BISMILAAAH MAASHA ALLAAH YAARABY AKUSWAMEH KWA PALEE ULIPO KOSEA KAMA NI BINAADAM YAARABY AKUZIDISHIE NA KUKUPANDISHA DARAJA LA PEPO YAKO KWA MEMA NA MAZURI ULIYO YASEMA NA KUYATENDA YAARABY AKUZIDISHIE NOOR NDANIA KABRI YAKO NA AKUANDALIE PEPO YA DARJA YAJUU YAARABY LAALAMEENA. YAARABY AKUMIMINIE THAWAB KWA SADAKAA TULJAARIA ULIYO TUWACHIA KWA WATOTO WAKO WEMA WANAENDELEZA MEMA NA MAZURI KWA EILIM YA DINI YETU YA UISLAAM. KWA MALEZI YAKO NA EILIM YAKO ULIYOTUWACHIA ALHAMDULILAAH. YAARABY AWAHIFADHI NA KUWALINDA NA KUWANUSURU SHARI, HUSDA , NA HASADA. ZAWENYE KUHASIDI. YAARABY AWAHIFADHI WATOTO WAKO KWA URITHI MWEMA KUTOKA KWAKO. AAMEENA YAARABY LAALAMEENA 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤝🤝🤝
Allah akuhifadhi pazuri shekh wetu mpendwa ammiin,. Kweli mtu mwema anaishi milele
ALLAH KWA REHMA YAKO TUNAKUOMBA MWISHO MWEMA
AMEEN
Eeh Mungu mrehemu sheikh wetu mpe pepo na umlinde na adhabu ya kabri nampenda sana NASSOR BACHU
Mashallah shekhe wetu ewe ya Allah mueke khekhe huyu pepo yenye daraja za juu
Masha Allah,Allah (S.A)akupe pepo ya darja ya juu
رحمة اللّٰه عليْهِ شيخنا...رحمة واسعة
Ewe Mwenyezi Mungu mpe pepo yako Sheikh Nassor Bachu
Amiin
inshaala mungu atampe na sisi atupe pia pepo na tuzidi kuyaaneza sidi na kuzitoa kuziuza pia ili watu wapate maneno haya inshaala
Allah amrehemu sheikh Nassor Bachu
mashallah almarhum nassor abdallah bachoo simba wa zanzibar
mungu amempenda zaidi kumchukuwa na ss mungu atupe mema kama yy inshaallah
Mungu akupe heri nyingi sheikh wetu
Mungu akupe pepo ya hali ya juu sheikh wangu Amin ya rabbi
kammissi mkomwa inshaallah
hakika ujumbe ulitufikishia sasa kazi nkwetu!
A@
Allah amrehemu sheikh nassor bachu
Amini Aminii.ampe jannati firdausi.inshaallah
Allah amrehemu sheikh nassor
Mungu akukinge
mungu akurehemu shekhe wetu kwa hakika ameondoka shekhe mzuri sana tunafaidika kwa mawaeidha yake mungu akupe pepo najanat firdausi amini aminii
allah arhamak waaskinak fii jannah
ALLAH akulipe Pepo hakika.
subhannah llah wabihamdi...
Chelsea Sadiki and the
vp chelsea jina ama vp akhiy.
رحمه الله
BISMILAAAH MAASHA ALLAAH YAARABY AKUSWAMEH KWA PALEE ULIPO KOSEA KAMA NI BINAADAM YAARABY AKUZIDISHIE NA KUKUPANDISHA DARAJA LA PEPO YAKO KWA MEMA NA MAZURI ULIYO YASEMA NA KUYATENDA YAARABY AKUZIDISHIE NOOR NDANIA KABRI YAKO NA AKUANDALIE PEPO YA DARJA YAJUU YAARABY LAALAMEENA. YAARABY AKUMIMINIE THAWAB KWA SADAKAA TULJAARIA ULIYO TUWACHIA KWA WATOTO WAKO WEMA WANAENDELEZA MEMA NA MAZURI KWA EILIM YA DINI YETU YA UISLAAM. KWA MALEZI YAKO NA EILIM YAKO ULIYOTUWACHIA ALHAMDULILAAH. YAARABY AWAHIFADHI NA KUWALINDA NA KUWANUSURU SHARI, HUSDA , NA HASADA. ZAWENYE KUHASIDI. YAARABY AWAHIFADHI WATOTO WAKO KWA URITHI MWEMA KUTOKA KWAKO. AAMEENA YAARABY LAALAMEENA 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤝🤝🤝
Yaa alla msamehe mjawakohuyu makosayake
Saa iii hautuna tena sheikh kama huyu east Africa
Sisi tulikupenda lkn Mungu muumba aridhi na mbingu alikupenda zaidi lala mahali pema peponi sheikh wangu
Mungu akupe kila la kheri huko uliko lkn tutakumbuka cna
Laa ilaha ila Llah...
Allah akulipe janna
mungu akuepushe na moto sheikh Wang nakupenda sana.
Alla yarhamuka
Allah amlaze mahala pema peponi amin
Allha akuwekee wepesi
Rahimahu Allah
Inna lillah wainalillai raja'un
Masha Allah
Hakika allah humuongoza mwenye kumpwekesha kama kitabu chake allah kisemavyo,
rahimahullah
الله يرحم الشيخ ناصر باتو
Allah mjaalie huyu mja wako umpeleke Peponi
Mashallah
Hakika bado upo hai sema tu hatukuoni Quran2:154
mwenye zimungu akupe pepo ya hali ya juu sheikh nassor bachu
kammissi mkomwa amin
ALLAH MPE PEPO YA DARAJA SHEIKH NASSOR YARABB
Allah ampe pepo
mungu akupe kila zuri naatuezeshe kuyasambaza yafike na kuhifadhiwa akilini zetu kutumiwa inshaala
Maneno mazito sana
Mungu akupe pepo ya juu
الله يرحمك
Mashallah