- Видео 2 225
- Просмотров 7 334 114
Cg Online Tv
Танзания
Добавлен 1 авг 2018
C.G Online Tv is official channel owned by C.G TRaders LTD under C.G Fm Radio 88.5 MHz
CG Online Tv operates in lieu of all applicable laws. It will not be responsible to any subscriber who will post anything contrary to the applicable laws. Ndugu Mtazamaji Tafadhari zingatia kutotuma ujumbe usio na lugha ya matusi, ubaguzi au uchochezi kwa aina yoyote ile inayopingana na sheria za nchi ya Tanzania ukikiuka mwongozo huu basi C.G Online Tv haita husika kwa namna yoyote ile iwapo sheria itachuka mkondo wake. Tumia mtandao kwa maendeleo binafsi, jamii na Taifa kwa ujumla.

ASKARI WALIO ONEKANA KUCHUKUA RUSHWA HADHARANI WAKAMATWA.
#CgOnlineTv
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam imeona picha mjongeo katika baadhi ya mitandao ya kijamii likionesha tukio la askari wa Usalama Barabarani wakifanya vitendo visivyo na maadili na kuchafua taswira ya Jeshi la Polisi.
Askari hao tayari wamekamatwa, wapo mahabusu na hatua kali za kinidhamu za mashitaka ya kijeshi zimeanza kuchukuliwa kabla ya hatua nyingine za kisheria kuchukuliwa.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litaendelea kuchukua hatua kali na za haraka na halitavulia vitendo vyovyote vya kulidhalilisha Jeshi, vilivyo kinyume na maadili ya Jeshi au kuchafua taswira ya Serikali na kinyume cha Sheria za nchi.
#CgOnlineUpdates

Просмотров: 572
Видео
DADA WA KAZI ALIYEIBA WATOTO ALITUMWA NA MGANGA- POLIS.
Просмотров 3652 часа назад
#CgOnlimeTv Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la watoto walioibwa na Dada wa kazi, tukio lililotokea Tandika jijini Dar es Salaam. Kamanda Muliro amesema kuwa baada ya Jeshi la Polisi kupata taarifa, lililifanya uchunguzi wake na kufanikiwa kuwapata watoto hao wakiwa nyumbani kwa mganga wa kienyeji, ambaye imebainika kuwa ndiye aliyeku...
WACHOMA MOTO OFISI KISA HAWAMTAKI MTENDAJI WA KIJIJI-TABORA
Просмотров 2727 часов назад
Watu wasiojulikana wamevamia na kuchoma moto Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Silambo iliyopo Kijiji cha Nsungwa Wilayani Kaliua Mkoani Tabora na kuteketeza baadhi ya nyaraka na samani zilizokuwepo ndani ya ofisi hiyo. Kwa mujibu wa Diwani wa Kata hiyo Mashaka Mpuya tukio hilo la kuvamiwa na kuchomwa moto kwa ofisi hiyo ya Mtendaji wa Kata limetokea majira ya usiku kutokana na kile kinachodaiwa kwa...
'REA KUFIKISHA UMEME KILA KITONGOJI'-UYUI
Просмотров 4714 часов назад
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua mradi wa usambazaji umeme kitongoji kwa kitongoji wilayani Uyui baada ya kukamilisha usambazaji umeme katika vijiji vyote 156 wilayni humo mkoani Tabora. Mkuu wa wilaya ya Uyui Mohamed Mtuliakwaku akizindua mradi huo amesema kati ya vitongoji 706, vitongoji 468 zaidi ya asilimia 66 vimefikiwa na umeme na kwamba kupitia mradi wa kila jimbo vitongoji 15 ...
MTEJA WA GUEST AKAMATWA AKIONDOKA NA GODORO ASUBUHI, WANANCHI WATAKA KUMGAWANA-TABORA
Просмотров 6 тыс.16 часов назад
#CgOnlineTv
KABUDI AMTAKA MKANDARASI KUONGEZA KASI
Просмотров 41119 часов назад
#CgOnlineTv Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtaka mkandarasi wa kituo changamani cha mazoezi na kupumzikia wananchi jijini Dodoma kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Waziri Kabudi ameyasema hayo leo Januari 7, 2024 alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo ambapo vinajengwa viwanja mbalimbali vya michezo na kupumzikia kwa wakaz...
MAKONDA AMLIPUA GAMBO HADHARANI, "USITAFUTE UMAARUFU"
Просмотров 29321 час назад
#CgOnlineTv Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda Leo Jumatatu Januari 06, 2024 amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Mashaka Gambo, kuachana na siasa za uchonganisha na badala yake ahudhurie vikao vya Mipango ngazi ya Halmashauri na vya ngazi ya Mkoa ili kujadili pamoja kuhusu changamoto na suluhu za masuala mbalimbali yanayohusu Mkoa wa Arusha. Makonda ametoa kauli hiyo leo mbel...
WAZIRI BASHUNGWA ATUMIA GARI YENYE NAMBA BINAFSI, ASIMAMISHWA NA ASKARI BARABARANI.
Просмотров 31 тыс.День назад
#CgOnlineTv Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa akizungumza na askari wa usalama barabara katika eneo la Magugu wilayani Babati mkoani Manyara wakati akiwa safari mara baada ya kushudia askari hao wakitekeleza majukumu yao kwa weledi na uadilifu, leo tarehe 04 Januari 2024 Bashungwa akiwa kwenye gari lenye namba za usajili binafsi, direva wake alisimamishwa na kuanza kukaguliwa...
FUNDI UJENZI AANGUKA GHAFLA AKIBOMOA DUKA SOKO KUU TABORA
Просмотров 22 тыс.День назад
FUNDI UJENZI AANGUKA GHAFLA AKIBOMOA DUKA SOKO KUU TABORA
SAFARI YA MWISHO YA MAMA MZAZI WA MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA TABORA,RAMADHAN KAPELA
Просмотров 29514 дней назад
SAFARI YA MWISHO YA MAMA MZAZI WA MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA TABORA,RAMADHAN KAPELA
NGOME YA UPINZANI UYUI YAANGUKA,SUMAR AWAPOKEA,"KILA SEHEMU NI SAMIA TUMEONA TURUDI"
Просмотров 26214 дней назад
NGOME YA UPINZANI UYUI YAANGUKA,SUMAR AWAPOKEA,"KILA SEHEMU NI SAMIA TUMEONA TURUDI"
HII NI KUBWA KULIKO, BINTI KUTOKA TABORA ANATUMA SALAMU KWA NANDY NA WENZAKE
Просмотров 14114 дней назад
HII NI KUBWA KULIKO, BINTI KUTOKA TABORA ANATUMA SALAMU KWA NANDY NA WENZAKE
WAZIRI BASHE AWA MBOGO B. 1.4, "MALI ZA WAKULIMA ZILIZOIBWA" ,WATU 15 MBARONI WIZI WA MAROBOTA
Просмотров 47614 дней назад
WAZIRI BASHE AWA MBOGO B. 1.4, "MALI ZA WAKULIMA ZILIZOIBWA" ,WATU 15 MBARONI WIZI WA MAROBOTA
VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI WATENDEENI HAKI WANANCHI WENU
Просмотров 7921 день назад
VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI WATENDEENI HAKI WANANCHI WENU
James aweka kambi Tabora Kujiandaa na Pambano | Mfanyakazi toka Cg Digital atambulishwa kwenye Box.
Просмотров 1 тыс.21 день назад
James aweka kambi Tabora Kujiandaa na Pambano | Mfanyakazi toka Cg Digital atambulishwa kwenye Box.
MCHEZAJI PEKEE WA TABORA KWENYE KIKOSI CHA TABORA UNITED AFUNGUKA SAFARI YAKE ILIVYOKUWA NGUMU
Просмотров 26921 день назад
MCHEZAJI PEKEE WA TABORA KWENYE KIKOSI CHA TABORA UNITED AFUNGUKA SAFARI YAKE ILIVYOKUWA NGUMU
TAZAMA SHABIKI HUYU WA PRISON AKIKARIBISHWA TABORA UNITED KWA SHANGWE
Просмотров 14828 дней назад
TAZAMA SHABIKI HUYU WA PRISON AKIKARIBISHWA TABORA UNITED KWA SHANGWE
TABORA UNITED YATOSHANA NGUVU NA COASTAL UNION,MWAGALA AINGIA NA APPLE UWANJANI
Просмотров 28628 дней назад
TABORA UNITED YATOSHANA NGUVU NA COASTAL UNION,MWAGALA AINGIA NA APPLE UWANJANI
WALICHOSEMA MAKOCHA TABORA UNITED NA COASTA UNION KUELEKEA MCHEZO WA KESHO NBC PL
Просмотров 17428 дней назад
WALICHOSEMA MAKOCHA TABORA UNITED NA COASTA UNION KUELEKEA MCHEZO WA KESHO NBC PL
Simba Ilitufunga kwa bahati mbaya, Hawana Uwezo wa kutufunga kwa sasa - Christina Mwagala
Просмотров 611Месяц назад
Simba Ilitufunga kwa bahati mbaya, Hawana Uwezo wa kutufunga kwa sasa - Christina Mwagala
MWENYEKITI AWAPIGIA MAGOTI WANANCHI KUWASHUKURU ''NITAWATUMIKIA WAKATI WOTE''
Просмотров 132Месяц назад
MWENYEKITI AWAPIGIA MAGOTI WANANCHI KUWASHUKURU ''NITAWATUMIKIA WAKATI WOTE''
Usajili wa Bilioni mbili unatulipa-Christina Mwagala
Просмотров 171Месяц назад
Usajili wa Bilioni mbili unatulipa-Christina Mwagala
Mkuu samahani wasamehe labda alikua anawapa ya maji jamaniiii mweee, Muda mwingine tunawapa za kusafishia viatu labda km huyo alikua na Nia mbaya.
Wasengeeee ndo maisha yao na wakmalza kozi maombi yao meng ni trfc
😢😢😢
Nyoka huyo sio wa halali
Sacrifice for money ritual .
Subhanallah😢
Nakukubal sana kamanda kwetu kumoja chuo chakilimo tumbi
Mwenyezi Mungu Tupe subra
Nipeeni huyo nileee😮😮😮😮😮😮😮😮, nipitieni guys pale kwangu youtube channel tafadhali muone vile Mwalimu amepiga mtoto kaa ubwa juu ya sch fees 😢😢
Ushubwada tu hamna kitu kiki hadi serekalini😂😂
Safi sana jembe letu
dingi kainama kifalaa...mkuu mimi..wewe nn?
🤣🤣🤣🤣🤣...waigizajiiii..tumechokaaaa
Samahan Kwa mkoa wa Simiyu Cg fm inapatkana Kwenye masafa Gani?
Alaaniwe kabisa aliyeuwa
❤❤❤❤❤
Kamera waliziandaa? Au
Sifaaaa
Yani uyo mwalim afugwe maisha
🤫
UNGEPITA NA COROLA ALAF dereva ashuke aende
Hiii changa la macho! Angekua na gari la kawaida ningekubar lkn V8 binafsi hii ni maigizo walijua kabisa ni yeye wakatuigizia kumpiga mkono
mimi mpka leo sielewagi maana ya Saeuti kumpgia mtu asie namafunzo yakijeshi. mwenye ufaham zaidi ngependa ansaidie maana m njinga kwenye hlo🙏
Bashungwa... Ulega... Punguzeni sanaa kucheza na vyombo vya habari... Watanzania tuna changamoto kubwa barabarani... Hivo kama Waziri mwenye dhamana unatakiwa uje na majawabu ya hizi kadhia za barabarani.
uyu jamaa na mwenzio aweso wanapenda san camera na media
@BongoShoppers-255 Aweso anafanya Kazi na Watu Maji wanakunywaa ... Huyo ni mzushi tuu.
Panda Haisi uone Rushwa inavyotolewa, hawa jamaa kwa Rushwa Bora ya Malaya
kwani wanalazmishwa kutoa ni ana kosa anaona kuliko andikiwe faini kubwa
Ungepita na Noah chapu kwa haraka yaani wenye Noah tumewengwe balaaa
Hata ufanye nini hao rushwa tu
Umesimama kuwapongeza ama wamekusimamisha, hawajaomba ya vocha
Mzee rushwa tupu barabarani Askari kila mara kusimamisha Tu . Mijini vibaka na wabakaji wanatanua Tu
😅😅😅😅 hakuna cha maana hapo mkuu upo na gari ya aina iyo unategemea nini
Uaikute alipiga sim Hilo eneo akawaandaa😂😂
Tumia Noah ndo utoe pongezi.tena uwe umevaa ijab kama kweli unataka kupata uhalisia
Safi
Mku tumia usafiri wa basi , une jama zao. Ila upo sahii
Hivi Tz hii kuna trafic wa kusimamisha V8 na kuomba rushwa? Hata kama ni mim siwez kufanya huo ujinga.. akitaka aone mtiti mwambie apite hapo na lori aone kama atapona
Wamemuomba ushauli tu
Hawajamuomba chochote?
Hizo Sheria Kwa wadogobtu mtoto wa mkubwa au mtu tajiri hazimuhusu ukweli usmwe
Kuwa tajilii sasa ziskuhus
😂matraffic wetu naweza sema wanatakiwa wafundishwe upya. Huwezi kusimamisha gari halafu eti unalikagua na dereva hajakosea ni usumbufu tu. Iringa inaongoza kwa unyanyasaji
Mungu walinde wanaume wot wanapokuw kweny mihangaiko yao
Alaahum Amiiyn
😢😢
Allah aampe shifaa ameen
Mungu awasaidie wanaume wetu kwenye miangaiko yao maana huwa ni migumu sana
Duh mung ampe shifaa
HongerA kijana kwa kumsaidia chap mola awalipe,vijana km hawa wana umuhim kwenye jamii
Sasa hawampi huduma ya kwanza
Daaah aisee
Poleni sana
Katagha bhana😂😂😂
SUBAHANNAALLAH
Sio kila nyumba ni ya kubomoa bomoa ovyo