2004, 2005 memories Mr blue kipindi hicho alikua ndie jamaa wa bling bling ata Kila mkono uko na saa so kina Diamond walicopy kutoka Kwa huyu mwamba 2023 still rocking gonga like twende sawa#micharazo
A Somali From Switzerland 🇨🇭 listening to this masterpiece from Mr blu.we in 9th Feb 2024..when this song was out I was 1yr 😂😂😂😂. Nakupenda, nakupenda nitazidi kukupenda watu wangu wa 🇰🇪
Nakupenda, ntakupenda ntakufata utapokwenda watachonga wataponda watu walikwisha sana na maneno wanasaga wanapaka watachoka Et Kisa Sina Pesa ukiniacha utan…❤️🔥 forever hits,listening Today
Enzi hizo miaka ya 2003 hivi mziki ulikuwa na ubunifu mkubwa mashairi yenye maadili na mafunzo yaani it was Good noiwadays kuna jimbo huwezi kusikiliza mbele za watoto na hazina ubunifu, Sikiliza hiyo Beats utanieelewa kila kitu kinasikika na mashairi mazuri y Mr. Blue na kiitikio cha Abby yaani unasikiliza uchoki yes that are musics we nneed. Mr Blue gonga ngoma moja na Abby 2023 natabiri itakuwa kali sana
Jamani those days nilikuwa ndani ya basi la Scandinavia nausikia huu wimbo for the first time hakika safari yangu ilikuwa murua sana sitokaa nisahau.. 2023 hii bado wimbo ni mkali kinoma
God damn! I love Tanzanians ! I like the way you keep your archives! I used to watch this shit when I was like 8 on VHS, but here I have it available anywhere even downloadable !!! Thank You RUclips!! Big respect to the creators of this big tune, 2020 we still vibing
tume shinda ligi ya mbuzi kati ya form 2 na Form 3 , 2006.Tuna piga disco kwenye conference room ! watoto wana nukia poda ! pamba kali enzi hizo ni jeans mapepe au zezzle, modo jeans kwa mbaaali !....tuliosoma Gender balance tuna kumbuka mbali sana .
My young life in love memory at sec school that 2004 olevel was crazy men,, that we copy blue style kabaisa childish but remind it makes me crying times flies ,, life history lol
Endelea kupumzika kwa aman ROY BUKUKU umefanya bit kali sana chini ya kaka mkuu GULU a.k.a G Love sio kitu kidogo ngoma zako zote kali vijana walizitendea haki beat zako pumzika roy
THAT'S Queen Darlin' Lol. She was so little. Still a banger, Wallai ABBY Skillz was on a very different level of music. He is so good. I hope he comes back.
Kama unaangalia hii ngoma 2024 gonga like tujuane wanangu
Kama uko na mimi 2024 na ngoma bado inakubamba gonga like 👍
listening to this in 2024
2024 real bongo. I'm Kenyan.
This is when music was music, I'm 🇰🇪 an.
Oya briy niko nae hap kazi kwangu nae yuko na studio yake
ekeni like za queen darlin hapa
2024 bado ngoma kali sana...kama unamkubali Mr blue gonga like
❤❤❤❤ 2007🎉🎉🎉
We were in such a rush to grow up, now we are sitting here thinking about how to go back to those days. 😢
true😂😂😂😂
Definitely
Banaa 😢 Those days wacha tu 😢😢
Ukweli mtupu
😅😢😢
2004, 2005 memories Mr blue kipindi hicho alikua ndie jamaa wa bling bling ata Kila mkono uko na saa so kina Diamond walicopy kutoka Kwa huyu mwamba 2023 still rocking gonga like twende sawa#micharazo
Flash back....memories 2004...form one
Tbt hizo
Ebwana tupo shule ya msingi miaka hiyo
Nipo darasa la nne ...memory
❤❤❤
A Somali From Switzerland 🇨🇭 listening to this masterpiece from Mr blu.we in 9th Feb 2024..when this song was out I was 1yr 😂😂😂😂.
Nakupenda, nakupenda nitazidi kukupenda watu wangu wa 🇰🇪
How did you know
Been badana 😂😂😂
2023 and this song still does something!!!!
Ngethe is vipi mamake
Niko piaa🎉🎉🎉🎉
Listening ❤
I had a crash on Mr blue growing up
Favorite
Let’s get to 1M!!! Still listening 2023.
A Somali from wajir ❤❤listening to this masterpiece from Mr bule ❤❤28 April 2024 my favourite song like comment my comment guys Kenya
Nakupenda, ntakupenda ntakufata utapokwenda watachonga wataponda watu walikwisha sana na maneno wanasaga wanapaka watachoka Et Kisa Sina Pesa ukiniacha utan…❤️🔥 forever hits,listening Today
bluu katusumbua sana mashalobalo wazamani tulikuw tunamuiga sana
😂😂😂😂
Kama upo na mimi 2023 unasikiliza ngoma hii gonga like 👍
Pamoja sana
❤❤❤❤ 2023
Hrllo guys we love you
🎉
2024
Kama huko pamoja nami 2020 gonga like zako hapa
safi
Kamakawa, kama dawa yani !pamoko mungu kipenda
2022
2023
mimi niko apa 2023. from Boston
Still listening to this jam 2020 despite COVID-19. Like Kama upo nami
Enzi hizo miaka ya 2003 hivi mziki ulikuwa na ubunifu mkubwa mashairi yenye maadili na mafunzo yaani it was Good noiwadays kuna jimbo huwezi kusikiliza mbele za watoto na hazina ubunifu, Sikiliza hiyo Beats utanieelewa kila kitu kinasikika na mashairi mazuri y Mr. Blue na kiitikio cha Abby yaani unasikiliza uchoki yes that are musics we nneed. Mr Blue gonga ngoma moja na Abby 2023 natabiri itakuwa kali sana
2023 gonga twende nalo ❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
2006 banger 😩😩 2020 September lovers from Rwanda 🇷🇼
Dahh hadi mwili unasisimka bonge la ngom
Yuko wapi AB SKILLS mbona husikiki tena ?? zilipendwa ❤️
Kama tuko pamoja 19/5/2023❤❤❤❤
I had a huge crash on me. Blu. Listening in from Chicago. Love bongo music. 2020
Jamani those days nilikuwa ndani ya basi la Scandinavia nausikia huu wimbo for the first time hakika safari yangu ilikuwa murua sana sitokaa nisahau.. 2023 hii bado wimbo ni mkali kinoma
Gone are the days wen music was music unlike the diamond platinumz era where they sing obscenity
2023 still listening to this masterpiece......nan kamwona queen darling
Guys the Violins the Violins daaamn Rest in Peace ROY he was the Killer. G records was the Best Booth 🙌🏾💡 2023 who else bang with me.
God damn! I love Tanzanians ! I like the way you keep your archives! I used to watch this shit when I was like 8 on VHS, but here I have it available anywhere even downloadable !!! Thank You RUclips!! Big respect to the creators of this big tune, 2020 we still vibing
2020 kama bado unaielewa hili song gonga like
Aliemuona Queen Darleen anyooshe mkono😂😂😂
tupo weng
Tupo wengi 😂😂
na mm pia nmemuona quendarlin
😂😂😂😂
2023 still rockin...melts ma heart man
Old days 😭😭😭😭mm na ndugu zangu oh I wish my two brothers were alive so we can continue having fun together 💓
2023 nani yupo
We are here bro
Queen Darleen hapa alikua mzuri sana.
Naikubar xana
Duu nlikua cjsoma kilikua chombo
Mmmmh😂😂Mziki kitambo watu wanaimba japo walikus local ...sasa hivi cjui wana kosea wapi...?
Sanaa
kwa wale wa zamani big up
2023 and this is still a hit when bongo was bongo😭😭💔
2023 and am still here
still haaaat🔥🔥🔥🔥🔥much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2020 April who is here despite Corona stress
Watoto wa 2000 hii nyimbo haiwahusu tuacheni kidogo 😂😂😂😂😂 2023+2024
😂😂😂❤
Ngoma iko poa Hadi Sasa inaheat babu
I love you just how you are till death do us part!!!💘💕💘💯💯💯💯💯💯
2020 and still here listening to these classics
If you here 2019 hit like mob love from kenya
tume shinda ligi ya mbuzi kati ya form 2 na Form 3 , 2006.Tuna piga disco kwenye conference room ! watoto wana nukia poda ! pamba kali enzi hizo ni jeans mapepe au zezzle, modo jeans kwa mbaaali !....tuliosoma Gender balance tuna kumbuka mbali sana .
Naomba like kama unawatch 2018
Yap am watching from dubai old is gold👌
Upeleke wapi umbwa hii?
2020 bado tuna sikiliza. Ina nikumbusha mbali sana kipindi hicho nipo KIGOMA home daaaah. Kama ina kukumbusha sehemu tujuana
These guys were a great duo big up Ab skills , Mr.blue . U guys made bongo flavour a real flavour
Hii song nlikuwa std 7 2006 na mpaka leo naisikiliza
BACK THEN WHEN WATCHING EAST AFRICAN TV WAS A COMPETITION😊😊😊
Ilikuwa haiitwi East African TV, bado hujasema....ebu sema..
My young life in love memory at sec school that 2004 olevel was crazy men,, that we copy blue style kabaisa childish but remind it makes me crying times flies ,, life history lol
Likes kwa young legend mr blue. 2024
Endelea kupumzika kwa aman ROY BUKUKU umefanya bit kali sana chini ya kaka mkuu GULU a.k.a G Love sio kitu kidogo ngoma zako zote kali vijana walizitendea haki beat zako pumzika roy
If you with me 2024.
Old memories
Kama uko hapa 2024 then you have good taste in music, this a masterpiece.
I barley understand it but i love it cause my older sisters used to sing it. But i still found myself listening to it ....😂😍
Daaah kumbe Mr blue alikuwa shalo kinoma kama unaamini hilo like zako zinaobwa
😋 2020 ngoma haichuji masikioni
Nakupenda mkazi just like the way I love this all time hit❤
They don't make music like this anymore
Who is watching 2018 still hot.
fravius manyika we here hot song
🖐️
Me
me
growing up listening to this masterpiece
Iyapa 2023 kitambo sana wakongwe 😎
Mimi na wewe nitakufa na wewe hata useme nn nitabaki na wewe duhh hili song lilikuwa na hatar🔥🔥🔥♥️♥️♥️ 2024 like hapa
Mr Brue is E-sir for TZ period
Dah....
Gonga like kwa miambaa hiii.... 🇹🇿🇹🇿🌍🌍
#swahiliToTheWorld....
Old iz Gold july2019
Hii RUclips imeanza miaka mingi sana😮😮😮,naona imetumwa hii nyimbo mwaka 2006 !!!!
Wangapi wako pamoja nami 2020 tunafuraiya mziki mzuri
Money doesn't buy love!! ❤😍❤
I accepted past will never comeback we only have memories that burn our hearts
THAT'S Queen Darlin' Lol. She was so little. Still a banger, Wallai ABBY Skillz was on a very different level of music. He is so good. I hope he comes back.
Hee iyi nyimbooo Siku mingi SNAA 😊 niliifata mu 2009 Léo tena naisikiya 2023 mwezi 12
I used to love this song 😂, wueeh time moves so fast
Dah enzi hizoo sio manyimbo ya saiv matusi kwenda mbele. Old bongo flvr is the best💕💕💕🔥🔥🔥🔥
This song made our current life, impact positively,tumetoka mbali
Hii ni banger mpaka leo yani, na ni 2024😊
2020 still my favorite one.
11th September 2023
Back here listening 🎧🎶
Hii ngoma wallahi Nilikua nikiimbia my kindergarten school crush, still rocking
17 years ago this was my favourite track. We are in June 2024
tangu bongo fleva ianze hakuna ngoma kali kam hii. iko wazi 👊
You are right🎉🎉🎉❤
2023 and still a banger!! 🔥
ROY ALIKUA ANAWAPATIA SANA KWENYE VOCALS ....AISEE R.I.P ROY
RIP
Ab skills best singer but unlucky.... Mr blue legend
well said
Leo tarehe 12 ni skukuu za mapinduzi zenji niko naagalia goma langu pendwa
Queen darling wa kipindi kile na apo alikuwa na ujauzito
❤❤❤2024. Still master piece🎉 from kenya to Somalia
Nakumbuka A town mwaka 2004 pale maskani na kina Pizza, Wizzo, Issa, Jigga na Jaco. Nawamiss sana aisee.
the best bongo hits.... never dies, who is here 2018?
Eh ... Epic song. Always listen till the end. Nairobi massive
Blue was soooo amazing looking handsome guy talented rapper musician everything days are not numbers some how
2018 who's on this track
Zainab Adam Ali we here hot old bongo
Naona mnamnawa2 Queen dary sister wa mondi 😁
Daaaamn when i was in lower primary Mr blue was my crush definitely🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 memories i miss this music #2019
2020 and am still here
Kumbe nimeshazeeka...ni kama miaka 20 hivi imeshapita sasa...
Queen Darlene was the universal video Queen miaka hio..... Bongo Flavor alikua anaitawala yeye kwa videos
Dahhh kweli watu wametoka mbali hii nyimbo nikiikumbuka nilikuwa darasa la 3 ,, still watching 2018🔊🔊🔊
Tuko wangapi bado tuna tizama nyimbo hii 2019?
Nani anakumbuka hii sasa June 2023 ...waah Good an Blessed old days
Mr blue alikuwa mzur jamn
10yrs down now here u are Aferina...hig up bros..gudjob
2019 still love this track from way back when i was in high school