Lyrics [Verse 1] Zama za kale tukikuwa na tabia ya kuombana chumvi Ulitumwa na mama ukachemsha uliponusa ngano Karibu kiti mtoto chumvi nitakutilia (nitakupa) Wewe tayari ukasahau sheria ya kutokula kwa jirani (usikule kwa jirani) Mama upande mwingine anashindwa umeenda wapi! Kuja kukutafuta anakupata na kipande cha chapati Utafunapo unatafakari kichapo kilicho mbele yako unaomba msamaha [chorus] Nisaamehe mara ninapotoka mbali na wewe(nisamehe mimi) Nirejeshe na maneno ya upole niokoe Nikisogea mbali na wewe(nirejeshe) Nikumbushe mimi wako Nikumbushe mimi ni wako.(nikumbushe) [Verse 2] Baba nisamehe nikurushiapo mikono Baba nisamehe nikuonyeshapo mgongo wangu Baba nisamehe niongeapo kimzaha (niongeapo kimzaha) Baba nisamehe niinuapo mikono michafu (michafu) Baba mpole wa hasira usikatize nehema yako tunapoishi nikama hauko turehemu Mwanamke msamaria alikuomba maji ukampa jili ya rehema nami nipe baba [chorus] Nisaamehe (nisamehe) mara ninapotoka mbali na wewe(oooooh) Nirejeshe(nirejeshe)na maneno ya upole(maneno ya upole) niokoe Nikisogea mbali na wewe nirejeshe (ooooh baba) Nikumbushe mimi wako Nikumbushe mimi ni wako.(wacha nijue) Mimi ni wako....Wacha niseme...mimi ni wako (wacha wajue) [chorus] Nisaamehe mara Ninapotoka mbali na wewe Nirejeshe na maneno ya upole niokoe Nikisogea mbali na wewe nirejeshe Nikumbushe mimi wako Nikumbushe mimi ni wako.x2
2022 is here. I've never listened to this song, but here I am with tears... Sing with bitter truth. Lord🙏🏽DANCING WITH THE ANGELS.. KABERERE FOREVER IN OUR HEARTS
Nisamehe Mungu wangu ninapotoka mbali nawe, nirejeshe na unikumbukushe mm ni wako.... Same prayer 🙏🙏 am praying to God till date.... Rest with angels Kabzs.
Kaberere a true soldier of the Lord...My favorite Gospel Muscian ..It's sad you left but what am sure of is that you live forever in our hearts..Tunakupenda Kaberere...
IF THERE WAS APOSSIBILITY TO REDO THIS VIDEO WITH MODERN TECH THE 'MICHAEL BAY STYLE'"..THIS WOULD MAKE THIS SONG LEGENDARY AS DEEP AS IT IS...AND ITS YET TO HIT...KEEP WATCHING.
Kaberere a true soldier of the Lord...My favorite Gospel Muscian ..It's sad you left but what am sure of is that you live forever in our hearts..Tunakupenda Kaberere...
2020 anyone?..spirit filled music
Always listening each and every time cool music Mr legacy.
who is still listening in 2019
This song still blesses me upto now
One of the best gospel artist
We miss you 😭😭❤️
"Baba nisamehe nikurushiapo mikono;baba nisamehe nikuonyeshapo mgongo"...these two lines move me tears...Kabz,rest in peace😭😭😭😭
kabs you live forever.....inspiriation always...through this song we can amend our ways with our Lord Jesus Christ .....Long live Kaberere
Continue resting in peace 😭😭❤️
2023 July 🎉 celebrating u
Lyrics
[Verse 1]
Zama za kale tukikuwa na tabia ya kuombana chumvi
Ulitumwa na mama ukachemsha uliponusa ngano
Karibu kiti mtoto chumvi nitakutilia
(nitakupa)
Wewe tayari ukasahau sheria ya kutokula kwa jirani (usikule kwa jirani)
Mama upande mwingine anashindwa umeenda wapi!
Kuja kukutafuta anakupata na kipande cha chapati
Utafunapo unatafakari kichapo kilicho mbele yako unaomba msamaha
[chorus]
Nisaamehe mara ninapotoka mbali na wewe(nisamehe mimi)
Nirejeshe na maneno ya upole niokoe
Nikisogea mbali na wewe(nirejeshe)
Nikumbushe mimi wako
Nikumbushe mimi ni wako.(nikumbushe)
[Verse 2]
Baba nisamehe nikurushiapo mikono
Baba nisamehe nikuonyeshapo mgongo wangu
Baba nisamehe niongeapo kimzaha (niongeapo kimzaha)
Baba nisamehe niinuapo mikono michafu (michafu)
Baba mpole wa hasira usikatize nehema yako tunapoishi nikama hauko turehemu
Mwanamke msamaria alikuomba maji ukampa jili ya rehema nami nipe baba
[chorus]
Nisaamehe (nisamehe) mara ninapotoka mbali na wewe(oooooh)
Nirejeshe(nirejeshe)na maneno ya upole(maneno ya upole) niokoe
Nikisogea mbali na wewe nirejeshe (ooooh baba)
Nikumbushe mimi wako
Nikumbushe mimi ni wako.(wacha nijue)
Mimi ni wako....Wacha niseme...mimi ni wako (wacha wajue)
[chorus]
Nisaamehe mara Ninapotoka mbali na wewe
Nirejeshe na maneno ya upole niokoe
Nikisogea mbali na wewe nirejeshe
Nikumbushe mimi wako
Nikumbushe mimi ni wako.x2
There's no boring or old fashioned gospel. I'm still listening and feeling blessed by Kabereres' songs in 2019
Here 2021 and still sounds new and blesses me
2021 still waiting indeed legends never die
2022 is here. I've never listened to this song, but here I am with tears... Sing with bitter truth. Lord🙏🏽DANCING WITH THE ANGELS.. KABERERE FOREVER IN OUR HEARTS
Nisamehe Mungu wangu ninapotoka mbali nawe, nirejeshe na unikumbukushe mm ni wako.... Same prayer 🙏🙏 am praying to God till date.... Rest with angels Kabzs.
2022 whose here, Kaberere blessed our souls for real 🙏❤️❤️, Rest In Peace Kabs
Heaven is the luckiest place they have you with them and your soul lives in your music til date. RIP Kabz! We miss you and your music
I can't stop mi tears from flowing over the massage from this song RIP man
Same
2020... continue to rest in peace.....😢😢still love this song...it bless me aki ...
continue resting in peace we realy loved you 2021 but still my all time favourite gospel artist
Heaven is blessed by ur melody continue resting in power
Inspiring song uwa sinanipatia strength to move whenever i risen.
Still on this jam in 2021
7/05/2022 still being blessed with this kabere songs continue resting in peace
I woke up missing this man today...
June 28th 2021. I was here @ 7:26pm 🔥🔥 RIP KABZ MAN💕❤️
Kaberere the great❤❤❤😢
Goodness Kenya is yet to get a match
You will remain an inspiration to many, thanks for leaving a lasting legacy.
2020. Still love his song it keeps me going... continue dancing with the angels your music touches my soul
Rip kaberere kifo why😭😭 21st march 2021 anyone here
A true legend inspiring music right there
2020 still listening,,,RIP BRO.
I still feel you are around kabs R. I. P brother
Kaberere a true soldier of the Lord...My favorite Gospel Muscian ..It's sad you left but what am sure of is that you live forever in our hearts..Tunakupenda Kaberere...
The way hako kaboy hushtuka,.haha.. RIP Kabs
2024 still watching.. Rest in Peace Brother.
Listening in 2018
2019
Such a beautiful splendid voice.. such a blessing you were kaberere..you still live on though gone physically.
Best song ever. Rest with the Lord Kabs.
I love your songs RIP.
Amen.
2020 November ❤❤❤
I can relate with the first verse kichapo..after staying at a neighbors house from my parents hehehehe.. rip kaberere..this made me smile
eve of March,2022
Mercy oh God, restore me LORD
IF THERE WAS APOSSIBILITY TO REDO THIS VIDEO WITH MODERN TECH THE 'MICHAEL BAY STYLE'"..THIS WOULD MAKE THIS SONG LEGENDARY AS DEEP AS IT IS...AND ITS YET TO HIT...KEEP WATCHING.
Continue resting in peace kaberere
Very good
Your Message still Alive 😭 Sing with Angels
I really love this Song ,R.l.P
I really love this God Rlp .
Nice one
A very touching story...R.I.P Kaberere
Sometimes you wonder how you lose your way from God.
We get comfortable, Ooooh God help us.
song of the day
thumbs up Kabbz!
Rest well Kabs...🙏🏾
2019.
😭😭😭
RIP BROTHER
Rip bro
2025🎉🎉🎉🎉🎉
Kaberere a true soldier of the Lord...My favorite Gospel Muscian ..It's sad you left but what am sure of is that you live forever in our hearts..Tunakupenda Kaberere...
Best song ever. Rest with the Lord Kabs.