Huyu yote aliyoyaongea ni ya kweli na kuhusu dida kutopendq taarabu ni sual la ukweli kabsa maana nakumbuka kuna interview dida mwenyew alisema kuwa hapend taarab
Mwacheni didah wetu apumzike jaman kumbuka muongo mlikua mnapigana vijembe paka dida akakuita kichwa kama tikiti maji cream imedunda mashabiki WA didah tunakumbuka kila kitu
Huyu dada pia mtangazaji mzuri sana Hongera sana. Nadhani anaitwa Latifa
Namkubali Dr kumbuka
Huyu yote aliyoyaongea ni ya kweli na kuhusu dida kutopendq taarabu ni sual la ukweli kabsa maana nakumbuka kuna interview dida mwenyew alisema kuwa hapend taarab
Wakwanza mimi naombeni likezangu
Mwacheni didah wetu apumzike jaman kumbuka muongo mlikua mnapigana vijembe paka dida akakuita kichwa kama tikiti maji cream imedunda mashabiki WA didah tunakumbuka kila kitu
Mumpjmzishe marehemu jamani😢😢
Wa 3
Kumbuka acha uongo muache mwenzio apumzike
Dr kumbuka aseme ukwe lli alikuwa Ana mchamba dida sana asijitetee kisa dida kafarikii aseme ukw eli tu
Wa 4
Wacheni kwanza dida apumzike jamaniii 😢 ya dunia teyari ameyaacha sasaivi humuhimu dua tuu 😢
Acheni kutafuta Kiki kwa jina la Marehemu, mahojiano yote mmekosa la kuongea mpaka mtaje Dida? Mtangazaji una umbea wa kijingajinga
Riziki mwazo wa chuki😢
Wa pili
Wa 3
Wa 3
Wa 3