BOPAR AELEZEA SABABU YA KUTOA MISAADA ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 40

  • @bayaanhumud4328
    @bayaanhumud4328 5 лет назад +1

    Maashaallah mkuu wa mkoa kwa imani yako na uaminifu wako tunategemea mda c mrefu nchi kufikia pale wananchi WANAPO taka Allah akuzidishie imani afya njema na nguvu uzidi kuendelea mbele aaammmmiiin Yaa Rabb-l-alamiin

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 5 лет назад +5

    umemkabize mkuu wa mkoa mweny uaminifu na mweny hekma.Allah swt awakulipeni

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 5 лет назад +3

    Umekabidhi kwa mtu makini. Allah akutilie barka zaidi. Amin

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 лет назад

    Allah akuzidishie Barka na neema Duniani na kesho Akhera uwe mja mwema wa peponi kwa rehmma zake Allah

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 лет назад

    Allah akulipe kheri Bopari kwa juhudi zako na uwezo wako alokujaalia Allah Uzidi kubarikiwa na uzidi kutowa kwa ajili ya Allah

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 лет назад

    Ktv tz online hakika hii ni fahari yetu

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 лет назад

    Allah akuzidishie Bopar zaidi yaunayotoa nashari zikuepuke. Hongere mkuu wa mkoa kwa juhudi na uaminifu Allah atakulipa kher maahaallah

  • @galayagalaya48
    @galayagalaya48 5 лет назад

    Allah akubark bopar na ulie mkabidh allah ampe nguvu

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 5 лет назад +1

    One freedom Zanzibar home people salam nduguzagu kumilamwisho.lamwezi.mtukufu.waramazani

  • @aishamohammed6991
    @aishamohammed6991 5 лет назад +3

    Mash Allah tibaraq rahman! Bopar na mie naomba msaada wa kuezekewa bati banda langu! 🙈

    • @bindawood978
      @bindawood978 5 лет назад

      Aisha Mohammed

    • @aishamohammed6991
      @aishamohammed6991 5 лет назад

      Naam bin dawood!

    • @hasanalihasani3236
      @hasanalihasani3236 5 лет назад

      Aisha Mohammed
      Sawa Aisha utapata inshaallah

    • @aishamohammed6991
      @aishamohammed6991 5 лет назад

      @@hasanalihasani3236 nipo seriously ivo Jmn, musitie moyo. Km vp nipeni contact za bwana bopar aniwezeshe mie.

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 лет назад

    SHUKRAN KTV TZ ONLINE HAKIKA HII NI FAHARI YETU

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 5 лет назад +2

    Congratulations 🎊🎉🎈 bopar

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 лет назад

    MashaAllah. Allah baarikk 🙌🏽👏🏼💐

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 5 лет назад

    Maasha Allah

  • @عبدالحليمحسن-ن3ز
    @عبدالحليمحسن-ن3ز 5 лет назад

    ما شاء الله

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 5 лет назад

    Mimi pia mara ya kwanza kumuona mzee wa maeelezo baada ya Habara

  • @smithjones4099
    @smithjones4099 5 лет назад

    Misaada mpaka lini serekali hio kazi yenu acheni kuiba

  • @princeganji2779
    @princeganji2779 5 лет назад +1

    Huummmmmm

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 5 лет назад +1

    Mkuu wa mkuwa upo makini Sana

  • @fatmamohamed1099
    @fatmamohamed1099 5 лет назад +1

    honger

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 5 лет назад

      Iyo sio kujitangaza iyo innampa mtu mwengine mwenye uwezo ili na yeye aweze kua na ham ya kusaidia .

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 5 лет назад

      Iyo sio kujitangaza inamtia moyo mwengine alie na uwezo akaweza kusaidia

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 5 лет назад

      Ndugu bopar anasaidia sana tu lakini sisi binadamu sote hatupo sana wapo watakao kuponda na wapo watakao kufurahia

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 5 лет назад

      Allah amjalie barka zaidi

  • @hassanbazi8790
    @hassanbazi8790 5 лет назад

    Mashaallha mashaallha

  • @abdullasalim279
    @abdullasalim279 5 лет назад

    Hio ndio misaada ya kutoa sbb utaanzisha ajira kwa wengine....

  • @mahmoudabdallah4533
    @mahmoudabdallah4533 5 лет назад

    kila la kheri bopar

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 лет назад

    Kila lakher bopar

  • @alfarsiali2779
    @alfarsiali2779 5 лет назад

    Yan kutoa misaada mpk mjitangaze c vzr ht kdg

    • @saidnassor6532
      @saidnassor6532 5 лет назад

      Fanya wewe usitangaze

    • @alimzeeali2236
      @alimzeeali2236 5 лет назад

      Nani amekufundisha hilo? ama unazungumza jambo usilo na elimu nalo? sadaka hutolewa kwa siri na dhahir yote ni sawa

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 5 лет назад

    nd mara yng y kwnz kumuon huyu mtangazaji huy wa maelezi baada y habari

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 5 лет назад

    Wenzetu habari zao nikuboresha miundombinu, afya, elimu na na mazingira sisi kazi kudeals na maagizo na misaada ya Ramadhani tu ambayo ni mwezi mmoja kwa mwaka mzima au tuko vizuri kwenye mambo yote hayo?

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад

    Masha Allah

    • @makameamour3591
      @makameamour3591 5 лет назад

      Sheikh Mohd sleman ndio marayangu ya Kwanza kukuona maana nilikua nakuskiat kwenuy redio baada ya kumaliza taarifa ya habari kipindi tangu nasoma shule msingi saivi naitwa baba