Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Am here 2024 ❤❤❤❤... My favorite.. Wapi lyks jamani 😂
2024 please like zenu zikuje hapa. Nimekuwa nikitafuta jina la huu wimbo na la msanii kwa miaka na mikaka.
HamaQ kumbe ulikuwa msaani toka zamani ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lakini sai kaamia kwa tarabu
Kama umekuja 2022 kuja kuskiliza huu wimbo nipe like🔥🔥
Wakati hii ngoma inatoka nilikuwa na miaka 14 gonga like kama 2024 unaikumbuka hii ngoma
Mwaka gan ilitoka
Hakuna ngoma ilikuwa inanipea huzuni kama hii😂😂... Still giving me blues in 2023 😆😆
kama wenzangu mupo wa 2024 unasikiliza huu wimbo honga like apo.
😢😢😢😢😢😢nimeishi kutafuta hu wimbo miaka yote ndio naipata leo tarehe 8 jan 2022😢😢😢😢😢😢
Pole
😁😁pole sn
Ata Mimi nlkwa nadhani n ya q chila 😀
Mi na Wu pata 2023🥲 Good memories with this song
Mm npempenda zaid😢
Daah nimekuja kuupata huu wimbo Leo tarehe 26may 2023 .kitambo sana
It's 2023 and am still loving it
2024 🔥🔥🔥 memories brings back memories
Huu wimbo nimeutafuta sanaa dah nimekumbuka mbali dada zangu walikuwa wakiupenda had wanasahau kuniandaa niende shule 😂
😂😂😂😂
2023🔥🔥🔥never knew would bump into this hit
Together 👍👍👍
Hi nyimbo niliipenda toka Nikiwa mdogo Sana jmn nimekuj kuiona tena 2021
Duuu ,, Alister we acha tu nmkj Tena 2022
@@humphreynduye6239 nipo tena 2022
@@alisterlexter1115 piah Mm
Nani kaja tena 2024??😂😂😂🙌🏻
Who's here 2022 more love 💞 from 254....can't get enough of it 👌👌😍😍🔥🔥
2023 gonga like kama umeangalia huu wimbo old is gold
Mshkaji alienda wapi, duuh nimekumbuka mbali wallahy I wish siku ingekua zinaruudi nyuma 😢
Naupemda sana wimnbo huu, enzi hizo nlikuwa darasa la tano
Wimbo mzuri sana asante sana bro bidii daima
Mziki kwa kweli nikitbo🔥🔥🔥🔥🎼🎼🎼
Old is gold naomben like zenu guys 31/10/2022
I remember those days 2004/2005 Nakumbuka sana marafiki zangu wa utotoni Maisha yalikuwa very simple upande wangu.
2po
Mbona mziki waleo ni ovyo si km huu wa kitambo
Ngoma ilipigwa sana Triple A enzi zetu dah
2004/5 my guy Micky, this song was a bomb. It brings back memories.....
True, this realesed 2004, 2005
Someone to take me back, I miss old days ❤
this song has a great beat!!! WOW
If you still exist,you're a legend
Duh!!17 yrs ago sijui bado upo😢😢
nice one, nice song, ni nzuri zaidi kwa sisi "malegendary"..
Wote tulioumizwa nakuufwata huwimbo like B's 2023
😂😂😂😂this reminds of my childhood days..how I used to memorize those lyrics
Thankyou so much alysha 👏👏👏
Wa toto wa 2000 awezi elewa izi one of my favorite songs
2019 who is stl watching?
Hi finally nimeipata gonga like hapa leo
😂😂😂 ngoma za kikubwa watoto wa 2000 kaeni pemben
Ketau express ( KBC) good old memories
wooow i miss home,,,kiswahili tamu
If you are alive you are a legend 🎉🎉
Muziki wetu ma Legends.
date back 2000's !!! always old is gold .07.11.2024
Best of the best song ambazo tumekua tukizisikia na hadi sasa tunaendelea ku feel the music
Jamani uyu wimbo unanikumbusha kaka yangu mana alikuwa anaupenda sana ,kaka yangu Swedi kwa ivi yupo Sud Afrique😂😂alikuwa anasalitiwa ki mapenzi bala akisalitiwa tu anaweka iyo nyimbo😂😂😂jamani utoto utamu uskiye tu😢😢😢
Yupo wap eti 😂,
Enzi hizo nikiwa o-level, muda unaenda kasi Sana
Wapi wale 2006 mlete likes huku.Tulikuwa wadogo tukikimbia usiku tukienda disko vumbi kucheza huu wimbo
Dada kweli jamani
dah!!kitambo sana hama q
nikisikiliza huu wimbo nakumbuku mbal xana
2023 like hapa wimbo 2004 nkiwa kadogoli Dada zangu waliupenda mno
Kuna grp lipo la.wasanii wote wa zamani
Nilitafuta muda naipata leo April 23.2024
Hata mimi bana weee enzi zetu❤❤
yani ngoma hii ni hatari sana sikuhz hakuna nyimbo yani kama enzi hiz kungekuwa na biashara ya mzik kama siku hz huyu jamaa angekuwa zaid ya Mond
2023 we are still here
Daah sina atalakusema kusu nyimbo iyo❤
😂😂😂
Huyu dada ndio yule Selina wa wimbo wa alicom au
Doooh those days to my brother in law house, RIP shem
Sikudhani kama moyo wangu ungeutenda bby penzi langu kurudia kwako sintoweza 2020
Daah kizazi sana izii ngoma aise
Gonga like tujuaene tunaoangalia huu wimbo 2023
❤bonge ya ngoma p1
Here 2024❤❤❤❤ much love hamma Q
Back to day when the music is really 😥😔
Nmekumbuka huu wimbo baada ya mpenzi wangu wa kìtambo kunipigia leo baada ya miaka ishirini akiwa tunisia.likes zikam🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wapi Hammer Q 2020?
Wimbo wangu pendwa kitambo kile. ❤❤
love the beat big up to tanzanian
Wimbo huu ulikuwa uwezi kukaa hata siku moja bila kuchezwa *Radio one* Mwaka 2000 mpaka 2002
Hii nyimbo ilikuwa kweli kwenye miaka hiyo? Na sio 2003?
2022_2023
09 February 2020 No Love No Valentine Day😔
😥😥😥😥
2023, July 02
Nimesikia sehemu imefanyiwa cover nimekuja kuichki tna
I was 4yrs old back then 😢
i like your songs bro.
Thankyou somuch
Nilipokuwa kijana. Siku zinayoyoma upesi#2021
😔😔😔😔😔😔
2024 ❤❤
da kitambo xan
Said Rashid nikisikiliza huu mimbo nakumbuka mbali
2004 song haki inafanya karibu nilie haki old is old i salute u all
2023 twende sawa like za kutosha wanao watch leo
Am here 2024 this song is lit
Kitambo sana
Wahenga mpoo ❤❤2024
Huyo dada sio yule wa shumileta Kweli au macho yangu. 15/12/2022 namalizia mwaka kwa kuangalia ngoma hit🔥🔥 za kitambo
2024 mwaka wa Amani
Favourite song.. 06/12/2023
2020 oct 27 still listening
2023🔥🔥🔥🔥🔥
Who else is listening to this song in 2022 😂
2024 since way back to date👍
jamani uwimbo nakukubari saan
Kk hikitu haichuji kawe maana huleyaradha kulingana na nini unafikiria nn umekiona❤
2020
Kiss my comment if you are here 2024❤
Naupenda sana huu wimbo....bt cjui jamaa aliyeimba alishia wap 22/12/2020
Yy6
Mtafute kwenye nyimbo walizoimba offside trick
2023
Hama q..balaa bdo naipta 2018Hama njooo hpa tgo pesa inakuhusu 0653244018
2021
May 2023
Nimekumbuka mbali sana
Nimeamka nikiiskia kwa kichwa
Hii ngoma yanikumbusha enzi zile za Surfside Club
Hii nyimbo nakumbuka kidogo ni bikiriwe 😂😂😂
Sasa mbona unasimlia nusu nusu????Malizia bac ikaweje??
Kaka huu wimbo Una nikumbushwa kipindi hicho intro kariako
2022 🇹🇿
Aiseee nilikuanga natafuta iyi nyimbo Leo 17 Nov 2022
KIPINDI NASOMA KUNA DEMU WANGU ANAITWA AISHA MSUYA NDANI YA MOROGORO SHULE YA MAFIGA ALINISALITI BADO NUSU NIENDE KUZIMU
Pole sana buddah.
Am here 2024 ❤❤❤❤... My favorite.. Wapi lyks jamani 😂
2024 please like zenu zikuje hapa. Nimekuwa nikitafuta jina la huu wimbo na la msanii kwa miaka na mikaka.
HamaQ kumbe ulikuwa msaani toka zamani ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lakini sai kaamia kwa tarabu
Kama umekuja 2022 kuja kuskiliza huu wimbo nipe like🔥🔥
Wakati hii ngoma inatoka nilikuwa na miaka 14 gonga like kama 2024 unaikumbuka hii ngoma
Mwaka gan ilitoka
Hakuna ngoma ilikuwa inanipea huzuni kama hii😂😂... Still giving me blues in 2023 😆😆
kama wenzangu mupo wa 2024 unasikiliza huu wimbo honga like apo.
😢😢😢😢😢😢nimeishi kutafuta hu wimbo miaka yote ndio naipata leo tarehe 8 jan 2022😢😢😢😢😢😢
Pole
😁😁pole sn
Ata Mimi nlkwa nadhani n ya q chila 😀
Mi na Wu pata 2023🥲
Good memories with this song
Mm npempenda zaid😢
Daah nimekuja kuupata huu wimbo Leo tarehe 26may 2023 .
kitambo sana
It's 2023 and am still loving it
2024 🔥🔥🔥 memories brings back memories
Huu wimbo nimeutafuta sanaa dah nimekumbuka mbali dada zangu walikuwa wakiupenda had wanasahau kuniandaa niende shule 😂
😂😂😂😂
2023🔥🔥🔥never knew would bump into this hit
Together 👍👍👍
Hi nyimbo niliipenda toka Nikiwa mdogo Sana jmn nimekuj kuiona tena 2021
Duuu ,, Alister we acha tu nmkj Tena 2022
@@humphreynduye6239 nipo tena 2022
@@alisterlexter1115 piah Mm
Nani kaja tena 2024??😂😂😂🙌🏻
Who's here 2022 more love 💞 from 254....can't get enough of it 👌👌😍😍🔥🔥
2023 gonga like kama umeangalia huu wimbo old is gold
Mshkaji alienda wapi, duuh nimekumbuka mbali wallahy I wish siku ingekua zinaruudi nyuma 😢
Naupemda sana wimnbo huu, enzi hizo nlikuwa darasa la tano
Wimbo mzuri sana asante sana bro bidii daima
Mziki kwa kweli nikitbo🔥🔥🔥🔥🎼🎼🎼
Old is gold naomben like zenu guys 31/10/2022
I remember those days 2004/2005 Nakumbuka sana marafiki zangu wa utotoni Maisha yalikuwa very simple upande wangu.
2po
Mbona mziki waleo ni ovyo si km huu wa kitambo
Ngoma ilipigwa sana Triple A enzi zetu dah
2004/5 my guy Micky, this song was a bomb. It brings back memories.....
True, this realesed 2004, 2005
Someone to take me back, I miss old days ❤
this song has a great beat!!! WOW
If you still exist,you're a legend
Duh!!17 yrs ago sijui bado upo😢😢
nice one, nice song, ni nzuri zaidi kwa sisi "malegendary"..
Wote tulioumizwa nakuufwata huwimbo like B's 2023
😂😂😂😂this reminds of my childhood days..how I used to memorize those lyrics
Thankyou so much alysha 👏👏👏
Wa toto wa 2000 awezi elewa izi one of my favorite songs
2019 who is stl watching?
Hi finally nimeipata gonga like hapa leo
😂😂😂 ngoma za kikubwa watoto wa 2000 kaeni pemben
Ketau express ( KBC) good old memories
wooow i miss home,,,kiswahili tamu
If you are alive you are a legend 🎉🎉
Muziki wetu ma Legends.
date back 2000's !!! always old is gold .07.11.2024
Best of the best song ambazo tumekua tukizisikia na hadi sasa tunaendelea ku feel the music
Jamani uyu wimbo unanikumbusha kaka yangu mana alikuwa anaupenda sana ,kaka yangu Swedi kwa ivi yupo Sud Afrique😂😂alikuwa anasalitiwa ki mapenzi bala akisalitiwa tu anaweka iyo nyimbo😂😂😂jamani utoto utamu uskiye tu😢😢😢
Yupo wap eti 😂,
Enzi hizo nikiwa o-level, muda unaenda kasi Sana
Wapi wale 2006 mlete likes huku.Tulikuwa wadogo tukikimbia usiku tukienda disko vumbi kucheza huu wimbo
Dada kweli jamani
dah!!kitambo sana hama q
nikisikiliza huu wimbo nakumbuku mbal xana
2023 like hapa wimbo 2004 nkiwa kadogoli Dada zangu waliupenda mno
Kuna grp lipo la.wasanii wote wa zamani
Nilitafuta muda naipata leo April 23.2024
Hata mimi bana weee enzi zetu❤❤
yani ngoma hii ni hatari sana sikuhz hakuna nyimbo yani kama enzi hiz kungekuwa na biashara ya mzik kama siku hz huyu jamaa angekuwa zaid ya Mond
2023 we are still here
Daah sina atalakusema kusu nyimbo iyo❤
😂😂😂
Huyu dada ndio yule Selina wa wimbo wa alicom au
Doooh those days to my brother in law house, RIP shem
Sikudhani kama moyo wangu ungeutenda bby penzi langu kurudia kwako sintoweza 2020
Daah kizazi sana izii ngoma aise
Gonga like tujuaene tunaoangalia huu wimbo 2023
❤bonge ya ngoma p1
Here 2024❤❤❤❤ much love hamma Q
Back to day when the music is really 😥😔
Nmekumbuka huu wimbo baada ya mpenzi wangu wa kìtambo kunipigia leo baada ya miaka ishirini akiwa tunisia.likes zikam🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wapi Hammer Q 2020?
Wimbo wangu pendwa kitambo kile. ❤❤
love the beat big up to tanzanian
Wimbo huu ulikuwa uwezi kukaa hata siku moja bila kuchezwa *Radio one* Mwaka 2000 mpaka 2002
Hii nyimbo ilikuwa kweli kwenye miaka hiyo? Na sio 2003?
2022_2023
09 February 2020 No Love No Valentine Day😔
😥😥😥😥
2023, July 02
Nimesikia sehemu imefanyiwa cover nimekuja kuichki tna
I was 4yrs old back then 😢
i like your songs bro.
Thankyou somuch
Nilipokuwa kijana.
Siku zinayoyoma upesi
#2021
😔😔😔😔😔😔
2024 ❤❤
da kitambo xan
Said Rashid nikisikiliza huu mimbo nakumbuka mbali
2004 song haki inafanya karibu nilie haki old is old i salute u all
2023 twende sawa like za kutosha wanao watch leo
Am here 2024 this song is lit
Kitambo sana
Wahenga mpoo ❤❤2024
Huyo dada sio yule wa shumileta Kweli au macho yangu. 15/12/2022 namalizia mwaka kwa kuangalia ngoma hit🔥🔥 za kitambo
2024 mwaka wa Amani
Favourite song.. 06/12/2023
2020 oct 27 still listening
2023🔥🔥🔥🔥🔥
Who else is listening to this song in 2022 😂
2024 since way back to date👍
jamani uwimbo nakukubari saan
Kk hikitu haichuji kawe maana huleyaradha kulingana na nini unafikiria nn umekiona❤
2020
Kiss my comment if you are here 2024❤
Naupenda sana huu wimbo....bt cjui jamaa aliyeimba alishia wap 22/12/2020
Yy6
Mtafute kwenye nyimbo walizoimba offside trick
2023
Hama q..balaa bdo naipta 2018
Hama njooo hpa tgo pesa inakuhusu 0653244018
2021
May 2023
Nimekumbuka mbali sana
Nimeamka nikiiskia kwa kichwa
Hii ngoma yanikumbusha enzi zile za Surfside Club
Hii nyimbo nakumbuka kidogo ni bikiriwe 😂😂😂
Sasa mbona unasimlia nusu nusu????
Malizia bac ikaweje??