Aisee mnaiua Sports Extra...kipindi kinaanza saa tatu kamili lkn kuanzia saa tatu mpaka tatu na nusu watu wanapiga story tu zisizotuhusu wasikilizaji! Inaboa sana na inafanya mpoteze wasikilizaji. Mfano kipindi cha jpili tarehe 4 watu wanapiga story za kipuuzi, Huyo David Kampista sijui na nani wametumia zaidi ya dk 13 kupiga soga zao binafsi mpaka nikajiuliza hii ni sports extra kweli au Leo tena!? Shaffih anapaswa kuliangalia hili na kuiunda upya safu ya watangazaji na wachambuzi wa vipindi vya sports lasivyo Clouds media itaendelea kupoteza wasikilizaji.
Wa Namombwe, Masasi 2mewamic wanafamilia wenu.
Masasi hampatikan kwenye redio
Wa Namombwe Masasi,Huku Masasi hampatkani Mwezisasa 2mewamic Wanafamiliawenu.