Neno la Kwanza la Kadinali Protase Rugambwa Toka Atoke Vatican-'Mmenitia Moyo'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024
  • Kadinali Protase Rugambwa anarejea leo nchini akitokea jijini Vatican ambapo ametoka kusimikwa rasmi kama Kadinali. Rugambwa anakuwa Kadinali watatu kutoka Tanzania akitanguliwa na Kadinali Laurean Rugambwa aliyefariki Disemba 8,1997 na Kadinali Pengo aliyestaafu mwaka 2019.
    Nembo ya Kadinali Rugambwa ni "Euntes in mundum universum" yaani enendeni ulimwenguni kote. Ukadinali ni cheo cha pili baada ya Papa na ndio washauri wakuu wa Papa katika shughuli za kila siku za kanisa Katoliki.
    Kadinali Rugambwa alizaliwa Mei 31,1960.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

Комментарии • 1