NIMETENGWA NA NDUGU WALIJUA NITAKUFA |NIMEKATWA MGUU |MAMA PEKEE YUPO NAMI |NAKUPENDA MAMA YANGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 41

  • @FATHIYA002
    @FATHIYA002 Месяц назад +2

    Oa mdogo wangu upate mwenzio akusaidie inshallah utapata alie Bora na mwenye Imani.

  • @yasminally1015
    @yasminally1015 Месяц назад +1

    Asallam maalequ Allahadulilah Allahadulilah Allahadulilah Maashallah Maashallah Maashallah Allahadulilah Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha Allahadulilah ❤❤❤❤❤❤

  • @nurumasha
    @nurumasha Месяц назад +4

    Pole sana kaka naona ungefuatilia ukapata mguu bandia

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 Месяц назад +2

    Mimi nawapenda sana ndugu zangu na hata wasiokuwa wangu ❤

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f Месяц назад +1

    Polee Sanaa nduguyangu

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 Месяц назад +2

    Usiumie kk yangu hy ni mitihani mwenyezi mungu amekukadilia muona ahmed alberti mwk wangapi na bd anaimani

  • @annesmatemu4264
    @annesmatemu4264 Месяц назад

    Pole sana nilikuwa namiuguza mume wangu miaka kumi alipooza akipiga simu mgonjwa haipokelewi wanajua unawaomba misaada nikapambanea na mume wangu mpaka tone la mwisho

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q Месяц назад +2

    Pole sana kaka Hila usikate tamaa Bado unaweza🇹🇿🇲🇿

  • @anitarafa
    @anitarafa Месяц назад

    Pole kakangu wasamehe tu Mwenyezi Mungu atawalipa....hao dugu wa familia. yako.....mimi ni mwanamke, unayo zungumza naelewa.....usijali utakua sawa ....

  • @SamiaMbada
    @SamiaMbada Месяц назад +1

    Mshukuru mungu usilie kaka hiyo nikadari za Allah

  • @leylam2121
    @leylam2121 Месяц назад

    Pole sana kakaangu Allah akutie nguvu kwakila atua unayopitia pia kumbuka nabii yusufu waliomuingiza kisimani nindugu zake wadamu nawaliomuokoa niwatu wasiomjua kikubwa kua karibu na Allah yy ndie msada wako

  • @mlamanlike_abdul2534
    @mlamanlike_abdul2534 Месяц назад

    Pole sana kaka Allah atakuafu In Shaa Allah, Tupo pamoja

  • @irenewile
    @irenewile Месяц назад

    Mungu akusaidie upate kibanda uanze biashara

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 Месяц назад

    Mwenyezi Mungu ni karim mtihani utapita na utasahau ,kuwa na Subra Allah atakulipa

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 Месяц назад +1

    Mungu akutunze

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni Месяц назад

    Pole kakaangu Sisi binadamu hatujafa hatuja umbika Kwa hiyo tumshuku Allah katika kila hatua

  • @salomejoseph9493
    @salomejoseph9493 Месяц назад +2

    Pole Kaka mungu mwema utapona

  • @manasstaMuhammad
    @manasstaMuhammad Месяц назад

    Pole Allah akupe subra mitihan ameumbiwa mwanaadamu

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et Месяц назад +1

    Pole san ni mitihani tu allah akupe subra usivunjuke moyo ni mapito tu

  • @RhodaJaphet
    @RhodaJaphet Месяц назад +2

    Pole sana kaka, natamani nikusaidie ata kukusaidia apo kaz zako, lakin dah

  • @rosemaryKalega-c5s
    @rosemaryKalega-c5s Месяц назад

    Kaka angu pole sana duh yani kweli ni Mapito ya tusio kua na uko shida sana mungu akupe nuru

  • @azizirania400
    @azizirania400 Месяц назад +1

    Utakua sawa kama wastara yule wa sajuki, utatembea na mguu badia

  • @farajasallah2338
    @farajasallah2338 Месяц назад

    Pole sana

  • @JokhaJoko
    @JokhaJoko Месяц назад

    Polekaka❤❤❤❤❤❤😂

  • @mirnababy5012
    @mirnababy5012 Месяц назад

    Allah atakufanyia wepesi kuna watu hawana miguu na mikono usikate tamaa

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Месяц назад +1

    Pole sana kaka

  • @irenewile
    @irenewile Месяц назад

    Maigizo na Mguu wake ataweza pia kuagiza

  • @khadijahamisi5561
    @khadijahamisi5561 Месяц назад

    Utatembea omba mungu kidonda kipone wangap wamekatwa miguu nawanatembea leo ww kesho mm uwez jua kesho yetu jipe moyo yaone yakawaida

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e Месяц назад

    Pole Allah azidi kukupigania

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 Месяц назад +1

    Imagine heri mguu ukatwe na upone utapati mguu bandia na utembee kama wengine tu na uendelee mbele na kazi zako kuliko kukaa na maumivu makali na tena ingekeuka cancer. Shukuru Mungu kaka itakuwa sawa mda siyo mrefu.

  • @matridasambali6432
    @matridasambali6432 Месяц назад

    Maskini pole sana

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Месяц назад

    Usiseme hutatembea bro.kuna watu hawana miguu yoote ila wamepata miguu mizuri ya bandia na wanatembea kama kawaida japo si mwendo mrefu.utatembea tu subir miez 6 iishe uanze process za mguu wa bandia.

  • @mgenimoosa5252
    @mgenimoosa5252 Месяц назад

    Ubinaadamu kazi ndugu yangu

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 Месяц назад

    Akupona hatafutiwe bajaji

  • @khadijahamisi5561
    @khadijahamisi5561 Месяц назад +1

    Yan ww ungekuwa mume wangu nisingekuruhusu ata uwendi kwa hao ndugu zako ata wangekufa usingekwenda naata tungekuwa na bihashara nisingeruhusu uwasaidie hata mia pole san kaka

    • @ttss7716
      @ttss7716 Месяц назад

      Watu wana pitia mitihani we wacha 2 yani binadamu wamekuwa kama wanyama walahi me uwa sipati picha 😢😢😢

  • @tato8979
    @tato8979 Месяц назад

    Pole sana kaka😢😢😢

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 Месяц назад

    kaka umepona ,uso wako una nuru kabisa. Mungu amekutendea makuu

    • @JokhaJoko
      @JokhaJoko Месяц назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 17:43

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 Месяц назад

    huyu s bad boy