ACT wapinga uchimbaji mafuta Fungu Mbaraka | GUMZO LA LEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 63

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 18 дней назад +6

    Asante viongozi wetu. Hayo yote ni zanzibar kukosa mamlaka yake sasa tanganyika wanaifanya shamba la bibi wanavuna kila wanachokiona na huyo bibi kashanongewa madaraka uzalendo umeshamtoka kabsa anakubali kila kitu anachoambiwa na watanganyika mwisho namkumbusha maneno marufu ya abudu jumbe mtu kwaoo baada ya uraisi kuna maisha mzarau kwao mtumwa...

    • @ashaahmed8063
      @ashaahmed8063 18 дней назад +2

      Hatukubali cha zanibar kuchukuliwa bara vya bara.sisi hatuchukui. Wala hawatupi kabisa

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 18 дней назад +13

    CCM wa Zanzibar hawawezi kuitetea nchi yao,kisa hofu ya kukosa tonge kutoka kwa mabwana zao Watanganyika.

    • @musazain6183
      @musazain6183 18 дней назад +2

      Hakika, na ni kwasababu hao ccm waliopo madarakani sio wazalendo wa Zanzibar bali ni vibaraka kutoka bara waliopandikizwa Zanzibar kimabavu na ndo mana hawataki kuiachia Zanzibar ili wapate kufanya mipango yao ya kuendelea kuwadhulumu wazanzibari haki zao na kuendelea kuimiliksha ardhi ya Zanzibar kwenye mikono ya tanganyika moja kwa moja

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 18 дней назад +8

    Raisi ametoka TANGANYIKA wanaendeleza kuipoteza ZANZIBAR .

  • @harithmohd6318
    @harithmohd6318 18 дней назад +3

    Naamn inshaallah kwa uwezo ALLAH zanzibar inaenda kukomboka kutok kwa kimono ya kizalimu wanzanzibar wot tunatakiwa tujitoe kikamilif ili zanzibar yetu iwe na mamlaka kamili 2025 niwakat wetu inshaallah

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 17 дней назад +2

    Yaani kiukweli huyu rais wa Zanzibar haipendi Zanzibar. Na anatukosesha furaha katika nchi yetu. Hatumtaki.

  • @ramsobakar980
    @ramsobakar980 18 дней назад +5

    Act wazalendo chini ya OMO ni moja kwa moja kupewa pongezi za zati kabisa mungu awatangulie tuko nje ya zanzibar lakin lazima kura yangu ni kwa OMO KWA JUHUDI ZAKE KUIPAMBANIA NCHI YETU ZANZIBAR

    • @nassorhassan7288
      @nassorhassan7288 18 дней назад +4

      namim pia😅..japo kuwa nimpenzi wa ccm..ila kura yangu yakwanza mara hiy ni mh omo

  • @kassimmohd
    @kassimmohd 18 дней назад +4

    Viongozi Wa CCM wa Zanzibar wote Wamepewa mzugo , Unga wandere umewakaaa

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 18 дней назад +3

    WATANGANYIKA wanazidi kuikamiza ZANZIBAR kuanzia kuletewa viongozi kutoka TANGANYIKA sasa ZANZIBAR kuwa ni sehemu ya TANGANYIKA.

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 18 дней назад +3

    Shidaa ni kwamba kila kitu cha Zanzibar hua cha muungano, lkn vya Tanganyika hubaki kuko, hii sinzur kipande mmoja, kama itakapo chimbwa mapato yatabaki Kwa Wazanzibari ruhsaa

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 18 дней назад +2

    Hakuna serikali ya ZANZIBAR , ZANZIBAR inatawaliwa na TANGANYIKA.

  • @kassim1262
    @kassim1262 17 дней назад +1

    😂😂😂😂Wznzbar tunashangiria barabara namasoko 😂😂😂😂lengo laccm kuifuta znzbr kutoka kua nchi mpk ifikie mkoa😂😂😂😂

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 17 дней назад

    Inauma sana lakini nini kifanyike,kuigombowa zanzibar wakati watu wakimaliza kupiga kura wanajitiya mivunguni,kweli itapatikana hii

  • @HajiMakame-m8l
    @HajiMakame-m8l 18 дней назад +2

    Wabaya ccm sana waliji wakubwa ccm

  • @BakariMakame-j5f
    @BakariMakame-j5f 7 дней назад

    Daa niko na yanga kumbe bado tunaibiwa huku narudi nyumbani, mushatufilisi nyote ci ccm wala act cufu nikifika 2 sepeni, World on fire

  • @yussufkhamis9600
    @yussufkhamis9600 18 дней назад +4

    Ccm Zanzibar amkeni mupate nchi yenu musisapot ujinga huku nchi yenu ikiwa haina mamlaka ya kufanya jambo lolote

    • @musazain6183
      @musazain6183 18 дней назад +5

      Ccm wa Zanzibar ni wanafiki tu hao na bara ni kitu kimoja na ndo mana wanashirikiana bega kwa bega na bara kuidhumulu Zanzibar

  • @FahmiAbdallah-x9w
    @FahmiAbdallah-x9w 13 дней назад

    SORRY NA AHSANTE LKN(HAKI ITABAKIA KUA HAKI KWA SUBHANNA WATTAALLA)ALHAMDULILLAH

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 18 дней назад +2

    Chao chao chetu kiwe chao mbona madini wanayo chimba kwao tanganyika yanakua ya kwao peke yao tu iweje mafuta yetu yawe ya kwao ccm haitufai zanzibar

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 18 дней назад +1

    Kwani mafuta yapo katka muungano wao si wana dhahabu. Na migodi mingine na gesi ya mtwara mbona haipo katka muungano

  • @Ahmedseif-l5g
    @Ahmedseif-l5g 18 дней назад +1

    hii nchi inaongozwa nawashenz looo

  • @muganzaYangu
    @muganzaYangu 13 дней назад

    Muganza Yachu

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 17 дней назад

    Hii imetoka hakuna wakuzuia utafiti huu Zanzibar Haina uwezo huo

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 18 дней назад +1

    Serikali ya Zanzibar haina uwezo kutetea mambo maziti kama hayo

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 18 дней назад +2

    Kwani mafuta ya kwetu mbona ni yawatganganyika hayo .Wacha tujionee wenyewe tu hadi tukijaamka tushachelewa.

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 18 дней назад +2

      Unajua kua hata huko tanganyika mafuta yapo? Africa ishu sio mafuta ila uongozi Nigeria wanamafuta mengi kuliko baadhi ya nchi za kiarabu na bado tabu kwa wananchi iko palepale

    • @MaryamMasoud-s2b
      @MaryamMasoud-s2b 18 дней назад +3

      Mwisho wa habari watatuuwa hao mauaji ya kimbari .hapa tulipo tumebaki mafupa. Watanganyika Nia na lengo lao kwa wazanzibari so jema

    • @musazain6183
      @musazain6183 18 дней назад

      @@MaryamMasoud-s2bwallahi amini nakwambia

  • @NasirAmeir
    @NasirAmeir 18 дней назад +3

    Shida ccm Z'bar wote hawana elimu imagine Mauzinde is part of ccm

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 18 дней назад

    Ndo kwanza wanasema watakopa tena na tena pesa wanazodaiwa bado ni kidogo zinaruhusu kukopa. Hatari hii, pia ndo kwanza wanaongea mabasi ya umeme wakati umeme wenyewe ukipwesa ushazimwa.😅

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 18 дней назад

    Kiongozi âmbae hakuchaguliwa na wananchi Hana uwezo wa kutetea maslah ya nchi analazimishwa na lazima atii mamlaka iliomueka

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 18 дней назад +2

    Mpemba mwenzenu Sheni amaiweka bahari kuu kwenye mambo ya muungano ssa mnalalamila nni?ssa ivi swala la mipaka na bahar kuu hamjui kua ni suala la muungano?

    • @muhamadsalim5295
      @muhamadsalim5295 18 дней назад +4

      Pemba hakuna jina Sheni ni mtanganyika km ulivo kua ww

    • @ZANAMBER
      @ZANAMBER 18 дней назад +1

      Sheni upemba kaupata wapi hawo si ndio vibaraka waliopandikizwa na tanganyika miaka mingi iliopita kwani na mwinyi naye si anasema kwamba kwao ni zanzibar

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 18 дней назад +1

      Kila mtu na mali yake kumbuka Ana tibaijuka alienda umoja wa mataifa kuomba maili200 za upande wa zanzibar ziwe mali ya jamuhuri akakataliwa samaki vuweni lkn Eneo la zanzibar libaki la zanzibar kama madini kuwa mali ya Tanganyika

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 18 дней назад

      Acheni ufala uwo kwani wapemba asili yao wapi kama sio tanganyika uko kenya na tanga ,kutoka pemba kwenda tanga na kutoka pemba kwenda tanganyika wapi karibu wapemba shikeni adabu zenu kujinasibisha na uzanzibar na mkatukana kwenu tanganyika na kenya ama ndo hadi leo mna penda kuwa watumwa maana mkataaa kwao mtumwa

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 18 дней назад

      Kwani zanzibar kuna ma act wazalendo tangu lini act kikawa chama cha wazanzibar icho ni chama cha watanganyika na wapemba mumejitia act wazalendo maana ndo chama cha watanganyika kwaiyo mushike adabu zenu kujifanya mnaumwa mna uchungu na maendeleo ya zanzibar sisi wa unguja hatuna raha kila mahali mumejijaza nyinyi rudini kwenu na sasa ivi pemba kila kitu mnaboreshewa

  • @Venas-uh3wz
    @Venas-uh3wz 18 дней назад

    Kwani Fungu Mbaraka ipo km ngapi kutokaZNZna km ngapi kutoka Bara?

    • @Zanzibar0001
      @Zanzibar0001 18 дней назад

      Swali zuri sana FUNGU MBARAKA LIPO NDANI YA ENEO LA KARIBU LA BARA ILA LIPO KTK BAHAR YA ZANZIBAR SBB 75% YA BAHARI YA TZ NI MALI YA ZNZ KISHERIA NA 25% NI TANGANYIKA NA FUNGU MBARAWA NI MALI YA ZNZ KISHERIA NDANI NA MATAIFA HIVO IELEWEKE RAMANI INASEMA NI MALI YA ZNZ SBB HATA MKOA WA PWANI ULIKUWA NI MALI YA ZNZ ILA MGAWANYO WA WAKOLONI IKAWA MALI YA TANGANYIKA

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 18 дней назад +3

    Maccm ya Zanzibar hayayaoni hayo yanajali matumboyao

  • @CretusKihega
    @CretusKihega 18 дней назад

    Ivi gesi na madini yanayochimbwa huku bara zanzibar hainufaiki nayo, naona kama kuna uchoyo

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 18 дней назад

      Ina nufaika nayo kivipi hebu tuchambulie

    • @Ibrahimkhamis-m2o
      @Ibrahimkhamis-m2o 16 дней назад

      ​@@mudighurayraatuchambulie tu tena kwa ufupi

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 16 дней назад

      @@Ibrahimkhamis-m2o ndio ivo labda aseme tuna nunua lakin iyo kununua basi ata useme ukachukue njee ni rahisi kuliko apo karibu

  • @icebergmsangi8217
    @icebergmsangi8217 18 дней назад

    Yatachimbwa na yatauzwa na mikelele yenu haitasikilizwa.Hivi nyie mwajifanya mwajua haki za wazanzibari zaidi kuliko Rais Samia suluhu Hassan ambaye ni ndugu yenu ambaye ametoa kibali cha kuchimba mafuta? Acheni ufala.

    • @MohammedBwanga
      @MohammedBwanga 18 дней назад

      Wezi wakubwa

    • @suleimanabdallah9823
      @suleimanabdallah9823 18 дней назад

      Fala mwenyeo pimbi ww

    • @Stillrunlikeaball
      @Stillrunlikeaball 18 дней назад +1

      KUMA LA MAMA AKO Bovuu Mmbwaa wewe sio M Zanzibar lazima Urudi kwenu Tanganyika Ukaendeleze kufirwa Zanzibar hatukutakini Namarahii lazima tukurudishe Tanganyika iwe kwa hiyari iwe kwa Nguvu Mutarudi Tanganyika Mmbwaa Nyinyi😷

    • @abdallahmohd3777
      @abdallahmohd3777 17 дней назад

      Wewe mkundu fala unamjuwa kusoda nini

    • @MasnamussaPp
      @MasnamussaPp 15 дней назад

      Wee mwana waharamu kelbu kasoro mkia rudi kwenu Tanganyika ukaendeleze uchoko