#live

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 39

  • @DanielJuma-s1m
    @DanielJuma-s1m 21 час назад +2

    Nataka mungu anitendee miujiza kwenye afya na uchumi amen

  • @fortunatapaskal3946
    @fortunatapaskal3946 6 часов назад +1

    Namkubali Sana Mwamposa hata nikimsilizausiku kucha napata amanitu,ubarikiwe Sana baba

  • @SalmaAmiry-d9q
    @SalmaAmiry-d9q 3 часа назад

    Baba katika jina la yesu naomba unifungulie mwanga wa nuru katika biashara yang jion hiii nidiwe na wateja

  • @AnithapaulKarugaba
    @AnithapaulKarugaba 18 часов назад

    Mungu naomba Nipokee uponyaji kwenye uchumi wangu, nikuwe kiroho pia wanangu wafunguliwe wafahulu mitihani na wawae na afya njema, ee, Yesu nisaidie...

  • @AnnaMwiguluJohn
    @AnnaMwiguluJohn 22 часа назад

    Mungu nibaliki ameeeen

  • @mahaalzadjali5189
    @mahaalzadjali5189 22 часа назад

    Mungu nisaindie ❤❤🎉🎉🎉

  • @OliviaEzekiel
    @OliviaEzekiel 21 час назад

    Ee Yesu nisaidie baba angu katika kazi ake na mm pia

  • @AmanKaputi
    @AmanKaputi 22 часа назад

    Yesu naomba utukinge na nguvu za kichawi na umponye mme wangu muguu kuanzia sasa

  • @AnithapaulKarugaba
    @AnithapaulKarugaba 17 часов назад

    Na mm naomba nipate mchumba mzungu kirahisi 🙏🙏🙏ee, Yesu nisaidie...

  • @OliviaEzekiel
    @OliviaEzekiel 21 час назад

    Naomba unifungue Mimi Yesu

  • @JoãoJaimeSelo
    @JoãoJaimeSelo 23 часа назад

    Mungu naomba nkono wako nipate pesa kiraisi amen

  • @roidambemba136
    @roidambemba136 21 час назад

    Namshukuru MUNGU kwa miujiza anayonitendea naomba aendelee kunitendea zaidi

  • @ElianaTheonest
    @ElianaTheonest 22 часа назад

    Mungu naomb nikutumikie maisha yang yote

  • @ABDULYLikati
    @ABDULYLikati 22 часа назад

    Mungu mponye ndugu yangu salatani ya ziwa

  • @ZubedaAllani
    @ZubedaAllani 18 часов назад

    Mungu anaweza

  • @WiniJackson-m6s
    @WiniJackson-m6s 21 час назад

    Mungu aibaliki family yangu Yote

  • @MariaPhiri-w8o
    @MariaPhiri-w8o 21 час назад

    Mungu naomba mwanangu apone uvimbe semu yasiri anatesekasana

  • @mahaalzadjali5189
    @mahaalzadjali5189 22 часа назад

    Ameen

  • @AnnastaziaSalema
    @AnnastaziaSalema 17 часов назад

    Nataka kibali Cha kupata kazi mpya iwe mara Saba ya kazi niliyopoteza niweze kujitegemea kulea mwanangu na kusaidia familia yangu pamoja na kuishi maisha ya ibada na sadaka.

  • @SaidaAbdallah-q5b
    @SaidaAbdallah-q5b 22 часа назад

    Mungu naomba uniponye mwili Wangu sitaki kusikia hii hali ninayo sikia

  • @mahaalzadjali5189
    @mahaalzadjali5189 22 часа назад

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @SalmaSimba-hi8mk
    @SalmaSimba-hi8mk 22 часа назад

    Eeebwana yesu nakuja kwako unipokee ukanifungue ukafanikishe jambo lang lipite

  • @MauaWilson
    @MauaWilson 15 часов назад

    mwamposa me nina tatz lina nisumbua kwa muda mref sana naomba msaada wako baba angu

  • @melisianasevelin
    @melisianasevelin 22 часа назад

    Eee Mungu naomba na mm uniponye kichwa kinanisumbua pia nipate kaz serikalini na Antony joramu azidishe upendo kwangu

  • @SalmaSimba-hi8mk
    @SalmaSimba-hi8mk 21 час назад

    Mm Maryam naomba ukanifungue nyota yang

  • @JoyceSimon-yy1om
    @JoyceSimon-yy1om 22 часа назад

    Joyce Simon wa Shinyanga naitaji mapacha 4

  • @laliyaselemani9980
    @laliyaselemani9980 10 часов назад

    Myngu anifanyiye wepesi wa kupata kazi

  • @wcipbUniversityedu
    @wcipbUniversityedu 20 часов назад

    Shalom watumishi wa Mungu aliye hai Amani iwe nanyi nyote Asante sana kwa huduma ya leo kwa Kristo amelipa yote.
    Naomba yafuatayo
    Mapacha4
    Kibali kihuduma na mafanikio
    Safari yangu ikamilike 2025
    Naomba Afya njema kwa familia na wazazi wangu

  • @ElianaTheonest
    @ElianaTheonest 22 часа назад

    Mung naomb anipony

  • @ElianaTheonest
    @ElianaTheonest 22 часа назад

    Mung naomb nikujue uji dhilishe kwang

  • @dianabyobangira2553
    @dianabyobangira2553 23 часа назад

    Usinipite bwana unibariki siku ya leo

  • @ElithabetAmos
    @ElithabetAmos 22 часа назад

    Nataka familia yangu hifunguliwe natuzidiwe na wateja na Mama angu awe nakibar kiramahari na akubarike Kira haigihapo na hatokapo amina

  • @MauaWilson
    @MauaWilson 15 часов назад

    ghafla2 nakuwa napata hali mbaya ambayo inanitesa sana

  • @ElianaTheonest
    @ElianaTheonest 22 часа назад

    Mung naomb mama ang ampe watu wa kumsaidia katika mashamba yake

  • @SalmaSimba-hi8mk
    @SalmaSimba-hi8mk 22 часа назад

    Natuma maombi haya

  • @SalmaSimba-hi8mk
    @SalmaSimba-hi8mk 22 часа назад

    Nipate ela kwa wepes nilipe den kwa wepes

  • @AnnastaziaSalema
    @AnnastaziaSalema 17 часов назад

    Nataka nipate kibali Cha kulipa madeni yangu yote

  • @ElianaTheonest
    @ElianaTheonest 22 часа назад

    Mung naomb mama ang ampe watu wa kumsaidia katika mashamba yake