Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Tuko pamoja broo, In Sha Allah Mungu akituwezesha tutachukua hatua very soon 🙏
Unyamaa sana kiongozi 🔥🔥🔥
Vip kaka❤❤❤
Tukonawe kutoka kamenge burundi 🇧🇮
Sasa kaka **?unawezaje Pata kazii
Kk tuunganishe na agency wa huko wanaotaka watu kutoka tz
Sana kaka tutakutana siku huko
Ktk mialiko apo kaka lazima utanipa msaada Soon naku DM
Unyama ni mwingi sana kaka
Tusanue kaka tuko pamoja
Kaka nilikuwa naulizia kazi ambazo ni rahisi kupata
Ndugu nilikuomba unitumie namba yayule mshikaji aliepita nyia ya Brazil
Ndugu nitapataje kazi huko?
Kk nawezaje kupata muhariko kujauko naomba nipe muongozo kk
Kazi Nzuri ila sasa uko Marekani hivyo Jifunze kutamka "Massachusetts" Kwa ufasaha jinsi inavyotakwa na sio uitamke Kikabila chenu.
Spelling za hiyo city please
Usiamini kila unahoambiwa mitandaoni kwamba.
Nifanyie mchakato nipate kazi uko
Nikifika huko naweza kupata kazi ya drive mkuu
Acha uongo bro tuna ndugu wako hapo na tulipata mialiko na watu wakakosa visa kwanini huwa munawadanganya watu kuhusu visa za umarekani acha ufala hata wewe mwenyewe hujuiVisa uliipataje stupid
Acha makasiriko kaka,kama walikosa ndugu zako wengine wanapata kwahiyo kumtukana mtu anaehamasisha wabongo wafunguke huo ni ushamba.
Tuko pamoja broo, In Sha Allah Mungu akituwezesha tutachukua hatua very soon 🙏
Unyamaa sana kiongozi 🔥🔥🔥
Vip kaka❤❤❤
Tukonawe kutoka kamenge burundi 🇧🇮
Sasa kaka **?unawezaje Pata kazii
Kk tuunganishe na agency wa huko wanaotaka watu kutoka tz
Sana kaka tutakutana siku huko
Ktk mialiko apo kaka lazima utanipa msaada Soon naku DM
Unyama ni mwingi sana kaka
Tusanue kaka tuko pamoja
Kaka nilikuwa naulizia kazi ambazo ni rahisi kupata
Ndugu nilikuomba unitumie namba yayule mshikaji aliepita nyia ya Brazil
Ndugu nitapataje kazi huko?
Kk nawezaje kupata muhariko kujauko naomba nipe muongozo kk
Kazi Nzuri ila sasa uko Marekani hivyo Jifunze kutamka "Massachusetts" Kwa ufasaha jinsi inavyotakwa na sio uitamke Kikabila chenu.
Spelling za hiyo city please
Usiamini kila unahoambiwa mitandaoni kwamba.
Nifanyie mchakato nipate kazi uko
Nikifika huko naweza kupata kazi ya drive mkuu
Acha uongo bro tuna ndugu wako hapo na tulipata mialiko na watu wakakosa visa kwanini huwa munawadanganya watu kuhusu visa za umarekani acha ufala hata wewe mwenyewe hujui
Visa uliipataje stupid