MATUKIO YA SIKU YA MALIPO 2/2 - SHEIKH NASSOR BACHU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 222

  • @bakariame2974
    @bakariame2974 2 года назад +2

    Allah akujalie. Uingie Pepo ya daraja ya juuu bamojana ss insha allah.

  • @mdumbemalongo4518
    @mdumbemalongo4518 Год назад +2

    Nampenda huyu shaikh lillah

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад +3

    Allah akurehem shekh wetu

  • @JumakhamisJuma-r5s
    @JumakhamisJuma-r5s 6 месяцев назад +2

    Allah akurehem shekh muadirifu kax kubwa ulioifanya

  • @AhmadKambangwa-ry6qc
    @AhmadKambangwa-ry6qc Год назад +3

    Allah amrehemu sheikh wetu 🙏

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx 7 месяцев назад +2

    Allah akurehem shehe

  • @kidesusaidimohamed8888
    @kidesusaidimohamed8888 Год назад +2

    Yaaarab kwa utukufu wako mbele yetu siku moja tunakuomba tuweke karibu na shekhe wetu bachu katika pepo yako walahi..ameen na mzidishie fadhila huko alipo na kama aliwahi kukukosea ewe mwenyezimungu basi msamehe msamaha wa kweli kweli amiiiiiiin

  • @abuumansur9007
    @abuumansur9007 6 лет назад +26

    ALLAH akutie peponi ya firdaus sheikh wetu kipenzi hakika twashuhudia umefikisha daawa yako

  • @Abdulrahman-ie7dy
    @Abdulrahman-ie7dy 2 года назад +1

    Allah mpoke kwa rahm zako zote unusuri n azabu zako zote allah ww ni mwingi wa hemna

  • @asasally3978
    @asasally3978 3 года назад +12

    Mungu amrehemu Shekhe wetu.Shekhe aliyejararibu kwa uwezo wake kuwaita watu kwenye dini ya Mwenyezi Mungu kwa maarifa na mawaidha mazuri.

  • @seriesandmoviestrailers8979
    @seriesandmoviestrailers8979 7 месяцев назад +2

    🤲🤲Allah amrehemu

  • @aliga640
    @aliga640 9 месяцев назад +2

    Allah atujalie pepo iliyonjema

  • @zainabkiarie9163
    @zainabkiarie9163 8 месяцев назад +1

    Nas'alu llaha salama

  • @hamadramadhan9575
    @hamadramadhan9575 2 года назад +4

    Alla amrehem shekh bachu cc wanadaam ni wa alla na wote kwake tutarejea tuombe kwa alla atufishe mwisho mwema ameen.

  • @abdulsamadhassanali4003
    @abdulsamadhassanali4003 Год назад +3

    Mashallah jazakalahul kheir

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 8 лет назад +67

    Ewe Allah msamehe na umrehemu na umuafu na msamehe Sh. Nassor Bachu na muoshe na maji na kwa theluji na barafu na mtakase na makosa kama unavyoitakasa nguo nyeupe kutokana na uchafu, na mbadilishie nyumba bora kuliko nyumba yake ya duniani na jamaa bora kuliko jamaa zake wa duniani, na wake bora kuliko wake wake wa duniani , na muingize peponi na mkinge na adhabu ya kaburi na adhabu ya moto. Aamin Yaa Rabi

  • @saidkibangetandiko3734
    @saidkibangetandiko3734 3 года назад +2

    Jazakallakheiry shekhe

  • @hemedsamson1936
    @hemedsamson1936 3 года назад +4

    Allah akulipe pepo ya juu Inshaalah kwa elimu kubwa uliyotuachia ameena

  • @anitaciza7660
    @anitaciza7660 5 лет назад +21

    Allah amuweke kwapepo ya juu filidausi Amen👏👏👏

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 3 года назад +3

    MWENYEZI MUNGU mrehemu shekh wetu umonyeshe viwanja vya peponi

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 3 года назад +5

    Mashallah! Allah ampe firdaus sheikh wetu ,Yaarab tupe nguvu yaktenda mema,atulnde n hadaa ya Dunia ,cku ya kiama atupe ujran na Rasulullah,,Amiiin

  • @LupambaSaidLupamba
    @LupambaSaidLupamba 5 месяцев назад +1

    Allah mrehemu bachu na utusamehe madhambi yetu

  • @abdulitmk1419
    @abdulitmk1419 Год назад +2

    barakalahu for the reminder

  • @faridasalum2019
    @faridasalum2019 5 лет назад +7

    Yarabi tunusuru kuuza akhera na kununua dunia mrehemu sh wetu ammin

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 лет назад +21

    Allah akuzidishie kil lenye kheri in Shaa Allah, pepo iwe makaz yako. ya milele🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @eugeniemouchere2584
      @eugeniemouchere2584 3 года назад

      Assalam Alaykum wa Rahmat lillah wa Barakatuh.Allahuma akuzidishiye kila laheri inchallah.Na pepo iwe makazi yako.Na akupe kila la heri hapa duniya!👏👏👏

  • @jumarashid5146
    @jumarashid5146 2 года назад +2

    Mashallah Allah akupe Kila kichobora ktk maisha ya milele na sisi Allah atujalie hatma njema

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs 4 месяца назад +2

    Mwenyezi mungu amrehemu Shekh wetu amiin rabby alamiin

  • @mothhila01
    @mothhila01 2 года назад +2

    Waaleykum salaam wa rahmatullahi wa barakatuhu

  • @yussufsaid8223
    @yussufsaid8223 Год назад +8

    اللهم غفرله ورحمه وأدخله الجنة 🤲

  • @mgeniibrahim1599
    @mgeniibrahim1599 7 лет назад +14

    Allah akufanyie wepesi shek

  • @nasturahamadi6910
    @nasturahamadi6910 5 лет назад +10

    Allah akusamee ulipokosea allifanye kaburi lako liwe ktk viwanja ktk viwanja vyapeponi inshaallah

    • @swahibually1723
      @swahibually1723 3 года назад

      Vp MAWAHABI naona nanyi mnamuombea Dua,vp tena!?Si mnasema kumuombea Dua marehemu ni haramu? Halafu pia nawashangaa,hivi mnapomswalia maiti mwasema nini baada ya suuratu l,faatiha.Mimi sio Mhabi kwahiyo naweza nikamuombea lakini nyinyi MAWAHABI mna dhambi sana,mnawazuia watu wasiwaombee watu wao Dua.

  • @soumayalayoutubese4603
    @soumayalayoutubese4603 3 года назад +3

    Ee Allah mjaze kheiri na salam sheikh wetu marehem nassor bachu

  • @husseinahmady9785
    @husseinahmady9785 6 лет назад +9

    Allah akuhifadh katika pepo ya firdaus nakupenda San shekh wangu

  • @ahmadsaid5845
    @ahmadsaid5845 4 года назад +4

    Mm hadileo nahangaika kutafuta sheikh kma huyu afrika mashariki naona hajatokea ..maa shaa allah sheikh nassor proud of zanzibar

  • @rahemaissa9867
    @rahemaissa9867 3 года назад +2

    Allah akurehem inshalah shekh wangu atujaalie pepo inshalah Amiin

  • @yussufally4962
    @yussufally4962 6 лет назад +9

    Masha Allah amueke Mahala pema peponi na ss atupe Mwisho mwema inshaallah aminiin

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 лет назад +14

    😭😭Allah akujaalie pepo sheikh wangu

    • @TheM1953
      @TheM1953 5 лет назад +1

      Allahuma ghfrilahum wa rahamhum wa askana fil janna. Wa yaa Rabbi ghfriliy waliwalidaiya, kamaa rabbayani swaghira.

    • @uknownm4733
      @uknownm4733 4 года назад +1

      You ppp lool l

    • @uknownm4733
      @uknownm4733 4 года назад +1

      Hussein Omary aa

    • @kkutanzania5386
      @kkutanzania5386 3 года назад +1

      Hatukuwahi kukutana duniani lakn inshaallah tutakutana peponi shekhe wangu kipenz

  • @MohamedMohamed-dh1gh
    @MohamedMohamed-dh1gh 7 лет назад +16

    Mungu amueke pema peponi siku ya qiyamah

  • @yusufmohamed9843
    @yusufmohamed9843 3 года назад +2

    JAZAKALLAHU RAHIMULLAH SHEIKH NASSORO BACHU YA ALLAH KWA REHMA YAKO MUINGIZE JANNAT AMEEN

  • @Truthshallprevail1291
    @Truthshallprevail1291 9 лет назад +15

    do! ule mwanafunzi wa shekhe mwishoni anayo sauti kama ya sheikh rahimahullah. Mola amurehemu shekhe wetu Nassor Bachu.

    • @aaliyahfahad2609
      @aaliyahfahad2609 9 лет назад

      Huyu mwanafunzi anaitwa nan na mimi nimsikilize kama sauti inafanana na marehem sheikh Nasro

    • @Truthshallprevail1291
      @Truthshallprevail1291 9 лет назад

      +Aaliyah Fahad Namimi sijui labda watu wa zanzibar watuambiye inawezakana huyu mwanafunzi ameshakua shekhe mukumbwa kwani video hi niyazamani.

    • @aaliyahfahad2609
      @aaliyahfahad2609 9 лет назад

      Mashaallah nimemsikia

    • @aaliyahfahad2609
      @aaliyahfahad2609 9 лет назад

      +MrMedu490 labda nafikiri atakuwa ni sheikh mkubwa Mashaallah ALLAH amlipe

    • @Truthshallprevail1291
      @Truthshallprevail1291 9 лет назад +2

      In shaa Allah Ameen

  • @SaidSaid-nj5iv
    @SaidSaid-nj5iv 6 лет назад +8

    Allah amjalie sheikh wetu Nassor Bachu kaburi lake liwe ni kiwanja ktk viwanja vya peponi Amiin.

  • @MrJuma-in5io
    @MrJuma-in5io 4 года назад +7

    "Mungu amlaze mahala pema peponi"
    "amin"

  • @faridasalum2019
    @faridasalum2019 5 лет назад +2

    Yarabiii tujalie sisi waja wako tuwe wenye kufuata amri zako na kuacha makatazo yako na mrehemu shekh Nassor huko alipo na umpe mazuri yaliyotuachia na umsamehe kw aliyoyakosea aminn allahuma aminna

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 7 лет назад +13

    Allah akuondoshee mchanga mzito wa kabri shehe wangu amini rabila alamin

  • @ashuraatanas5967
    @ashuraatanas5967 6 лет назад +9

    Mashaa Allah katika sheikh ambae alikua ana elimu kubwa sana mmoja wapo sheikh huyu mm namuelewa vizuri sana nampenda sana japo hayupo tena Duniani lakini mm nahisi kama yupo anaongelea uislam hasa wa ukweli Allah ampe makazi mema ampe Pepo tukufu Inshaa Allah
    Amiin

  • @skunomar6752
    @skunomar6752 4 года назад +3

    Allah akupe malazi mema kaburini Amiin

  • @salmabakar4339
    @salmabakar4339 3 года назад +3

    Mashaalah shekhe we tu Allah akupe pepo ya juu

  • @mustayoo
    @mustayoo 4 года назад +5

    mashallah simba wa mimbar.allah akulipe mema.allah atusameehe sisi na ww na atuoe firdaus

  • @rashidramadhani1076
    @rashidramadhani1076 5 лет назад +5

    Mungu amuafu sheikh wetu

  • @abduazizi4536
    @abduazizi4536 4 года назад +5

    Allah akuhifadhi

  • @omarsalim6330
    @omarsalim6330 4 года назад +3

    MAA shaa Allah ..mungu amlaze pema palipo n wema shekhe wetu

  • @sadallahjuma7389
    @sadallahjuma7389 7 лет назад +9

    Mwenyez Mungu ailaze roho ya sheikh nassor mahali pema peponi inshaallah

    • @leilayusuf7648
      @leilayusuf7648 6 лет назад

      Sadallah Juma fhugft
      dthbg
      ryhft

    • @issamabrook8304
      @issamabrook8304 5 лет назад

      Ya Allah msamehe makosa yake na umjaalie pepo ya juu

    • @faridasalum2019
      @faridasalum2019 5 лет назад

      Yaaaarabi mrehemu sh Nassor mjaze neema za peponi kama ulivyotuahidi ktk vitabu vyako vitukufu"nassi utujalie kufuta amri zako na kuacha makatazo yako

  • @sadallahjuma7389
    @sadallahjuma7389 7 лет назад +15

    Allah mpokee sheikh wetu naumuweke peponi inshaallah

    • @rajabsaid6358
      @rajabsaid6358 6 лет назад

      Sadallah Juma amin

    • @rabbithare381
      @rabbithare381 4 года назад

      Ameen thuma ameen, na sisi wote umma YA MTUME Muhammad (saw)..

  • @daud405
    @daud405 Год назад

    Allah amjalie pepo ya rabi

  • @bakarijuma8561
    @bakarijuma8561 4 года назад +3

    Mwenyez mungu amlaze Mahal pema peponi

  • @omarbinjoobar8131
    @omarbinjoobar8131 2 года назад +2

    Rahimahullah ya sheikh

  • @abdalashaibu2603
    @abdalashaibu2603 6 лет назад +5

    Mungu.amrehemu she.wetu

  • @حسنيهاحمد-ل5ه
    @حسنيهاحمد-ل5ه 2 года назад

    Mola akujalie pepo firdous shekh wetu

  • @hamadali1670
    @hamadali1670 6 лет назад +14

    ALLA MPE MJAWAKO HUYO MAKAAZI MEMA PEPONI PAMOJA NASI SOTE AMINI

  • @evacekasaija3912
    @evacekasaija3912 3 года назад +2

    Mwenyizi mungu akuppatie kyote mwenye onatska

  • @khamismussa6308
    @khamismussa6308 5 лет назад +5

    Allah amrehemu sheikh nassor

  • @soomoman1451
    @soomoman1451 8 лет назад +17

    maishaallah mwenyezi mungu kaulipe

    • @hassanmasoud8167
      @hassanmasoud8167 4 года назад

      Allah aifanye firdaus ndo makaz yaako yamilele Sheikh wetu Nassor Bachu

  • @twayehadi6921
    @twayehadi6921 8 лет назад +22

    Mungu amweke pema peponi ameen inshaallah

  • @husseinlatifa1443
    @husseinlatifa1443 4 года назад +3

    Allah akurehemu sheikh

  • @ashaakassim4182
    @ashaakassim4182 4 года назад +12

    May Allah nourish him and confer him with the best eternal abode

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 2 года назад +2

    Legend Nasoor

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 6 лет назад +3

    Inshallah MWENYEZI/MUNGU Akupe msamha mkubwa kwa dhambi zako za kibinaadam akujalie pepo ya draja la juu kabisa inshallah

  • @inamxmdsheekh1978
    @inamxmdsheekh1978 Год назад +2

    أللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واجعل قبره روضة من رياض الجنة

  • @yusufkellow2589
    @yusufkellow2589 4 года назад +3

    mashaallah Allah akulipe khery

  • @ahlanwasahlan373
    @ahlanwasahlan373 3 года назад +3

    Alhamdulilahi kuwa muislamu

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 4 года назад +4

    Shukran wajazaka llahu Heri inshallah

  • @hawayusuph2079
    @hawayusuph2079 5 лет назад +8

    Mashaallaah

  • @DaudiAyubu-vt2tc
    @DaudiAyubu-vt2tc Год назад

    Allah ampe mema yake

  • @ibrahimseja2342
    @ibrahimseja2342 5 лет назад +6

    Alah akurehem

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 6 лет назад +2

    Amini Amini yaraabbi ..mungu amrehemu shekhe Nassor bacho.mungu atakupa pepo inshaallah kwa mema yako inshaallah

  • @ahmedibrahim2127
    @ahmedibrahim2127 3 года назад +1

    ALLAH(S.W) atujaalie sote tuwe miongon mwa waja wema wote wanaoukubali Uislam

  • @khalif-w
    @khalif-w 6 лет назад +5

    Allah akurehemu.

  • @amraniibuo4357
    @amraniibuo4357 5 лет назад +6

    Kheri nyinyi zikufikie ulipo sheikh wetu Nassoro bachu biidhinillah

  • @aminimingange6922
    @aminimingange6922 4 года назад +1

    Yaah labii mlaze maali pema peponi shekhe wetu nasolo bachu

  • @mnuniabeid7044
    @mnuniabeid7044 6 лет назад +7

    Mashallah

  • @nassorosalimoemide1656
    @nassorosalimoemide1656 3 года назад +5

    Ya Allah conceda o bom lugar no paraíso nosso shehe!rahimakumullah

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 года назад

    Allah mleze pema peponi shekhe wetu amiina

  • @abbaaskhamees7819
    @abbaaskhamees7819 9 лет назад +20

    Siku ya kiama ni siku mzito kwa hakika tuzidisheni ibada waislamu wenzangu

  • @abuali3269
    @abuali3269 7 лет назад +5

    Allah amrehemu shekh nassor bachu

  • @sifaali1744
    @sifaali1744 7 лет назад +8

    ya allah mrehemu sheh wetu huyu na umsamehe makosa yake hakika wewe ndo mwenye kusamehe makosa yote mjariye kabur rake liwe miogoni mwa viwanja vya janna

  • @bakarimohammed2796
    @bakarimohammed2796 3 года назад

    Allah atufanyie wepesi ktk kufanya ibada zetu inshaallah

  • @hamisichazzega6680
    @hamisichazzega6680 8 лет назад +19

    Innalillaahi wainna-'ilayhi raaji'uun

  • @khalidricco3907
    @khalidricco3907 6 лет назад +8

    peace and all goodnes be upon u has yr in side the grave,.inshaaallah.

  • @MohamedAbdi-tf9lk
    @MohamedAbdi-tf9lk 5 лет назад +4

    Allah aturehemu

  • @fafi9092
    @fafi9092 8 лет назад +10

    Masha allah

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 3 года назад

    Allah akupe pepo ya firdaus

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 7 лет назад +5

    MashaAllah, Allah irhamu

  • @gulshamshad4902
    @gulshamshad4902 3 года назад

    😢😰Allah atuhifadhi atuongoze njia iliyo sawa ya siratal mustakeem Ameen Ameen

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 4 года назад

    Mola Akuhifadhi palipo na wema sheikh wetu...ama hakika umeacha faida kujwa Sana kwa ummaty Nabiullah.

  • @bakariame2974
    @bakariame2974 2 года назад +1

    Allah atujalie misho mwema insha allah, amiin

  • @sharifmuhidin-kz8kp
    @sharifmuhidin-kz8kp 3 месяца назад

    Sheikh wa daawa ya kweli

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 6 лет назад +4

    Amiin yaarabi

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 4 года назад

    Yaa ALLAH tunakuomba utusamehe madhambi yetu na uwasamehe maiti zetu

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 года назад

    Shukraan Sana sheikh wetu kwa ukumbusho Allah akuhifadhi Nas sote twamuomba Allah atujaalie mwisho mwema kwa rehema zake ss waja wake Aamiin

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 4 года назад

    Ya rabbi ww ni mwingi wa huruma hivyo basi namuombea sheikh Wang huyu, masheikh wengine, na umma wote wa kiislamu uliotangulia mbele ya haki, uwahurumie na uwasamehe pale walipoteleza, ya rabbi wape Makazi mema na utujaalie mwisho mwema sisi tuliobaki, inshaallah.

    • @saidkimbuni1435
      @saidkimbuni1435 3 года назад

      Allah amepe na atupe ss heri za siku ya kiama