Mambo mnayoongea ni mazito mno inatakiwa uwe na msikio ambayo sio ya kikoroni ili uweze kuelewa natamani siku moja mje dar es salaam kwenye radio kubwa mfanye maojiano🙌
New generation naiona wa chokonozi tunachokonyowa huku ulaiani ni sili mnatupa mana mmetumia miaka mingi kufanya tafiti nawaombeni siku moja mchambue kidogo kuhusu imani yangu ya Ki Rastarfari tunatunza tamaduni zetu za ki africa tunajua mizimu ipo na tiba zetu niza asli ko maisha yetu ni yale kabla ya mzungu hajatuteka nakuleta yake
mi nafikiri shule mtoto asome tu kama basic ya ya kuelewa vitu vingine vinavyolazimisha mtu mpaka awe amesoma ndio avielewe...mfano kujua kusoma na kuandika ni muhimu sana..ila kufikishana vyuo ndio iwe chaguo la mtu
😢😢 it's the bare truth inauma sana mfumo wakiduanzi tuliowekewa ila hivyo mnavyosena ni ukweli kila mtu Anazaliwa na mission yake au kipaji chake ila tumepotezwa na nguruwe wa pink
elimu munayotufundisha nipana sn,,ila napenda unifahamishe kunautofaut gn kati ya mtoto aliezaliwa Kwa njia ya upasuaji na alie zaliwa kawaida,,nlikusikia ukieleza hili ila hukutufafanulia vzr
Wachokonooz Nyie jamaa Kumbe mnaamini Mungu yupo Hata nyinyi mnamuamini Ila kutokana na jina la Mungu linatumika na matapeli kutapeli Ndio maana mnakataaa hayupo Wachokonooz!
Wanamwamini Mungu bila kutaja Jina la Mungu. Hawaamini dini mojakwamoja kimazoea. Wanatambua asili na kanuni za ulimwengu hizo hizo zinazofundishwa kwenye dini ila dini inafundishwa kimafumbo
Habari Wachokonozi? Kwa kweli Nyie Jamaa Nawapenda Sana. Mmenisaidia kunijibia maswali mengi sana niliyokua nayo. Ila naomba mnisaidie tena ufafanuzi kwenye hili:- Kuna siku mlisema kua kutoa hela kwa omba omba na makanisani sio vizuri je, kutoa rambi rambi hii imekaaje? Maana kwenye magroup huko ni hatari rambi rambi kila kona, naombeni ufafanuzi please.🙏🏾
Angalia huyu bogus mwingine...mtachokonolewa mpaka mchokonolewe tena, acha upuuzi huu.... Wewe nae ni fala km mafala wengine wanaotegemea akili za hawa wachokonozi jau kuishi... Nikusaidie kabla hawajaja kukusaidia boya mmoja ww... Rambi rambi usitoe, msaada kwa omba omba nao usitoe kwa sababu kwanza huna hela ndio maana unasumbuliwa na vitu vidogo km hivi.... Kione kinavyosema "kwakweli nyie jamaa nawapenda sana" kama kijinga...kungekuwa na option ya viboko youtube nyie mazuzu wote wa aina hii mlitakiwa mrambwe viboko mkiwa uchi akili ziwarudie
❤❤❤nawaelewa vizuri..ila kuna kitu kinanichanganya kuhusu falsafa . Kwamfano mimi nikizaa mtoto nafalsafa ya kutaka awe daktari alafu yeye akataka awe mwanamuziki. Hapo falsafa yangu itakuwa tena namaana gani?
Wanangu hamuamn uwepo wa Mungu Ila hata hao walimwengu elite people wale waamn uwepo wake kawasome vzur Robert Pike na Gussepe Mazzin hao walikua walimwengu wa level ya juu kabsa lakn wanajua kabsa Yesu atakuja why nyie mnapinga uwepo wa Masihi
@masumbukosiyougomvi7900 Kuna maswali nimekaa nayo kwa muda mrefu bila kupata majibu yake, nilijaribu kuuliza watu wanizungukao pamoja na viongozi mbalimbali hawakuweza lakini hapa najibiwa bila hata ya kuuliza
Mnaposema,WATOTO wasipelekwe SHULE,MBONA nyinyi mmeenda SHULE? na mnasema KABISA,nyinyi ni wasomi? SASA inakuwaje,nyinyi mmeenda SHULE kuongeza maarifa HALAFU mnadiriki kusema WATOTO wasipelekwe SHULE?
Halafu nyinyi kinachowachanganya mnadhani dini ililetwa na Mungu Dini yeyote haikuletwa na Mungu japo inamzungumzia Mungu Mungu yupo naye ni mmoja tu Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo
Leo ndo nimejua maana halisi ya Uzinzi 😂 big up #wachokonozi
Mambo mnayoongea ni mazito mno inatakiwa uwe na msikio ambayo sio ya kikoroni ili uweze kuelewa natamani siku moja mje dar es salaam kwenye radio kubwa mfanye maojiano🙌
Et!!! Cyo neno la mwisho ila ni neno la kichochez!!!!!😂😂😂😂😂😂
New generation naiona wa chokonozi tunachokonyowa huku ulaiani ni sili mnatupa mana mmetumia miaka mingi kufanya tafiti nawaombeni siku moja mchambue kidogo kuhusu imani yangu ya Ki Rastarfari tunatunza tamaduni zetu za ki africa tunajua mizimu ipo na tiba zetu niza asli ko maisha yetu ni yale kabla ya mzungu hajatuteka nakuleta yake
Nimewaelewa hapo kwenye maana ya neno Adultery..... Kuishi Chini ya Upeo au Utimamu
Jukwa n lenu wachokonozi🙌🙌🙌🙌❤❤❤💪
Safi sana wakuu,kumbe zinaa inamaana nyingi sana alo,
Mimi ni mmoja ila kila mmoja ana mimi wake
Mmetisha wazee
Kwakweli huwa mnanifumbua macho kabisa kabisa Mengi nimebadilisha Sana kutokana na nyie na ukweli unatokea
mi nafikiri shule mtoto asome tu kama basic ya ya kuelewa vitu vingine vinavyolazimisha mtu mpaka awe amesoma ndio avielewe...mfano kujua kusoma na kuandika ni muhimu sana..ila kufikishana vyuo ndio iwe chaguo la mtu
😂😂 Yani kila siku mnatupa dawa unafuraisha Sana "Kweli kuninyima mtu maarifa ni uchawi"
Mimi ni mwanafunzi ambaye najifunza kila siku hapa kuwachokonozi yani nikama somo ambayo najifunza kila siku 🎉
safi sana somo linaeleweka
😢😢 it's the bare truth inauma sana mfumo wakiduanzi tuliowekewa ila hivyo mnavyosena ni ukweli kila mtu Anazaliwa na mission yake au kipaji chake ila tumepotezwa na nguruwe wa pink
🔥🔥🔥👌
Asanteni season nzuri
Sichoki kuwasikiliza wachoknozi 😂😂
Miambaaaaaaa!!!!!
Dini ni jela inayokufanya ufiti kwenye society😂😂😂
Nawaelewa sana walimu ingawa jomri kakataa kuitwa mwalimu sijui nimuite jina gani jamani daah pamoja sana
🎉🎉
Wachokonooozi mkakati wetu cc majengo yao cmuda yajekua magodauni na stoo tumechoshwa
Nyinyi niwaelawa saana nyinyi niwazalendo
Mkosaw kabisa
❤❤❤❤ brother
Wazazi wa Faida
Makanisa yakiwa na shida utasikia toeni mchango waumini wao utasikia waombewe pepo la umaskini litoke Ameni
Hiyo ni mbayaa🤣🤣🤣
Huyu jamaa ni Hadhina anatakiwa kutunzwa ila watu watamuita mpinga kristo
Chukua umtunze tuu mkuu
@jampro-s2b hahaha
@jampro-s2b sawa
Sasa mbona ww umeenda shule,una ambia watu wasisome 😂😂
Mala mungu hayupo, mala umquate mungu huyohuyo sometimes unachanganya bro
Inacho sema mfano mtu anawekeza vikwazo na anapangua(Putin)anautumia njia kama hizi
Asanteni sana kwakufikria haya majadiliano yenu 🎉
elimu munayotufundisha nipana sn,,ila napenda unifahamishe kunautofaut gn kati ya mtoto aliezaliwa Kwa njia ya upasuaji na alie zaliwa kawaida,,nlikusikia ukieleza hili ila hukutufafanulia vzr
Hivi kusoma na kuandika imetokea wa pi ..madaftari 😂
😂😂
Big up ✅✅✅✅
Kwa hii mbegu mnayo hipanda hakika tunavuka.,
Pameanza kuchangamka
Naombeni endeleeni kutoa elimu kwa watu muwabidilishe watu ...?? Natamani ifike East Africa nzima
Wa kwanza leo
Acha ujinga
Wachokonooz
Nyie jamaa Kumbe mnaamini Mungu yupo
Hata nyinyi mnamuamini
Ila kutokana na jina la Mungu linatumika na matapeli kutapeli
Ndio maana mnakataaa hayupo
Wachokonooz!
Sawa tuoneshe huyo Mungu bila kutumia Biblia
Wanamwamini Mungu bila kutaja Jina la Mungu. Hawaamini dini mojakwamoja kimazoea. Wanatambua asili na kanuni za ulimwengu hizo hizo zinazofundishwa kwenye dini ila dini inafundishwa kimafumbo
Nakubari
Nikweli wazee mnachoongea sisi
Habari Wachokonozi? Kwa kweli Nyie Jamaa Nawapenda Sana. Mmenisaidia kunijibia maswali mengi sana niliyokua nayo. Ila naomba mnisaidie tena ufafanuzi kwenye hili:- Kuna siku mlisema kua kutoa hela kwa omba omba na makanisani sio vizuri je, kutoa rambi rambi hii imekaaje? Maana kwenye magroup huko ni hatari rambi rambi kila kona, naombeni ufafanuzi please.🙏🏾
Angalia huyu bogus mwingine...mtachokonolewa mpaka mchokonolewe tena, acha upuuzi huu.... Wewe nae ni fala km mafala wengine wanaotegemea akili za hawa wachokonozi jau kuishi... Nikusaidie kabla hawajaja kukusaidia boya mmoja ww... Rambi rambi usitoe, msaada kwa omba omba nao usitoe kwa sababu kwanza huna hela ndio maana unasumbuliwa na vitu vidogo km hivi.... Kione kinavyosema "kwakweli nyie jamaa nawapenda sana" kama kijinga...kungekuwa na option ya viboko youtube nyie mazuzu wote wa aina hii mlitakiwa mrambwe viboko mkiwa uchi akili ziwarudie
❤❤❤nawaelewa vizuri..ila kuna kitu kinanichanganya kuhusu falsafa . Kwamfano mimi nikizaa mtoto nafalsafa ya kutaka awe daktari alafu yeye akataka awe mwanamuziki. Hapo falsafa yangu itakuwa tena namaana gani?
Wanangu hamuamn uwepo wa Mungu Ila hata hao walimwengu elite people wale waamn uwepo wake kawasome vzur Robert Pike na Gussepe Mazzin hao walikua walimwengu wa level ya juu kabsa lakn wanajua kabsa Yesu atakuja why nyie mnapinga uwepo wa Masihi
Waeleze hawa washamba mkuu
Kwer
Kiboko yao
Yani hukuzambia tunawa fuatilia sana myamba mnatupa madini
Nyie jamaa misiwaelewi kabisa,mbona nyie mmesoma?
Fact
Naomba nijitangaze kuanzia sasa kwamba mi pia ni mchonozi wakuu😌
Hahahaha
@@LeonardFrancis-hk9ku uchokolwa umekuingia sawa😂😂😂
@masumbukosiyougomvi7900 Kuna maswali nimekaa nayo kwa muda mrefu bila kupata majibu yake, nilijaribu kuuliza watu wanizungukao pamoja na viongozi mbalimbali hawakuweza lakini hapa najibiwa bila hata ya kuuliza
Mnapatikana wapi walimwengu
Elimu ya Bure kabisa
💝🙌
Kama Quran iliandikwa Ili ufiti kwenye jamii hayo ndo tunaota muumba
Vitabu vyenu napataje
mbona mpo kimya? kuna usalama kweli? tupeni madini tuendelee kuelimikaa
Sasa wewe huku soma?mtu mweusi nahakiri yake nyeusi
MUNGU mpumbavu ni MUNGU mwenye wivu, watu wengi humwabudu huyo kwa kuwafanya watu wajinga.
#wachokonozi
🤔✍️✍️
Mnaposema,WATOTO wasipelekwe SHULE,MBONA nyinyi mmeenda SHULE? na mnasema KABISA,nyinyi ni wasomi? SASA inakuwaje,nyinyi mmeenda SHULE kuongeza maarifa HALAFU mnadiriki kusema WATOTO wasipelekwe SHULE?
WapumbAvu hayo majamaa
Wanawadqnganya. Mabwege wenzao. Mwenye.akilitimamu hawezi wafatahao.
Bila elimu hata hiyo mitambo wanayotumia wangeijuaje,ukisikia danganya toto ndio hii😂😂
Halafu nyinyi kinachowachanganya mnadhani dini ililetwa na Mungu
Dini yeyote haikuletwa na Mungu japo inamzungumzia Mungu
Mungu yupo naye ni mmoja tu
Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo
Sawa tuoneshe huyo Mungu bila kutumia Biblia
@@blackwarrior-animations593
Zero brain
Sasa huyo Yesu umemjulia wapi kama siyo kwenye dini duh unajitekenya halafu unacheka
Haswa
Ninazidi kufunguka wakuu
Napataje vitabu vyenu niendelee kufunguka
0785346032 WhatsApp
Kwanin topic zenu 95% ni kuhusu ukristo na sio uislamu??
Thanks @@wachokonozi_
@@laninjeje8290we ni mzizi😂😂😂
Mwenye Masikio Na Asikie✍️✍️