NATAKA MWANAUME MWENYE MIAKA 55, HUYU HANIFAI, HANA MUONEKANO - HELLO MR. RIGHT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 96

  • @rahabuabel6501
    @rahabuabel6501 Месяц назад +1

    M'bembe siyo mtanzania guys ni wakongo mani nipo nao uku wanavita isiyoisha na visasi wanavishikilia adi wanakufa😂😂😂😂

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 10 месяцев назад +6

    Much love from Finland 🇫🇮,tunawapata vzr

  • @halimambaga61
    @halimambaga61 10 месяцев назад +3

    Hii ya Leo mi nmependa jinsi garab l, luludiva na Aliya walivopendeza❤❤❤❤❤🎉

  • @swalharajab8365
    @swalharajab8365 10 месяцев назад +5

    😂😂eliza kawa mhudumu wa mr write😂😂😂😂

  • @happyyonahoutlook3081
    @happyyonahoutlook3081 10 месяцев назад +1

    Gara b umewaaaaaka😘😘

  • @marthesifa-5803
    @marthesifa-5803 10 месяцев назад +1

    Gara b leo amevaa ki star umependeza ❤

  • @WandishaNatianota
    @WandishaNatianota 10 месяцев назад +1

    Umependeza sana Gara B

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x 10 месяцев назад +2

    Gb leo umetokelezea sana

  • @SubilaSubila-h8t
    @SubilaSubila-h8t 10 месяцев назад +20

    Leo galab umependza maana masut yko tunachoka bahn😂

  • @YanickMudumbi
    @YanickMudumbi 9 месяцев назад

    Bongo TV you are the best❤

  • @MaulidRajab-e8z
    @MaulidRajab-e8z 10 месяцев назад +2

    Uyu Eliza ingekuwa mm garab ningemfukuza siku nyingi sana mana anajiona mzur kumbe hakuna kitu kwanza kama bibi tyu 😂😂😂😂😂

  • @IreneWoisso
    @IreneWoisso 10 месяцев назад +1

    Siku nyingin ubadilik Kila cku sut ,umepenseza❤

  • @bekasoso
    @bekasoso 10 месяцев назад

    Sounds iko just sana hatusikii vizuri punguzeni saund

  • @GabreiliNsembushe
    @GabreiliNsembushe 10 месяцев назад

    Oya nakubali sana

  • @hazardmuhidini2465
    @hazardmuhidini2465 10 месяцев назад

    Garab umepowa🔥🔥

  • @Letsia-n1l
    @Letsia-n1l 10 месяцев назад +9

    Shida ya eliza anajiona mzuri wakit wakawaida tuu huo weupe unampa kiburi😢😢😢😢

    • @elvilamwambambale950
      @elvilamwambambale950 10 месяцев назад +2

      Usijipe tabu Eliza ni anatfta umaarufu yupo kwenye tamthilia ya kitimutimu 😂😂😂

    • @FreshJuiceFoodSimpleCook
      @FreshJuiceFoodSimpleCook 10 месяцев назад

      Weupe tu na nywele labda

    • @RobertChacha-hb9re
      @RobertChacha-hb9re 10 месяцев назад

      Kaka bora umesema maana huyu eliza kashakuwa kisiki

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 10 месяцев назад +1

      ​@@elvilamwambambale950ndomaana kanajishauwa😂😂😂😂😂😂😂😂 ila anaweza kupata huwo umaarufu ila ikaja kumkosti Kati ka siku zijazo😊😊

  • @cimpayeriziki6680
    @cimpayeriziki6680 10 месяцев назад

    Ongereni kwa swaumu nyote galabi naweziyo water wadada zetu alia n'a d Lulu

  • @AliciaDionizi
    @AliciaDionizi 10 месяцев назад

    😅😅😅😅😅fei mbna hiii kali ya mwaka et mzee wa miak 55 duh saw bn

  • @mulasikyala9700
    @mulasikyala9700 10 месяцев назад

    Jambo St bongo tv mimi ni shabiki wa muigizaji bwana lado maduhu napena filamu zake sana ila kuna filamu moja ninayo penda sana bbwana lado alikuwa akiitwa kris na mkewe akiitwa jemima ila niki itafuta kwenye youtube haipatikane jaribu kunitumiya titre ya filamu hiyo aksant nimimi shabiki

  • @Kakakuona5_G
    @Kakakuona5_G 7 месяцев назад

    Huyo fei ana tamaa Anataka Mzee Ili apate urithi mapema.. laanaaa!!!

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 10 месяцев назад +1

    Anataka aolewe na mzee ili yeye amnyanyase🤣🤣🤣.
    Mleteeni mzee huyo...🤣

  • @EsterDomisian
    @EsterDomisian 9 месяцев назад

    Garab ww umenichekesha et pacome😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AminaVyukusenge-b4t
    @AminaVyukusenge-b4t 10 месяцев назад +2

    Jaman mimi nikutoka Burundi Eliza simpendi kwakweli uwa analibu kipindi

  • @IlamMoha
    @IlamMoha 10 месяцев назад +2

    Asubiri huy mzee 🤣🤣

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 10 месяцев назад +1

    Eti wamuletee shtuka mwanangu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Ila jmn tuhurumie kwakupunguza mziki msitufanyie maksudi plz😢😢😢😢😢😢😢

  • @SurprisedAtom-vp5qe
    @SurprisedAtom-vp5qe 10 месяцев назад +1

    Huseini

  • @metrineomega1635
    @metrineomega1635 10 месяцев назад +4

    Uyo pakoma jamani muitieni yule shtuka mwanangu 😂😂😂😂

    • @leahjohn4734
      @leahjohn4734 10 месяцев назад

      😂😂 nmeshtuka🙌🏾 akii nmemkumbuk nmechek san

  • @phyinajonathan8082
    @phyinajonathan8082 10 месяцев назад

    Boy venye anataka single mama akuje

  • @AmosJohhn
    @AmosJohhn 10 месяцев назад +1

    Hee Eliza.bado upo?

  • @Josephmuwanguzzi
    @Josephmuwanguzzi 10 месяцев назад

    Fei ni mwizi kabisaa!!!!!

  • @rosemarykisura1893
    @rosemarykisura1893 10 месяцев назад

    Galab na timu yako ya Mr.Right waambieni watu wa studio picha inachelewa sana haiendani na sauti walekebisha ili tuinjoy nawapenda

  • @IddaJovent
    @IddaJovent 5 месяцев назад

    Kwanz Eliza anabebwana camera nakumbuk anasem ety ni mzur amepak foundation .dah shangaz hyu nae

  • @kingflexyke
    @kingflexyke 10 месяцев назад

    Eliza shida yake ywajipata cake halafu cake yenyewe ni ka queen cake 😂😂😂 anabooo

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj 10 месяцев назад

    Hawalipagi ni mamember tu wakikosekana stage hainogi

  • @Kibaro777
    @Kibaro777 10 месяцев назад +4

    Mbon uyo Eliza kila siku yup😅😅

  • @salomethomas6469
    @salomethomas6469 10 месяцев назад +1

    Third hap nipen maua yang

  • @leshyhaule
    @leshyhaule 10 месяцев назад

    😂😂😂Elizaa madako yakoo

  • @KagussaMstipher
    @KagussaMstipher 10 месяцев назад +1

    Jaman Eliza Bado yupo tu hapo atafia hapo😂

    • @Mamawafbtv
      @Mamawafbtv 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

  • @ShortcutKinuka
    @ShortcutKinuka 9 месяцев назад

    Kasha zeeka uyo Eliza 😂😅

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 10 месяцев назад +1

    Kwani nyie hamtusikilizi mashabiki hilo lieliza hapo simlitoe jamani tumemchoka sisi anadharau sana mbwa huyo

  • @veronicaagonga7415
    @veronicaagonga7415 10 месяцев назад

    Mwambie huwo wakutaka mzee wa miaka hamusini na Tano aende Nigeria atapata

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 месяцев назад +3

    wanaochukuwana wote hapana wanaoowana munazinisha watu tu kila anayefanya zinaa mujuwe ni kama mumewakuwadia kwa iyo zambi wanazofanya munagawiwa sawa sawa au mufanye utaratibu waowane muwaone hapo muhakikishe wameowana kweli vyenginevo ipo siku mutaona malipo yake

  • @EmmaMwenda-om7fz
    @EmmaMwenda-om7fz 10 месяцев назад

    Mshagazi mbona anahudumia hp

  • @AliciaDionizi
    @AliciaDionizi 10 месяцев назад

    Eliza mbna aendagi jamn kulikon 😢😅😅😅

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 10 месяцев назад +1

    Heee kumbe Eliza na Zalish bado wapo,,
    NB::Gara b umependeza sanaaa.

  • @samychance
    @samychance 10 месяцев назад +3

    I need many like after back here again😊

  • @Saloumnkinga
    @Saloumnkinga 10 месяцев назад

    Huyo johari anakomwe ndo maana kagandia stejin

  • @IddaJovent
    @IddaJovent 5 месяцев назад

    Lakn Si tunajua ety babu wako huw ni mume wako , kwo dei akaolew na Mme wak babuye maan dah s kwa miak hyo.

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 10 месяцев назад

    Eliza kadange tumekuchoka wenzio wanaondoka yeye amegandia steji 😂😂😂 kaoge baharin

  • @niyonzimaraissa9497
    @niyonzimaraissa9497 10 месяцев назад +1

    Eliza kazehekea podium

  • @fredrickkaweu
    @fredrickkaweu 8 месяцев назад

    Menauliza hiki kipidi ndi hakiendelei tena ?

  • @AbuuBakari-tm3bb
    @AbuuBakari-tm3bb 10 месяцев назад +1

    ujuwe eliza ana mahadili ya kuwa mke wamtu kabisa

  • @Letsia-n1l
    @Letsia-n1l 10 месяцев назад +1

    Eliza hana bahat yakuolewa

  • @AnethJoseph-m5i
    @AnethJoseph-m5i 10 месяцев назад

    Eliza hajapata tu😂😂😂😂

  • @neybadada3044
    @neybadada3044 9 месяцев назад

    Mh hawa wadada wana judge mavazi ya Mr right, badala wachague wakamvalishe huko,mwanaume anavalishwa

  • @mchilohasna7190
    @mchilohasna7190 10 месяцев назад +2

    Gara b diva na aliya wamepigilia jalabia na ww ungepigilia kanzu uendane nao msimu huu wa Ramadan

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 10 месяцев назад

    ELIZA hata simuelewagi ni binti au ajuza?

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 10 месяцев назад

    Naomba kuuliza huyo Eliza nimfanyakazi mwenzenu yupo apo kwajili yakuzuga ama veeeep

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 10 месяцев назад

    Mbona yure kaka amekuwa wamependana eriza akaanza muciti😂😂

  • @janemartine5967
    @janemartine5967 10 месяцев назад

    Yani huyo Eliza nimkumbwa nikama ana miaka 34 Sasa anavyo endelea kukaa hapo sana miaka inazidi kwenda mbuzi amegoma kwenda kwamuza supr

  • @arbinuwamahoro7370
    @arbinuwamahoro7370 10 месяцев назад

    Sijapesta

  • @Mellissabahati137
    @Mellissabahati137 10 месяцев назад

    Eliza😂😂😂 kumbe bado upo?

  • @IddaJovent
    @IddaJovent 5 месяцев назад

    Eliza ni pelemende yaweza kuw

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 10 месяцев назад

    Huyu anetaka mzee anataka akamrithishe mali mshenzi nn huyu

  • @allanmassawe2768
    @allanmassawe2768 10 месяцев назад

    Huyu Eliza nikisiki

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 10 месяцев назад

    Nimekubaliana Nawewe Kama Nikweli Mimi Nipo Nina 56..Unasemaje Nipo UAE Galfu Abu Dhabi United Arab Emirates

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh 10 месяцев назад +2

    Ivi hao waliokaa watazamaji huwa wanalipia kuingia humu?

  • @ISSAPASCHALNDELULE-t7v
    @ISSAPASCHALNDELULE-t7v 2 месяца назад

    Anatafuta urithi huyo

  • @RebiamMwilike-ru8te
    @RebiamMwilike-ru8te 10 месяцев назад

    Eliza unazeekea kwenye podiam

  • @khalsaalrawahy391
    @khalsaalrawahy391 10 месяцев назад

    Mkiwa mnaogea mziki punguzeni hatusikii kitu mziki upo juu

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 10 месяцев назад +1

    Me nampendaga eliza natamani ata asipate mtu nimuone kila siku hapo me eliza nampentaa

  • @bukhariyusuf1218
    @bukhariyusuf1218 10 месяцев назад

    Huyo Liza mbna yupo hpo kila siku

  • @AminaKarenga
    @AminaKarenga 10 месяцев назад

    Eliza ww kibibi

  • @fredrickkaweu
    @fredrickkaweu 8 месяцев назад

    Niseme kitu kamanitajuwa nimekoseya nisamehewe
    Bure wakioata wazee waaze
    Jutuoeleka mbiyo sisi vijana
    Kwanini nikasema hivo
    Kwasababu wazee wingi wa sasa hawahiki tunapofika
    Sisi vijana na istoshe vijana
    Akili zetu hazifanani nimemaliza
    Na nimeeleweka

  • @EmmaMwenda-om7fz
    @EmmaMwenda-om7fz 10 месяцев назад

    Yn huyu shangazi sijui mnamlipa bei gn maana kila siku yupo

  • @cimpayeriziki6680
    @cimpayeriziki6680 10 месяцев назад

    Galabi swaumu

  • @bukhariyusuf1218
    @bukhariyusuf1218 10 месяцев назад

    Liza nimjeuri ndio maana haptic mkw

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 10 месяцев назад +2

    Zarish mpeni kaz ya kufanya usafi na kugawa soda maana hatoki😂😂😂

  • @kgn924
    @kgn924 10 месяцев назад

    Huyu dada fei umbwa tu

  • @RoseKesi-zj4yy
    @RoseKesi-zj4yy 10 месяцев назад

    Huyu Kaka mbona namjuwa ni boda pale Kiteto

    • @Saloumnkinga
      @Saloumnkinga 10 месяцев назад

      Mbona wengne wabaya tu na wanaringa

  • @jackjoseph759
    @jackjoseph759 10 месяцев назад

    Jamn nyie majaj msiuliz maswal kam huyo diva maswal anayo uliza wanatakiwa kuuliz hao warembo ndo maan wap hapo sasa nyie mkiuliz maswal mnakuwa mnakosea

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim 10 месяцев назад

    😂😂😂😂

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 10 месяцев назад

    Pacome she's right at least she can get good man from 40 to 50 years

  • @pridencians1227
    @pridencians1227 10 месяцев назад

    😂😂😂😂

  • @PericeSembe
    @PericeSembe 8 месяцев назад

    😂😂😂