CASSIAN AWEKWA MTU KATI PASTA TON NA IPM VITA KUBWA KIROHO EV PASCHAL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 46

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire Месяц назад +2

    Huwezi kukinywea kikombe cha Mungu na mashetani. Hamwezi kuwa na sehemu katika meza ya Bwana na meza ya shetani pia. Tony alikosea sana hapo, kosa liitwe kosa.
    Ipm naye huyo sio mchungaji ni tapeli tu ( ni joka lipo madhabahuni hajui chochote kuhusu maandiko.
    Keep telling them the truth and truth will set them free. Be blessed. May God's favor be upon your life forever 🙏

  • @FredDaud-i9u
    @FredDaud-i9u Месяц назад +1

    Mwenye sikio na asikie Mungu akulinde na azidi kukutumia

  • @EsronSperatus
    @EsronSperatus Месяц назад +1

    Niko kwenye mshangao mkubwa sijui kanisa linaenda wapi. Anyways, bila kuwa na neno la Mungu ndani utashangaa unapotezwa na mtu yuleyule unayemdhania kasimama. Kuweni makini sana watumishi wa Mungu. Mtafuteni Mungu acheni maneno mitandaoni

  • @RubensaroSaro-ip6by
    @RubensaroSaro-ip6by Месяц назад +2

    Mtumishi semaaaaaaaa , wala usiogope wala usiwe na woga panapostahili semaaa

  • @Anandezi
    @Anandezi Месяц назад

    Pastor Cassian Mungu awe nawe ktk kila unachokifanya 🔥🔥💪🏽

  • @WitoKevela-ft5wl
    @WitoKevela-ft5wl Месяц назад

    Mtumishi Wa Mungu Cassian kazi yako njema Sana! Watu tukubari KURUDIWA kama kweli tu Wana Wa halali

  • @LinaJames-q8k
    @LinaJames-q8k Месяц назад

    Amina mtumishi tunakuelewa

  • @EsronSperatus
    @EsronSperatus Месяц назад

    Ila Paschal Mungu akubariki sana. Maana ni heri wamesikia. Sasaivi hawahubiri neno, wanataka washirika tuu

  • @EstinaSampeta
    @EstinaSampeta Месяц назад

    Hongera mtumishi Mungu akulinde

  • @paschaljeremia6882
    @paschaljeremia6882 Месяц назад +2

    Amina Mtumishi Wa Mungu 🙏🙏🙏 Ninyi mnae mpinga Paschal Cassian hamjui Mtumishi Wa kweli ☝️☝️☝️☝️

    • @StanfordMabruki
      @StanfordMabruki Месяц назад

      Mtumishi wa kweli ni yupi anayehubili habari njema za ufalme wa Mungu au anayewasema watumishi wa Mungu

    • @PolycapySilayo-g9w
      @PolycapySilayo-g9w 27 дней назад

      Hapo amejaza wanafunzi wa chuo asilimia asilimia kubwa ,Tatizo la wajinga wanashabikia mpaka upumbavu, Huyu epm anamapepo anatumikia tumbo casia piga kazi.

    • @PolycapySilayo-g9w
      @PolycapySilayo-g9w 27 дней назад

      Casiani piga kazi

  • @MosesMimbi
    @MosesMimbi Месяц назад

    Ameen ev Cassian you are very right

  • @PolycapySilayo-g9w
    @PolycapySilayo-g9w 27 дней назад

    Baba sema kweli ,huyu dogo alianza vizuri ila sasa kalewa sifa ,

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika Месяц назад

    Ni kweli mwana wa MUNGU wengine hawaelewi wamefungwa ufahamu wao inatakiwa mtu akipotea alejeshwe mara moja ili akae sawa kwa BWANA YESU ikiwa anampenda YESU Kweli anatii lakini kama hatumwa na YESU atachukia

  • @StanfordMabruki
    @StanfordMabruki Месяц назад

    Wewe ungekuwa unaelewa neno la Mungu usingewanyoshea watumishi wa Mungu vidole maana hukumu amepewa mwana kuhukumu achen ujinga nyie watumishi mliofilisika kiroho

  • @VincentMboka-gq8ye
    @VincentMboka-gq8ye Месяц назад

    Wambieni watu dunia imekwishaheee, wambieni watu nimuda wakujitasa

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza Месяц назад

    Huyo ipm simpend arud uislam au abadili mfumo wa mahubir

  • @uwimanadady6563
    @uwimanadady6563 Месяц назад

    Ton ni Freemason wapagani njo watu wake nuru na giza abiambatani

  • @PoulMononi
    @PoulMononi Месяц назад

    We nae una tafuta ugali kwa njia ya mta ndaoi

  • @witnesselkana
    @witnesselkana Месяц назад

    😊😂❤

  • @edwardkimaro2103
    @edwardkimaro2103 Месяц назад

    Shida yako Makelele na kuponda Kila anaye simama.Wewe una Masalia ya wajenzi huru.Kelele Mingi wokovu Amekusudiwa umfikie Kila mahali Mwanadamu aliko

  • @MagdalenaMatiko
    @MagdalenaMatiko Месяц назад +1

    Nyie endeleeni na kuhukumiana mwisho wa siku mnapungukiwa nguvu shetani anachukua place kuwagalagaza si mmempa nafasi,mnaweza kuhukumu mtu kumbe yeye alimaanisha jambo lingine

  • @eliyagresmo9363
    @eliyagresmo9363 Месяц назад

    Ama kweli! wewe bongo star search then leo unawakosoa watumishi wa Mungu injili ya kristo ni kumpinga shetani nasi watumishi wa Mungu! kwani John Makini na Diamond ni mashetani? Hacha kujihesabia haki wewe

  • @VestinaIsack
    @VestinaIsack Месяц назад +1

    Jitahidi kuwahubir ambao hawajaokoka ili wampokee yesu jitahidi maan kazi aliotutuma yesu ni kuwahubir watu wote habri njema ujio wa Bristol yesu na unyakuo wa watakatifu

  • @annagidion7817
    @annagidion7817 Месяц назад +1

    Wewe kila mtu unamkosoa duu ulokole wako wa ajabu Yesu alikuja kwa wabaya Kuna namna mtu anapewa kumfikia mtu achana na propaganda zako

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 Месяц назад

      Amsikie Yesu Kristo au wewe??

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 Месяц назад +1

      Soma Isaya 58:1 kila mtu ana kazi yake alopewa sas pastor kma IPM yuafundsha nn cha maan 🙄

    • @LinaJames-q8k
      @LinaJames-q8k Месяц назад

      Namkubali Cassian anaongea ukweli ...

  • @evelinambewe2835
    @evelinambewe2835 Месяц назад

    Peleka basi vitu pale pale Kwa usalama

  • @kgn924
    @kgn924 Месяц назад

    Na ww tutakuaminije kwamba ww ni nabii wa kweli

  • @annagidion7817
    @annagidion7817 Месяц назад

    Nilimelewa sana IPM kuhusu Pastor Toni .wee hatukuelewi wewe ni muongo kahubiri kanisani kwako tumekuchikaaaa

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 Месяц назад +1

      Wewe sio wa kwanza hata Yesu Kristo hawakumuelewa.

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika Месяц назад

      ​@@Visionofeagle9689Ni kweli watu wanataka injili laini laini

  • @emmanuelpius-it6of
    @emmanuelpius-it6of Месяц назад

    Hata wewe unatumiwa nashetan

    • @Franklajifaunuel
      @Franklajifaunuel Месяц назад +1

      𝑷𝒐𝒍𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒖𝒏𝒂𝒐𝒏𝒈𝒆𝒂 𝒖𝒔𝒊𝒄𝒉𝒐 𝒌𝒊𝒋𝒖𝒂 𝒎𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒑𝒆 𝒖𝒆𝒍𝒆𝒘𝒂 𝒏𝒂 𝒖𝒇𝒂𝒉𝒂𝒖 𝒖𝒑𝒂𝒕𝒆 𝒌𝒖𝒐𝒏𝒂 𝒖𝒉𝒂𝒍𝒊𝒃𝒊𝒇𝒖 𝒖𝒍𝒊𝒑𝒐 𝒎𝒂𝒌𝒂𝒏𝒊𝒔𝒂𝒏𝒊 𝒊𝒍𝒊 𝒖𝒋𝒖𝒆 𝒉𝒊𝒊 𝒊𝒏𝒈𝒊𝒍𝒊 𝒏𝒊 𝒂𝒅𝒊𝒎𝒖 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒅𝒖𝒏𝒊𝒂 𝒚𝒂 𝒍𝒆𝒐❤❤❤

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S Месяц назад

    Kaka unakaza sana mishipa tuonyesheee ambacho Mungu anatenda kwa mikono yako huo ni umbea kutuletea habari za mwanaume mwenzako hauoni aibu wewe mwanaume na ndevu zako zote hizo...fanya kazi ya Mungu hubili watu waache dhambi huyo mwanaume unayemzungumzia kuna mashoga wameokoka kuna wasagaji wamepona wewe kuchwa kutwa kuwazungumzia wanaume wenzio SHAME ON YOU BRO .HUO UJASIRI WAKUWASEMA WANAUME WENZIO NA NDEVU ZAKO UNAIABISHA FAMILY YAKO ...WATU WANATESEKA WAPO KWENYE VIFUNGO WANAHITAJI NURU YA KRISTO WEWE KUCHWAKUTWA KUWAZUNGUMZIA WANUME WENZIO BRO SHAME ON YOU....NAKUONYA KWA JINA LA YESU ALIYE HAI ACHA KUJIONA UNAFANYA KAZI YA UVUVI KWAKUTUPA NDOANO KWENYE VIKAPU VYA WANAUME WENZIO SHAME ON YOU NA NDEVU ZAKO......

    • @YustoNgede
      @YustoNgede Месяц назад

      Unamuelewa anapofafanua? Au unampenda mchungaji wako mpaka na macho yako yamepofuka? Ko twende tukanywe pombe na walevi ili waokoke bas au vip!

    • @YustoNgede
      @YustoNgede Месяц назад

      Hasemi sio mtumish wa kweli, ila kuimba na mpagani wimbo amepotosha watu na madhara ni makubwa sana kwa waliomsikia na watakaotendea kazi .

    • @YustoNgede
      @YustoNgede Месяц назад

      Kushiriki uovu ili umpate muovu dooooooo!

    • @uwimanadady6563
      @uwimanadady6563 Месяц назад

      Pascemen acha ushoga okoka

  • @Franklajifaunuel
    @Franklajifaunuel Месяц назад

    𝒀𝒂𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒂𝒘𝒂𝒐𝒏𝒆𝒂 𝒉𝒖𝒓𝒖𝒎𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒐 𝒖𝒑𝒊𝒏𝒈𝒂 𝒉𝒖𝒖 𝒖𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊 𝒘𝒂 𝒎𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒉𝒖𝒌𝒖 𝒘𝒂𝒌𝒊𝒏𝒖𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒎𝒃𝒂 𝒆𝒕 𝒖𝒏𝒂𝒑𝒐 𝒎𝒔𝒆𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒘𝒂 𝒌𝒊𝒍𝒆 𝒂𝒍𝒊𝒄𝒉𝒐 𝒌𝒐𝒔𝒆𝒂 𝒆𝒕 𝒂𝒎𝒆𝒉𝒖𝒌𝒖𝒎𝒖 𝒋𝒂𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒕𝒖𝒌𝒖𝒃𝒂𝒍𝒊 𝒌𝒖𝒐𝒏𝒚𝒘𝒂 ❤❤
    𝒖𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊𝒘𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝑷, 𝒌𝒂𝒔𝒔𝒊𝒂𝒏𝒊 𝒔𝒂𝒖𝒕𝒊 𝒉𝒊𝒊 𝒏𝒂 𝒊𝒇𝒊𝒌𝒆 𝒎𝒃𝒂𝒍𝒊❤❤❤🎉🎉🎉

  • @EsronSperatus
    @EsronSperatus Месяц назад +1

    Ila Paschal Mungu akubariki sana. Maana ni heri wamesikia. Sasaivi hawahubiri neno, wanataka washirika tuu