Uzushi wa Maulidi 🎙Sheikh: Nassor Bachu {Rahimahullāh}]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 83

  • @HassanKatumbi-hr5lg
    @HassanKatumbi-hr5lg Год назад +1

    Ya Allah tusamehe makosa yetu tulio hai na waliotutangulia na mrehem kipenz chetu sheikh nassoro bachu

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 8 месяцев назад +1

    Allah kapiga mihuri,kwa watu wa maulid kawaongoza waliko taka wao kupotea, ndomana hudumu kufata uzushi kama wanafanya ziara za kuabudu makaburi, na wanatetea kusudujia makaburi kwao ni sawa tu,na wanasimama mashekhe wao kutetea shirki hata hili la maulidi haliwaathiri sabu allah hawwongoi watu madhalimu

  • @suleimankhatibjogoo7236
    @suleimankhatibjogoo7236 3 года назад +5

    Allah amrehemu sheikh wetu sheikh Nassor Bachu

  • @hamzashabani4910
    @hamzashabani4910 5 лет назад +14

    Allah Amrehemu na ujira usiokuwa na kikomo, amuondolee adhabu ya kaburi, amfufue pamoja na wema waliotangulia, Allahumma aamiyn thumma aamiyn

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 года назад +7

    Yah Allah mrehemu sheikh wetu na umjaalie Jannahtul fildaus Sheikh wetu Nasoro bachu Allahuma amin😢

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo Год назад

    Allaahummaghfirlahuu warhamhuu waaskinhufiljanna

  • @ramadhansimbila-kg1hf
    @ramadhansimbila-kg1hf 5 месяцев назад

    Mashaalwaah barakalwaah

  • @alyomar811
    @alyomar811 2 года назад +2

    Allah akulehmu na akujarie pepo inshallah

  • @abdulsalamikhamis9316
    @abdulsalamikhamis9316 3 года назад +5

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة. آمين

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 3 года назад +4

    Allah akurehmu na akujalie jannti firdhausi Allahumma Amiyn

  • @hidaymohd6399
    @hidaymohd6399 3 года назад +4

    Allah akurehem sheh nassor

  • @ustadhabuurahaleo3878
    @ustadhabuurahaleo3878 4 года назад +5

    ALLAH AMREHEM HL ALIKO NA MSAMEHE MAKOSA YK AMEEN

  • @khamismussa6308
    @khamismussa6308 5 лет назад +7

    Tunaomba zaidi na zaidi mawaidha ya sheikh nassor bachu

    • @abutafawa
      @abutafawa  5 лет назад +2

      In Shaa'Allāh nitajaribu khamis

  • @binrashed7396
    @binrashed7396 4 года назад +3

    Allahu amrehemu

  • @irakozearmel4443
    @irakozearmel4443 5 лет назад +7

    shukrani za zati kwa mawaidha wa shekhe wetu mupendwa Nassor Bachu (rahimahullah). Naomba utuzidishiye mawaidha mengineyo barakaAllahu feeka

    • @abutafawa
      @abutafawa  5 лет назад +1

      Mola atuwezeshe kuundeleza jambo hili na atulaia ikhalas kila tunachokifanya iwe kwaajili yake...
      In Shaa'Allāh nitajaribu kutuma khuba zake.
      Wa Feek.

    • @irakozearmel4443
      @irakozearmel4443 5 лет назад +1

      @@abutafawa Haya asante sana. Amiiina

    • @binmalikhmuditido1505
      @binmalikhmuditido1505 4 года назад +2

      Tunaomb file aplication maalum ya maidha yak play store

    • @ibrahimmsabah440
      @ibrahimmsabah440 4 года назад +2

      Msiba mkubwa kuondoka kwa Sheikh huyu, kwani kila alichokipinga ukenda kwenye maandiko utakubaliana ne tu labda ubakie ukaidi wa kijinga tu.

  • @omarisuleiman2611
    @omarisuleiman2611 4 года назад +3

    Allah akurehem

  • @khamismussa6308
    @khamismussa6308 5 лет назад +4

    Allah amrehemu sheikh nassor bachu

  • @mustasharyusuf9133
    @mustasharyusuf9133 2 года назад

    Allah Akurehemu sheikh wangu

  • @husnarahim3452
    @husnarahim3452 4 года назад +3

    Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh shukran kwa mawaidha mazur Allah akuzidishie kila lenye kheir

  • @issaally7928
    @issaally7928 2 года назад

    Allah amrehemu

  • @muhammadmjara6776
    @muhammadmjara6776 3 года назад +1

    enye makhurafi munayazingatia haya au muna yakataa chukuweni elimu kwatu wasuna

  • @ustadhabuurahaleo3878
    @ustadhabuurahaleo3878 4 года назад +4

    bora awaghalifu binadam ila sio kwa mungu kwn masheikhe wa gof hwakua maswahaba ni binadam wanakosea sio km tena masheikhe wa gof hwahkalifiwa kwa kua hwana kasoro laa tufuate dini ilivyoteremshwa jee maulid ymethibit wap katk kitabu au hadithi za bwna mtume muhammad s.a.w jee ww usemae KAWHALIF MASHEKH WA GOFU JEE WP MAULID YMETHIBITI ?

  • @makamekibao613
    @makamekibao613 4 года назад +1

    As salam alaykum war rahmatullah
    Naomba mwenye mawaidha ya sheikh huyu anitumie wasap
    0714125411

  • @ahmedmohamed-wm5ec
    @ahmedmohamed-wm5ec 5 лет назад +2

    Jamaa kiasi apinge huyu kawahalifu mashekh zke huyu wa gofu

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 5 лет назад +1

      Kawahalifu au kawanyoosha,hata mtume alimnyoosha mjomba aifuate njia ya haki.

    • @jumahussein7579
      @jumahussein7579 4 года назад +2

      Acha kupenda tu je unadalili mpinge yey anapinga kwa dalili

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 года назад

      @@sabraham5308 shikio halizidi kichwa🤣. Basi mashekh wote wazanzibar na mufti WA ZANZIBAR na zanzbar ilikuwa inaitwa makka ndogo wote wanasoma maulid. Alipojifunza huyu mzushi akatoroka darasani

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 3 года назад +3

      @@hilalkhalfan1452 Nani kakwambia masheikh wote,wakisoma maulidi,msahafu wa kwanza ulitafsiriwa na Sheikh Abdulla Saleh Farsy,yeye alikuwa kinara wa kuyapinga maulidi,si hayo tu,alipinga hitima,arubaini,Tawassul,salatul tasbihi,hayo yote hakuyafanya mtume,masahaba,matabiin,maimamu wakuu wanne,imam Abu Khanifa,Malik,Shafii na Hambali,sasa mzushi ni nani?,ni wewe au ni yeye aliyekwisha tangulia mbele ya haki,wapotofu wakubwa nyinyi msiosikia,nusu mlionayo sasa mmeyaiga kutoka kwake.wazushi wakubwa.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 года назад

      @@sabraham5308 🤣🤣🤣nakuonea huruma kwasababu mimi mzanzibar ndio niulize kwetu kulikuwaje. Wewe utajua je ya kwetu. Kama wewe huyo Abdallah farsy unamuona ni mtu WA zamani Sana basi nakujuilisha huyo ni shekhe Wa juzi tu ukichukuwa vigogo vilioimarisha Uislamu zanzbar mpaka ikaitwa makka ndogo huyo farsy alikuwa hajazaliwa. Soma historia na sio kukurupuka na jazba hapa. Mimi binafsi yangu nimekutana na Shekh HAJI KOMBO ambae alikuwa mufti WA tumbatu zanzibar na yeye ndio alikuwa apewe umufti WA ZANZIBAR ila akaingizwa Abdallah farsy kimagendo kama hujui🤣🤣🤣. Huyu shekhe Haji KOMBO mufti WA tumbatu alikuwa kafariki miaka mitatu nyuma na alikuwa na umri kiasi miaka Mia kukisia. Huyu ndio alio soma darasa moja na ABDALLAH farsy walisoma pamoja kwa Shekh suleiman bin alawi 🤣🤣🤣. Sasa unaposema tu mechukua ilimu kwa mwanafunzi WA juzi unnatutukana sanna. Mwanzo kabisa alipochukuwa umufti akawa akisoma maulid kama mashekh zake lakini akarubuniwa akabadilisha msimamo ndio akawa akafanya hayo unayo Sema ni kweli kabisa. NA baada ya kufanya hayo 🤔 halma nusra yatokee Makubwa siwezi kueleza hapa ndio SHEKH OMAR BIN QULATAIN akawaamuru watu waondoke wamuachie na ukafiri wake. Ndio akakimbilia Kenya na Kenya mwisho wakamtoa pia🤣. Sasa elimu yake haipo zanzbar tusidanganyane. Na msahafu aliotunga umetolewa makosa mengi tu. Sasa unasema tumefunzwa na ABDALLAH farsy kweli umetupa tusi kubwa. Kwanza alipoanza ujinga tu kafukuzwa Sasa nitajie mwanafunzi mmoja tu Wa Abdallah farsy kwa zanzbar?. Huna ujualo maporojo ndio sifa zenu na ubishi kama kwamba mshapigwa chapa ya mihuri mioyoni mwenu

  • @Abunowman182
    @Abunowman182 4 года назад +2

    Kwani gofu walikuwa mitume hao masheikh? Mtume swala Llah alikosolewa Mara nyingi2 katka Qur'an ndio iwe masheikh wa gofu? Shikeni dini na sio miskiti na masheikh zake waislam nyie.