Madam Martha napenda nyimbo zako sana Kwanza wimbo wako wa BAKUSHUKURU MUNGU WANGIU ndio skiza tune and ringtone yangu. Leo hii najipa jiba mpya na nina jikubali jinsi nilivyo🙏🙏🙏👌
Unanibariki sana katika uimbaji ahsantee, jamani umenenepaaa ujue siyo yule wa kwenye ile Kwaheri nenda au penye riziki ulivyo kuwa ukicheza kama mjeshi
Barikiwa sana mama nakupenda bureeee❤❤❤! Nyimbo zako hizi za awamu hii zote ni 🔥 (SIJAONA, JIPE JINA, HILI NALO LITAPITA) na zikubali sana hizi Mungu akuzidishie mara dufu🙏
Ww dada weweeeeee Kwanza saut yako alafu umeimba kwa hisia kali mnoooooo as if ulikuepo kwenye maissha yangu ya 2012 to 2019 hii kipndi ilikua ngumu dhihaka kaali sana manyanyaso makaali nilitukanwa Sanaa lkn tangu nilipojipa jina na YESUKRISTO akaliptshaaaaaaaaaa now imukinionaa hhutaamn
Nakupendaga sn da Martha na nyimbo zako, umenenepa umependeza ume shine 😘 daaah kweli hakuna mwembamba jaman, ndo amani ya moyo inachangia kuglow kwakweli. Zidi kubarikiwa sana
Creativity and art in this video is of another level ❤..mara ya tano kuitazama 😊..nishajipa jina ..Amen ..nami nimwimbaji naomba mungu anifikishe ivi viwango
Wimbo ulio na ufunuo na upako. Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya mama. Kenyans tupiteni hapa 🇰🇪🇰🇪 tukijipa jina, like ukisonga 👍
Amen Amen 🙏 lave from Kenya 🇰🇪💗💗💗 Najipa jina mmi ni mbarikiwa🙏🙏
❤❤❤❤ huu ni kati ya nyimbo tamu za huu mwezi na isitoshe, yazungumza na wengi ❤ kama waamini kama mimi gonga like
Amen mie ni mbarikiwa
@@ElizabethNyamai-me2id Amen
Wakwanza ku like naomben like zangu
Amen
How can I get it
Aya
Naitwa mbarikiwa ,kibali ,upendo ,mfanikiwa kwatika jina la yesu❤❤🙌🙏🙏🙏
Wacha nijipe jina mimi ni Tajiri , mwenye Neema, mbarikiwa na niko mrembo wa YESU 🙏
Nayafuta majina mabaya kwa jina La ya Yesu,kuanzia Leo Mimi mbarikiwa Amina! Barikiwa mtumishi wa Mungu
Mm ni tajir Tena mrembo nishajipa jina ❤❤❤
Sala/Maombi ndani ya wimbo. Mungu akubariki Dada Martha Baraka.
Madam Martha napenda nyimbo zako sana
Kwanza wimbo wako wa BAKUSHUKURU MUNGU WANGIU ndio skiza tune and ringtone yangu.
Leo hii najipa jiba mpya na nina jikubali jinsi nilivyo🙏🙏🙏👌
Kwa wimbo huu sasa umetisha Dada Martha
Hongera hongera Hongera❤❤❤❤❤pongezi❤❤❤❤ pongezi dada❤❤❤❤
Dada unajua sana kuimba na nyimbo zako zinanibariki
Mtumishi wa MUNGU, Martha dada Yetu Asante Kwa ujumbe mtamu katika wimbo , MUNGU akutunze na azidi kukuinua
Thank you for the inspiration Minister Martha,i love you right from Kenya.Bwana akikuinua anikumbuke namimi
Amen Am blessed alot,, nimejipa jina zuri
Ubarikiwe Sana mtumishi naomba like zangu ❤🎉
Mimi Ni mbarikiwa
Am highly favoured by God
Am God's favourite ❤❤❤❤❤
Hayo nyimbo nimeipenda sana kwa sababu ata n'a mie niliipata ile jina kwa kweli
Mimi ni mbarikiwa,mrembo na nitajiri mmiliki wa majumba,magari,biashara na mashamba🙏🙏🙏🥰
Unanibariki sana katika uimbaji ahsantee, jamani umenenepaaa ujue siyo yule wa kwenye ile Kwaheri nenda au penye riziki ulivyo kuwa ukicheza kama mjeshi
Heko mum.. wimbo mzuri wenye kufariji
Hongera dada yangu kaz yako ni njema mno
Amina Amina Mimi ni mbarikiwa wa yesu.
Barikiwa sana mama nakupenda bureeee❤❤❤! Nyimbo zako hizi za awamu hii zote ni 🔥 (SIJAONA, JIPE JINA, HILI NALO LITAPITA) na zikubali sana hizi Mungu akuzidishie mara dufu🙏
iyo kweli kipenzi mungu akulinde saana nafamiliya yako
Ww dada weweeeeee
Kwanza saut yako alafu umeimba kwa hisia kali mnoooooo as if ulikuepo kwenye maissha yangu ya 2012 to 2019 hii kipndi ilikua ngumu dhihaka kaali sana manyanyaso makaali nilitukanwa Sanaa lkn tangu nilipojipa jina na YESUKRISTO akaliptshaaaaaaaaaa now imukinionaa hhutaamn
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 God is changing my name hallelujah 🙏🙏 good song mami
Waoooh dada martha wimbo mzuri sana pia mimi napenda unavyojiheshimu mpaka raha
I love your voice and your songs,siku moja when the time is right tutafanya collabo ,amen
Natembea na baraka za Bwana! Amen 🙏🙏🙏
Blessing..jipe jina..mungu yuko
Najipa jina Mimi ni Mbarikiua, Amém 🙏🇲🇿
Hallelujah!! God is able and faithful
Nakupendaga sn da Martha na nyimbo zako, umenenepa umependeza ume shine 😘 daaah kweli hakuna mwembamba jaman, ndo amani ya moyo inachangia kuglow kwakweli. Zidi kubarikiwa sana
Ubalikiwe sana mtumishi wa mungu
Amen nimejipa jina mm ni mbarikiwa na mwenye neema kubwa
😢😢Najipa jina Mimi ni hodari, Mimi ni mshindi ,Mimi mzima kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth 🎉❤
Yesu kristo akubariki milele
Eeeh Mungu wangu, nipe jina baba🙌🙌🙏🙏
Beautiful creature of God me❤ ubarikiwe dada Martha
🙏 ameen being blessed pastor, ujumbe tamu
Mimi ni mzuri nko na sura nzuri mbarikiwa na mshindi kwa jina la Yesu. Be blessed my sister for a good message
Creativity and art in this video is of another level ❤..mara ya tano kuitazama 😊..nishajipa jina ..Amen ..nami nimwimbaji naomba mungu anifikishe ivi viwango
Waoo nam nam leo na jipa jina la kubarikiwa leo amen🎉
Aksante sana ❤❤❤ mimi ni mubarikiwa !! Futur président
Amin mimi nmmbarikiwa ❤❤❤
Napenda kazi zako na kila mara Mungu Anakutumia na upako mpya. I love you siz.
Asante dada ❤❤
Big up guyz....it's blazing🔥🔥🔥
Amen Amen 🙌🙌🙌🙌🙏🙏 may God bless you, the message is touching.
Unae sema atumie jina la mme wa sasa unanichanganya,,,Martha yupo na mme wake yuleyule abadilishe nini sasa,,,
Ameolewa tena ,,yule wa kwanza ambaye anaitwa BARAKA waliachana mda Sana
Ameen ,blessing❤🎉
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu, nimebarikiwa sana na kunipa tumaini jipya tena
Always blessed with your song ,
Ubalikiwe sana
Wimbo umepenya had ndani ya moyo wangu naskia kuinuka kwa upya
Barikiwa
May Almighty God bless your Ministry Madam Martha. Mungu Mwenye nguvu zote akubariki Madam.
Amen mimi ni mbarikiwa wa Bwana
Barikiwa dada Martha baraka umenibariki sana
Amazing message
Amua ... Decide... Njenga uamuzi kweye mwamba.
Wimbo huu unanijenga sana barikiwa sana dada
Mungu akulinde uendelee kumtumikia Mungu....nakupenda bure dada❤❤❤❤
Wimbo mzuri na unaupako Sana.. More and more grace
Usichoke kututumiya maombiya yako yangusa saana myoyo yetu sote ubarikiwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤beautiful
Mimi ni Mbarikiua Amém Glória Deus.
Mtumishi ubarikiwe sana.Kiukweli huu wimbo n wa baraka sana.
MUNGU akubariki sanaaa mtumishi wa Mungu, Mimi ni mbarikiwa❤❤❤
It has encouraged me in my current situation
Hallelujah,,,
Thanks God
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU 🎉🎉🎉🎉
Nyimbo zuri,kazi safi sana, Mungu wa mbinguni azidi kukuinua viwango vya juu sana❤
You have built me cos of many names ihave called.sister be blessed
From today najipa jina "Mbarikiwa"🙏
Amen amazing
Wow ujumbe wakuinua moyo asante Sana mum barikiwa
Amen mtumishi ubarikiwe sana nimebarikiwa sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nikebarikiwa na najivuia kua mrembo
Am blessed ad beautiful hallelujah 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amina ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
❤❤❤❤ wimbo umegusa maisha yetu kwa ujumla hakika mungu akukumbuke pastor
Usichoke kututumiya maombiya yako yangusa saana myoyo yetu sote ubarikiwe
🍒Lakini Baraka hataki Martha ulitumie jina lake mbona bado unalitumia?
Sasa watu wameshazoea kumuita hivyo ,,, Sasa akibadili atawachabganya watu ,,,
Kwani aliachana na mume wake @@GracePetro-oz7ns
Abadilishe tuone nyota yake @@GracePetro-oz7ns
Wimbo umekuja wakati mwafaka.. mungu nipe jina🙏
Haleluyaaa
Hongera mtumishi
God bless you, kenya doing wonders
Powerful song. Blessings my sister 🙏🙏🙏
Barikiwa mnooo kazi ni nzuriii
🔥🔥🔥
nice song 👍 👍 👍 💯
Amem mama barikiwa
Bado sijamalizana na Mungu❤❤❤❤
Amina. Wimbo umenibariki mno.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻najipa jina god bless my mother
Amen barikiwa my sister God bless you 🙏
Amen amen 🙏🙏 ujumbe mzuri Mtumish
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Amen nimebarikiwa🙏