🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 32

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 дня назад +3

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @BarakaMwazembe-s7d
    @BarakaMwazembe-s7d День назад +1

    Wewe njaa inakusumbua na ni chawa

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 2 дня назад +6

    TULIONA UGOMVI WATU WA CHADEMA ARUSHA KWAMBA LEMA ALILETA WAPIGA KURA HEWA WASIOKUWA WAKAZI WA ARUSHA NA LEMA HUWA ANASHIRIKI WIZA WA KURA CHADEMA...LAKINI HUYO LEMA MAMBO HUWA ANAYALALAMIKIA KUMBE YEYE NDIO KINALA

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 дня назад

      Halafu bado kuna watu wanasema CCM ndo imeja rushwa kumbe nyani haoni tako lake chadema kwa sasa ni chafu hata Lisu kasema Msigwa kasema 😂😂

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 дня назад +4

    Lissu kibaraka wA mabeberu😢 hatarii😢

  • @ibrahimaziz-u9z
    @ibrahimaziz-u9z День назад

    Mzee ubwabwa apewe ulinzi tusikose ubwabwa mwaka huu

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 2 дня назад +2

    Chadema ni chama kikubwa sana ndio maana mtandao imechafuka kila kona Chadema ndio habar ya mjini ❤😅

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 дня назад +1

    Huyo mzeeubwabwa kawaida Iko wapi utekaji na mauaji

  • @AmosChristian-e4x
    @AmosChristian-e4x 2 дня назад

    Jamana awa wazee hawana kama uyu anongea pumba mwanzo mwisho na uzee unamsumbua

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v День назад

    Tukiacha urais tuchukulie mfano mdogo tu wa mikuu wa mikoa.malaka ni yale yale.cha kujiuliza angalia wa mikoa baadh hawawajibiki kama wengine wanavyo wajibika.kwayule anae wajibika ndio pale anapo sifiwa au kujisifu ni mefanya hivi au kafanya hivi.kwahiyo unaweza kuwa kiongoz lakini ikawa sio sababu huwajibiki.kwayule anae wajibika anasifiwa mana baadhi wameshindwa japo malaka niyale yale.

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 2 дня назад

    Mzee namkubaligi

  • @jacksonmwakasege6210
    @jacksonmwakasege6210 День назад

    Uliona wapi mfumo wa kujifumua????

  • @nestor384
    @nestor384 2 дня назад

    Mzee mramba asali Mzee jamii haiko ktk akili izo tena Ndicho kinachomtesa Freeman Mbowe anahisi jamii ipo hapo alipo yeye na pengine anashangaa Tundu Lissu kukubalika

  • @DavidBisse
    @DavidBisse 2 дня назад +1

    Mwenyekiti wa chama mfuu ashim lungwe hawa wazee njaa kali sana vibaraka wa ccm 😂😂😂😂😂😂

  • @JumaKatara-r2b
    @JumaKatara-r2b 2 дня назад

    Hawa wote machawa wa mama yule

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 2 дня назад +2

    Hivi mnawapata wapi hawa walevi hovyo kabisa

  • @neddon5822
    @neddon5822 2 дня назад

    Imekuwa normality tuu, haina matatizo (Ubwabwa, 2025)

  • @kiumbesambo6958
    @kiumbesambo6958 2 дня назад

    Unauliza fisi kuhusu afhabu ya mbuzi

  • @songombingo108
    @songombingo108 2 дня назад

    Dahh Kiongozi wangu Mpendwa wa Ubwabwa. Yaani huyu ndo anafaa kuwa Rais wa Tz kwa sasa..

  • @AzizMasenga
    @AzizMasenga 2 дня назад

    Kwani Hashimu anasemaje juhusu uchaguzi uliopita wa serikal za mitaa ulikuwa Vizuri!!!?

  • @neddon5822
    @neddon5822 2 дня назад

    CAG ni kweli alikaa 2 week apo Kwa Ubwabwa akifanya nn? Rezuku unatoka wapi ya kukagua 1 week?

  • @danieldede7176
    @danieldede7176 2 дня назад

    Sasa mtu kama huyu atakuwa na ushauri gaji wa maana sera yake ni ya kula wali

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 2 дня назад

    Huyu mzeee ni mwenyekiti mwaka wa ngapi utamkamata mtoto wa raisi huyu mzee chizi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 дня назад

    KAsuku Lissu😢domo reefuu

  • @JumaKatara-r2b
    @JumaKatara-r2b 2 дня назад

    Unamkashfu magu huna akili Wala wewe sio mzalendo mtu mzima butu