KUKU WA MAAJABU UZITO WAKE NI MFUKO NUSU WA CEMENT/BEI YAKE NI BALAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 39

  • @abuufaidaan
    @abuufaidaan Год назад

    ssalaamu alaykum nahitaji namba za simu bwana dedinyo ntafikaje ulipo

  • @bilalihaidary3650
    @bilalihaidary3650 2 месяца назад

    Dada mambo namba yako tafadhali

  • @EngineersSolution255
    @EngineersSolution255 2 года назад

    It’s Beter mngeweke mawasiliano yake Tunampateje?

  • @mamibaybii2669
    @mamibaybii2669 2 года назад

    Mm nahitaji naomba no ya sm tafadhali

  • @mohammedmohammed9067
    @mohammedmohammed9067 7 месяцев назад

    Mbana tunaomba namba za dedinyo hatupewi jamani

  • @festojuvenalis1656
    @festojuvenalis1656 2 года назад +1

    Huyu kuku amekuwa German shepherd 😂😂🙌

    • @chingaboy1149
      @chingaboy1149 2 года назад

      😁😁😁😁ndio nataka kushangaa

  • @CheerfulDominoes-xy6gh
    @CheerfulDominoes-xy6gh 5 месяцев назад

    Na vifaranga pea vinauzwa bei gani?

  • @FESTOYOHANISIMWAJOMBE-tm5bh
    @FESTOYOHANISIMWAJOMBE-tm5bh Год назад

    Nitumie namba yako

  • @jerrymcbride2230
    @jerrymcbride2230 Год назад

    Ningependa watoto wa brahama 20 hivi naweza pata?

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 года назад +1

    Si ajabu pengine walikuwepo kwetu africa wazungu wakawachukua na kwenda nao kwao Leo wanatuuzia Kwa bei Kali kama hiyo sisi tunakalia kusema wakizungu shauri zenu mie simo 🤔🤔🤔

  • @CheerfulDominoes-xy6gh
    @CheerfulDominoes-xy6gh 5 месяцев назад

    Mayai pea yanauzwa bei gani?

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 2 года назад

    This guy is good

  • @mohammedmohammed9067
    @mohammedmohammed9067 7 месяцев назад

    Namoba namba ya dedinyo tafadhali

  • @davidoirere9026
    @davidoirere9026 Год назад

    Niko kenya nimupate aje please

  • @zawadiabdallahussi2994
    @zawadiabdallahussi2994 2 года назад

    Je mayai yake unauza kiasi gani moja

  • @JulianaCharles-w7q
    @JulianaCharles-w7q 9 месяцев назад

    Kaka umtisha kwa kuku huyu ingekuwa na bei ndogo tungepata njia ya kumnunua

  • @zawadiabdallahussi2994
    @zawadiabdallahussi2994 2 года назад

    Tunaomba namba ya cm tafadhali

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 года назад +3

    MWANDISHI HAO KUKU WA MAPAMBO WANA BEI SANA UKIENDA SHARJA SOKONI WAPO KILA YA AINA UNAWEZA UKAPAGAWA MPAKA NJIWA WAPO UTASTA AJABU KWA UZURI WAO.

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 2 года назад

    number za simu hamjatoa

  • @CharlesGondwe-d7c
    @CharlesGondwe-d7c 11 месяцев назад

    Tunaomba mamba yenu ya simu

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 года назад

    Kuku gani anafika kifuani mzee hebu ondoa matango pori

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 2 года назад

    Hakuna hata siku moja kuku huyo akafika kilo 20kg

  • @jazirajazira8116
    @jazirajazira8116 2 года назад

    Siyo kweli kuku kufika kilo 25

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 7 месяцев назад

    Rodinyo naomba no zako.ohaaa

  • @jumakivuma5247
    @jumakivuma5247 5 месяцев назад

    uongo

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 2 года назад

    Etinkuku huyo anafika kilo 25 no way muongo tena anasifa huyu jamaa

  • @salehegiza3305
    @salehegiza3305 2 года назад

    Kuku la kizungu.

  • @franksebastian3909
    @franksebastian3909 2 года назад +1

    Uzito wake nusu mfuko wa cement yaani kilo 25
    Hivi uongo ni moja ya nguzo za uandishi wa habari siku hizi

    • @strong8534
      @strong8534 2 года назад

      Sasa mfuko wa simenti ina kilo ngapi??

    • @ibrahimaziz7158
      @ibrahimaziz7158 2 года назад

      Hhhhhhhhhhhh tumepigwa tena

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 года назад +4

    Sasa mpaka katika kifua urefu wake sasa huyo kuku punda

    • @laulymo2063
      @laulymo2063 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣atakuwa punda

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 Год назад

    Huyumshenzi muongo

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 2 года назад

    Mbona jamaa muongo huyu