Mwana FA tangu azaliwe hajawahi kukaa na Mondi vile yaani anamshangaa kuliko kawaida,haamini yani 7bu hakuwahi kuamini kuzidiwa mafanikio ki mziki 7bu alisoma sana akaajiriwa na bado alifanya game
Ungezungumzia pombe tuuu...hapo kwenye dini ni tatizo...ulevi hauna dini ndugu yangu...vijana wengi wa kiislam ni wanywaji wa pombe wazuri sana...ni hivyo tuu unamuona Diamond...wengi wanakunywa kwa kujificha...
Diamond platnumz the king of africa
🧭🤳 safi kabisa, big up bro lionSimba
Diamond platnumz simba baba lao africa
Haujui
Bigup simba
Hiyo p di anasemaje
Mwana FA tangu azaliwe hajawahi kukaa na Mondi vile yaani anamshangaa kuliko kawaida,haamini yani 7bu hakuwahi kuamini kuzidiwa mafanikio ki mziki 7bu alisoma sana akaajiriwa na bado alifanya game
Yani kma mtu ataona hayo ndio mafanikio basi ww nimpungufu yani kijana anatangaza pombe kwa watu maskini tena kijana wakislamu 😢
Wewe mbona unafanya zinaa
Bure kabisa wewe,Dunia hii ya Leo unakataa eti kijana wa kiislam na zaman dini watu walibugia pombe za tende na divai juu,funga domo watu wanasonga tu
Masikini ni wew pekeako
Umasikini utakuacha pindi ukiachana na huo ukumbavu wa kiislamu
Ungezungumzia pombe tuuu...hapo kwenye dini ni tatizo...ulevi hauna dini ndugu yangu...vijana wengi wa kiislam ni wanywaji wa pombe wazuri sana...ni hivyo tuu unamuona Diamond...wengi wanakunywa kwa kujificha...
FA kavahaje jersey😮
Alianza game kabla hujazaliwa kipindi kile😂
Huyu mwamba hatawahi kuwakilisha Africa. Kiburi kingi sana na kucopy style za nchi zingine
Tafta wa kwako awakilishe😂😂😂😂😂😂
Haya wakilisha wewe basi
😂😂😂
Mwana Fa na Mapana Wanafiki!!!!.. Wanasapoti Harmonize Mzee Popo kuroga nyimbo na shows za Diamond na Wasanii wake youtube 😭😭😭😭😭😭😭😭
👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎
Kama urogaji waseidia mbona usiroge na wewe ukatoka kwenye Umaskini😂😂😂😂😂😂
Hunag comments nyingin we maku