UTALIA MAZITO ALIYOONGEA MAMA |MKE WAKE KAFARIKI |ALIAMBUKIZWA TB TULIMTENGEA KILA KITU CHAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 27

  • @AmeirhajjRamadhan-e1h
    @AmeirhajjRamadhan-e1h 3 месяца назад +3

    Mashaallah mashaallah mama ni mtulivu sana yaarabby fanya kadar zako anyanyule huyu kaka

  • @abiangoroma8146
    @abiangoroma8146 2 месяца назад +2

    Pole sana ma mama,Mungu akufanyie wepesi

  • @AmeirhajjRamadhan-e1h
    @AmeirhajjRamadhan-e1h 3 месяца назад +2

    Alhamdulilah mama anajielewa sana hijalishi ni maumivu kissi gani anayo pitia kwenye moyo wake
    pole mama allh atawapa subra na kumpa shifaa kaka etu

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 2 месяца назад +2

    Poleni kwa mitihani mama Mungu akupe subra usichok

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 месяца назад +1

    Kabsa mam ni wa mhim san mam angu mungu ampe afya njem nikirud huku niliko inshaaallah

  • @rukiamagambo5554
    @rukiamagambo5554 2 месяца назад

    Pole sana mama Tupo Pamoja

  • @mariamsimba-z9t
    @mariamsimba-z9t 2 месяца назад +1

    Natamani nikwambie uifute hii cause inaumiza sanaaa

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 3 месяца назад +2

    Mungu akupe nguvu mama

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 3 месяца назад +1

    inshallah tuta muokoa inshallah mungu afanye wepes tuweza kumchangiq aende hospital 😢😢😢😢

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 2 месяца назад +2

    Pole sana mama

  • @mirnababy5012
    @mirnababy5012 3 месяца назад +1

    Pole sana mama allah atakupa afueni ya mwanao

  • @rukiamagambo5554
    @rukiamagambo5554 2 месяца назад

    Pole sana mamaw

  • @gracejoseph6381
    @gracejoseph6381 3 месяца назад +2

    Jamani Mungu mwema atatushindia Kwa yote mama atapona tu

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 2 месяца назад

    Mungu yako mama 😢😢😢😢

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 2 месяца назад

    Goli moja 5000000 magonjwa makubwa Kama ya ini vipimo bei ghali mno serikali ingifanya hizi huduma na hivi vipimo viwe bure na matibabu bure tu nilipata mgonjwa huyu najua Sana Ila alifariki

  • @moshijoramu2616
    @moshijoramu2616 3 месяца назад +1

    Aiseee pole

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 2 месяца назад

    Pore sana kakaangu

  • @rukiamagambo5554
    @rukiamagambo5554 2 месяца назад

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 2 месяца назад

    Naomba namba ya uyo kaka

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 2 месяца назад +1

    Tumia moringa spice ulizia kwenye Manuka yaviungo vwawaindii

    • @janetchinga695
      @janetchinga695 2 месяца назад

      Ulizia kwenye maduka yaviungo lakini yakiindi inasaidia sana Koloa uji weka kijiko cha chaii kimoja ataanza kula nakusikia nja nakwenda choo

    • @SamiaMbada
      @SamiaMbada 2 месяца назад

      Meseji haisomeki vizuri tafadhali irudieyaweza saidia wengi

    • @SamiaMbada
      @SamiaMbada 2 месяца назад

      ​@@janetchinga695jamani text Yako yaonyesha Kuna habari njema

    • @SamiaMbada
      @SamiaMbada 2 месяца назад

      Sawa inasaidia nini

    • @rukiamagambo5554
      @rukiamagambo5554 2 месяца назад

      Pole sana mama Tupo Pamoja