INASIKITISHA!! HUU HAPA UNDANI WOTE AJALI YA MBEYA, ILIOUA WATU 12 NA KUJERUHI 29! LEO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 26

  • @AlesLuckson
    @AlesLuckson Месяц назад

    Munguuu aziweke roho zamarehemu malipema peponii

  • @SalmaHamisIbrahim
    @SalmaHamisIbrahim Месяц назад

    mh, innalilah, wainna ilayii rajighun,

  • @EvaMwasembo
    @EvaMwasembo Месяц назад

    Mngu awatie nguvu wafiwa wote amina

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op Месяц назад +4

    Ovyoo Leo ndo mnakumbuka kuzibiti

  • @sheilaissa6836
    @sheilaissa6836 Месяц назад +2

    Severino, mtoto wa mama seve pole sana😢

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi Месяц назад +2

    Garila mda mlefu Sana jamàni

  • @AllyShaban-e5j
    @AllyShaban-e5j Месяц назад

    Polen

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 Месяц назад

    Boss alikuwa anakula misele

  • @Emmanuelyotham
    @Emmanuelyotham Месяц назад

    Daah 😢😢😢😢😢 MUNGU atuteteee

  • @ANNERMussa
    @ANNERMussa Месяц назад

    Duuupoleni sana

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 Месяц назад +1

    Hii ni Ajali mbaya kweli

  • @Migrationdesanimaux
    @Migrationdesanimaux Месяц назад

    😢

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 Месяц назад +1

    Poleni sana😢😢 Ukiacha mwendo kasi
    Tunaomba barabara zipanuliwe kuanzia njia nne mpaka sita. Hii itapunguza sana ajali

    • @saidsalum423
      @saidsalum423 Месяц назад

      Barabara ipo kama kawaida kwa madereva hata ukiweka barabara kama bahari bado watadondosha mabasi na ajari za uso kwa uso nyingi tu

  • @MohammediKingazi
    @MohammediKingazi Месяц назад +1

    Masikini

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Месяц назад +2

    An kote yanakimbia vibaya mm nilipanda Moro kwenda tabora heee nilijuta kabisa hazifai

    • @NjitiMohamedmzee
      @NjitiMohamedmzee Месяц назад

      Sasa Mimi nilipanda tunduma kwenda daa niligombana na deleva watu wakawa wananiangalia tuu mtoto wa kialabu ananiambia naogopa kifo sema kutokana nilikuwa natoka south Africa Nika mwambia nimeacha watoto wangu uwezi kuniuwa kama hivyo ndio akapunguza mwendo

    • @NjitiMohamedmzee
      @NjitiMohamedmzee Месяц назад

      Kwa hiyo inchi yenu haina Sheria mpaka yatokee matatizo ndio viongozi wananyanyuka yaani Tanzania ni inchi ya kipumbavu sana

  • @AsanteMsafiri-v7h
    @AsanteMsafiri-v7h Месяц назад +1

    Babu lalanayo.....

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m Месяц назад +1

    Mwendo kasi vipi wakati kna ving'amuzi ... na mishahara mnalipwa

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo Месяц назад

    Natoa pole kwa wadiwa na Madereva poleni sana,pia abiria mlionusurika poleni sana

  • @FrankLukas-x8c
    @FrankLukas-x8c Месяц назад +1

    Barbara zbolexhwe namadereva wawemakini

  • @DaudiDaudi-j4d
    @DaudiDaudi-j4d Месяц назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @saidsalum423
    @saidsalum423 Месяц назад +1

    Mkuu hapo unaferi kuhusu madereva wawili tatizo mwendo hakuna lingine hapo kama gari imedondosha mizigo na abilia wakaulizwa wakasema hakuna tatizo hapo kuna shida kubwa na sisi abilia wenyewe ndio tatizo tutakufa sana mkuu na hili litapita kama mengine tu mungu awape faraja wafiwa wote 😂😂😂😂😂😂

    • @johnsabu-co7fb
      @johnsabu-co7fb Месяц назад

      Mbona image za kucheka umefirahia sana mwana😢😢

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Месяц назад

    Kila ajali inayotokea mbeya, viongozi wa mbeya mnajitokeza nakuongea hayo hayo kwamba mtakagaua! Kwani nyie hamna aibu?