MBWADUKE: Dangerous! Ikangalombo balaa kwa wapinzani akitua Yanga/ Ki, Pacome, Mzize, Maxi...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 19

  • @kwamefidel736
    @kwamefidel736 6 часов назад

    Uko vizuri mzee wa data

  • @OscarlawrenceNachinguru
    @OscarlawrenceNachinguru 11 часов назад +1

    Welldone mzee wa data asante kwa data,Mungu ibariki Yanga.

  • @shedrackmsigwa185
    @shedrackmsigwa185 3 часа назад

    Unajua sana

  • @soudsadique2049
    @soudsadique2049 8 часов назад

    Ukweli Ramadhani Mbwaduke hana mfano wa mchmbuzi Africa labda Mdogo wangu Dr Rick naye kiasi tu. Mbwaduke chuma cha Meli

  • @AndreaMtinya-vp4co
    @AndreaMtinya-vp4co 3 часа назад

    Kwelii tunajivunia kuwa na wewe ndugu yangu

  • @hamisichau8975
    @hamisichau8975 9 часов назад

    Mzee wa data upo sana

  • @soudsadique2049
    @soudsadique2049 8 часов назад

    Mbwaduke leo mdogo wangu imekuwaje hakupata chai ya Tangawizi! Amemsahau mtaalam wa football Mwamba wa Lusaka TRIPLE "C" atujibu na atutake radhi

  • @PraygodMshana
    @PraygodMshana 14 часов назад +1

    Likeee zote

  • @WatuShazi
    @WatuShazi 11 часов назад

    Aje mapema

  • @kilalak2932
    @kilalak2932 13 часов назад +1

    Usajili ukamilike haraka akacheze na Alihilali ya Ibenge

  • @daudimmary3965
    @daudimmary3965 14 часов назад +1

    Live from Geita

  • @costivemloboka8897
    @costivemloboka8897 13 часов назад +3

    Mzee wa data,u madhubuti,hodari,makini na mwelekezi Mkuu katika uchambuzi huna mpinzani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  • @MAGEMEYOHANA
    @MAGEMEYOHANA 9 часов назад

    Uko poa

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 13 часов назад +1

    muda utaongea

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 13 часов назад +1

    Hata konkoni mlituambia hivihivi😂😂

    • @saidrajab3808
      @saidrajab3808 8 часов назад +4

      Ata pacome, aziz, yao, maxi walikuambia hiv hiv na ikawa😅😅

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 14 часов назад +1

    Kama kiwango chake bora uko alikotoka kitakuwa endelevu kwa Yanga Sc bas utakuwa usajili bora kwa wakati sahihi.

  • @pascalemmanuel2557
    @pascalemmanuel2557 13 часов назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AnithaKalumuna-j4e
    @AnithaKalumuna-j4e 14 часов назад +1

    🎉