Askofu Mlola aelezea jinsi alivyopokea Taarifa ya Uteuzi wake kuwa Askofu wa Kigoma kwa Mshtuko.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 5

  • @Silvester270
    @Silvester270 4 месяца назад +1

    Bonge la Askofu
    Yan kigoma imebadilika sana yote ni matunda yake❤❤❤❤❤

  • @fridaupendomushi1081
    @fridaupendomushi1081 6 месяцев назад +2

    Ukimsikiliza Baba Mlola utaelewa kwa nini Musa alitoa visingizio alipotumwa na Mungu Misri. Hongera sana Baba Mlola kwa utume wako wa kiaskofu 😊

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 2 года назад +2

    Najivunia kuwa na bishop mlola, Mungu Baba akujalie afya tele uendelee kukulinda

  • @wendelinmahumba8826
    @wendelinmahumba8826 3 месяца назад

    Askofu uliyenipa sacrament ya kipaimara.
    Ubarkiwe sana baba🙏🙏🙏

  • @EsterKennedy
    @EsterKennedy 6 месяцев назад +1

    Hongra bba