Tukio la Kwanza Alilofanya kardinali Rugambwa Baada ya Kuwasili, Asali na kutoa Baraka ya Kwanza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 5

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Год назад +2

    Mungu awajalie kushinda na zaidi ya kushinda

  • @jenipherkyando4822
    @jenipherkyando4822 Год назад

    Ee Mungu mwenyezi asante kwa zawadi ya mtumishi wako tunaomba roho mtakatifu amuongoze kwenye kusudi lako kubwa la kulichunga kondoo. Amina

  • @faustaedward2696
    @faustaedward2696 Год назад

    Tunamwomba Mungu akujalie afya njema uzidi kuwachunga kondoo wako ili asipotee hata mmoja. Na mwisho tufike kwake mbinguni.

  • @innocentcleophace8583
    @innocentcleophace8583 Год назад

    Dah MUNGU atujalie daima kupitia huyu mtumishi wake ....

  • @eddymush3967
    @eddymush3967 Год назад

    Camera guys nadhan faragha ya sala mmemnyima kardinali wetu