daaaah nlikua nafikili nitakutan na vituko vya brother K kumbe motooo umefanyika wa hatariiii hongera sana Chomba boongee la ngomaa brother k hzo vocal unazitoa wapiii mzee
Kazi nzuri sana Nimependa Uandishi na Melody lakini nyimbo inapoanza kwa mbali namsikia Kama Belle 9 kwa mbali kwenye njia izo jaribu kujitafuta zaidi all in all Great work talent is on you
Dgo unajitahidi. Gud song. Mie maherini tu huwaga mnaniboa. Kwani msani lazima uvae herini
Bonge latangoo brother k so pw
Nyimbo nzuri sana
Chombaa king DG bwakila hapa njema pamoja sadim wap
Nakubal kwakila kazi za wasanii Tanzania 🇯🇲
Kye kye kye kye kyeeeee....bwanaweee
Yeees..... Nyimbo nzuri si wewe wala Brother K kila mmoja amecheza party yake vyema sana. Hongera sana.
Nyimbo nzuriiih
Good song ma men ai prishietiti,
Unakipaji brother k ongera
Nyimbo nzuri 👍
Chombaa unajua
Noma sana
Kazi kali sana
Kazi hii ni konk wazee
Nzuli sana chombaa
Nidhambi mwanamziki kuchunika 🔥🔥🔥🔥💎in town @chombaa
Braza kaka umeumiza ety
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🔥🔥 I love you my brothers from Tz
Mzee wa kukurupuka yupo vzr atareee hahahhahh
kweli hilo donda haliwezi pona maana sio kwa kwa kucheat huko uyo mwanamkeee daaah
Kweli bro K VIDADA vya mjin vinakula Chips kiwi havitoi🙄🙄🙄😛🤣
Brother K uko vizuri
Brother k yuko vizuri na anaweza music ila atambue kuwa bongo fleva si kama music wa asili so asipende kuweka vicheko sana
Brother K kumbe unajua
Brother K kumbe anajua kuimba vzr hvyo?? Noma sana,
daaaah nlikua nafikili nitakutan na vituko vya brother K kumbe motooo umefanyika wa hatariiii hongera sana Chomba boongee la ngomaa brother k hzo vocal unazitoa wapiii mzee
Unyamaaaa 😁🔥🔥🔥🔥🔥
Star mr chombaa
Hongera sana kwa Kaz nzur my brother one love
Tsha saba
Ngoma kari sana
Nice one big up I love you
Nice one somo
Sana kaka ngoma kali
Hararii
Ngoma nzuli Sana. Nawakubali sana
Mtu mbadi
Nakubali kaka kwa kazi nzuri sana
Kaka pambana kaka adi tutakua Kama dangote one day
Ngoma nzuri. Haichoshi
Kazi kalii kaka by vee
Umetisha sana
Kwanini hukuanza mapema kweri
Ngomaa taam sn
Chomba Kama chomba🔥
👊👊 kaz kali sina chombaa nakubali mzazi
kaka kazi nzuri mzee hii ifke mahari mzee ngoma inajieleza
Ngoma zenu nzr
Umetisha kaka
Ngoma Kali sana SAUT Nzuri
Brother k ulianza kuimba kam masihala sasa ni moto wa kuotea mbali
Chombaa
Chombaa jibu comment
Hii itabaki kua ngoma yang pendwa keep it up mwanangu chombaa
Kaka tupo pamoja tutatoboa tuu kaka
Mashairi mazuri
Unakula chips na kiwi unatowa🤣🤣🤣🤣🤣 unajua san
Nakubali mzee mwenzangu kazi nzuri 💥
👇
#by danspaa
Unyama ni mwingi
upo sawa engineer, kazi nzuri 👏
Bigup sana naikubali ngoma yako
mkn sana kaka
.Mungu akuinue katika kuyatimiza mapenzi yake..
Kaz nzur xan
🤝
Kazi nzuri sana Nimependa Uandishi na Melody lakini nyimbo inapoanza kwa mbali namsikia Kama Belle 9 kwa mbali kwenye njia izo jaribu kujitafuta zaidi all in all Great work talent is on you
Ni kama Bright vile
Akili mingi imetumika kufanya burudani ibutudishe
Kitu kizuni na kikubwa umekifanya mwamba
Mungu akufungulie njia kaka👏👏👏👏👏🎶🎶🎶
KOrona brazakei
All in all nice
Balaaa nizito
Fund brother k
kazi nzur
Mmeumizi Sana
Big up sana
Amazing
💥💥💥💥💥
Brother k wewe ni #GOKO unaweza sana
Wakwanz ku like
🔥🔥🔥👏
Much like this...u r the Star Broh keep it up!!
Wapambanaji hawakati tamaa pambana mdogo wangu umetisha
Ni hatarii
Qaliiiii
Oya vp
Qali sana
Hongera sana kaka Kazi NZURI sana
Makini Sana home boy chupa classic
Good song I like it's
Umemeeeeeee
balaazito
Eugenny by nip nanyi
Nipo nanyi eugenny boy
Mm juu ya tajili wa kigoma. A chomba nawapa salt kwa good job god bless song
wacha wee
Saafi burudani imetafsirika!!
Auzm
👍
😢😢👍
Good
Big up kk
Poa
Mwamb unajua kuimba san nataman niupate huu wimbo ety??