UHARAMU WA KUSOMA MAULID(SHEIKH NASOR BACHU KHUTBA YA IJUMAA) TAREHE :25-6-1999

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии •

  • @abdoulrahmanahmed5802
    @abdoulrahmanahmed5802 11 месяцев назад

    Allah Ampe Thabati Sheikh Nassor Abdullah Bachoo

  • @shadyayussuf341
    @shadyayussuf341 Год назад

    allah amsamehe makosa yake huy shekh na amlipo yaliokuw ya khery

  • @saidyusuf9245
    @saidyusuf9245 Год назад

    Mashaa allah Mungu amrehemu shekhe nassor bachuu kawa hakika ameisha fikisha yule mwenye kutakiwakheri na mungu ndiye mwenye kukumbuka

  • @omarally6819
    @omarally6819 Год назад

    Nikimsikia huyu Shekhe nahisi kilio kipo karibu.
    Ewe Allaah msamehe makosa yake Shekhe wetu, na mmiminie Rehma zako huko kaburini aliko.

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 3 года назад

    Mtadhalilika Sana na mazazi ya mtume Muhammad s,a,w tutaendelea kuyafanya kila mwaka na kila mahali

    • @daarusalafiya
      @daarusalafiya  3 года назад +1

      Sisi kazi yetu ni kubainisha tu....ama utendwaji wa izo bayaan tunazozibainisha sisi sio kazi yetu....maana hamtudhuru wala hamtunufaishi.bali mwazidhuru nafsi zenu tu kwa kuwaiga manaswara n.k

    • @abuufauzaanmohd8117
      @abuufauzaanmohd8117 2 года назад

      Allah akuongoze ktk njia iliyonyooka

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 3 года назад

    Mawahabi mbona mnateseka

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 3 года назад

    Mmeipata wapi hiyo amri?