DILI LA KULIA MSIBA LAWATOKEA PUANI NDARO NA STEVE MWEUSI UTACHEKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 458

  • @DEMSMANOTTIPava-li3hj
    @DEMSMANOTTIPava-li3hj Год назад +42

    Neno moja tu ndolime ni furaisha eti bofu😂😂 yani nime cheka adi machozi bofu watu congo tujuwane bofu ndaro bofu❤❤❤😂😂

  • @RajabuMsemwa-kw9hn
    @RajabuMsemwa-kw9hn Год назад +22

    Yani hawa jamaa (ndaro+stive) huwa wananifanya nicheke 😁😁😁😁😁😁😁😁sana

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 Год назад +17

    Nilijua tu Steve ataharibu😂😂😂😂

  • @MR.DIESEL-i7z
    @MR.DIESEL-i7z Год назад +23

    Bigg uupp ndaroooooo tz,,,, kigoma tunakubali❤😂😂😂😂😂😂

    • @fimashavin
      @fimashavin 8 месяцев назад +1

      Ndaro ni mtu wa kigoma eeh?😁

  • @MariahMvingila
    @MariahMvingila 6 месяцев назад +6

    Hata kama nimechukizwa na mmewangu nikiangalia nacheka 😂😂😂😂 unaweza

  • @gerysongratian
    @gerysongratian Год назад +11

    Hzo package za kulia sasa ukimwambia arudie kuzisema atachanganya😂

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Год назад +11

    Yan Nyiye Watatu Nyiye Nawapenda Bure Kweli Mungu Awape Maisha Marefu Kweli Tuzidi Kuenjoy🎉🎉🎉🎉

  • @rizikia6765
    @rizikia6765 Год назад +21

    Mbona ndaro hata anacheka ❤ from 🇰🇪 😂😂😂😂

  • @WetchiKhams
    @WetchiKhams Год назад +5

    Nipe like zangu twende kazi, ndaro na Steve kusema kweli tunatambua mchango wenu kwenye hii tasnia ya comedy , endeleeni na kazi never give UP 🖤❤

  • @LarnyxkidClintoride
    @LarnyxkidClintoride Год назад +29

    Wa kwanza from 🇰🇪 like zangu zi wapi❤❤

  • @florencekanze
    @florencekanze Год назад +5

    Nikweli ndaro asosikia lamguu huvunjika mkuu😂😂😂😂 nawapenda Sana from 🇰🇪

  • @جيهانسالم-ج3خ
    @جيهانسالم-ج3خ Год назад +8

    yani stevin unanikawushaga mbavu sana navituko byako respect God’s blessing

  • @SheddyTz-m7t
    @SheddyTz-m7t Год назад +9

    Hahahaha jamaa mnajua sana mnatufulaisha sana mungu awasaidie sana muendelelee kufanya vizuli

  • @cassimorachidealirachideali
    @cassimorachidealirachideali Год назад +14

    Ndaro e stivo vcs me matam de risada shi!!!! Mas você Aziza eu só Rachide e não morri !!!

  • @Simonnjeru-u4d
    @Simonnjeru-u4d Год назад +6

    Ndaro na Steve mko sawa na mfuatilia nikiwa KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FrankjumaNdakama-g1c
    @FrankjumaNdakama-g1c Год назад +7

    Haahahhahahahahahahahhahahah Jamani steve haya bhana chukua 💐💐❣️🌷🌹

  • @paulinussalvatory2792
    @paulinussalvatory2792 6 месяцев назад +5

    Me nawapenda ndaro na Steven❤❤❤❤❤ nimekuwa wa Kwanza ku coment

  • @Ronicakeddy_254.
    @Ronicakeddy_254. Год назад +4

    Aki Steve wewe eti Juma tena 😂😂😂😂😂😂achukuliwe mwende Ketto.......@Ndaro Tz nakuomba usimuache Steve tafadhali mnabamba sana sisi wakenya twawapenda na tunawahitaji huku tafadhali

  • @SaidiKibenga
    @SaidiKibenga Год назад +71

    Kama unamkubali ndaro gonga like hapa

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 7 месяцев назад +5

    Ndaro kwa kumshakiza mwenzie.mjanja sana

  • @jacklineteresia2629
    @jacklineteresia2629 Год назад +7

    Yaani kiukweli munafurahisa nimecheka 😂😂😂😂

  • @yustina4621
    @yustina4621 Год назад +5

    Duuuh Aki nimechekaa😂😂😂😂😂❤

  • @mikestar433
    @mikestar433 8 месяцев назад +4

    Ndaro nakupenda Broo ♥️♥️💕💞

  • @BeatKenzo-wh7og
    @BeatKenzo-wh7og 7 месяцев назад +2

    Huyu ndaro na stv wakifa namie ndakufa😀😀😀

  • @MerinaJulius-n3q
    @MerinaJulius-n3q Месяц назад +2

    😂😂😂😂😂 apo ni kabla sijaimaliza

  • @GozbertEmmanuel
    @GozbertEmmanuel Месяц назад +2

    Hata mm nawapenda hawa majamaaa katavii boy and kigoma boy

  • @BABUNASHIMBI
    @BABUNASHIMBI Год назад +13

    Wa kwanza leo nipeni like zanguuuuuuu jameni

  • @abubakarabdallah9297
    @abubakarabdallah9297 Год назад +9

    Eti alijamba taifa stevu mwehu😂

  • @shugunderitu8999
    @shugunderitu8999 Год назад +21

    And my mind is like, " don't pay Steve, he'll mess u"😂😂😂😂

  • @mamasalhat
    @mamasalhat Год назад +4

    Ndaro eti anapaka mate machoni wallah nimecheka 😂😂😂😂😂

  • @rosemerymwalongo5858
    @rosemerymwalongo5858 Год назад +3

    😂😂😂😂😂 jmn ndaro Lia yake sasa nae Steve et anapiga na mapaja uwii dada ulio wakod vichaa

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 Год назад +2

    Nawaambia Ndaro na Steve nyny n noma xna 😂😂😂😂 Nawapnda xna kutka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JojojoJojojo-wx1vi
    @JojojoJojojo-wx1vi 14 дней назад

    Yani ndaro na Steven mungu awape maisha marefu😂😂😂😂❤❤

  • @StephenKaio-d2m
    @StephenKaio-d2m Год назад +14

    From kenya ❤. Wap likes zangu

  • @briankorinyang24
    @briankorinyang24 4 месяца назад +4

    Kenya hapa daaa

  • @khamisramadhan686
    @khamisramadhan686 Год назад +2

    Hi niatal me natak iyo yakulia mpak kugalagal yan kumekuch chukua izo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @simionkapaka5968
    @simionkapaka5968 7 месяцев назад +2

    Mko juu mabrooh good wishes to you all

  • @paulinussalvatory2792
    @paulinussalvatory2792 6 месяцев назад +1

    Ila Steve bwna unaniumzaga tmb na vicheko ndaro mwambie Steve apunguze vtko ataniua😅😅😅😅😅😅😅

  • @TomKeya-g9e
    @TomKeya-g9e Год назад +7

    Napenda Sana vle stivo hubonga anafanya nakua happy sana

  • @UpendoAmos-v1m
    @UpendoAmos-v1m Год назад +1

    Hapo ndaro mwango mbona macho makavu hata dariri yamachozi hamna daaaah ila mnatuvunja mbavu baraaaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @JosephBaraka-mn7qx
    @JosephBaraka-mn7qx Год назад +4

    Bigupsana broo nakubali na
    Wapongeza kutoka kenya

  • @GirlOfTheAfricanSoil_001
    @GirlOfTheAfricanSoil_001 Год назад +2

    Steve huyooo akaanza kuongea tena badala ya kulia😂😂😂

  • @DoreenKinya-f1g
    @DoreenKinya-f1g Год назад +2

    daaaah nyie😂😂😂😂 nawapenda tu bure love from Kenya ❤❤❤

  • @kasimjuma5171
    @kasimjuma5171 Год назад +1

    Ndaro ndaro sierewii unalia kwli auunacheka😂😂😂😂

  • @geraldngangawangari863
    @geraldngangawangari863 Год назад +1

    Ndaro anavituko kila kilio na bei yake Ati 😂😂😂😂Ati huyu hawezi Lia mpaka aone pesa tunawapendeni tukiwa mombasa

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i Месяц назад

    Ndaro ww inacheka na mko kwa biashara loooo 😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @DaudiMatiasWilliam
    @DaudiMatiasWilliam День назад

    Steve na ndaro yani munachekesha😂😂😂😂 kabisa. Munanifuraisha bwana

  • @ZazaNdayishimiye-qi3fr
    @ZazaNdayishimiye-qi3fr Год назад +2

    Yani ndaro n'a stive nipipa namfuniko wake 😅😅😅😅😅

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 Год назад +3

    Kumekucha aisee+61 😅😅😅

  • @KombeBwoy-i3h
    @KombeBwoy-i3h Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamaaa munachekesha saana walai,Mungu awaeke mzidi kutufurahisha yaan uku Kenya 🇰🇪

  • @MariamKarembo
    @MariamKarembo Месяц назад

    Ndaro😂😂😂ati na asiyeskia la mkuu huvunjika mku.........u🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 11 месяцев назад

    😂😂😂Ndaro mjanja dili la kulia haliwezi yuacheka cheka kisiri😂😂😂😂😂,duuuh mjini bila ujanja utoboi.

  • @International_Bwoy
    @International_Bwoy Год назад +5

    International BøE Seen it ✊🩸

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Год назад +3

    😅😅😂😂🤣🤣🤣🤣aki nyinyi🤣🤣🤣🤣😂😂🎉❤much love from kenya😂

  • @MartinChedego
    @MartinChedego 8 месяцев назад +3

    Dazet wananipiga

  • @malimajuma9225
    @malimajuma9225 Год назад +2

    Kwhy nkisema chid c fresh tu...

  • @hamisisalim
    @hamisisalim Год назад

    Hahaha mnaweza jameni hongereni Aziza salute sister

  • @Grattitude85
    @Grattitude85 Год назад

    We steve bana, umeambiwa rashiiid sio juma jaman😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @OdiliaAlex
    @OdiliaAlex 21 день назад +1

    😂😂bora ata steve,ndaro unaaibisha

  • @jumaommy1092
    @jumaommy1092 Год назад +3

    Acha ujinga steve juma tenaa mhhh) ndaro mkanye mwenzioooo

  • @SelemaneAbdala-z9x
    @SelemaneAbdala-z9x Месяц назад

    Sele nikiwa Moz nawakubali sana wauni🎉

  • @ThomasMbudi
    @ThomasMbudi Год назад

    Hahahaha mjeshi kikofia and mtoto wa katavi nawakubali sana😂😂❤

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 Год назад +2

    Anna tena mumeambiwa babu rashid hamuelewi 😢😢😢khaaa

  • @damasjosephine1649
    @damasjosephine1649 Год назад +3

    😂😂 kazi nzuri watu wangu

  • @mucyoinnocent4203
    @mucyoinnocent4203 День назад

    From RWANDA Aziza nakupenda sana

  • @simonkiragu4698
    @simonkiragu4698 Год назад +1

    Ndaro walai hawezi lia😂😂

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 Год назад +2

    😂😂😂steve nyie

  • @AnethJoseph-m5i
    @AnethJoseph-m5i 9 месяцев назад

    Steve nimekufa juma tena😂😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NagelSwai
    @NagelSwai Год назад +1

    Mm wa mwishooooooo nizomeeni😮😮

  • @Ericbadofficial
    @Ericbadofficial Год назад +1

    Ww usije ukasema ma tusi😅😅😢😂😂😂😂

  • @Sophiamasii-zu7pj
    @Sophiamasii-zu7pj 3 месяца назад

    Ndaro kaaa serious nae 😂😂😂😂😂😂

  • @KayagoAziza
    @KayagoAziza Год назад +1

    Stive mungu anakuona nimecheka kwa sauti 😂😂😂

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 Год назад +1

    Ila Steve 😂😂😂et jumaa juma😂😂😂

  • @alexboy3008
    @alexboy3008 Год назад +1

    Sasa ndalo unalia au unacheka 😅😅😅😂

  • @CizaFrancine-
    @CizaFrancine- Год назад +1

    Aki nyie mwanimaliza mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤🇧🇮

  • @FestoLukas-mi1gi
    @FestoLukas-mi1gi Год назад +1

    Nawakubali san ndaro na Steve nawaomba naomba kazi

  • @InnocentBahati-su5lq
    @InnocentBahati-su5lq Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂Steven utanivunja mbavu, 😂😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Год назад

    😂😂😂😂yani awa watu wawili mm naishiyaga kuceka ju nakosaga lakusema😂😂😂😂😂

  • @PredeterKimrey-y2q
    @PredeterKimrey-y2q Год назад

    Juma juma .........rashidi rashidii hahahaaaaaaaaa mtauwa watu mbavu😂😂😅

  • @NaomiChristopher-mt2yh
    @NaomiChristopher-mt2yh Год назад +1

    😂😂😂😂😂 mmeshindikan aisee😂😂😂😂

  • @TimoRuto-zo4ow
    @TimoRuto-zo4ow Год назад +14

    Big love from Kenya 🇰🇪❤❤

  • @kilaisijunior7724
    @kilaisijunior7724 Год назад

    Yaan toka mwanzo nilijua Steve atakuja kuharibu tu😅😅

  • @AfonsoFabiaoKamuthKamuth-v1y
    @AfonsoFabiaoKamuthKamuth-v1y Год назад +2

    Nawafatulia kutoka Mozambique nawakubali sana

  • @MactildahMilimu
    @MactildahMilimu 2 месяца назад

    😂😂😂 sina la kusema nawapenda bure❤❤❤

  • @issamlibwa9398
    @issamlibwa9398 Год назад +1

    Steve unajua kulia😀😀😀😀😀

  • @Musangamutia
    @Musangamutia Год назад +2

    😂😂😂😂😂😂steve you have made my day

  • @AboodymwanooAboodymwanoo
    @AboodymwanooAboodymwanoo Год назад +1

    Wameyakanyagaaaa😁😁😁😁awooooo

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 Год назад +1

    Nimecheka dah😂😂😂

  • @ronyalkh
    @ronyalkh Год назад +2

    😂😂😂😂 mtaniua walai

  • @BraBlessing-cz5jx
    @BraBlessing-cz5jx Год назад +4

    Kkkkkk 😅😅😅😅 Steve na Ndaro duuud hatari 💯💯🇿🇦

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa Год назад +97

    Nimekua wa kwanza kuwafatilia Steve na ndaro naombeni like zangu

  • @samiauwiteka2319
    @samiauwiteka2319 Год назад +1

    Ndaro na sitve😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @fadhilisikawa2186
    @fadhilisikawa2186 Год назад +1

    Unyama sana mwanangu😂😂😂😂😂

  • @GeofreySolomon-lp7xl
    @GeofreySolomon-lp7xl 7 месяцев назад +1

    nawakubali xana.

  • @allanoalanpa4506
    @allanoalanpa4506 Год назад +2

    Ndaro Hana machozi😂😂😂😂

  • @paullameck-r5j
    @paullameck-r5j 4 месяца назад

    tutatumia machozi ya steve😂😮😂😂

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 Год назад +1

    Steve na ndaro 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹Kwa kweli

  • @MariamKarembo
    @MariamKarembo Месяц назад

    Ndaro utaniuwa jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Kishe ukuje unichukue 🤣🤣🤣 kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 maana hata mbavu sina tena🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Ayshapafyum
    @Ayshapafyum 8 месяцев назад

    😅😅😅😅😅😅jaman Steve wee unanikosha miee😢😢😢

  • @SbbcBulega
    @SbbcBulega 3 месяца назад

    Ndalo nakukubali sana bro ❤❤😂🎉😂😅