This songs holds tonnes of memories - Listening in 2022 from the UK - Reminds me my golden days in Iringa during my primary education..! Back then music had feelings..
I listen and feel emotional moved to just cry , crying with passion ,, golden voices...am in Kenya..1999 while in standard 7 ,when I was trying to understand what love is all about...🥰🥰
We used to write and didicate to our lovers. And it always felt like you are singing and they listen. Love is something that causes one pain. I can't accept to go back to high school and genuingly express my love towards someones daughter. Niliteswa sana hizo siku. Loving someone and they don't love you back has always been the tragedy. While school life entails a lot. You are to attend classes, sit exams even when you are fully loaded with all sorts of stress. Staki kitu kwa hii maisha. Nataka Yesu Kristo pekee
*WASANII na MASHABIKI wa nyimbo za zamani ndio walikuwa na akili sio hawa wa mambo Leo* *Nyimbo za zamani hazikumhitaji msanii mwenye jina kubwa ili kuzibeba ila zilimhluhitaji MTU mwenye kipaji tu sio saivi wenye vipaji wanauza karanga waliotoboa ni makanjanja tu* Ukisikiliza hii nyimbo kuna msanii anaitwa *N.I* jamaa hana nyimbo nyingi ila kipaji kilinifanya nimfatilie sana 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪😂😂😂😂 Gonga like kama tuko pamoja 2020 kuelekea uchaguzi
Sijawahi kuacha kuisikiliza hii ngoma... alafu sijui kwa nini kundi la "Two Berry" lilivunjika! Kama unasikiliza hii ngoma hadi leo 26/8/ 2020 gonga Like twende sawa!
I love this song sana. It reminds me of the year 2006 when I was in form 3 I was suspended from school 🙁it played on every radio in Kenya. Much love from Kenya.
Whenever I listen to the songs of 2berry I remember the days we used to go to Pirates Beach every Eid of the year with friends,we were kids and it used to be so nice,,
Huyu NI alikua mwanangu sana mwishon mwishon mwa maisha yake pale mtaa wa jangombe.. Dah alikua mtu poa alinipa cd ambayo aliimba nyimbo zake zote na kuanzia hapo hatukuonana tena mana mm nilisepa nje ya nchi miaka 3 hadi nikapewa taarifa whatsap ola mwanao amekufa 🥺🥺🥺
Kwa hakika berry black mziki anaudai amefany kazi kubwa kwenye tasnia ya mziki lakin mafanikio hakuna dah you deserve respect broo ....now 2022 still I'm listening this best music
Hizi Enzi nilikua about 10 yrs nilipoisikiliza kwenye Show kwetu niliipenda Sana na msichana Fulani classmate alikua anaitwa Eucabeth.i miss old good days.i miss it all Eucabeth where did u go your dedication is here
Old memories can only beat bongo music of those time. I feel feel nostalgic about this, imagine of someone who used to listen these songs together with their love ones. And, for one or more reason they aren’t together as of now. Big love
Berry nakuomba toa ngoma broo nyimbo za sasa sizielew we unajua kuimba tena usikae kimya bana nimekumis atari,najuuua rooho yangu inauma ucjal tutaowana 2022 💥
Wacha tuendelee kujua tu 2019 !! no one can stop me watching aNd listening such a anice song kama hii ..na km na wewe Unajua twende sawa hellllooooo 2022!!!!
Wangapi tunaangalia mwezi wa 6 2024
we out here
@@Star_Esto I really see you
nko ndani
Nipo mwez wa 8 apa
Nipo leo 2024 /9/14
Berry Black still the best nipeni like nikiwa Somalia 🇸🇴🇸🇴🇸🇴
sana tuko pamoja wadau
Mc Nana you Somali?
@@mod7668 i work in somalia but my home land is Nairobi kenya
❤❤❤❤❤❤
@@nasraabdi1529 hi
March2024 baado wimbo una utamu ,c´est tellement nostalgique, watu wa Minago,Rumonge Burundi mnipe likes
Rest In Peace N.I thanks for making our childhood musical!! Allah akuswamehe makosa yako! 🙏🏽🤴🏽❤️🌹
Nani alifariki
The guy who sing the second verse N I
ooh may his soul rest in peace@@flinchclassic1531
Nani yule aliaga?
NI AMEFARIKI
Mimi ni kati ya watoto waliokua wanaogerea hapo nipeni like 1000
Hongera saivi umeshakua babu😜
No rapper from east africa can manage to flow like shirkp to date..... #Respect to him ....🤝🤝
Shirko was on another level
Yu wapi cku hizi?
Ahead of time
Amazing stly..hip-hop,rnb & ragga
That’s a stretch. He was good just like Redsan, Wyre, Peter Miles, etc
My husband alikuwa ananiwekea huu wimbo wakati tunataka kuowana was 2008 na Alhamdulilah tulifanikisha na tupo pamoja hadi Leo tunawatoto WA 3.
Mnaishi wap saiv
Alaf unategea kuzaa ww🤣🤣🤣
😅😂@@josephinelaurent7972
Tuko Oman
@HASHIMMAK Amiin yarab Shukran
I was too young to realize that Shirko was spitting fire back then!!! Respect!
Same bro !!
Me too😂
My childhood crush for real
Asante sana wasanii wetu wazamani nyimbo hizi zilitushawishi sana kupenda nakujua wanaume wote wanapenda kama gisi mlivyoimba kwa hisia
My husband 13 years ago alikua ananiimbia huu wimbo n finally we are married dis year.... naupenda paka naumwa
Good for you, itunze hiyo ndoa sasa.
Kama unakubali hii song ngonga like
endelea kuumwa
@@hassansuleiman407 hahaha asipone
@@salmaalimusa547 aendelee kuumwa
hii nyimbo bado yanitowa machozi kweli🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Inakukumbusha nn
imenikumbusha mbali sanaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Pole sana mapenzi tuyaache tu
Zuhura Mwawimo so ww tyuu ata mm
@@zuhuramwawimo997 mimi pia huu wimbo unikumbusha mbal sana
Wenye mko present, 2024,show your love here
I love that part of NI and Shirko amazing,much love from Birmingham Great Britain 🇬🇧,I remember my childhood memories back in Moyale Kenya 🇰🇪 home.
Zero nudity,zero negativity just a vibe n love still the best!!!!
Exactly good video you can watch it from anywhere without hiding 🙏🙏🙏
Kizuri cha jiuxa. Kibaya chajitembeza.
Even In 2023 is still a Hit 🎵🎻🎧
Currently listening to it
It never gets old
Kweli old is gold
Nachikicha jaba na ngoma. Hit of the century.
Mwehu wewe😂
old jams hit different channel 5 eatv
2021 muko wpi, gonga like happo tuonaneee ,bonge la ngomaa.
R.I.P RAIS John pombe Magufuli
Wazanzibar walikuwa wabaya sana wallah daah.. cjui walikwama wap yan
Kabisa sijui ilikuaje
This songs holds tonnes of memories - Listening in 2022 from the UK - Reminds me my golden days in Iringa during my primary education..! Back then music had feelings..
For real
Old is good always ❤️🌹 yani iy ngoma still now nayipenda hadi raha burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 turikuwag tunayipenda sana😢❤❤❤❤
Kama bado unaicheki hii ngoma 2020 gonga like tujuane
Nice song
Mm moja wapo
Ushagongwa
Nakmbk mbali sana bonge LA song,,,,,
Inanikumbusha nikioa,wazelaaa
Who is here 2024
24th liker ❤
👋
Mimi ĥapa😂
Tunaachaje Mzee.!
7/8/2024 siku moja kabla ya derby ya kariakoo
Shirko alikua anaplay part yake vzr Sana,hii aina yake ya kurap ilikua ya kipeee!
I listen and feel emotional moved to just cry , crying with passion ,, golden voices...am in Kenya..1999 while in standard 7 ,when I was trying to understand what love is all about...🥰🥰
hehe the song itself says it all. alafu ikona beat tamu
We used to write and didicate to our lovers. And it always felt like you are singing and they listen. Love is something that causes one pain. I can't accept to go back to high school and genuingly express my love towards someones daughter. Niliteswa sana hizo siku.
Loving someone and they don't love you back has always been the tragedy. While school life entails a lot. You are to attend classes, sit exams even when you are fully loaded with all sorts of stress. Staki kitu kwa hii maisha. Nataka Yesu Kristo pekee
Ooh pole
Kilikuramba😂😂
Eeeeh pole ako
Them baggy T-shirt and jean trousers was the swag back then😂😂😂.I miss them old days.Girls were naturally beatufull without layers of make-up
Safi sana like it even now 2020 2030
Hakukuwa na umalaya they were focused
*WASANII na MASHABIKI wa nyimbo za zamani ndio walikuwa na akili sio hawa wa mambo Leo*
*Nyimbo za zamani hazikumhitaji msanii mwenye jina kubwa ili kuzibeba ila zilimhluhitaji MTU mwenye kipaji tu sio saivi wenye vipaji wanauza karanga waliotoboa ni makanjanja tu*
Ukisikiliza hii nyimbo kuna msanii anaitwa *N.I* jamaa hana nyimbo nyingi ila kipaji kilinifanya nimfatilie sana 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪😂😂😂😂
Gonga like kama tuko pamoja 2020 kuelekea uchaguzi
Dah N I namkubal mno best
Sema kafariki "NIGGA'' NI daaahh
R I p Rais John pombe Magufuli
Hakuweza kuimba matusi walikua na heshima
Kabisa
Dear my little princess am leaving this comment here for you ,when you grow up this is the kind of music I would recommend you to listen to
I loved this song in 2008❤ from congo. It's today that i hear it on tiktok . Oh my God! 2024❤❤
Sijawahi kuacha kuisikiliza hii ngoma... alafu sijui kwa nini kundi la "Two Berry" lilivunjika! Kama unasikiliza hii ngoma hadi leo 26/8/ 2020 gonga Like twende sawa!
Back in days when music was composed by real talented musicians as opposed today’s rubbish. Reminds me of my sweet early 2000.
Exactly 🙏🙏🙏
Waaoh it's 2023 here at Kenyatta University, KU, Kenya. The song just popped up in my head.. 😊😊
Hii ngoma ntaiangalia miaka yote,naipenda mpaka basi
wahenga tujuane hapa ...2019april am here ...zaman kulikua na nyimbo not now
Young energetic Kenyan Somali American leaving in Ohio C. Really love ma country 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪.
Tunao check 2019 twende sawa na hizo like
Tuko pa 1
Nmeamua kumalizia mb zangu pande izi
Du yani hii nyimbo nineikubary toka enzihizo du awajamaa walikuwa balaaa
Uyu shirko yupo vizuri jamani km umempenda gonga like 2020
Sana tu yaani
Love this song love my wife long way this song has so much memories now have three kids lovely memories
congrats, may Allah bless you
Nice
Woooow
mashaallah heri yenu
@@mariammariam1555 hi
I love this song sending love from Zambia 🇿🇲 one Africa one nation one passport without visa
Nice song 2019 kama unachek gong like twende p 1
Nampenda Berry black sana..Ni msanii mkali..nipe like Kama unamkubali
I love this song sana. It reminds me of the year 2006 when I was in form 3 I was suspended from school 🙁it played on every radio in Kenya. Much love from Kenya.
Why were u suspended tho?...did manage to finish?
My all time fav....aty najuuuaaa ..😢 najua roho yako inachoma..lakini ucjali mama tutaoana 😢😢❤❤
This song reminds me of my fallen friend.I heard it back in 2007 when I was 8.At 2022,I feel like jumping out of my skin upon listening to it.💗💗💗
I was class 5
I was class one 😪
this song reminds me of my ex mazee
2023
I heard it in congo in 2008❤! Then i lost its tittle but today i found it on tik tok. Very good song.
Vumilia baby we kijasiri ipo siku ntakupa kauli ulotaka yatakuwa tayari ndipo hapo tutafunga ndoa (rest in peace N. I 😭😭😭😭)
pole sana
My favorite verse 😢❤
daaaaa ngoma inanipeleka ukwen wanangu wa 2021 like zenu km tuko pamoja
Back then when music was composed by super talented guys
Pumzka kwa amani NI. Hii nyimbo kila mtu ilimgusa kivyake, 2020 tunakutana hapa🤣🤣
Let go 2021 I'm still listen this good music,( najuaaaa )😭😭
😍😘
Brings old memories
Memory
@@halimamimarich3799 😭
Best memory
I don't understand Kishawili but beats always move me to the peak.
2Berry are Real music legends,, been listening to their songs since childhood to my adulthood
Kama Bado unaitizama Ngoma hii 2024 gonga like
WAKENYA Mpoo?? CLASSIC. Str8 outta Nairobi, Kenya [2k20] 💯🇰🇪🖤🤸🏾♂️
Tupo hatari,nikiwa darasa la nane 2007 penda hii nyimbo hatari
Mwezi huyu Julai 2024 muko wapi?😊
Mimi mgokomani laki iZi nyimbo ndiyo ilifanya niipende Tanzanie Léo 2022 narudi tena apa
najua roho yako mamy inachoma najua ucli mamy tutaoana uuuuuu very nice music
Jamani nami naomba like zenu mwenzenu nani yuko pamoja nami 2019
Ngapi unataka
2019
Konk yan
chukua na yangu hii hapa😄
sana
20th of December 2023 still listing to track Berry Black for life 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Whenever I listen to the songs of 2berry I remember the days we used to go to Pirates Beach every Eid of the year with friends,we were kids and it used to be so nice,,
Huyu NI alikua mwanangu sana mwishon mwishon mwa maisha yake pale mtaa wa jangombe..
Dah alikua mtu poa alinipa cd ambayo aliimba nyimbo zake zote na kuanzia hapo hatukuonana tena mana mm nilisepa nje ya nchi miaka 3 hadi nikapewa taarifa whatsap ola mwanao amekufa 🥺🥺🥺
😮sorry
Aliaga mwaka mgani?na kifo kasababishwa na nini?
N I mamjua sana
Kwa hakika berry black mziki anaudai amefany kazi kubwa kwenye tasnia ya mziki lakin mafanikio hakuna dah you deserve respect broo ....now 2022 still I'm listening this best music
I can’t forget those days of primary school listening this hit 😭😭
Daah mungu akupe kaul thabit NI...wimbo huu mlijua kuupangilia mno. Binafc naupenda mno
Ni yupi hapo alokufa jamani
@@dianapeter1571 n.i ndo alikufa
@@dianapeter1571 ingia u tube utamsikia anasema anajua mpenz wake nin anataka anatafuta pesa amuweke mahal pazuri atulie
shirko 254 mkenya halisi bado anaifanya kazi freshi tanzania hadi leo gonga like kama unamuanimini huyu kaka
Hizi Enzi nilikua about 10 yrs nilipoisikiliza kwenye Show kwetu niliipenda Sana na msichana Fulani classmate alikua anaitwa Eucabeth.i miss old good days.i miss it all Eucabeth where did u go your dedication is here
We wanted to grow up faster now look at us!!! Can someone teleport me back to this era.
Old memories can only beat bongo music of those time. I feel feel nostalgic about this, imagine of someone who used to listen these songs together with their love ones. And, for one or more reason they aren’t together as of now. Big love
I can relate en feel nostalgic 🥺
Nothing beats old school bongo music nothing but classics
Pasta Max pale radio Jambo alikuwa anapenda Sana huu wimbo
My favorite songs ,,, dahhh kweli kitambo xan kam upo hai mpk sasa endelen kufurahia2018
Berry nakuomba toa ngoma broo nyimbo za sasa sizielew we unajua kuimba tena usikae kimya bana nimekumis atari,najuuua rooho yangu inauma ucjal tutaowana 2022 💥
Don't ask who is still here because we never left
How i wish mngekuwa bado pamoja😮
Kali Sana mpak imegusaa Kama nawew imekugusa gonga likee hapa👇👇👇
Hassani Mohamedi 😢😢😢😢
mi naipenda sana hii.. hakuna nyimbo za kisasa inayofikia hii
Yaani waskia ngoma hadi watokwa na goosebumps ❤ walahi sweet old days
Kama nawewe ulishawahi kumuandikia mchumba ako kwenye kijikaratasi(barua)like tuwe wengi
Dah unanikumbuxha mbalii sana
Hhhhhh
Nimeandika san simu zimekuja india upendo
😂😂😂🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂
Jaman wako wap sik iz manake wanalikuwa wanaimba ad unainjoy kiukweli sio nyimbo za saiz👏👏👏👏👏gonga like na ulikuwa unawakubal watu hawa
R I p NI mungu ailaze roho yako pahali pema peponi😭😭😭🙏🙏🙏
😳
Fibi Sasha nani huyo mweusi au mweupe?
@@rehema2018 mweusi
Oh berry black ndo alifariki Rip
@@zamzamahmed5718 sio Berry Black..."N.I"
Nikiwa likizo kwa broo miaka hio Kisosora nikawa na mtoto wa kidigo, eti now umeolewa Saumu. More than pain 2019
My heart beats to a💕different rhythm whenever I hear this songs
Reminds me of Watamu..Malindi route Matatus.
Dem years 2005 to 2009.
Greetings from Germany 🇩🇪
This master piece takes me back to some amazing memories!!!
Nikisiiiia hiii nyimbo natamani kulia jamon dahhhh
Pole dear
Wacha tuendelee kujua tu 2019 !! no one can stop me watching aNd listening such a anice song kama hii ..na km na wewe Unajua twende sawa hellllooooo 2022!!!!
Dah nimekumbuka mbali sana leo😢❤
Who is still here 2021
Wale tuliandikiwaga dedication za hii nyimbo heheeh
Ngoma Kali hakuna msanii kaka uchi hakuna macheni wa maheleni kwa masikio na bado inavutia Hadi sasa 2024
The old songs are as gold.❤🔥❤🔥 🔥🔥🔥
Waaaa wakati hizo wacha tu????? Sina nakufanya wakati huo ???????l love u
The tym music was music, good old days, mob love for you guys, pleasure to meet you 2023 jan.
2020 dah haya maisha bana duh 😭:-[🤣🤣:-[:-[:-[🤣🤣🤣 wale wasani wazur saivi man wanaitwa wasio julikana jamn 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪bonge la trak
Wwwooi Shirko;i hope he is still that handsome and the way he sang🔥🔥🔥
sheeba hal.. he is still handsome ako Zanzibar siku hizi
2024 we are going together with my family and then I can come to you my favorite song❤❤
What a song! My friend was singing this song with a lot of passion 😂😂 2023 here we go 🔥
19/08/2021 R.I.P kwako mwl Kashasha pia R.I.P NI mpumzike kwa amani mungu awalaze mahala pema peponi!!!
shirko killed it....reminds me of home
bongo fleva ya kweli 2berry ft N.I daah hakika nyimbo kali yanikumbusha mengi ..
r.i.p Ni pumzika mahali pema peponi.
still watching,,, zanikumbusha my boyfriend but he is no more,,,RIP salim
RIP to Salim
So sorry my dear rip salim
Joan.may he R.i.p
Pole sana
dah pole kwa asiv umeshaolewa
Nikipataga mawazo huaga nakuja kuangalia nyimbo za miaka ya nyuma. Maana inanifariji kwa kweli, siku ni kelele tu.
This song reminds me of someone 2022 still listening much love from Kenya
Dhaa! Nyimbo imenikumbusha mbali sanaaaa sio sir