PART3:MWANAUME ALIEFATA UTAJIRI KWENYE MIGODI WA KUTUMIA UCHAWI/NILIZIKWA KWA SIKU 2/TULIUA/UCHI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 177

  • @mundhir_salum1215
    @mundhir_salum1215 4 года назад +14

    Kama umependa anavo sema
    Mungu si asumani Ganga like 👍

  • @rebeccapmashauli2648
    @rebeccapmashauli2648 4 года назад +7

    Ki ukweli nimependa anavyosimulia😍

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 года назад

    Asante kwa muendelezo, barikiwa 🙏

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 года назад +4

    Thanks Davi jama anatumia Lugah ya kikorofi kweli 😅 eti kufinya mara wimbo wa taifa 🤣 halafu Davistar nae hazielewe izo Lugah

  • @mariuskokolulema2299
    @mariuskokolulema2299 4 года назад +3

    Mtu amesikia kumuwekea paipo 😄yakupumuliwa anipe like zangu , tuna ishi na msela kweli😂😂😂

  • @dripboy2026
    @dripboy2026 4 года назад +3

    Nimejitahid kuwahi leo nipen like na comment Nipate ujasir ili siku nyingine niwahi 😂 afu msiponipa like na comment uwo niushamba 🤣🤣🤣

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      Nishakupa😂😂😂😂😂

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 года назад +9

    huyu jamaa anajua kuhadithia kama domo denda, hahahahaha sanitizer, nyimbo ya taifa

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 4 года назад

    hapo pa kuzika hahaha hadi davi umecheka frm kenya love you moto moto story zako

  • @dastanmp
    @dastanmp 4 года назад

    😂😂😂😂daaa ni comedian kweli kweli aisee daaaa

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 года назад +1

    Gongo tamu sio😄😂😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂amenivunja mbavu eti maiti kuendaa kituo chapolicee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haha yani nyinyi mwachezea mungu kweli

  • @latifajanja2375
    @latifajanja2375 4 года назад

    Hiii ingekua inaruka kwenye steshen za radio maalufu na tv au ingewekwa insta nafikili ingesaidia sana vijana kubadilika sema anahadithia vizuri kiasi unamuelewa mungu anakupenda sana na alitaka uwe funzo kwa wengine ndo mana mpk leo upo hai

  • @thumakajo9518
    @thumakajo9518 4 года назад +1

    Mchimba kaburi aingia mwenywe 😁

  • @idrisanaumanga6410
    @idrisanaumanga6410 4 года назад +1

    Daah, huyu jamaa bonge la msela, anafunguka fresh Sana, lugha za kitaa za wahuni, sanitizer, nyimbo ya Taifa hahahahaa

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 4 года назад

    Eti unatembea na pesa
    Alafu ujui kutumia acha sisi tukisaidie tuanze kutumia🤣🤣🤣

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 года назад

    Inaburudisha inaelimisha pia...😂😂😂 Hachoshi kusikilizwaa...💪🤝👊👊

  • @cosmaslagat5023
    @cosmaslagat5023 4 года назад

    Good story teller

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 4 года назад

    Sanitizer noma!😁😆😂🤣

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 года назад

    Santaizaaa😀😀😀😀😀

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 года назад

    Wallah kaka wewe ni 🔥🔥🔥😂😂😂😂

  • @lindazawadi732
    @lindazawadi732 4 года назад

    I like this guy really 😂🤣😂🤣😂

  • @brunopayu5428
    @brunopayu5428 4 года назад

    Dogo lang mwenyewe siku 60😂😂😂🤣🤣🤣

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 года назад

    Sasa walikua wezi🤣🤣😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @lindajohn2156
    @lindajohn2156 4 года назад +1

    Kama umeona ng,ombe inapita gonga like

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 Год назад

    😂😂😂mbao za two by two hahahaha

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 4 года назад

    Daaah huchoki kumckiliza kwakwe lete vitu Kaka davii

  • @alwialbeity4416
    @alwialbeity4416 4 года назад +1

    Hii story ya kitabu au movie jamaa anajua kutunga story

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 4 года назад

    Dah sasa hapo si ni mait inayotembea mungu wangu 🙏

  • @gmdecoration6044
    @gmdecoration6044 4 года назад +1

    2x2zakichwa mpaka anaomba sigara watu wadar mnapiga mwizivizuri nampa nasigara😂😂😂😂😂

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 года назад

    Uyu jamaa bhana 🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumi yenyewe Haha ulidhani pochi nene 🤣

  • @isayahjovin4076
    @isayahjovin4076 4 года назад +1

    Mm nampenda jamaa bana story yake inanoga sn maana anasemea kwa kichekesho

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 4 года назад +1

    😊😍👏🤝✋👍

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 года назад

    Leo tunachekeshwa mno😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abdallahomarahmed3436
    @abdallahomarahmed3436 4 года назад

    Kumbe Tz tuna wimbo wa taifa mwengine🤣🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 года назад

    Yani pesa nishetani kweli kirahisi tuu unafungwaa kaa pipi 🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️Subutuu

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 4 года назад

    😅😅😅 uzee ushuzi dooh

  • @Alexsenyagwa-t3j
    @Alexsenyagwa-t3j 4 года назад

    Kanz nzuri Davista

  • @ramlabaruani4202
    @ramlabaruani4202 4 года назад +3

    Leo na Mimi wa first born 🤣

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂 nile nishibe kweli dooh

  • @mayaalmahrooqi1345
    @mayaalmahrooqi1345 4 года назад

    S.a tupo pamoja jioni jema

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 года назад

    Wallet kakuka shilling 10 tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu mieeeeeee. Uwiiiiiii

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 года назад

      Yani we acha tu nimejikuta nache kama fara atari sana uyu kaka

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      @@fatmaalrshdii7615 yani noma duh

  • @fatumamohamed8203
    @fatumamohamed8203 4 года назад +1

    Hiyo sanitizer inawatuma vibaya anyway Wacheni ushirikina mwisho utawaponza🤣🤣

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 4 года назад

    Jamaa anafurahisha sana

  • @lastchinowa2036
    @lastchinowa2036 4 года назад +1

    😂😂😂nakufunga kama pipi🍬

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zanguuuuuuuuuu

    • @lastchinowa2036
      @lastchinowa2036 4 года назад +1

      @@pilimusa7770 asikwambie mtu😄😄😄

  • @abdallahomarahmed3436
    @abdallahomarahmed3436 4 года назад

    Dah...uyu mwana ananimaliza maana nacheka sanaaaa

  • @ramadyzo5587
    @ramadyzo5587 4 года назад

    Huyu jamaa anakipaji kikibwaa Sana😂😂 kaka kwanini usiwe mchekeshaji ma a na duh sio kes

  • @aishabeka8480
    @aishabeka8480 4 года назад +1

    Mzee wa sanitizer ananifurahisha Sana yaan sichok kumsikiliza

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 4 года назад

    😂😂😂😂huyu kiboko

  • @lastchinowa2036
    @lastchinowa2036 4 года назад

    Wazee wa kufinya,we unakaa na hela hutumii sisi tunazitaka hizo tukatumie 😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fredichaki4868
      @fredichaki4868 4 года назад

      🤣🤣🤣💀☠️🤣

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 года назад

    Jamaaa ana roho ya terminator aisee

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 года назад

    Hii story nacheka mno😂😂😂😂😂

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 года назад

      Mimi ada michozi inanitoka niko oi apa

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      @@fatmaalrshdii7615 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 4 года назад

    swag zako zakibabe mwan

  • @jumachipangula7602
    @jumachipangula7602 4 года назад +1

    Fest one

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 года назад

    Kapigwa two by two😂😂🤣🤣🤣

  • @ramadyzo5587
    @ramadyzo5587 4 года назад

    😂😂jamaa umejuakutu teka skill😂😂😂😂

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 года назад

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Anavyosimulia, mbavu zangu

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад

      🤣🤣🤣yaan kazin ucheke

  • @victoriamwalonde8626
    @victoriamwalonde8626 4 года назад +1

    Hahahahahahaha!aisee!nimecheka sana

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 4 года назад

    🇰🇪📣📣📣

  • @simonhaule6567
    @simonhaule6567 4 года назад

    Jamaa anavyosimulia Kama Domo denda mm Ni kucheka tu mwanzo mwisho!!!

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 года назад

    Part 4

  • @rebeccapmashauli2648
    @rebeccapmashauli2648 4 года назад

    Wa kwanza 😋

    • @fadhiliswalehe9286
      @fadhiliswalehe9286 4 года назад

      Acha ushamba weye Mpaka leo unagombania nafasi ya kwanza kwani yuwapata nn badilika

    • @rebeccapmashauli2648
      @rebeccapmashauli2648 4 года назад +1

      @@fadhiliswalehe9286 🙄🙄🙄Kwani nani kagombana humu siye tunajifurahisha ndugu weye Ndo mshamba maana hata uelewi nini kinaendelea haya siyo masomo eti napata faida ila umenifurahisha bro😎

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 4 года назад

    Tuneshakula sanitizer zetu!🤣🤣🤣

  • @jacklyadhiambo1524
    @jacklyadhiambo1524 4 года назад

    nice story hahaha

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 года назад

    Kumbe waizi wako hivyo wote hata Kenya anavaa shati mbili akiiba anakimbia anatoa yajuu anaitupa watu wasimuelewee kazi mnayo mm washawai kuniibia lkn ndani alikuta ufunguo nadera yakazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sim nilijua mm wapi niliweka

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu. Uwiiiii

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 4 года назад +1

      @@pilimusa7770 chunga mbavu wewe hazina spair🤣🤣👈👈👈👈👈

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад +1

      @@nurafedrick378 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ليلىفاكي
    @ليلىفاكي 4 года назад

    😁😁😁

  • @credo7837
    @credo7837 3 года назад

    Mwizii ndio nyimbo ya Taifa🤔🤣🤣

  • @fatumamohamed8203
    @fatumamohamed8203 4 года назад

    Nafwatilia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Alexsenyagwa-t3j
    @Alexsenyagwa-t3j 4 года назад

    Et upige chepe untoe😂😂😂

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 4 года назад

    Wimbo wa taifa🤣🤣

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 года назад

    Tuned 🇰🇪

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 4 года назад

      Wakenya hii story ya leo szani km mnaelewa kitu mnahitaji mkalimani,najitolea kuwasaidia bure!!😆😆😆😜😜😜

    • @carolinetalam5832
      @carolinetalam5832 4 года назад

      @@abbyadams8691 Umeona Eee 😂😂 Hahaha nimeskia tu wimbo wa taifa na sanitizer haki please Abby you need to translate this story

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 года назад

    Top ten

  • @rebeccapmashauli2648
    @rebeccapmashauli2648 4 года назад

    Mnawahi hata hamjaangalia du, 🤣😂🤣

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 4 года назад

    Mwili wangu umecha uko Down, Mama niwekee sanitiser njigili, Vijola km vyote madoni ndiyo sisi

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 4 года назад

    duh hahahaaa noma

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 4 года назад

    😂😂😂🤣🤣🤣 anakoza

  • @ashaldinho5465
    @ashaldinho5465 4 года назад +1

    leo nimecheka mpaka basi

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      Mie zaidi😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ashaldinho5465
      @ashaldinho5465 4 года назад +1

      @@pilimusa7770 yani mwanzo mwisho nimekuwa nacheka

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      @@ashaldinho5465 😂😂😂😂

  • @latifahissa1114
    @latifahissa1114 4 года назад

    😘😘😘

  • @marymeshack3687
    @marymeshack3687 4 года назад

    Haahaaaaaa yaani nimecheka daaaah

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 года назад

    Dhuuu, umeiba unapata buku

  • @momyusuf7731
    @momyusuf7731 4 года назад

    Ewe Mola mlezi nakuomba utulinde na madhalali ya madhalim biidhinillah utaallah

  • @aminahassanali1190
    @aminahassanali1190 4 года назад

    🤣🤣🤣nyimbo ya taifa

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 года назад

    Pili daman upooooooooooooo🤣🤣 xkuon🇪🇭🇪🇭

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 4 года назад

    kitu cha witch-doctor

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 3 года назад

    Davistar leo umepatijana rugha gongana apo

  • @salmasalma8203
    @salmasalma8203 4 года назад

    Makin dvstr

  • @nurusanga506
    @nurusanga506 4 года назад +1

    dondosha mzigo Mata nyimbo ZA taifa

  • @KariukiRoysambu
    @KariukiRoysambu 4 года назад

    Jamaa mtata sana huyu

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 года назад +1

    Eti nyimbo ya taifa.

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 года назад

    Mupo

  • @bwizayasini2153
    @bwizayasini2153 4 года назад

    Huyo mganga ni tapele

  • @mayaalmahrooqi1345
    @mayaalmahrooqi1345 4 года назад +1

    Jamani mm hapa sina mbavu

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      Mie hivyo hivyo. Nimecheka kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 года назад +1

      @@pilimusa7770 unishindi mimi adi nalia kwa furaa

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      @@fatmaalrshdii7615 😂😂😂😂😂😂 yani anachekesha mno. Nimecheka balaaa

  • @fistonntakarutimana5387
    @fistonntakarutimana5387 4 года назад

    😂😂😂😂😂🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @ericklukumay1777
    @ericklukumay1777 4 года назад +1

    Nimepekecha nikapgilia

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @highnesseverest3619
    @highnesseverest3619 4 года назад +3

    Kama domo denda

  • @victoriamwalonde8626
    @victoriamwalonde8626 4 года назад +2

    Tuko na msela

  • @tatuhongeranurushaus485
    @tatuhongeranurushaus485 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bwizayasini2153
    @bwizayasini2153 4 года назад

    Hawajakuzika

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 года назад

    Kuchelewa nayo

  • @rehemalaizer7123
    @rehemalaizer7123 4 года назад

    first born tena mtamboni