KUKU ADIMU DUNIANI WANAPATIKANA WILAYA YA TANGANYIKA KATAVI
HTML-код
- Опубликовано: 22 янв 2025
- Wana uzito wa kuanzia kilo nne hadi saba,wanauzwa kati ya shilingi 150,000 hadi shilingi milioni moja.Tembelea maonesho ya nane nane Nyanda za Juu Kusini viwanja vya John Mwakangale Mbeya katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika..