MADA:JEE INAFAA MIKUSANYIKO YA MAULIDI KATIKA MWEZI HUU WA RABILIAWAL SH.NASSOR BACHOO NO:2:

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 17

  • @adammakame63
    @adammakame63 2 месяца назад +1

    Sio mchezo.baba hapa kaua. Ni hatari mawaidha unaona raha kusikiliza. Sauti imenyooka. Allwahumma ghfirlahu,waskinhu filjanna.ameen Yarabi.❤

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv Год назад

    Allah amrehemu shaykh nassor bin Abdallah bin bachu

  • @iddimkulu2791
    @iddimkulu2791 Год назад

    اللهم اغفر له و ارحمه

  • @hamishijja4574
    @hamishijja4574 Год назад

    Mashaaallah Allaah akulaze mahalapema

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Год назад +1

    Sheikh Nassoro Alikuwa vizuri saana Allah azidi kumrehem Subhanallah

  • @omarally6819
    @omarally6819 Год назад +1

    Allaah akurahamu ewe Shekhe wetu msema kweli na ulie simamia haqqi

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Год назад

    Allah amrehemu sheikh.

  • @othmanabeidy4460
    @othmanabeidy4460 Год назад +2

    Masha, ALLAH Nakupenda sana ALLAH Atujalie tukutane JANNAH

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Год назад +2

    YaAllah tusamehe wajawako hatuna pakukimbilia ila isipokuwa ni kwako 😢😭😭😭

  • @omarally6819
    @omarally6819 Год назад +1

    Walishindwa kukungia kwa hoja na wakabaki kuporoja tu.
    Naleo umetuachia kumbukumbu zako zina wasumbua na kuwakosesha amani masufi😅😅😅😅.
    Allaah awalinde watoto wako Shekhe wetu, maana nawao wako kwenye vita vikali kama ulivyo kua navyo wewe

    • @hamadalikhamis
      @hamadalikhamis Год назад

      Emeenda io Kenya juzi j2

    • @HawaOmary-fb6wo
      @HawaOmary-fb6wo Год назад

      MPAKA MTU YUKO MBELE YA HAKI BADO WAMSHINDANISHA KWA HOJA;BADALA YA KUMTAKIA UJIRA WA ALLAH,,UWO NI UFINYU WA ELIMU,HALAL BAYIN,,HALALI IKO WAZI,WA HARAM BAYIN,NA HARAMU IKO WAZI,,KAMA KUKUSANYIKA KWA AKILI YA MTUME NI HARAMU BASI MPAKA LEO WATU WANAITAFUTA IYO DALILI.

    • @hosinali8164
      @hosinali8164 Год назад

      Vitagani hivo usemavyo hoja gani wakishindwa kunanani hao