Q Chief - Wiper (Carolina)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 91

  • @KassimuMsabaha-v3q
    @KassimuMsabaha-v3q 8 месяцев назад +18

    Naaani anaangali mpk 2024 hii ngoma jamn malejendali mp wp

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 3 года назад +12

    Tena yupo wapi jmn q Chief alikuwa yupo vzr hzi Ndio nyimbo mnaangalia all family 😀😀😀gonga like km watching 2021👏👏👏👏

  • @edwintouches
    @edwintouches 3 года назад +9

    Enzi hizo kabla Amapiano haijaharibu mziki wetu. Ni hudhuni kwakweli!

  • @FarajSwaleh
    @FarajSwaleh Год назад +4

    Hii nyimbo yanikumbusha shangingi langu Enzi hizo. Mubarikiwe saaana Mashangingi wote.

  • @LavenahLavez-t5c
    @LavenahLavez-t5c Месяц назад

    Qchiller alkua bonge Moja la handsome

  • @suleimanchivinja4469
    @suleimanchivinja4469 4 года назад +8

    A'm speechless how good this kind of music were.

  • @zlfamz3540
    @zlfamz3540 2 года назад +1

    Jmn nyombo nzr sana naipenda haishi utamu

  • @salahibrahim2798
    @salahibrahim2798 4 года назад +6

    Naipenda sana

  • @MADIMZEE
    @MADIMZEE Год назад +3

    Qchief the big boss

  • @jerrjamary2649
    @jerrjamary2649 Год назад +2

    Hakika kama upo hai mpaka leo nijambo la kumshukuru Mungu like zangu jaman 7/6/2023

  • @Kaka_Rambo
    @Kaka_Rambo 8 месяцев назад +2

    2024 🔥

  • @kapituomary2344
    @kapituomary2344 4 года назад +6

    Bongofleva ni ulithi wetu

  • @annawilliam6692
    @annawilliam6692 3 года назад +5

    Best song ever 2005 nipo kgm

  • @antonioafonsomachai7552
    @antonioafonsomachai7552 3 года назад +4

    Direitamente em Mozambique,adoro muito este gajo.ninkubali huu jamaa

  • @paulinershaban6170
    @paulinershaban6170 3 года назад +5

    Mwenyewe uo mjengo kipindi hicho alikua tishio lkn hii 1:5:2021 nikawaida mtu kua nao awamshangai🤦💕

    • @hosearioner3637
      @hosearioner3637 10 месяцев назад

      😂😂 ukweli mtupu

    • @YusufAli-jl6ls
      @YusufAli-jl6ls Месяц назад

      alikua mbele ya mda ana oven, treadmill yakukimbia

  • @onencanrobert9643
    @onencanrobert9643 Год назад +3

    This was a heart touching hit way back during my school time

  • @WilleMwangomba
    @WilleMwangomba 7 месяцев назад

    Daaa.... kipindi hicho nilikua bonge la tozi! ndani ya masasi na mtoto mzuli Milliamu mtoto wa Mwl

  • @annisababys6011
    @annisababys6011 4 года назад +2

    Hii song naipenda sana acha tu 😍

  • @EmmanuelMwambaji-g9s
    @EmmanuelMwambaji-g9s 10 месяцев назад +1

    We used to watch music for free before the main movie in our local video shows,one of them was this🔥🔥👌

  • @sadockalfred1710
    @sadockalfred1710 3 года назад +2

    Hii ngoma nilikuwa naipenda hatar yaan naisikiliza mpaka nikiwa njiani naelekea church

    • @johnsonJuly
      @johnsonJuly 2 года назад

      😁😁😁😁😁😁😁mamae nchi ina wagumu hii dah

  • @sululuzungu9587
    @sululuzungu9587 3 года назад +11

    Daa nilipat demu kwa hajir ya hi nyimb man nilikua fund wakuimba mwanz mwixh nakuchez nilimfny kweny nyasi mamaeee 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @victoriavikalupe9694
    @victoriavikalupe9694 3 года назад +2

    🦋🌟💗👍 wow first time for me to watch a music from Uganda..My God 😱 can't help myself but fall inlove with this kind music it's Awesome and it's a great song of all time 💗👍💗🦋🌟🌟🌟🌟💗🦋🌟

  • @hamadikingamba4702
    @hamadikingamba4702 4 года назад +1

    Hatar Sana niko songea mjin buhemba kitambo sana

  • @khalifawapili1799
    @khalifawapili1799 4 года назад +3

    Hii ndo bongo fleva sasa yani beat iko fresh mistari imepangiliwa hata ipite miaka5 ukiisikiliza unahisi labda imetoka jana
    (16.12.2020)

  • @MymunaUlaya
    @MymunaUlaya 3 месяца назад

    Mzk wameachiwa wachawi wanaroga sana

  • @ismailshaban385
    @ismailshaban385 4 года назад +3

    Bonge LA ngoma

  • @habibuhabibu9728
    @habibuhabibu9728 8 месяцев назад

    wakulungwa tunakumbuka kijiji dah!

  • @wasaimary
    @wasaimary 4 года назад +7

    Feeling nostalgic listening to this

  • @thesirleemist6793
    @thesirleemist6793 5 лет назад +7

    boss umeapload this an d one week later after this.big things are happening to his life

  • @omaryfiqh2906
    @omaryfiqh2906 Год назад

    Diamond ....ni shoga...tyuu Alkua wap enzi....hizi

    • @richardwest6771
      @richardwest6771 Год назад

      wewe mwenyewe shoga tu ulikua wap enzi za utumwa

  • @DaudWest
    @DaudWest 7 месяцев назад

    Enricoo x Bizman 🎉🎉

  • @martinmuchiri4569
    @martinmuchiri4569 4 года назад +5

    Safi sana ...2021 vipi .... And marry Christmas 🎄 from Nairobi 119...

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 4 года назад +15

    2020 wiper for wiper

  • @jumahaji2938
    @jumahaji2938 3 года назад +1

    Kwa miaka hiyo kwenye hii video kulikuw na mchina alikuwa anaa pally kuliko watu wote alikuwa anikosha jamani 2005 😃😀😍🙂😄😁🤙😀

  • @lucybaya3183
    @lucybaya3183 5 лет назад +4

    Jamani hii song basi tuu

  • @YusufAli-jl6ls
    @YusufAli-jl6ls Месяц назад

    mwenye hii nyumba alikua tajiri sana ana microwave

    • @SAMJIKASSIM
      @SAMJIKASSIM Месяц назад

      hahahah kumbe na wewe umeona eeh, 2003 hiyo kuwa na microwave wewe ni tajiri

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj 3 месяца назад

    Namkumbuka mshikaji mmoja ndani ya sarooni mziki ulibamba kwenye spika za sony bufa ilikuwa cheche😅😅😅

  • @asusasimba9877
    @asusasimba9877 5 лет назад +2

    So nice mob love q chills #returnof qchilla

  • @bintbanj3990
    @bintbanj3990 3 года назад +2

    😭nyimbo inanikumbusha mbali

  • @NELSONKITONGO-g7j
    @NELSONKITONGO-g7j 7 месяцев назад

    Dem deys

  • @WentExtinct
    @WentExtinct 4 года назад +7

    Hii ni 2003 sio 2005

  • @doreenonyango377
    @doreenonyango377 7 месяцев назад +1

    Wah, them days. I was very young

  • @davydlenjo3285
    @davydlenjo3285 5 лет назад +7

    My all time favorite old song ❤️❤️

  • @laylaomar4797
    @laylaomar4797 4 года назад +1

    Nice 2020 🤸🤸💃💃💃💃💃🔥🔥🔥🌟✨🌟💯💕💕💕💕

  • @mimosapudica1894
    @mimosapudica1894 Год назад

    Nyie watu walitunga na kuimba pamoja na producers walifanya kazi kubwa...Mziki ni kama Safari ya Daladala shuka kituo chako na mm huu ndio muziki nahusudu

  • @ebbymbao1736
    @ebbymbao1736 4 года назад +3

    wow 2020 🤟🤟🤟

  • @teresafranciscojoaolenguec2854
    @teresafranciscojoaolenguec2854 2 года назад

    Jane tuakupuke wassani wazamani

  • @hassansalahange-fh6tu
    @hassansalahange-fh6tu Год назад

    It's was the best song

  • @allylwazihonda3599
    @allylwazihonda3599 3 года назад +2

    Wenzengu 2021 gonga like

  • @kanyiriwangu2422
    @kanyiriwangu2422 2 года назад +2

    2022 and feeling nostalgic listening to this hit

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 9 месяцев назад

    Dem days ❤❤

  • @muhammedmkonda3383
    @muhammedmkonda3383 3 года назад +1

    Binge la ngoma la kwabu ila waerew 2

  • @georgemkingal351
    @georgemkingal351 2 года назад

    Wema seprtu na kannumba

  • @glorysademaki4800
    @glorysademaki4800 4 года назад +2

    Inanikumbusha 2004

  • @axelniyonkuru1093
    @axelniyonkuru1093 2 года назад +1

    😭😭😭.....jamaniiiii 2025 still watching this Tbt🥱🥱🤗🤗

  • @njonjolomahfudh3238
    @njonjolomahfudh3238 5 лет назад +5

    2019 my best song

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 4 года назад +1

    Aminia

  • @geraldntenyange2835
    @geraldntenyange2835 3 года назад +1

    2022 TBT

  • @xasansiidii6656
    @xasansiidii6656 2 года назад

    👏👏👏👏👏

  • @christinakimaro4788
    @christinakimaro4788 Год назад

    😍😍

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 5 лет назад +3

    Asante saana

  • @flinchclassic1531
    @flinchclassic1531 Год назад

    Kama uliskiza hili Pini na hujaona Wala kuolewa tafadhali jitafute

  • @Emma4347
    @Emma4347 11 месяцев назад

    2024🎉🎉

  • @AbdulhakimAbdala-qc5pj
    @AbdulhakimAbdala-qc5pj Год назад

    2023

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 4 года назад +1

    2020

  • @tgeofrey
    @tgeofrey Год назад

    2024

  • @richardmweri7918
    @richardmweri7918 5 лет назад +2

    Remix please

  • @inotech868
    @inotech868 2 года назад

    2022

  • @muslihelbarca6435
    @muslihelbarca6435 3 года назад

    2021

  • @nuromussa9926
    @nuromussa9926 5 лет назад

    Kkkkk

  • @DaudWest
    @DaudWest 7 месяцев назад

    Enricoo x Bizman 🎉🎉