"Kama unaminya demokrasia utakosolewa vikali sana"-

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 174

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 4 года назад +1

    Mtangazaji uko vizuri sanaa!! Na pia umepata msomi Unauliza unajibiwa hapohapo!! Hakuna kufikiria wala kusubiri na unajibiwa bila ya hasira. Lakini viongozi wengine wakihojiwa wanakuwa wana hasira. Na ukiwa na hasira hufai kuwa kiongozii.

  • @kenedyemmanuel6604
    @kenedyemmanuel6604 4 года назад +15

    Naomba sana kwa uungwana
    Mkubwa mh Benard Membe amuunge mkono mh Tundu antipas Mugway Lissu, kwa manufaa makubwa ya nchi ya
    Tanzania na ustawi wa haki za kiraia. Mungu ambariki Tundu Lissu

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 года назад

      Tuone kama atafanya maana ana uchu wa madaraka na hatapata kamwe

  • @itugn
    @itugn 4 года назад +4

    Kipindi kimepata mtangazaji! 👏👏👏! Lkn pia mh membe nimekuelewa sana! Anauelewa wa mambo mengi mno!

  • @abdulikarimhamadi7145
    @abdulikarimhamadi7145 4 года назад

    Dahh!!! Membe upovizur

  • @kivuyomollel5337
    @kivuyomollel5337 4 года назад +10

    Asante sana membe tunaelewana.

  • @sobyankwabi9931
    @sobyankwabi9931 4 года назад +1

    Uko vizuri Sana kwenye speech nimependa

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 года назад +13

    Yaani!! Mkiwa ccm ukweli hamuuoni! Mkishatoka sasa!!!

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 года назад

      Kazi ipo umbea baada ya kuachika kwenye ndoa kumuona mume bwege ndio hao akina Membe

  • @amrubinannasannas9185
    @amrubinannasannas9185 4 года назад +5

    Membe Asante sana unajuwa vizur Sanaa

  • @jerrystephen7575
    @jerrystephen7575 4 года назад +5

    Membe ana Rhetoric conversation
    Yupo vzr sana!

  • @hatibuukufula2243
    @hatibuukufula2243 4 года назад

    Ongera upo vizur nimekubali yote uliongea mungu akupe afya njema ,unafaa sana tena zaidi ya sana unabusara za kutosha mungu akusima mie ndugu membe

  • @ngwanafabian9668
    @ngwanafabian9668 4 года назад +3

    Yaani corona kuitenganisha Tanzania na dunia ni vizuri sana maana hv sasa dunia inatutambua watanzania kuwa Mungu aliyemwumba mwanadamu yupo hai.

  • @karanibonge5906
    @karanibonge5906 4 года назад +7

    Very interesting mgombea

  • @francisrogears528
    @francisrogears528 4 года назад +1

    Safi sana

  • @jameskomba7675
    @jameskomba7675 4 года назад +6

    Membe upo vizuri hongera sana!! Tatizo ni hili walio mtangulia wametufanya kila anae sema anahama ccm tusimuamini atakuja kuwa kama mzee wa mafuriko alie tuuza 2015

    • @swaleherashid9953
      @swaleherashid9953 4 года назад

      Ccm ilikuwa na viongozi wazuri tatizo nini jamani

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 4 года назад +15

    Huyu mtu yupo vizuri. Ingawa hatopata kura nying

    • @uberdar7363
      @uberdar7363 4 года назад

      Anajua sana.

    • @grandneo5264
      @grandneo5264 4 года назад

      Hayupo vixuri muongo tu

    • @mahmoudally9919
      @mahmoudally9919 4 года назад

      Huyu mtu kama Watanzania tuna akili mzuri yani anashida 70% wenzetu nchi nyengine kama za ulaya kwao wao mtu kama huyu ndio wa nae chaguwa

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 4 года назад +9

    Jamaa yupo vizur sana kwenye kujibu maswali, tafadhali sana wagombea wengine wote wa kiti cha uraisi waje hapo

    • @meddymushimaz4998
      @meddymushimaz4998 4 года назад

      Wagombea tunawapimia kwenye majukwaa, nahapo ndopenyewe

    • @fahamnitwahir9249
      @fahamnitwahir9249 4 года назад

      @@meddymushimaz4998 kwanini unaona hapa sio mahali sahihi kwa kuwapima na majukwaani ndio sahihi zaidi?

    • @emmanuelmkama3000
      @emmanuelmkama3000 4 года назад +1

      Waswahili walisema ni vitendo na si maneno.

    • @fahamnitwahir9249
      @fahamnitwahir9249 4 года назад

      @@emmanuelmkama3000 je yupi mwenye vitendo kipindi hiki cha uchaguzi

    • @kenedyemmanuel6604
      @kenedyemmanuel6604 4 года назад

      Tunata mani. Sana umwambie Meko aache udikteta. Uchwara, tunataman
      Umjoin Lissukatika mapambano. Ya kudai. Haki.Mungu aponye majeraha
      Ya. Risasi

  • @riseup7578
    @riseup7578 4 года назад +31

    Naomba kuwajua wasiofagilia kijani na njano

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 4 года назад +2

    Membe yupo vizurii

  • @philipgerald9646
    @philipgerald9646 4 года назад +2

    Membe anajua sana kuliko yule wa kule wenye tamasha la Fiesta ila round hii itabidi amuunge2 mkono Tundu Antipas Lissu

  • @laurentsamilah5001
    @laurentsamilah5001 4 года назад +12

    yuko vizuri tatz me xa hv cimwamn mtu ten acje akawa km yule aliyetuuza 2015

  • @cleophasndasi730
    @cleophasndasi730 4 года назад +12

    Ww ungekaa Kwanza benchi umuache lissu ndio anauweza Moto wa ccm

    • @aaronjonathan7642
      @aaronjonathan7642 4 года назад

      Kweli kabisa

    • @mlechesalum3769
      @mlechesalum3769 4 года назад

      Hhhhh yaani lisu kiboko mnoo yaani

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 4 года назад

      Hahaha hataki naye kukaa benchi wapinzani ni Burundi tu waliomtoa Buyoya na ameikimbia Nchi hatarudi wengine mkalime Tu

    • @daniswilliam4577
      @daniswilliam4577 4 года назад

      Anatamaa ya kuwa Rais ahisi anafaa kuliko mtu yeyote hana tofauti na EDWARD LOWASA

  • @amosmerama3680
    @amosmerama3680 4 года назад +2

    Wanasiasa bwana!! Raha saana,kweli wenye utashi na kujua hawapati nafasi wanabaki kangomba kusumbua watu

  • @mrkgtz
    @mrkgtz 4 года назад +4

    Membe kama Membe

  • @kenedyemmanuel6604
    @kenedyemmanuel6604 4 года назад +2

    Tundu. Lissu. Sasa

  • @mwanamatofali6981
    @mwanamatofali6981 4 года назад +3

    Yani wew unaonekana tu utaingiza nchi kubaya, na utairudusha kwenye utegemez wa mabeberu uliko kua unashinda kuandaa mikutano ya kuombaa misaada

  • @babuchaya1410
    @babuchaya1410 4 года назад +4

    Mzee pole lissu anatosha

  • @yusuphyunusi6865
    @yusuphyunusi6865 4 года назад

    Mhe member ukweli unafaa sana

  • @drdenyihe8158
    @drdenyihe8158 4 года назад +2

    Namwamini sana kiongozi ambae ni mtendaji na anaefuatilia na kuhakikisha yalioahidiwa yanakmilika kwa vitendo...

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 4 года назад +4

    Membe mnogeshaji tu hakuna Rais hapa

    • @riikostar5950
      @riikostar5950 4 года назад

      bro, umeongea point kubwa sana, alafu unaona hafai anaswing ktk kiti, kwann? huyu kaja ACT kutafuta cheo na urais, aaminiki. ndio akina lowassa hao.

    • @grandneo5264
      @grandneo5264 4 года назад

      Kabisa hana raisi huyo hapati

  • @dedanmwinama
    @dedanmwinama 7 дней назад

    huyu membe alikua na akili Sana asee..anajua mambo mengi anajua kuongea na unaona kabsa ni msomi..he was really a leader ..r.i.p mwamba wa kusin

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 4 года назад +2

    Kweli hapa ni kazi na bata, ulaya kama kawaida,

  • @paulrwechungura4958
    @paulrwechungura4958 4 года назад

    Hana jipya membe

  • @ellyrenalda5883
    @ellyrenalda5883 4 года назад +1

    Hakika hiki ni kichwa, nawasihi sana vyama rafiki CDM na ACT mkae chini na mkubaliane kushirikiana pamoja. Sipati picha combination ya Lissu na Membe itakuwaje.

  • @michaelminja
    @michaelminja 4 года назад +4

    Kipindi kizuri sana napendekeza muwakutanishe wagombea wa vyama vyote ili kila mmoja ajibu hoja za mwenzake itapendeza zaidi

  • @MrBeerlahairoi
    @MrBeerlahairoi 4 года назад +1

    Tanzania is not landlocked county...

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 4 года назад +9

    Kwa hali hii uite mdahalo wa wagombea wote 😂😂 kuna MTU atapigwa na glass ya maji 🍸

    • @makeleletv3108
      @makeleletv3108 4 года назад

      Great 💪😊

    • @streetview3045
      @streetview3045 4 года назад

      😂😂😂 nani huyoo

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 4 года назад +1

      @@makeleletv3108 unafikiri urais ni kujenga hoja au kupangilia maneno? Kama tunataka rais wa mdahalo utawapata wengi kuwazidi hata hao unaowafikiria.

    • @aaronjonathan7642
      @aaronjonathan7642 4 года назад +1

      Wazoo zur

    • @omarmhmammed216
      @omarmhmammed216 4 года назад

      Hapo ndio pamoto

  • @yohanasimon5190
    @yohanasimon5190 4 года назад +1

    Uyu jamaa anajua siyo pow daah..

  • @henryndosi1114
    @henryndosi1114 4 года назад +4

    MAGUFULI BABA LAO 🇹🇿 kwa maendeleo ya Watanzania

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 4 года назад

    Hongera mtangazaji ila inatakiwa siku uandae mkutano viongozi wa vyama vyote ili tuone nani ana point zaidi. Ili tumchague!!

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 года назад +2

    Wangesapotiana!!

  • @iqramiddy4676
    @iqramiddy4676 4 года назад +1

    Takuona mgombea mwenye uzarendo na Inch yk Kama utamuunga mkono mb Lisu maana ndio mwenye nguvu yakupambana nama fisiem nakama hutafanya hvy kwel takushusha xn na utakuwa hauna uzarendo wwt na Inch yng Tz

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 4 года назад +5

    Hatutochagua viongozi wenye sifa ya NYUKI tu wao ubunifu wao mkubwa asali tu

  • @iqramiddy4676
    @iqramiddy4676 4 года назад +1

    Kama nakuelewa vile Ila kutokana na nguvu akil uered nakujiamin kwamzee wng shujaa Wang baba yng na Rais wng mtrjiwa 2020_2025 mh Lisu acha nimpe2 kura yng

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 года назад +4

    Magu mbabe utamhoji?? Maake namhofia mama usije kupigwa mikofiii!😂

  • @habakukihabakkuk7568
    @habakukihabakkuk7568 4 года назад

    Huyo ndio mgombea mwenye sera nzuri za kuinua uchumi wa nchi yetu sio yule Bi kilembwe

  • @danielmbwile9644
    @danielmbwile9644 4 года назад +1

    Mbona mnawaoji wa upinzani tu wangjne mnawa mnamuogop

  • @ngwanafabian9668
    @ngwanafabian9668 4 года назад +1

    Lisu na Membe hawana uelewa wa mambo ya uchumi focus yao ni leo hawana focus ya kesho ndiyo maana hata ndege hawajui umuhimu wake. Kujua sheria siyo kujua uchumi.

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 4 года назад +3

    Kushinda urais ni ndoto haitatokea cha kufanya peleka ushauri serikali ifanye wajibu wake vizuri Magu ni kiongozi bora ila akipata washauri wazuri ni kiongozi anaetufaa zaidi

  • @DennyMathematic
    @DennyMathematic 4 года назад +3

    Bernard kamilius membe 🤣🤣🤣 asali 😀😀😀 lirolimodo 🤣

  • @denismapunda8854
    @denismapunda8854 4 года назад +2

    Nimependa jinsi mwandishi anavohoji na membe anavyojibu tunaomba mmuhoji na mh magufuli mana msiwe kama mnamuogopa yeye sasa hivo nimgombea

  • @yabirimoshi9646
    @yabirimoshi9646 4 года назад +1

    Nakupa laid wetu

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 4 года назад

    Hawa walio sema ndio mazezeta sana nnchini kwetu Tanzania. Wao ni kueelezea tuu mambo mingi ya uchumi lakini hawana lolote vile bora ya msukuma kuliko Membe

  • @mohanassor8170
    @mohanassor8170 4 года назад +1

    Nitakuamini maneno yako pale tu utakapo dhihirisha umuhimu wa kwanza mkubwa ni kuunganisha umma na kuungana na Lisu kukuza nguvu ya umma katika kutetea haki zao.

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 4 года назад

    Mm kiu interwiew ya mzee baba kama itawezekana.

  • @amosgerald7763
    @amosgerald7763 4 года назад +1

    Ungemuachia Risu

  • @twahabeimbaya1710
    @twahabeimbaya1710 4 года назад +1

    Huyu ilibidi awe Rais sema Lowasa ndio alimbania

  • @daktar_kapaku_natural529
    @daktar_kapaku_natural529 4 года назад +1

    Nimekuelewa vizur sana mh membe wewe NiRais wa wanyonge sio rais wa Vitsho , ukandamizaji na ukikwaji wa sheria haki za raia

  • @richdsr3517
    @richdsr3517 4 года назад +1

    UZOEFU WA MEMBE NI WA MUHIMU SNA KTK KUUNGA SERIKALI. WANACHOPASWA KWA SASA NI KUUNGANA NA LISU.........KISHA WABADILI KATIBA LISU AWE RAIS WA JAMUHURI NA MEMBE AWE RAIS WA TANGANYIKA!!
    TUNGEWEZA KUPATA TANZANIA TAMU SNA TUKAISHI KWA RAHA TUKIIPENDA NCHI YETU

  • @wastambuli8039
    @wastambuli8039 4 года назад +1

    Mtangazaji yupo makini na ana maswali sahihi

  • @paullwangili2235
    @paullwangili2235 4 года назад +1

    Mahojiano yenye mvuto hongera Membe unaongea hoja zenye nguvu.

  • @johnkugesha1606
    @johnkugesha1606 4 года назад +2

    Tuleteeni Magufuli tumsikilize.

  • @michaelbundala2666
    @michaelbundala2666 4 года назад +1

    Na kamekonda

    • @daktar_kapaku_natural529
      @daktar_kapaku_natural529 4 года назад

      Acha matusi nguruwe wewe

    • @grandneo5264
      @grandneo5264 4 года назад

      Amekonda roho mbaya anebadilika ana stressful za uraisi atajuta atakimbilia dubai kujificha

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 4 года назад +4

    Nafasi yake kama wazili mkuu angeyafanya hayo yote lakini nashangaa leo kwakua nchi imeongia uchumi wa kati anaona sio njia sahihi. Nyavu huwezi ruhusu kila nyavu kutumiwa. MAREKANI ukishikwa na nyavu haramu kifungo chamaisha. Kwahio baada ya miaka 5 membe akiongoza hakuna hata dagaa ziwani

  • @jameskomba7675
    @jameskomba7675 4 года назад +4

    Fahilia aseee unanifanya nipende kukufuatilia pale unapo kuwa ana kwa ana na hawa wagombea wetu unauliza maswali pila kupepesa macho dada itv ikufikirie

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 4 года назад +2

    Nchi zote za wazungu baada ya uchaguzi siasa zinabaki Bungeni. Nipo Marekank kwa miaka 11 sijaona mkitano wa hazala wa siasa isipokua kusikia kua zimefanyika ndani ya nyumba zamikutano

    • @dhulmamwiko8452
      @dhulmamwiko8452 4 года назад

      Wewe acha uongo na upumbavu. Ninyi Magufulise mna matatizo ya akili. Uko Marekani gani, wewe, niambie. Kwa sasa niko Fort Pierce, Florida, sasa wewe niambie America gani ambayo haina mikutano ya kisiasa baada ya uchaguzi? Wewe mjinga na mpumbavu kweli. Uko hapa Marekani na hujui maana ya pressure groups? Nijibu. Siku moja baada ya Donald J. Trump kuapishwa hakukuwa na the Women's March, na hiyo haikuwa mikutano ya Kisiasa nchi nzima ambapo wanawake waliandamana na kuhutubia kila sehemu hapa Marekani? Democrats hawakuhutubia katika mikutano ile wakiwemo Senators kama Cory Booker (NJ) na Bernie Sanders (VT), pamoja na legendary Congressman, (the now late, RIP), John Lewis (GA) waliongea.
      Na mikutano ya Kisiasa huwa inaendelea sana tu, tena zaidi kuliko wakati wa Uchaguzi. Sema inafanyika katika Arenas due to security and weather issues. Mbona ninyi CCM waongo sana kama Mbwa Koko wenu Magufuli aliyedanganya hakuna Corona Tanzania na bibi yangu kipenzi akamwamini lakini majuzi nimempoteza bibi yangu aliyenilea. Na nimemptoteza kwa Corona. Mngejua hasira niliyonayo na ninyi CCM mnayemshabikia huyu Mbwa Koko Dictator anayeua watu hata vizee vikongwe. Nakwambia hivi, wewe mbwa wewe, ningejua ulipo hapa Marekani ungekuwa halali yangu. Kwa hasira niliyonayo, naomba Vyama vya Upinzani mwaka huu visikubali matoke, come what may, vijana kama sisi amabao tuna mafunzo mazuri ya Kijeshi tupo, tutakuja na kitaeleweka. Lazima tuheshimiane. Nchi sio ya Mbwa mmoja tu ambaye ana sura utafikiri muda wote yuko chooni akijikamua mavi.
      I just hope Wapinzani wanalijua hili. Lazima damu imwagike ili Ukombozi wa kweli uje Tanzania. Ninyi Mbwa Koko wa CCM hamtaiachia nchi iwe huru bila ya damu kumwagika. Yes, you just heard me right. I said, we need war in Tanzania against each other so that we can teach some sorry ass from CCM a lesson they will never ever forget. And take my word for it, I will be there to lay their asses out. And I ain't kiddin', you punk-ass. For my immensely beloved grandma sake, I will put that Dictator down, I swear, I will avenge. Spectacularly-trained, awesomely-energized, and raring to go. Good luck, you CCM, you will need it; a Hell of it.

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 4 года назад

      @@dhulmamwiko8452 Pittsburgh, Pa

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 4 года назад

      @@dhulmamwiko8452 chadema au Act 2050 sio leo au keyhole. Wewe nami tumezoea ukimbizi tusidanganye ambao wako nyumbani

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 4 года назад

      @@dhulmamwiko8452 nimeangalia ulichoandika nikakosa. Wewe shabiki sio mchezaji kwahio hukosi kelele. Lakini kufungwa nilazima ufungwe. Je mikutano ya hazala unaijua na unajua maana ya mikutano yandani? Marekani mikutano ni yandani. Hapa Pennsylvania ni swing state kama ilivyo Florida. Kwahio usiongee kwa hasila hadi unatamani vita ambapo umeacha family. Umeshiba food stamps? Unajua Congo na Somalia, syria, Iraq....kwa mambo ya vita? Sikia vita lakini yasikukute. Ndo maana wazungu husema watu weusi ninyani kweli.

    • @dhulmamwiko8452
      @dhulmamwiko8452 4 года назад

      @@barrynzeyimana6270 Please, wewe kama Mkimbizi ni wewe, na ninasema tena, please, mimi sio Mkimbizi. Nina haki ya Tanzania kushinda hata huyo Mbwa Koko wenu Magufuli. Babu yangu alikua afisa wa Kijeshi Tanzania na aliuawa katika Vita dhidi ya Idi Amin, during the Battle of Lukaya, chini ya Mahiri Mkuu wa Kijeshi David Bugozi Musuguri. Baba yangu pia ameuawa katika vita akilitumikia Jeshi la Tanzania chini ya Amir Jeshi Mkuu Ali Hassan Mwinyi. Sasa wewe unaniambia mimi Mkimbizi? Huyo Mbwa Koko wenu Magufuli alipigana vita gani na aliilinda Tanzania kivipi? Yeye ni Dictator tu ambaye anaamuru kama Mungu kwamba Corona haipo Tanzania na kila mtu lazima akubali. Sasa bibi yangu kipenzi aliyenilea ameondoka kwa Corona na sikuruhusiwa na my Division Commander hata kwenda kumzika. This is personal and lazima kitaeleweka tu in the end.
      Mimi nakubali. It's true that nalitumikia Jeshi la Marekani kama mpiganaji wao mashuhuri. That's purely because nilizaliwa Marekani na kukulia Marekani. Na Serikali ya Marekani iliona nina talent Kijeshi. Fair enough, lakini naipenda Tanzania yangu ambayo baba na babu waliuawawa wakiilinda. Sishabikii Chama cha Siasa chochote mimi. Siko kwenye Siasa. Ila huyu Mbwa Koko aliyejichanganya, anahitaji majibu. Na ninavyoona vigobole vyake vya wale mgambo wake wanaomlinda, he's a lying duck, you can be sure of that. In fact, you know that anyway. Kifo cha bibi yangu kipenzi pale Tanzania hakiwezi kwenda hivi hivi, bure bure tu. Again, I insist, my only hope is that the Tanzanian Opposition will have enough in their brain and realize that only bloodshed, only war, will bring true independence and freedom in the Land. Kama yeyote aliyepitia Mafunzo ya Kijeshi atakavyokwambia, we are always prepared to die and only hope to live. Let just get it done and over with. Ili tuheshimiane.

  • @JapharyBBudal
    @JapharyBBudal 4 года назад

    Membe nawaona kama wababaishaji ninyi navyo waona kama mngekuwa mnatawala hii miaka 5 inayoisha tayari mngekuwa mmesinisha vitu vingi kwa watu wa nje hata hiyo bandari siamini kama mngejitoa kwa mchina.

  • @mangobase
    @mangobase 4 года назад +2

    Kuongea na kuongoza ni vitu viwili tofauti ..kuongea vizuri mbele ya watu au kujua kitu haimaanishi unaweza kuongoza matendo na maneno yanapooana then unaweza kuwa kiongozi....
    Membe tuambie ni alama ipi katika uongozi wako uliacha alama? Wakati awamu ya nne uliacha figisu la vita malawi na tz, Rwanda Tz nawewe ulikua ndo waziri muhusika..vita vya mkuranga...alipo ingia JPM yote aliisha nikipi ulishindwa mpaka awamu ya 5 ikamaliza tatizo....ila mie naoba membe kiatu cha urais ni kikubwa kwako labda ubunge Im sorry to say that🙄

    • @munuoisaack418
      @munuoisaack418 4 года назад

      Wala hauhitaji kusema sorry, huo ni ukweli huyu ni kuongea ila maamuzi usimamizi hawezi,, tulopokuwa tunapigwa madini ni yy alikuwa waziri Leo anataka kutuhadaa

  • @josephatmakaranga7043
    @josephatmakaranga7043 4 года назад

    Hili zee ni nafiki hatari

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 4 года назад +1

    Ungemsapot tundu lissu

  • @hassanalawy4325
    @hassanalawy4325 4 года назад +2

    Ikiwa lisu atamuachia Membe.....hakika ikilu asubuhi tu ...anazungumza anachokijua huyu jamaa tena anajiamini sana.......

  • @edenhighlandshotel
    @edenhighlandshotel 4 года назад +1

    Daaa mwenyekiti wa chama tawala kazi anayo nilitazama dakika 45 ya Lissu saiz natazama ya Membe hawa jamaa wawili akili sana,upambanuzi wa mambo na sera wanazo pia.

  • @reubenbegashe2372
    @reubenbegashe2372 4 года назад +1

    Umewai kidogo kuchukua uamuzi huo, Wewe ulikuwa Rais mzuri Sana wa 2025 kutokea chama tawala

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 года назад

    Chakula hapo MKICHUKUA NCHI naona mtasababisha ndani ya NCHI BEI ITAPANDA NA WANANCHI WATAPATA TABU SANA. lazima kuhusu kilimo usiache uhuru SANA, chakula chote kutakuwa kunachukuliwa na wakenya. Pili nyavu zenye kuharibu ukuzi wa samaki, HAIITAJI KUBEMBELEZANA NCHI ITakushinda. Hakuna upole kwenye mambo msingi

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 4 года назад +9

    Tanzania tuko na maradhi manne Ujinga, uhuru, umasiki na maradhi

  • @ahmedrashid3357
    @ahmedrashid3357 4 года назад +4

    Tunaomba mumuite pombe jamani tuje tuskilize kiluga .😃

  • @jameskomba7675
    @jameskomba7675 4 года назад +3

    Fahiliaaaaa hapo umepatia mwingine alisema mahaba!!! Akatuacha midomo waziiiiii

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 4 года назад +2

    Utadhani ni yeye tuu amesomea hayo kumbe kibao Tanzania

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 4 года назад +1

    Tuleteeni Magufuli pia mbona hamumuleti tunataka kusikia sera zake

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 года назад +1

    Chadema wanamuonea wivu

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 4 года назад +2

    Huyu hana mfano wowote wa kuigwa alipokuwa waziri hakufanya chochote ,,,,,,,, ila Magu hata alipokuwa Waziri alionyesha uwezo wa kusimamia

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 года назад

    Jamani jamani MEMBE AU TUNDU nani anaeleza vizuri zaidi. Maana mmoja ndiye anatakiwa ashidane na JEMBE MTENDAJI WA UKWELI JPM

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 года назад +1

    Ni Rahaa ACT VS CHADEMA. INAPENDEZA WANAVOGOMBEA KUWA NANI ANAFAA KUGOMBEA. MEMBE ANAAKILI KULIKO LISU

  • @bokeyemarwa5038
    @bokeyemarwa5038 4 года назад

    Ulikuwa Waziri kwa miaka kumi hukuweza ku implement uraia pacha. Acha uongo

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 года назад

    MUNGU aliumba dunia kwa mpangilio na alitumia siku sita. Sio siku moja. Na MUNGU alianza na miundo mbinu, AJIRA utengenezewa miundo mbinu kwanza, jenga SHULE alafu walimu wataajiliwa baadae hats madactor hospitality zinajengwa wataajiriwa baadae vizuri ZAIDI

  • @jamesmaleko593
    @jamesmaleko593 4 года назад +1

    Mwambie huyo ukweli huyo Tanzania ya leo ni ya mh Rais wetu kipenzi John pombe magufuli tu

  • @trophainamagogwa9991
    @trophainamagogwa9991 4 года назад

    Mnaitaka democrasia ya kuua watu??au ipi mie naona mnayo kama Lisu alipigwa risasi kumi na 6 na akasema Amepigwa na Serikali na karudi na Amegombea Nchini hapo hapo kama Ni BURUNDI asingerudi mwaka huu wala mwaka kesho niwaambie ukweli ,Tanzania mnacheza Na Mboni ya Mungu kuna siku mtaijutia saana kusema Hamna Democrasia

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 года назад

    Zambia wamejaribu kujenga MIUNDOMBUNU KWA KUTUMI MIKOPO YA CHINA. Leo leo Nenanda kuwaulize sasa hali ni mbaya

  • @peterkimambo5602
    @peterkimambo5602 4 года назад

    Hujibu viini vya maswali, unajibu kirahisi mno. Anyway, ni bora kidogo kuliko kijani mwenzio alietunga maswali yake na kuacha aloulizwa

  • @lawrenceerasto4589
    @lawrenceerasto4589 4 года назад +3

    Tuletee rais magufuli

  • @derickthobias6393
    @derickthobias6393 4 года назад +2

    Magu nayeye aje apo.

    • @sameramwajdu9029
      @sameramwajdu9029 4 года назад

      Yy kazi yake nikukata wagombeya tuu lakini hana inshuuu rabda uongo na kujikumbizia pesa za wanyonge akidai nimtetezi wa wanyonge kufa kuona apate urais

  • @gordfreysangawe7535
    @gordfreysangawe7535 4 года назад +2

    Ulishindwa kuongo familia yako ya ccm utawezaje kukooooo

    • @grandneo5264
      @grandneo5264 4 года назад

      Membe amekonda tamaa mbaya uraisi atausikia tu

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 4 года назад

    Serekali inayo miliki ndege ni Tanzania tuu tupo juu kileleni

  • @justinkisinza336
    @justinkisinza336 4 года назад

    Fedha zetu ulizoiba na ukatunza ughaibuni tunazitaka

  • @azizisalimu8119
    @azizisalimu8119 4 года назад

    Km ulikos enz za kikwete ndo bc tena

  • @mwanamatofali6981
    @mwanamatofali6981 4 года назад

    Usitupotoshe bwana

  • @abdulikarimhamadi7145
    @abdulikarimhamadi7145 4 года назад

    Ww utakua makomo wakwanza watundulisu

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 4 года назад

    Muongo wewe ndege magufuli amenunua bila ya mkopo

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 4 года назад

    .Membe jalibu kuwa mkweli pia hakuna haja ya kuficha kuwa wewe unao Uraia wa Ubiligiji vile vile unaye taka kutawala Tanzania

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 4 года назад +2

    Sifa ya kuwa kiongozi hana,,,,,,ila kufundisha anajaribu,,,,,,,,swali la kwa nini hakuweza kuelekeza hayo anayoyasema sasa alipokuwa ccm ameshindwa kujibu

  • @sagutihussein3697
    @sagutihussein3697 4 года назад

    Majecha +dola = ndio silaha yao ya ccm
    Bashiru alishamaliza maneno watatumia dola kubaki madarakan
    Walizuia wenzao kufanya siasa miaka 5 ss iv wanahubir kununua ndege