TABORA-WATUMISHI WA AFYA WALIOREKODIANA WASIMAMISHWA KAZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 30

  • @johakimuchubwa6772
    @johakimuchubwa6772 Год назад

    Wamekulupuka wamejisahau maisha wliokuwa nayo ni haki yao kusimamishwa wafanye kazi zingine

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 Месяц назад

    Mtaalam wa maabara bora arudishwe kazini kosa lake dogo linasameheka
    Lakini huyo nurse hafai jeuri mno hana adabu

  • @official_kingzimira
    @official_kingzimira 2 года назад +2

    Dah aiseee

    • @happinessmwaja9517
      @happinessmwaja9517 2 года назад

      Kwa maelezo ya Nurse ni kwamba hizo dawa zilishaexpire sasa mbona Dr anachanganya watu sio ni kumtetea huyo nurse kweli hebu kweli ya Mungu imsaidie huyu kaka maana mtaalamu wa maabara anaonyesha hawezi kutumia hizo zilizoisha muda jamani Mungu atusaidie ee kwa kwalo

    • @bernaremlemeta8987
      @bernaremlemeta8987 2 года назад

      Huyu mtaalam mnaa tu

  • @annamadavid4152
    @annamadavid4152 2 года назад

    Hapo kwanza inaonekana wao wabishanao.hawana maelewano mazur ndio maana hata Huyo Dada anajibu kama walikuwa wanaugomvi toka zamani

  • @majurasamwel1
    @majurasamwel1 2 года назад +1

    Hatar

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 2 года назад +3

    Huyo wa maabara Yuko sahihi lakni kimaadili hakupaswa kuweka mitandaoni alitakiwa kuwakilisha katika uongozi wake

    • @highonebalo8289
      @highonebalo8289 2 года назад

      Ili iishie huko juu kwa juu isitufikie siyo??

  • @abdallahmohamed3243
    @abdallahmohamed3243 2 года назад

    Wajibu wengine hivyo, ungeyakanyaga kwangu huo uso ungeumuka immediately, dharau za kipumbavu kazini.

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 Месяц назад

    Huyo dada mwenyewe sasa ana dharau hatari hana adabu

  • @kelvinmwalunenge6224
    @kelvinmwalunenge6224 2 года назад

    Napendekeza waoane maana wamekuwa maalufu sana sasa

  • @vailethmloka6618
    @vailethmloka6618 2 года назад +3

    Tunaomba alierekodi arudishwe kazi na apewe bonus au ata cheo apandishwe kama elimu yake inaruhusu

  • @abdonmsafiri8014
    @abdonmsafiri8014 2 года назад

    Hawa viongozi wakuu na mabosi wa Hawa manesi waliojirekodi nao wawajibike kwa kua wataachaje vifaa vilivyo expire viendelee kutumika. Mara ya mwisho walikagua lini vifaa vya hiyo zahanati. Nao waadhibitiwe.

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 2 года назад

    Ninacho amini mm nikweli dawa zimeisha mda ila dkr anakwepa kitu kimoja tu kuchukuliwa hatua yakiukaguzi mm niseme madakital kueni makini mnajisahau sana ndungu nanyie ndio uhai wetu dawa zixsp zina mazara makubwa sana

  • @abdonmsafiri8014
    @abdonmsafiri8014 2 года назад

    Mganga mkuu wa wilaya alikua anajua Kama vifaa come expire?. Mara ya mwisho lini na yy alifanya ukaguzi na Kama alijua come expire alielekeza Nini. Nae Ana la kujibu

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 2 года назад

    Kama mkemia anamweleza kua dawa zimexspadnt kwann asimwelewe

  • @nerymshana3333
    @nerymshana3333 2 года назад

    Kihereher cha uyu mtaalamu sasa akome kwan asingeacha kurecord nan angejua km wakilumbana hay sasa yamewakuta makubwa.

  • @devothaisaya5833
    @devothaisaya5833 2 года назад +2

    Ap kun chuk binafs mtu munaofany kaz pamoj hamuwez kufikia atua yakuredian kwasabab kun sehem na tartib za kaz za kufikish malalamik uy jamaa ni sinich si mtu mzur kabisa

  • @williams979
    @williams979 2 года назад +1

    Daktari mbona hapo nesi habishi maneno ya mtaalam wa maabara kuwa MRDT zimeexpire, inakuwaje wewe unasema zilikuwa bado hazija expire!

  • @oliversimpliskimariokimari3510
    @oliversimpliskimariokimari3510 2 года назад

    Kuna umbea wenye faida na umbea usio na faida haya kaubebe😂

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 года назад

    Sasa huyo alie record kosa lake lipi na katuonesha madudu ya wakunga wanavyo wapoteza watt wetu mama zetu na wake zetu wakiwa wapo ktk harakati za kujifungua. Na hio ndio hali halisi kufukuzwa kwa mwenye ku record kutafanya madudu mengne asisambazwe. Kwani tasisi itakubali kua hizo dawa zilisha ku exp?

    • @neemamwalyenga8080
      @neemamwalyenga8080 2 года назад

      kosalake kurusha mtandaoni angeipeleka ktk vyombo husika na sio kusambaza..maadili ya utumishi hayapo hivyo licha ya alichorekodi kuwa na umuhimu

  • @williammatata2611
    @williammatata2611 2 года назад

    Huyu mtalaamu wa maabara Hana akili

    • @selafinlisiely6009
      @selafinlisiely6009 2 года назад

      Huyo ni mchawi mwenzake"
      Maana kusoma hawezi hata kusikia tu hawezi" maana Nesi anaonekana ni kiburi sana" na matusi anamtukana mwenzie" na hinaonesha ni tabia yake ndio maana mwezie ameamua kumrecord ili watu wajue tabia yake"
      Pia nawasiwasi huyo mganga mkuu ni watu wa ana moja" maana anakanusha hazija exp wakati wanaobisha wanathibitisha ananishangaza hapo tu.Mungu atusaidie huko mahospitalin