Masha'Allah Jazakah'Allahu khayran kwa video za khutbah za shiekh wetu mpendwa Nassor Bachu Allah Amlinde yeye na fimiliya yake na ampe kheri zote... BarakahAllahu Fiikum Allah (SWT) be with you my dear brother in Islam Khutba zako zinanizishiya imaani..Alhamdulillah
Inshaallah iwe kheri kwake yeye shekhe Nassor Bachu ktk maisha yake ya kaburini Allah amfanyie wasaa noor na amgeuzie kaburi lake iwe moja ya bustani ZA PEPONI AMIN Inshaallah
ALLAH atuwafilishe kuyatekeleza haya yote yaliyomo katika mada na ni changamoto kwa wanandoa tusiwe kama wale wanasikia maneno ya ALLAH na kuyapuuza kwani kufanya hivyo ni maandalizi maazuri ya kufufuliwa kipofu kudharauliwa siku ambayo Haitomfaa m2 mali yake wala watoto wake.
+Arina Gomez Shekhe Bachu amefariki kutoka myaka tatu hivi, nazani mwaka wa 2013. Mola amurehemu na amupe Jannatul firdaws. Ameen. Labda afadali ukiuliza swala yako mashekhe karibu na kwenu in shaa Allah
Allah amrehemu sheikh Bachu inshaAllah na amuepushie na adhabu za kaburini...amin
Masha'Allah Jazakah'Allahu khayran kwa video za khutbah za shiekh wetu mpendwa Nassor Bachu Allah Amlinde yeye na fimiliya yake na ampe kheri zote... BarakahAllahu Fiikum
Allah (SWT) be with you my dear brother in Islam
Khutba zako zinanizishiya imaani..Alhamdulillah
Nampenda sana huyu shekhe nasour bachu Allah Akulipe wema wako ulio utanguliza kwako Amin Ami
Allah amrehemu na kumsamehe madhambi yake Sheikh wetu Nassoro Bachu.
Allah akuweke pepo ya juu Alipo mtume wetu Muhammad (S.a.w)Jannatul Firdaus.(Ameen thumma Ameen).""
Allah amhifadhi shehe
Inshaallah iwe kheri kwake yeye shekhe Nassor Bachu ktk maisha yake ya kaburini Allah amfanyie wasaa noor na amgeuzie kaburi lake iwe moja ya bustani ZA PEPONI AMIN Inshaallah
Amiin
Said M abdallah mashallh
Amiiin
Ma shaa Allah Mola Alijaze Nuru Kaburi Lako Amiin
Allah mlaze pema peponi shekhe wetu Nassor Bachu na umsamehe makosa yake .awe pamoja na Rasul(s.a.w) Amee
Zuwena Mohammed vp
tunakushukur kwa kutufundixh mambo mem mungu atakulipa kher
shekhe Nasoro Bacho, Hakika umeacha pengo kubwa Katika Mafundisho Ya Sunna Sahihi Za Bwana Mtume.
Yaa Allaahu mpe pepo shekh nasoro bachu muepushe na moto, aaaamin
Allah amrehem sheikh NASSORO BACHU na ailaze mahala pema peponi amin
mwenyezimungu akupe janat ya juu sheikh nasoro bachu
jazzakallah khayran Allaah Akurehemuh
Allah amkubali shekh wetu mpendwa
AMIIN
Allah amuondolee adhabu za kabri Inshaa Allah
Hakika hii ndio sadakatu njaaliyaa
Masha Allah sheikh wetu Nassor Abdalla Bachu. Allah amlaze pema peponi Insha Allah
Allah akulipe na kila kheir kwenye kaburi lako(Amin yarabi )
MashaAllah tumefaidika na mawaidha ya almarhum toka akiwa hai mpaka kufa kwake mungu akurehemu akuweke pema penye wema Amiin ya Rabbal alamin.
Miaلshaallah#Mashaallah Tabarakallah! Allahuma gjfirlahu warhamhu waskanahu fiiljannat Yarrab!!
Allah akujaalie kauli thabiti
Allah akusamehe madhambi yako sheikh wetu. alipe nuru kaburi lako.
Ameen
Allahumma Amin
saleh masoud
Aamin thuma aamin
Ramadhan Kaogo. Amin
Amiin Amiin Yarabii
Allah amueke mahali pema peponi I nshaallah
Amiin
Jazakumllah khayran kwa videos hizi za Shehe wetu mupendwa Rahimahullah. Ebu tuzidishiye wallahi ninakiwi kikubwa kabisa
ishaala moakupewesi sikuzote
MashaAllah
sheikh nasor bhachu rahimahullah
Innalilah wa inna ilaihi raji'un Allah murehem sheikh wetu
Inshaallah amin allah amraham al sheikh nasoro bachu na waislam wote kwa ujumla amiin amiin
idha mata ibnu adam inqatwaa' a'maluhu illamin thalatha. swadakatunjariya.
auilmuyuntafauu bihi
awwaladunswali7yadhulahu. Allahummaghfirlahu. amin
Allah amrehemu sheikh nassor
Allah atupe mazur yenye kheri na sisi.
Allah akulipe kheri kwa kutuelimisha
Allah akupe kauli dhabiti
ameen
Yumna Yassir
mashallah 👌
Ma sha Allah, wanandoa tujitahidini kutembelea vitu km hivi ili tufaidike na tuishi vizur ktk ndoa zetu
Allah amrehem sheikh nasor bachu na waislam wote
Allah ampe jannaa amiin
inshallah mola amjalie pepo
الله يغفرك ويرحمك اميين.
ma sha Allah
allahuma amin
Allah amuondoshee adhabu za kaburi
Ab I have to
rajab msenga
Aamin thuma aamin
Allah akbar
mungu amlaze mahali pema peponi
Allah akupe pepo njema ustaadh wetu ,upo vzur mashllah
MashaaAllah jadha ka Allah kheli
Allah amlaze Mahal pem peponi allahum amiin
Maashaa'Allah
ameeen
Rahimahullahu
mashaallah
Eewe mola wetu mkubalie shekehe wetu huye kaburi lake liwelenye nuru nabustan za peponi
Amin
Amiin Inshallah Allah Amrehemu
nimeshuka hasira baada ya kuskiza hii... sasa yabidi nimfate mke wangu kwao baada ya kumkasirikia kwa siku tatu
Allah akunawirishie kaburi lako shekhe 🤲
Allah amrehemu shk wetu amuingize ktk pepo ya jannaat firdaus
ALLAH atuwafilishe kuyatekeleza haya yote yaliyomo katika mada na ni changamoto kwa wanandoa tusiwe kama wale wanasikia maneno ya ALLAH na kuyapuuza kwani kufanya hivyo ni maandalizi maazuri ya kufufuliwa kipofu kudharauliwa siku ambayo Haitomfaa m2 mali yake wala watoto wake.
masha allah
Akujaalie pepo
ammin ishaallha
amiin yaaraby
allah yarhamuh
Mashallah
Allah akupe kauli thabit
allah mpe malazi mema marhum nasor bachoo simba wa zanzibar
Mungu ampe raha hapo alipo
MUNGU AMREHEMU SHEKHE NASSORO BACHU AILAZE ROHO YAKE PAHALI PEMA PEPONI AMIIN
Amiin
Ameen
Mola awe mwenye kukuridhia
Ameen Yarrab
Aamin
Mashallah"
YaAllah nasi tulobaki tujaalie husnulhaata na sadaqstul jaaria!!!??
mola akulaze pema peponi na kusamehe dhambi zko
Mashallah
Am asking cz I hard sheikh amefariki isi it true? I love if I can get his mp3. Masha Allah
Khatra Mohamed yes
رحمه الله
Maashalah
Allahumma Amiyn jamian
maashallah
Nassor
Nassoraliy
Maashallah
mashaIlah
as ww shekh nassor na mimi nina shida na mme wangu ila naomber number yako naitwa amida tuongeye vizuri labda atakusikiya
+Arina Gomez Shekhe Bachu amefariki kutoka myaka tatu hivi, nazani mwaka wa 2013. Mola amurehemu na amupe Jannatul firdaws. Ameen. Labda afadali ukiuliza swala yako mashekhe karibu na kwenu in shaa Allah
Laiti wanaume wangelijuwa ayo wanaishi mwanamke wake kama watumwa
Munqu akupe pepo ya fildaus shekhe wetu
Awaidha yenye hekma
Sw
ameen
mungu amlaze mahali pema peponi
mungu amlaze mahali pema peponi
mungu amlaze mahali pema peponi