MAMA TERRY: NA UZEE WANGU HUU NATONGOZWA KULIKO NILIVYOKUWA BINTI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 80

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 2 месяца назад +1

    Mama Tery is very intelligent

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 3 месяца назад +8

    Leo Mwijaku umepatikana na mama Terry😂

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 3 месяца назад +3

    Leo mama Terry umewapita watangazaji kwa mbali sana

  • @lswai6777
    @lswai6777 3 месяца назад +12

    Mwijaku anajifanya kama ni mjuaji sana mpaka inakera. Mara nyingine sikiliza experts kama Mama Terry. Hiki kipindi maybe not for you.

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 3 месяца назад

      Samahani sana, unauhakika kama Mama Terry ni EXPERT ?

    • @lswai6777
      @lswai6777 2 месяца назад +1

      @@MinskBelarus-il2tl ndiyo, kuliko Mwijaku kwenye hilo swala.

    • @Hamisi-xm2db
      @Hamisi-xm2db 2 месяца назад

      Uboro wa elimu ni elimu ya mazingira kwa nini hakuna elimu ya maisha ya ndoa? raisi na waziristan hawa wote wawe ni wasomi ili waajiriwe kwenye wadhifa huo

    • @Hamisi-xm2db
      @Hamisi-xm2db 2 месяца назад

      Pia wanaume wasomee maisha ya ndoa, wasiosoma elimu ya ndoa ndio maana tunavyunja ndoa kwa uzembe

  • @richnessiddi2725
    @richnessiddi2725 3 месяца назад +6

    Mwijaku umezingua Baba Levo kakushinda kwa hili hata tuko watu wa crown,,,umetuangusha sana na ujuwaji mwingi

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 3 месяца назад +3

    Mwijaku uko sahihi, hata maandiko yanasema Mwanaume ni kiongozi, mama Terry hatutakiwi ku balance tunatakiwa tuongee uhalisia - hapo Leo mama Terry umechemka sana na unawadanganya wanawake wenzio wavunje ndoa zao - na ninashaka kama mama Terry bado uko ndani ya ndoa - ni kweli Mwijaku mama Terry anaongea theory zaidi kuliko the real practice.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 месяца назад +4

    Mama unafundisha vizuri upo Sawa watu hawaelewi kabisa tatizo elimu ktk jamii zetu 🎉🎉🎉🎉

  • @juliuskuluo8876
    @juliuskuluo8876 2 месяца назад

    Hongera sana mama yetu
    Tunakushukurun kwa mafunzo mazuri

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 2 месяца назад +1

    Mwijaku ni Mr ziro

  • @galasiamponzi547
    @galasiamponzi547 3 месяца назад +5

    Mafundisho mazuri sana

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 месяца назад

    Kabisa mam ❤

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 2 месяца назад +1

    Mwanamke nimshauri tu mwanaume ndomwenye amri ww mama Teri unapotosha watu hujuwi doa unauzungu wingi sana

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 3 месяца назад +2

    Mwinjaku Mjuaji sana

  • @lilanfrancis
    @lilanfrancis 2 месяца назад +1

    Mwijaku iki kipindi hakimfai😂

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 3 месяца назад +2

    😅Mke mtii Mume na Mume mpende Mkeo. Hayo yakifanyika amani itatamalaki.

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 2 месяца назад

    Mwijaku yupo poaa kabisa,kwenye elimu hii...anawakilisha wanaume kwenye kipindi..kuchomekea nakupinga ,ndio kumfanya Mama Terry,azidi kufukua na kutuelewesha.ila kipindi kizuri

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 месяца назад

    ❤❤mom❤

  • @bas2823
    @bas2823 3 месяца назад +2

    THATS WRIGHT👍" MUME ANAFANYA KAZI NA MKE ANAFANYA KAZI" BOTH NEED TO HELP EACH OTHER N TO RESPECTS THEM SELF"! NOTH OF THEM"! NOT ONE TO BE RESPETS N ONE TO BE ABUSES"!?? THAT IS TOTALLY WRONG"! UN EXCEPT IT"! PLEASE"!

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 2 месяца назад

      Point of correction/Them Self-Themselves.One to be respected and none to be abused

  • @AllyMohamed-g9w
    @AllyMohamed-g9w 2 месяца назад +1

    Wewe mwijaku hauna akili huyomama yukovizuri sana

  • @safyaaltoqi205
    @safyaaltoqi205 2 месяца назад

    Uko sawa ❤

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 3 месяца назад

    Mama yupo sahihi kwamba mtu anajifunza maisha tokea anapozaliwa hii ni kutokana life style wanayoishi wazazi wako, pia nakumbuka zamani majukumu walikuwa wamegawa kwa jinsia , huwezi kuta mtoto wa kiume akiosha vyombo,akienda kutafuta kuni, mtoto wa kiume yeye ni shambani kuchunga😢😢,, so yale yalikuwa ni njia ya kumwandaa kila mmoja aishi ktk majukumu yake

  • @rauhiyaaziz8000
    @rauhiyaaziz8000 3 месяца назад +1

    Hio sio power ni ufinyu wa akili kielimu ni lazima usilolijuwa ulikubali ili ujifunze , sisi tunamsikiliza huyo mama tujifunze sio kuleta ubishi ikiwa ni hivo bila shaka hamjazingatia dhumuni ya kipindi chenu.

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 2 месяца назад

    Uasi wa nature unaitwa kuendelea sana imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho na mwamke atazaa kwa uchungu na tamaa yake itakuwa kwa mumewe leo mnasema eti wanawake wameendela😮😮

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 3 месяца назад +1

    Na sio kila ukienda kukutana na mwanaume ni lazima ukanyanduliwe! Kwani haiwezekani kwenda kuzungumza tuu? Hayo ya kufanya mapenzi huwa yanakuja automatic tu mtu ajione mwenyewe anakubali, sasa wanaume wai mkikutana tuu hata kama ndio first appointment anataka mchebwedo kwanini sijui hawa watu hawana uvumilivu! Japo wadada nao kwenda kwenye kideti bila hata kahela ka akiba napo ni upumbavu uliopitiliza! Acheni hizoo

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 2 месяца назад

    Mwijaku yaani unarudi nyumbani saa nane usiku then unataka usiulizwe, kama unataka uhuru uwo basi kaa peke ako usioe.
    Ndoa ni kuheshimiana ndoa sio utumwa bhana.
    Mwanamke atambue nafasi yake kwa mume wake na mume pia atambue nafasi yake kwa mkewe.

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 3 месяца назад +2

    huyu mwijaku na english yake ya kuokota bwana , hajui hata maaana ya nature,

  • @fatmaabdi7192
    @fatmaabdi7192 3 месяца назад

    Binadam hawawezi kuwa sawa toka dunia ianze kwa sababu hata mungu alianza na AADAM sasa itakuaje sawa maa teri anataka wawe sawa hiyo haiwezekani tatazo ni mwanamke akikataa hakuna kitu unyanyasaji hizi zingine ni tabia za mtu

  • @NETIQIncorporation
    @NETIQIncorporation 3 месяца назад +1

    wanawake mnatakaga wenyewe bhana, acha hizo wanawake mnatamaa siku hizi

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 2 месяца назад

    Huyu mamateri Ni mama mwenye akili Sana.

  • @skyscapeinternational9658
    @skyscapeinternational9658 3 месяца назад

    MWIJAKU MBONA UKO MBELE YA MDA SIKILIZA KWANZA 😄😄😄😄

  • @paul_sereva
    @paul_sereva 3 месяца назад +1

    Mwijaku anaboa.

  • @Wazir-y5k
    @Wazir-y5k 2 месяца назад

    Mwijaku ujuaji mwingi alafu kumbe bado kbs

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry 3 месяца назад +1

    Hili ni tatizo kubwa hata muoongee hadi kesho hamta maliza tatizo taifa zima limekuwa halina maadili ndomana sasa hivi hata ndoa hamna single mama ni wengi wa

    • @AzizMangara
      @AzizMangara 2 месяца назад

      Na u single mama ndo umeperekea maadili mabovu nchini. Watoto wanalelewa na wazazi wawili.

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 2 месяца назад

    Mwijaku ovyooo. Kichwa cheupe hana kitu. Hivi huyu jamaa kamalizaa hata darasa la saba? Mama Terry yuko vzr mno

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 2 месяца назад

    Mwijaku mjinga sana wewe .power hyo ili iweje?kumbe mwalimu wako wa shule alipta tabu kweli nimeamini.kwann hufai kuulizwa kisa ati wewe mume?huo ndio unyanyasaji.mbna ww umuulize yy?ndo Mama akakwambia kuwe na kuheshimiana ktk ndowa.mara ingine mke anakuuliza sbbu ana dhiki pengine umeshikwa na majambazi jee

  • @MaryMarcelLotto
    @MaryMarcelLotto 3 месяца назад

    Mdikilizeni huyo mm ni kichwa nawaona tu mnatumia simu hiyo knowledge ni hatari mwijaki usipemde kubisha tu chukua hiyo itawasaidia mm huyo Mungu akuwe

  • @amedeuskimario8895
    @amedeuskimario8895 3 месяца назад

    Mama anauwezo mkubwa mnoo mwijaku maza kakutoa kwenye reli kwenye suala la upeo

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 месяца назад

    Mwejako neda kw mashihe 😅

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 2 месяца назад

    Mama teri hujuwi ndowa acha kuchangia umalaya

  • @restitutakisamo7607
    @restitutakisamo7607 3 месяца назад

    Leo mwijaku kakutana na mama anayejua

  • @maase2023
    @maase2023 2 месяца назад

    Wanaokutongoza kweli wana macho mazuri?

  • @AzizMangara
    @AzizMangara 2 месяца назад +1

    Mwijaku yupo sahihi. Mwanaume ni nature. Make Kuna Dume na mwanaume, mwanaume ni nature na Dume hata ng'ombe, nguruwe, mbwa, wapo madume, Dume alijui majukumu yake ya kiwanaume , na ndo wanawake wasasa wanawataka, kwa tamaa zao, wanaacha wanaume wa nature ambao wanatambua majukumu Yao kwa mwanamke.

  • @florakimaro-vw7qj
    @florakimaro-vw7qj 3 месяца назад +2

    Rihama hapo anafanya kazi gani jamani mbona simwelewi Mimi hata kuuliza swali awezi mpka kipindi kinaishaa hata aongei kitu

  • @sf2tv
    @sf2tv 3 месяца назад

    Ivi Kupa pesa mwanamke mala kwa mala ndoo upendo

  • @MassoudkhamisAli
    @MassoudkhamisAli 3 месяца назад

    Jamani tumuelewe huyo mama anachokisema Mwanamke ni Mama lakini pia Mwanamke huyohuyo ni mtoto iyo mwanamke aheshimike ana part mbili anaplay kwa wakati mmoja akiwa mama muheahimu kama mama akiwa mtoto mpe mafunzo kama mtoto

  • @dominickiungulia1016
    @dominickiungulia1016 2 месяца назад

    Mwijaku hujitambui jifunze kusikiliza hoja., na kujibu kwa akili.

  • @SabatoMusa
    @SabatoMusa 2 месяца назад

    Walijalu kawamuna wanisai mwanaume nikiongozi popote duniani naakhela

  • @khadijakimana8809
    @khadijakimana8809 3 месяца назад

    Rihanna, all the time on the cell 🤔 no eye contact or engaging in the conversation??? Mwinjaku is controlling man😢 Mamkubwa wewe ni teacher 👌 all of us we need to teach our girls to know their values!

  • @juliuskuluo8876
    @juliuskuluo8876 2 месяца назад

    Wewe ni kisima cha vitu vizuri watu kama ww ni wachache

  • @ramsonmugisha961
    @ramsonmugisha961 3 месяца назад

    Hahahaha hapo sasa mwijaku atamfundisha mwanae awe chawa ???!

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 месяца назад

    Huyo mwijaku hakwenda jando

  • @solomonsaitabau4461
    @solomonsaitabau4461 3 месяца назад

    mwambie huyo alivaa nguo za Ccm hapo sio mkutano wa chama ni kituo cha matangazo ya watu wote

  • @SandeLigate-i8w
    @SandeLigate-i8w 3 месяца назад

    Mwijaku akili ya Kuku akiamuka afunguliwe mlango amwagiwe mchele anaona anapendwa kumbe anatemgenezewa mazingira ya kuchinjwa

  • @mchawimweusinjomo5533
    @mchawimweusinjomo5533 3 месяца назад

    Simba na tembo nao by nature mama Teri noooooooo

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 месяца назад

    Mwijaku unaongea sana mpaka unaboa

  • @mchawimweusinjomo5533
    @mchawimweusinjomo5533 3 месяца назад

    Mamq Teri hapa umekwmq.viumbe wrote wa jamii ya kiume ni viongoz by nature angalia jogoo kwa kuku .ndege na viumbe yote tembo simba

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 2 месяца назад

    Mwijaku much know for nothing 😂😂😂😂😂😂

  • @AnthonyDcosta-f3q
    @AnthonyDcosta-f3q 2 месяца назад +1

    Huyu mama sijamuelewa yeye hajue wanawake walivo

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni 3 месяца назад

    Hala

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 месяца назад

    Bichwa la mwijaku kubwa lakini limejaa. Mimavi

    • @Wazir-y5k
      @Wazir-y5k 2 месяца назад

      😂😂😂😂

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 2 месяца назад

    Wewe mwijaku unapinga kiujinga tuu.kumbe bumbumbu ww eeee?nimejua leo.pls muelewe Mama amekusudia nn.ati unasema lazma akalipe al8chokula?km ni binti yko mwijaku ungekubali mwehu wewe

  • @DennisAnthony-j5y
    @DennisAnthony-j5y 2 месяца назад

    Kwa hiyoo anywee za bureee mama teri hovyooo anatetea umalaya

  • @bahatishabani1392
    @bahatishabani1392 2 месяца назад

    MWIJAKU LEARN ON HOW TO LISTEN! UR NOT A GOOD LISTENER!

  • @bas2823
    @bas2823 3 месяца назад

    LOOK THIS MWINJAKU" ALIVO KWANZA"! HANA HATA MENUS"! OF HIS SELF"! HE IS LIKE CROOK PERSON ONLY"! THIS IS HOW HE MADE HIM SELF"! TO BE"!😅😂😂🤣😅LOOOOL😁😁"!!

  • @IssaNiyonzima-cx1jo
    @IssaNiyonzima-cx1jo 3 месяца назад

    duuuuu ila mwijaku 😂😂😂😂