Allah akurehemu sheikh Nassor Bachu hakika ulifikisha ujumbe. Allah awalipe wote waliofanikisha kufanya mawaidha haya yaendelee kufikia umma hadi leo. Insha Allah ujumbe huu iwe sababu ya Allah kuyafanya mema yetu yawe mazito katika mizani siku ya Qiama.
allah amrehemu shekh nasoro bacho amiin
Allah amrehem sheikh wetu ampanulie kaburu lake amuwekee nuru katika kaburi lake aamiiin