Hawa ndio viongozi tunaowataka katika awamu hii ya hapa kazi tu. Ubabaishaji na upigwaji wa pesa za miradi umeisha. lakini bado watu hamtaki kubadilika. Kweli mtapata taabu sana, na mtasukumwa ndani sana. Hongera sana mkuu wa Mkoa Tabora. Kazi zako zinaonekana hakika. Nadhani umemwelewa mkuu wa kaya vizuri. Piga kazi baba, walizoa kutumbua pesa za miradi bila huruma.
Nakupenda sana mkuu . Mh ,Rais urishuudia urasimu wa mji wa njombe Tunakuomba chonde utipe huyu mh mwanri ajee ili nasisi tuboreshe maendereo ya mkoa wetu
Tuko pamoja Mh.Agrey mwanri,watumikie wanatabora .maendeleo ya Mkoa huu yalilala sana. nakuomba upitie upya suala la utoaji wa elimu ya watu wazima katika kila wilaya. maana kwa uchunguzi wangu binafsi mkoa huu unaidadi kubwa sana ya watu wasiojua kusoma na kuandika.hasa maeneo ya vijijini. wapange maafisa elimu waweke taratibu za kuandikisha watu wazima maana maendeleo katika maeneo yaliyo na elimu duni huenda kwa kasi ya konokono. na hata miradi ikijengwa utunzaji huwa duni kwa kukosa elimu kwa wananchi husika.
Mimi naishangaa sana Tanzania na viongozi wake, nashindwa kuelewa, sielewi huu niudkiteta au ni uongozi bora, yaani mtu hapewi hata nafasi ya kujieleza, ee hi kali, ilihali hata wao wakachunguzwa kwa kazi zao wanazo zifanya pia wanapatikana na makosa, tena mengi, kwa sababu hata bibilia inasema hakuna aliye mwema ila Mungu tu. Au wanakua wakali ili waonekane wako sawa, ili kupunguza uwezekano wa wao kufanyiwa uchunguzi k wa kazi zao wanazo zifanya serikalini. yani hata unaeza shindwa kuelewa hawa ni Viongozi au ni Wasanii, kwa sarakani wanazo zifanya wakati wakikagua miradi mbalimbali nchini Tanzania. Ee,Hii noma.
Trophaina Magogwa hivi nyinyi viumbe mnataka serikali ifanye nini sasa!!!? Umeona uzembe uliosababisha hasara ya milioni tisa. Hayo ndio mambo yanayoendelea nchi nzima. Wakiachwa hao bila kuwajibishwa hakuna kitachofanyika.
Hawa ndio viongozi tunaowataka katika awamu hii ya hapa kazi tu. Ubabaishaji na upigwaji wa pesa za miradi umeisha. lakini bado watu hamtaki kubadilika. Kweli mtapata taabu sana, na mtasukumwa ndani sana. Hongera sana mkuu wa Mkoa Tabora. Kazi zako zinaonekana hakika. Nadhani umemwelewa mkuu wa kaya vizuri. Piga kazi baba, walizoa kutumbua pesa za miradi bila huruma.
Mie
Omary kauga huyo mkuu wa mkoa tabora namkubali sana ;huyo huwa hafanyii kaz majungu yee ni mtu wa site kazi kwenu ukijichanganya unae
You deserve more Stars ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
Safi sana wakiboroga wakatwe mishahara,kazi ya serikali iheshimiwe
Mwanri for president
Wapenda.katika.bwana.mungu.yupamoja.nasi.sikuzote.za.uhai.wetu
Nakupenda sana mkuu . Mh ,Rais urishuudia urasimu wa mji wa njombe Tunakuomba chonde utipe huyu mh mwanri ajee ili nasisi tuboreshe maendereo ya mkoa wetu
Duh kweli mmepatiwa mtakatwa sana kwa uyo baba
Hatari sana
Tuko pamoja Mh.Agrey mwanri,watumikie wanatabora .maendeleo ya Mkoa huu yalilala sana.
nakuomba upitie upya suala la utoaji wa elimu ya watu wazima katika kila wilaya.
maana kwa uchunguzi wangu binafsi mkoa huu unaidadi kubwa sana ya watu wasiojua kusoma na kuandika.hasa maeneo ya vijijini.
wapange maafisa elimu waweke taratibu za kuandikisha watu wazima maana maendeleo katika maeneo yaliyo na elimu duni huenda kwa kasi ya konokono.
na hata miradi ikijengwa utunzaji huwa duni kwa kukosa elimu kwa wananchi husika.
uko sawa kabisa
daaa hahahhaa kwel Kama n CCM nmempenda huyu mkuu bas
Gai nimekua wa kwanza
😂😂😂😂😂😂 kazi kazi
Chukua fomu ya urais unawez
Safi sana
ENG; UKO SAHIHI BIG , HIYO NI SITE TESTING!
Wanakuletea Ngonjerea hao kata mishahara hao
Hahahaha kwel tabora mmepatikana!!!
UKO SAHIHI ENG ( SITE TESTING OF BLOCKS)
.sukuma ndani
Akwelina
Waandishi wengi na watu wengi jina la huyu jamaa linawwpa shida kulitaja kama lilivyo, fuatilie kwa makini mtaona.
Viongz wanaotakiwa awa siyo unaka tu ofcn
Safi kabisa.. Unalikuta linatafuna korosho tu ofisini watu wanapiga pesa sait
Di
.,,amond
uyu jamaa akiwa rais tunalo hhhhhhhh
Komando huyu mambo yataenda
Bongo movis
Mimi naishangaa sana Tanzania na viongozi wake, nashindwa kuelewa, sielewi huu niudkiteta au ni uongozi bora, yaani mtu hapewi hata nafasi ya kujieleza, ee hi kali, ilihali hata wao wakachunguzwa kwa kazi zao wanazo zifanya pia wanapatikana na makosa, tena mengi, kwa sababu hata bibilia inasema hakuna aliye mwema ila Mungu tu. Au wanakua wakali ili waonekane wako sawa, ili kupunguza uwezekano wa wao kufanyiwa uchunguzi k wa kazi zao wanazo zifanya serikalini. yani hata unaeza shindwa kuelewa hawa ni Viongozi au ni Wasanii, kwa sarakani wanazo zifanya wakati wakikagua miradi mbalimbali nchini Tanzania. Ee,Hii noma.
SIJAELEWA HIYO TESTING YA MATOFALI NI ENG.GANI ANAIJUA
Ngonjera
mkuu naitwa shungu shula nimtaalam wakupiga tofali ngumu aka mawe
Mkuu wa mkoa siyo hivyo uongozi
Watu wamelala sana ndugu yangu
Tulia wewe, kazi kazi!!
Ovyo wewehulipi kod
Trophaina Magogwa hivi nyinyi viumbe mnataka serikali ifanye nini sasa!!!? Umeona uzembe uliosababisha hasara ya milioni tisa. Hayo ndio mambo yanayoendelea nchi nzima. Wakiachwa hao bila kuwajibishwa hakuna kitachofanyika.
hahaaaaa. hapo. wanatabora mtamsomatu. huyo mzeee hater sana du