Bashungwa... Ulega... Punguzeni sanaa kucheza na vyombo vya habari... Watanzania tuna changamoto kubwa barabarani... Hivo kama Waziri mwenye dhamana unatakiwa uje na majawabu ya hizi kadhia za barabarani.
Hivi Tz hii kuna trafic wa kusimamisha V8 na kuomba rushwa? Hata kama ni mim siwez kufanya huo ujinga.. akitaka aone mtiti mwambie apite hapo na lori aone kama atapona
😂matraffic wetu naweza sema wanatakiwa wafundishwe upya. Huwezi kusimamisha gari halafu eti unalikagua na dereva hajakosea ni usumbufu tu. Iringa inaongoza kwa unyanyasaji
Bashungwa... Ulega... Punguzeni sanaa kucheza na vyombo vya habari...
Watanzania tuna changamoto kubwa barabarani...
Hivo kama Waziri mwenye dhamana unatakiwa uje na majawabu ya hizi kadhia za barabarani.
uyu jamaa na mwenzio aweso wanapenda san camera na media
@BongoShoppers-255 Aweso anafanya Kazi na Watu Maji wanakunywaa ...
Huyo ni mzushi tuu.
Umesimama kuwapongeza ama wamekusimamisha, hawajaomba ya vocha
Ushubwada tu hamna kitu kiki hadi serekalini😂😂
Hivi Tz hii kuna trafic wa kusimamisha V8 na kuomba rushwa? Hata kama ni mim siwez kufanya huo ujinga.. akitaka aone mtiti mwambie apite hapo na lori aone kama atapona
Sifaaaa
mimi mpka leo sielewagi maana ya Saeuti kumpgia mtu asie namafunzo yakijeshi.
mwenye ufaham zaidi ngependa ansaidie maana m njinga kwenye hlo🙏
Tumia Noah ndo utoe pongezi.tena uwe umevaa ijab kama kweli unataka kupata uhalisia
Hiii changa la macho! Angekua na gari la kawaida ningekubar lkn V8 binafsi hii ni maigizo walijua kabisa ni yeye wakatuigizia kumpiga mkono
Kamera waliziandaa? Au
😅😅😅😅 hakuna cha maana hapo mkuu upo na gari ya aina iyo unategemea nini
Uaikute alipiga sim Hilo eneo akawaandaa😂😂
Ungepita na Noah chapu kwa haraka yaani wenye Noah tumewengwe balaaa
Safi
Mzee rushwa tupu barabarani Askari kila mara kusimamisha Tu .
Mijini vibaka na wabakaji wanatanua Tu
Mku tumia usafiri wa basi , une jama zao. Ila upo sahii
UNGEPITA NA COROLA ALAF dereva ashuke aende
🤫
Hata ufanye nini hao rushwa tu
Wamemuomba ushauli tu
Hawajamuomba chochote?
Panda Haisi uone Rushwa inavyotolewa, hawa jamaa kwa Rushwa Bora ya Malaya
kwani wanalazmishwa kutoa ni ana kosa anaona kuliko andikiwe faini kubwa
Hizo Sheria Kwa wadogobtu mtoto wa mkubwa au mtu tajiri hazimuhusu ukweli usmwe
Kuwa tajilii sasa ziskuhus
😂matraffic wetu naweza sema wanatakiwa wafundishwe upya. Huwezi kusimamisha gari halafu eti unalikagua na dereva hajakosea ni usumbufu tu. Iringa inaongoza kwa unyanyasaji