Mwenyezmungu amrehemu shekh nassor bachu na mamangu Fatma Ahmed Duwel na Waislam wote walotangulia mbele ya HAQI awatilie nuru ndani ya Maqaburi yao yawe vyumba katika vyumba vya Peponi... Nasisi twaomba uongofu, maisha mema ya dini na Dunia.. Na mwisho twaomba husnilkhatima waqt wa Mauti.. Allahumma AMIIIN AMIIIN Yaarabb.
Mashallah mwenyezi mungu akupe pepo ya Firdaus ww pamoja na wazee wetu na wailslam wote walotamguliya mbele ya haqi kwa kweli tunafaidika kwa mawaidha ulotuwachiya
Shekhe nasor bachu imenifungua mengi Allah ndo shahid juu ya hili kupitia yare ulionizindua shekhe Allah akulipe ujira mzur na kabur lako alifanye miongoni mwa nyumba za waja wema
Allah akujaalie pepo na faraja kwenye barza na marehemu wote walio mbele ha haq ndgzetu katka imman inshaallah nasie tupo tunakuja ALLAH atufanyie wepes
Yaani kila nikisikiliza sauti ya huyu sheikh, moyo unashtuka na nahisi machozi kunitokaa, ya alhahu ya karim nakuomba umlipe kheyri nyingi kwa huruma zako sheikh wetu, na umruzuku pepo na umpunguzie adhabu ya kaburi Hakika wema hua hauozi
Ewe mola wetu hakika ww ni tegemezi letu kwa kila kitu utupe wepesi wa kuifunga swaumu yako bila ya kutetereka ewe mola wetu mpe nuru isiyo ishia kipenzi cha nyoyo zetu sheikh nasour bachu kwani kaipigania dini yako mpaka kufa kwake hakurudi nyuma nac tupe muongozo tufate kile alichokuwa akikifundisha inshaallah
Mashaalla shehe Wetu alla akupe pepo yenye daraja ya juu
Allah akurehem sheikh Bachu....akusamehe madhambi yako na akujaliye pepo ya daraja ya juu....hakika sichoki kusikiliza mawaidha yako.
Allah amrehemu mamangu akipenda mawaidha ya marhemu nassor bachu tumelelewa na mawaidha yake
Allah mjalie pepo ya firdaus alikuwa mwenye kuipuza dunia🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️👐
Allah amrehemu sheikh wetu sheikh Nassor Bachu
Mashaallah,hakika mungu mwingi w uruma na upendo kwetu inshaallah 🙏
ALLAH akuepushie na adabu za kabri Ameen thuma Ameen
Nakupenda sana sheik Nasoro Allah akujalie kaul thabit pepo iwe makaz yko.
🤲🤲🤲
Jamn kwa hakika nampenda sana huyu marhum Allah amrehem, na inshaaalllah turejeeni kwa Allah kwayale yte tuliokosea kwa kujua na tusioyajua
Mashallah bado tunafaidika na matunda yako Allah atuongoze kwakile unacho tufunza
Allah akujaalie janna tul firdaus mawaidha yako imenigusa
Mwenyezmungu amrehemu shekh nassor bachu na mamangu Fatma Ahmed Duwel na Waislam wote walotangulia mbele ya HAQI awatilie nuru ndani ya Maqaburi yao yawe vyumba katika vyumba vya Peponi... Nasisi twaomba uongofu, maisha mema ya dini na Dunia.. Na mwisho twaomba husnilkhatima waqt wa Mauti.. Allahumma AMIIIN AMIIIN Yaarabb.
Amin
Nuru Ali Amiin Amiin
Amiiiiiiiiin
Aaamiiin aamiin
amina yarabali alamina
Mola akuingize kwenye pepo yake ya Firdaus pamoja na waislamu wote Biidhnillah.
Ameen Rabbil Alameen
Allah akurehemu
Shukuran,shekh kwa mafundisho mema Allah akupe shufaa
allah akulipe kheri nyingi.
Mwenyezi Mungu akupe kauri thabiti
Allah akutie jannah naumpendae
mungu amrehemu sheik
Allaahumma ighfirlahu warhamhu waskinhu fil Firdaus Al'alaa.
Ameen Yaa Rabb
mwenyezi mungu amurehemu shekhe Nasoro bacho inshaallaah
غفر الله له و رحمه و نور قبره بنوره و جعل مأواه جنة الفردوس
Allah akupe mazur matupu huko uliko shekh Nassor amin
shekhe wetu tanakukumbuka mwenyezi mungu akurehem
Allahumma ghfirlahu warhamhu
allah akujalie pepo ya firdaus shekh wetu
Mawaidha yanayo athiri nyoyo...subhanallah. Allahumma ghfrilahu warhamhu
Shukraan Sana sheikh wangu tunaziomba hizo duaa hatuzijui sheikh wangu tuandikie hizo dua allah akujaalie kila la kher jazaka Allahu khaira
Allahumma Ghfirlii shekhee Nassor Bachu!! Rahmahu llahu
Yaa muqalibal quluub thabit quluubana a'laa diniik wa Yaa muswarifal quluub swarif quluubana a'laa twa'atik. Amiin
Ya Allah mjaalie pepo ya firdaus
Allah amrehemu amjaaliye janaa fildaus
Mungu akulaze mahal pema pepon amin
wema hawadum mungu akuripe pepo ya juu
Allah akujaalie Nuru ndani ya kaburi lako. Ajaalie liwe bustani katika bustani za Peponi.
Allah mtukufu akurehem.
Hakika haukuchanganya dini na masilahi binafsi
Allah akulipe kwa kile ulicho kiacha katika mgongo wa ardhi.
Allah akuhifadhi panapostahili ulijitolea ktk din ya Allah
Allah SUBHANAHU wa ta'allah amrehemu sheikh wetu mpendwa
Mashallah mwenyezi mungu akupe pepo ya Firdaus ww pamoja na wazee wetu na wailslam wote walotamguliya mbele ya haqi kwa kweli tunafaidika kwa mawaidha ulotuwachiya
Allahumma ghfiirallu warhamhu
Shekhe nasor bachu imenifungua mengi Allah ndo shahid juu ya hili kupitia yare ulionizindua shekhe Allah akulipe ujira mzur na kabur lako alifanye miongoni mwa nyumba za waja wema
Allah amlipe pepo ya daraja ya juu zaidi. ukweli ninafaidi sana na mawaidha yake.
AMEEN AMEEN AMEEN YA RABIII
ALLAHU AKBAR
Jazakallah khair
ALLAH Amrehemu N. Bachu. hana mfano
Allah mrehem sheikh Nassor Bachu inshaallah
Na ss tufuate kichogo chk kwa Yale mema yk na mapungufu yk iwe nichangamoto kwetu mungu mrehemu inshallah
Allah akurehemu shekhe wetu. bado tunafaidika kanakwamba upo mashaallah 🤲❤
Allah akuhifadhi inshaallah ktk hifadhi jema kwa rehma za allah inshaallah pamoja na waislam wote.
Nilipomsikia Redio imani ktk vipindi vyamchana moyo wangu ulisalim Amri nakunyenyekea kwa Allah.
Allah akujaalie pepo na faraja kwenye barza na marehemu wote walio mbele ha haq ndgzetu katka imman inshaallah nasie tupo tunakuja ALLAH atufanyie wepes
Allah akulehemu👏👏❤
Yaani kila nikisikiliza sauti ya huyu sheikh, moyo unashtuka na nahisi machozi kunitokaa, ya alhahu ya karim nakuomba umlipe kheyri nyingi kwa huruma zako sheikh wetu, na umruzuku pepo na umpunguzie adhabu ya kaburi
Hakika wema hua hauozi
😢🤲🤲
Amiin thumma amion
Samir Hassan Lau
Huyu ni mtu nimpendae ndani ya moyo wangu
Upamoja na mi katka hilo
Unafungu lako kwa alh hakika huyu mfano wa kuigwa
ASALAAAM ALEYKUM,, TUNAOMBA MNGEACHAA TUWEZE KUDOWNLOAD,,HII ITAWEZESHA MAWAIDHA KUWAFIKIA WENGE,,ALLAH AMLIPE SHEIKH WETU,,,AMEMJAALIA KAONDOKA KABLA YA LEO DUNIA HII HAIFAI KUIONA ILIVYO LEO,ALLAH ATUPE HURUMA ZAKE,,AMIIN
Adam Salimu
Tupamoja mm nahc nampenda kushinda wanawe yan kma cjackia sauti yake hua cjickii vyema kma masheikh wko kma huyu tungekua mbali sana
Mashaallah Allah amlehemu amin
Allah akurehem pamoja nawaislam wt waliotangulia mbele yahaki Amiin thumma Amiin
Allah akupe Nuru ktk kaburi lako naheri yako ww ulioacha swadaka yenye kuendelea wallah.
Tutakukumbuka daima tusikilizapo mawaidha yako
ALLAH akubifadhi peponi sheikh bachu
Allahumah magrillahu warahamahu wasikinahu fil Janah
Ya allah mjaalie pepo yako ya allah
Allahu'Akbar
Mungu.akuweke.kwenye.pepo.yake.kwa.sote
Mashallah
Allah akujalie fidausi alaa
Allah akujaliye niwenye kuingiya peponi
Allah amrehem Shekh Bachu
Allahu akujalie pepo ya dharja yajuu
Allah amrehemu ya rabb amekufa Allah amlaze pema haifai kumuombea kama yuko mbele yetu
Allah amlipe sheikh
Allah mjalie mja wako huyu umpe Nunua ktk kbri lke na ulimpe pepo pamoja na waislam wte inshaaalllah
Nakuomba ya Allah umjaliye sheikh huyu pepo ya firdaus
mungu amrehemu
Jina allah amjaliye kheir shekhe nassor na allah amjaliye makazi mema jannat amina
Allah ayafanye mepesi na ya furaha makazi yake!!
Allahmaa Amiin Allaah awaongoze vyema mashekhe wetu wrote kwa kutupa dawa hakika n8mejifunza meng san ln shaa Allaah Allaah atufanyie wepec tuyafanyie kz amiin
Allah amrehemu shekhe bachu
Allah amrehemu sheikh nassor
Maa Shaa Allah❤❤❤
Ewe mola wetu hakika ww ni tegemezi letu kwa kila kitu utupe wepesi wa kuifunga swaumu yako bila ya kutetereka ewe mola wetu mpe nuru isiyo ishia kipenzi cha nyoyo zetu sheikh nasour bachu kwani kaipigania dini yako mpaka kufa kwake hakurudi nyuma nac tupe muongozo tufate kile alichokuwa akikifundisha inshaallah
Mwenyezi mungu mlehemu shekhe wetu kipenzi chetu nasoro bachu
Yarab Mrehemu Kaka Yangu Kwa Rehema Zako🙏
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فى الجنة
Ameen
Alllha.akupe..makazi.mema.sheghe.nasoro..bachu..mawaiddha.swaumu.amena
nakuombea pepo kwa mwenyezi mungu
Shukran jazakalah kheri pia nakuombea dua Allah akuhifadhi janatul firdaus
Ya Allah bless him and grand him janna
Allahumma Aameen
allah akubariki
Amiina
Amin
Allahumma Ameen 🤲
Allah akulipe gheri nyingi shegh bacho kaburi lako lizidi kunawiri
Mashallah
Mashaallaah
mashaallah
Mwenyezimungu
Amrehem shekhe wetu
Shekhe nasoro
Kipenz chetu ktk dini
Alitumia muda wake mwingi
Kuelimisha umma
Allah msameh makosa yake na mpe jannatul firdaus
Allah akulipe jannatul firdous
allah amrehemu
Allah amrehem
mashallah!
Wewe ndie ulad swaleh wema wako unaendelea na mwenyewe hupo duniani ya Rabbi akuweke pepo ya Firdous na sie pia
Alla wajalie wotewaliotanguliawote firdaus
abuu khudhaifat
sheikh wangu mola akurehem
Aaaamin
fogiyy
Hzi dislike ni zamakafiri au vpi????
Inawexekana au ni wanafiq?
Allah akurehemu
Allah amrehemu ampe Kila la kheir
Maashallah
Allah Akbar
Rsheed Said
Nakuombea Allah akulipe pepo Uko uliko kwa kaz ulie fanya.Allah anajua zaidi
mashaallah
Allahu Akbar
اللهم اغفر له وارحمه ووسع له قبره ونوره بنورك واجعل مأواه جنة الفردوس
No one can be like morhum nasur bachu.his not die.he is a life in janna.enjoing drink eating.with hurilain.alluhuma ijalna min hu fil Jana Amin