Ili uishi kwenye ukuu wako ni lazima ujibatize ndo maana Msanii ni lazima ujibatize mfano Jomri na sio josefu mlindoko Diamond na sio nasibu 2.Raisi kikwete na sio jakaya Nyelele na sio Julius
Ili uweze kuishi kwenye ukuu wako ni lazima ujibatize mfano 1. Jomri na sio josefu mlindoko, diamond na sio nasibu 2. Nyelele na sio Julius, Raisi kikwete na sio jakaya 3. Wachungaji na mashehe wote wana jina moja
Hapo nimekuelewa mtaalam..... Mtiririko ndy Kauli mbiu
Kumbe nipo kwenye njia sahihi leo umenitoa wasawas
🎉🎉
Exactly
🙏🙏
Nitapata vipi kitabu mr JOMRI 🙏🙏😢
We kipofu nn!?? soma hapo kwenye video chini ya Unaishije?
Ninamnagani sasa ya kujiunganisha na ulimwengu ili niweze kuishi sawa na ulimwengu
Jomri vitabu tunapataje mbona haujibu Hilo
Jina lipi bora kutumia katiya lile ulilopewa na wazazi wako au ulilojipa mwenyewe maana wapo watu wana majina zaidi ya moja
Ili uishi kwenye ukuu wako ni lazima ujibatize ndo maana
Msanii ni lazima ujibatize mfano Jomri na sio josefu mlindoko
Diamond na sio nasibu
2.Raisi kikwete na sio jakaya Nyelele na sio Julius
Ivi jina nililopewa pindi nimezaliwa na jina nilopewa kulitumia shule lipi linaloweza kuwa kuwa bora
Jina la kuzaliwa
Ili uweze kuishi kwenye ukuu wako ni lazima ujibatize mfano
1. Jomri na sio josefu mlindoko, diamond na sio nasibu
2. Nyelele na sio Julius, Raisi kikwete na sio jakaya
3. Wachungaji na mashehe wote wana jina moja