ivy Rest in Peace luv

  • @josphinegithae9408
    @josphinegithae9408 5 лет назад +12

    If someone isn't responding to your love as you expect kindly keep distance

    • @joewamwai315
      @joewamwai315 5 лет назад +1

      @josp,..n u think its easy as u team it?.. even obado killed where did u take him?..

    • @josphinegithae9408
      @josphinegithae9408 5 лет назад +1

      @@joewamwai315 @ Joe am not supporting this guy that killed neither am I on the lady's side.....my point was prevention is better than cure ,.... better you keep distance

    • @joewamwai315
      @joewamwai315 5 лет назад +1

      @@josphinegithae9408 ,sometimes it takes forever to know,like this tyme this lady have been to skool for 6yrs, so if they had talked to marry after her completing skool n being a doctor then after all that wait n support going into waste,??..I think many will learn from this..

    • @sharonoguta8589
      @sharonoguta8589 5 лет назад

      @@joewamwai315 if many had the kind of mentality u have, we will av genocide in kenya. Imagine single mothers waliochwa na wanaume wakiwa na mimba ! U have invested into the relationship, abondoned with a baby in your arms to take care of independently financially! Imagine watu waanze kukatana due to heartbreak na finances ! These things happen, hata kwa wanawake for centuries !

    • @joewamwai315
      @joewamwai315 5 лет назад

      @@sharonoguta8589 ,get up n do wat u gona do n pp will learn, ...pliz don't be misused ..

  • @naomimwangi5438
    @naomimwangi5438 5 лет назад +4

    Saad..maybe the girl was attending to a patient when the dude called...couldn`t he just kidnap her and demand a ransom of all that the lady received from him? sad

  • @bellaki4392
    @bellaki4392 5 лет назад +1

    I don't care what people think or say about how she handled the relationship.... The fact is at her age she had achieved what very few would have and besides taking someone's life is pure evil... No matter the circumstances!!! She was a smart and beautiful girl.... That kinuthia just couldn't stand the fact that she wasn't in love with him.... Am glad he is still alive to face the law!!! My condolences to ivy's parents.. At least kinuthias parents can still visit him in jain!!... Terrible thing to happen...

    • @shiromwangi6951
      @shiromwangi6951 5 лет назад

      And he could not stand the fact that he was toooo low for her.

  • @marionmammy833
    @marionmammy833 5 лет назад

    That's a good lesson

  • @waithirahnaomy1573
    @waithirahnaomy1573 5 лет назад +6

    Hakuna haja ya kuuwa mtu..

  • @kimkimmie3435
    @kimkimmie3435 5 лет назад +6

    God🙆🏼‍♀️
    This must have been paaaaainful🤦🏼‍♀️ axe??
    Without blaming anybody though,, kama hutaki mutu WACHA KABISA, roho moja,, don’t have one leg in , the other out . I guess he’s not killed bcoz of money , he’s killed bcoz of the pain of betrayal..sasa hiyo hasira nayo, wewe nawe kamiti.

  • @MrMborokubwa
    @MrMborokubwa 5 лет назад +9

    Wametuzoea sana.This month pekee nimetumia wawili fare and nobody turned up.Sasa natafuta pesa ya kununua shoka.

    • @pauldaniel5685
      @pauldaniel5685 5 лет назад

      🤣🤣 oh God give us strength to have fear upon you

    • @zawadimwikali9466
      @zawadimwikali9466 5 лет назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jojoembwaga2931
      @jojoembwaga2931 5 лет назад

      Nunua Hadi power so,mbwa wewe.nkt

    • @Esty1248
      @Esty1248 5 лет назад

      😂😂hiyo pesa haina kazi

    • @nancyjoseph9395
      @nancyjoseph9395 5 лет назад

      motokali.kumbuka jela yakungoja baadaye, heri usitume tena na uwe huru kuliko kutafuta shoka

  • @mariakimani1790
    @mariakimani1790 5 лет назад +2

    Wasichana some tyms tuache kuchezea pesa z mtu kaa humpendi plus kuchezea feelings z mtu nkt

  • @euniysharon4704
    @euniysharon4704 5 лет назад +5

    kama dio hivo wachanikule jasho yangu

  • @danfordaugustino3461
    @danfordaugustino3461 5 лет назад +7

    Wanawake wamezidi uizi mno. Unakula hela ya watu halafu unamzingua

  • @christineodera463
    @christineodera463 4 года назад

    So sad in deed,,but people should learn to cool down their anger😳

  • @lawijayy9735
    @lawijayy9735 5 лет назад +2

    so alitumiwa pesa akazima simu😢

  • @simonsambu8285
    @simonsambu8285 5 лет назад +11

    Let it be a lesson to women wanapenda double dealing

  • @brianwattanga1814
    @brianwattanga1814 5 лет назад +2

    Hii ni kisa Cha pwagu kumpata pwaguzi. Badala ya kuzima simu,angereverse transaction kisha amshow huyo Jamaa hisia zake kwake.

  • @blessdmum.7380
    @blessdmum.7380 5 лет назад +13

    Ladies tafathali,hili pepo la tamaa mtaliacha,kama hutaki mwanaume,hata pesa zake wacha kabica!!!

    • @nancypretty7576
      @nancypretty7576 5 лет назад +1

      How much was the money

    • @blessdmum.7380
      @blessdmum.7380 5 лет назад

      @@nancypretty7576 umeskia huyo afisa akisema zilikuwa zimetumwa ngapi?

    • @nancypretty7576
      @nancypretty7576 5 лет назад +1

      @@blessdmum.7380 wewe nawe pengeni hata ni 200 bob anyway pesa ya wanaume ni baala

    • @atienootieno2060
      @atienootieno2060 5 лет назад

      Kwani na Hugo mwanaume ananunua mwanamke na pesa,nikama alijua hapendeki ndio akafungua wallet ,lakini pia wanaume mkubali kama hupendwi siyo ati NO inamaanisha yessss

    • @nancypretty7576
      @nancypretty7576 5 лет назад

      @@atienootieno2060 hapana mwenye aliuza ivy ni best friend wake juu wakati kinuthia alituma 14k after aweek ivy aka omba 10k ingine kinuthia akatuma so pesa ya mwisho ivy akaomba 10k ingine kinuthia akaambia ivy that anakuja Eldoret atamletea pesa ya birthday not knowing that best friend wa ivy anachat na kinuthia vile ivy anamdanganya but hampendi after dating for 7yrs search the story on k24

  • @mamakejones3115
    @mamakejones3115 5 лет назад +2

    Wacha nikae rehab huku middle east na Niko na my own Atm.

  • @paulineanene4652
    @paulineanene4652 5 лет назад +3

    Ye ndo alijitakia tu kifo, mbona alichukuwa pesa kama hakumpenda

  • @deboss4629
    @deboss4629 5 лет назад +2

    Ati alikua mtoto mtiifu uuuufff mbona anakula pesa ya wenyewe Kisha anajua hapendi mtu fom nishoka 2 raundi hii akwende nauko akakae HELL

  • @kiiaknia7232
    @kiiaknia7232 5 лет назад

    aki uiye poleni sanab both of parent but to kuua c solutions pesa angetafuta zingine na pia angepata mwanamke mwingine sasa ata yy ameharibu maisha yake cox hatakaa maisha ya Raha hadi kufa kwake live somebody alone nd move on period

  • @ramahmariam8905
    @ramahmariam8905 5 лет назад +1

    Bless da taka taka guy after he was dumped alipeleka machungu studio nakutoa wimbo

  • @davidlubanga5527
    @davidlubanga5527 28 дней назад

    angerudisha pesa. Modern boychild is going through a lot

  • @benedicttito2405
    @benedicttito2405 5 лет назад +1

    Wrong turn 9 is here in Kenya

  • @fahmiabubakar5654
    @fahmiabubakar5654 5 лет назад +7

    Pumbavu kabisa umepoteza pesa ngapi hata uue msichana sasa enda ukale manaragwe kamiti maisha yako yote jela

    • @shiromwangi6951
      @shiromwangi6951 5 лет назад

      Heri Wangeci amepumzika she will not be feeling the pain. Ths idiot of a guy will suffer for the rest of his life.

  • @cynthiaavoga1250
    @cynthiaavoga1250 5 лет назад +2

    Girls girls including me let's style up
    If you don't love a guy don't take any present from him

    • @hamidaviolet1027
      @hamidaviolet1027 5 лет назад

      No man in his right mind will gift a beautiful lady with nothing in return, ladies let's avoid these incidents as much as we can to avoid love based murder.

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 лет назад +1

    Majirani nayo hutetea mtu hata kama ni mbaya....hakuna mtu atasema alikua mbaya kijana ndio sasa wanaona ni mbaya usicheze na p...if you can't be loyal stay single hatuna nguvu yakubeba shoka

  • @naiskaurrai2464
    @naiskaurrai2464 5 лет назад +1

    Shillingi mbili ndio ilifanya achukue maisha ya that beautiful girl? Men marry women and build empires together and when love turns sour they divide millions between them and we don't see any divorced woman who just walked away with their husband's wealth get killed? That Kinuthia guy is just an evil man.

  • @lucyoyiela6718
    @lucyoyiela6718 5 лет назад +2

    Ooh my God ata niheri angewaambia wazazi wake wamurejeshee pesa zake kuliko kuhuwa

  • @agieulerohojuu3238
    @agieulerohojuu3238 5 лет назад +1

    Tamaa iliua fisi

  • @nyaribarimasabaconstituenc2989
    @nyaribarimasabaconstituenc2989 5 лет назад

    Pole hicho ni kitendo mpaya

  • @Thuon_
    @Thuon_ 5 лет назад

    Mimi sina shida na pesa. Time is the real deal. Time wasted will never return. Sitaki yeyote wa kuniharibia wakati. Recently over a year ago i was in the same this guy found himself in. Mine wasn't fatal, i prayed and here i am still alive and kicking and the lady who wasted my 7 precious years also alive in other part of the world known only by her and family. It's a very tense situation.

    • @jmcohuru1312
      @jmcohuru1312 5 лет назад

      God bless you.... Walking away is always the best solution

  • @davidinamwagika5418
    @davidinamwagika5418 5 лет назад +2

    Ukishakufa kila mtu atasema ulikuwa na tabia nzuri hata kama ulikuwa jambazi uliuliwa na mob, wakenya waongo

  • @davymuriishngash467
    @davymuriishngash467 5 лет назад +2

    Bro heli ungebet na hizo pesa

  • @missblessedbellablessed
    @missblessedbellablessed 5 лет назад +1

    Jesus Christ 😲

  • @shiromwangi6951
    @shiromwangi6951 5 лет назад

    One can tell how chauvinist our community is by all the comments condemning the lady. Victim shaming. It's sad to especially see women do the same. Sad.

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 лет назад +2

    Mimi nikipendwa nitapenda huyo na Kama simpendi namweza na ctachukua chake 7bu najua uchungu wa penzi na sio pesa tamaa 😏

  • @moderniconziphorah6139
    @moderniconziphorah6139 5 лет назад +3

    Shetani ashidwe kabisa , roho ya mauwaji ishidwe in the name of God

    • @charlessteven8831
      @charlessteven8831 5 лет назад

      Roho ya kuchukua pesa ya mwanaume usiye mpenda ishindwe

    • @samueljr9105
      @samueljr9105 5 лет назад

      @@charlessteven8831 u r right bro mambo mengine unaskia tu ata jibu unakosa this ladies must learn a lesson

  • @euniceevans7780
    @euniceevans7780 5 лет назад +2

    Pesa ya wanaume slayqueens mtaachana nayo ka humpendi mtu achana na pesa yake

  • @lilianawuor3264
    @lilianawuor3264 5 лет назад +1

    Kawaida mtu akifa ndio anakuwanga mzuri

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza5813 5 лет назад

    Mimi nitaambia nn watu Aki😵😵😵😵Aki mwenye alileta mapenzi Aki😥😥😥😥😥

  • @ramahmariam8905
    @ramahmariam8905 5 лет назад +1

    Killing each ader coz of luv n jealousy hv become normal thing to our generation Sharon was killed da Sam way nw its wangechi jamani ladies wachaneni na sponser pliz

  • @leonidahayuma9528
    @leonidahayuma9528 5 лет назад +3

    Stop cheating it leads to early grave

  • @desmondwattman5805
    @desmondwattman5805 5 лет назад

    Too unfair

  • @willhector9478
    @willhector9478 5 лет назад +3

    Many are busy condemning this lady, please have a serious reflection unto your own lives before you start typing rubbish.

  • @martinmwaingirwa4726
    @martinmwaingirwa4726 5 лет назад +1

    Hakuna mzazi hatawai sema mtoto n mbaya ,lkn kama mtoto amekuwa na anajua kizuri na kibaya ,haina haja ya kumtetea kama hujui ukweli

  • @billymaroko3736
    @billymaroko3736 5 лет назад

    I can imagine 6 years of investment. Do the math. Average 20000 per month multiply by 6 years. That's a million. *It's hard being a man*

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 лет назад +4

    Yani amenunua shoka mpya kabisa nikama anaenda kufungua butcher

    • @mkuurditv4227
      @mkuurditv4227 5 лет назад

      Na butcher yenyewe tayar ishafunguliwa

  • @ruthmugure5339
    @ruthmugure5339 5 лет назад +2

    ladies if you wont get married by him can you please stop wasting his time and playing with his feelings wachana nq pesa zake,if it was me i could do the same kinuthia did

    • @kelvinnmoses
      @kelvinnmoses 5 лет назад

      😭😭😭😭😭don't do such for whichever reason ,money comes money goes ,but life given by God don't joke with it😢😢

    • @shiromwangi6951
      @shiromwangi6951 5 лет назад

      Women are each others worse enemies. A woman is dead and you say such things...

  • @thoyawehu8078
    @thoyawehu8078 5 лет назад +2

    Wasichana acheni taamaa ya kipunzi aibu zenu

  • @ammgoc
    @ammgoc 5 лет назад

    That's what he's saying but what's the truth?

  • @naomikwamboka4307
    @naomikwamboka4307 5 лет назад +1

    maslay queen wakilishwa shoka sioni shida mtu ule doo yamtu ana umtaki saaitan

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 5 лет назад

    They say in my mother tongue Ciene itirì ndokeirwo nú... l got the Meaning now

  • @naomijonas6090
    @naomijonas6090 4 года назад

    Mwizi ni lazima akufe

  • @kafiamudubae
    @kafiamudubae 5 лет назад

    😭😭😭😠😠😠😠

  • @kishkibi
    @kishkibi 5 лет назад

    Naftali afungwe ameua na bado amepasua mbarika nooooooo

  • @hadijarashid5200
    @hadijarashid5200 5 лет назад

    Tamaa mbele maut nyuma

  • @judithcherono4141
    @judithcherono4141 5 лет назад +2

    kwanzia leo sikuli pesa ya mtu nmeogopa kupiwa shoka

  • @MoMo-qw5mp
    @MoMo-qw5mp 5 лет назад +1

    Check police brutality, the man was tortured

  • @maryamashmrei9999
    @maryamashmrei9999 5 лет назад

    Eeee'pesa zamwanaume'chungu'sana'wacha nitafute zangu saudi Arabia

  • @mzeemombasa.3456
    @mzeemombasa.3456 5 лет назад +4

    Vijana mutawacha ujinga na sio tafadhali, ukiwachwa achika wasichana wako wengi sana Kenya hadi wengine wanakosa wanaume. Tafuta mwengine mrembo hadi aliekuwacha ajinyonge kwa wivu na sio kumkata kwa shoka na kisu kwani mumekuwa watu wa butchery.

    • @dicksonokumu9326
      @dicksonokumu9326 5 лет назад

      Kukulakula pesa za watu niujinga, the bad thing tu kinudhia amefanya nikumua, but ujinga madem wanafanya wakuitisha pesa za watu waache.

    • @mzeemombasa.3456
      @mzeemombasa.3456 5 лет назад +1

      Hapo nakubaliana nawewe Madem pia kama hawampendi mtu hata pesa zake pia wazichukie. Sio busara kula kwa huyu mapenzi kwa yule inauma.

  • @nznznsnnz9153
    @nznznsnnz9153 5 лет назад

    God fearing lady ....then why demand moni from a guy so sad

    • @sarahnjau536
      @sarahnjau536 5 лет назад +1

      Because people who fear God dont need money????

    • @nznznsnnz9153
      @nznznsnnz9153 5 лет назад

      @@sarahnjau536 too much demanding then later switch fon off y not b honest a God fearing lady????

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 5 лет назад

    It's against God's commandments...Not justified but he had no any other option rather than killing her

  • @josephinejosephine1455
    @josephinejosephine1455 5 лет назад

    Ata yaeza kua ni elfu moja tu saitani ww mwanaume sasa ngoja uzisikizie nugu ww,,watu hutuma dollah kwa wapenzi natukirudi tunakuta mizenguano ww tupesa wakushoga unauwa mtoto wamtu nyang'au ww huoni aibu ukisema umetuma pesa saitani

  • @nyamburahwambui9831
    @nyamburahwambui9831 3 года назад

    Madem tuache mchezo aki,nakuchezea pesa ya mtu aaah,this should be a lesson to all girls there

  • @christineodera463
    @christineodera463 4 года назад

    Ladies should eat their own sweat,,,ama ungoje uolewe ukule ya bwana yako,,,,

  • @breechinginlet652
    @breechinginlet652 5 лет назад

    Kama ni pesa ya wanaume una taka kukula kula ya baba yako

  • @ammbuthia2740
    @ammbuthia2740 5 лет назад +4

    Mtoto mtiifu my foot

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 5 лет назад

    Muhindi mbaya kiatu chake dawa poleni

  • @smartcyber7531
    @smartcyber7531 5 лет назад +1

    thats why am stingy on girls

  • @mankuma7345
    @mankuma7345 5 лет назад

    the lady is a greedy, you don't love the guy again and you correct his money and from there you off your phone and block his line, go and come again nest time, blacks mentality always remain the same,

  • @babafahrikegazating9290
    @babafahrikegazating9290 5 лет назад +1

    Ulifanya vizuri kukaa na shoka kejani

  • @maimunamohamed9811
    @maimunamohamed9811 5 лет назад +1

    Wanaume wajinga kutoa pesa yao ovyo ovyo... Na hupatii mamako... Wacha uozee kamiti

  • @FunnyBabies244
    @FunnyBabies244 5 лет назад

    MTU akikufa.. watu husema mazuri hmmmmmm