this song blessed me so much during COVID 2020 mbarikiwe sana; i would sing this in my mind for two consecutive months; indeed nilivuka Jina la Bwana libarikiwe sana
moja media ninayoiamni ni hii wasafi sema mna mambi ya kijinga kwenye kuweka caption mnaweka caption ya kichonganishi ambayo hata haiendan na video iliyopo
Yesu awabariki mnoo mbingu ni ya watakatifu sio ya dini yoyote ,msiogope songeni mbele,
Nabarikiwa sana nikisikiliza hii wimbo ❤️ siogopi wala sina hofu Yesu yupo mbele
this song blessed me so much during COVID 2020 mbarikiwe sana; i would sing this in my mind for two consecutive months; indeed nilivuka Jina la Bwana libarikiwe sana
Wow mtindo mzuri wa uimbaji kweli,,mwaimba kama wasabato,,keep it up guys msilegee kamwe
Mbarikiwe Sana sana kwa ujumbe huo, natamani mngejua nimebarikiwaje kwa wimbo huu maana nahisi kama niko mbiguni. Siogopi wala sina hofu....
beatrice john Ameen!🙏🙏
Amen
Mnaimba vizuri sana mbarikiwe mno. Kaka muimbishaji amenibariki sana.
mmenifurahisha Sana wanakkkt wezangu mmeimba kwakiwango cha juu Sana Mungu awabariki sana
Ameen Ameen! Utukufu kwa Mungu
Siogopi wala sina hofu, Yesu yuko mbele, Mbarikiwe mpaka mshangae
Naupenda upeo wimbo huuu, mbarikiweeeee🙏🙏
Siogopi wala sina hofu ooohhh nabarikiwa mno 💪🏻💪🏻💪🏻
Am blessed kwa kweli siogopi wala sina hofu Yesu yuko mbele naombeni nafasi Suprano hapo au Alta
Karibu sana mpendwa
Nitaimba kwa furaha, moyoni nina amani🙏🙏🙏..... Siogopi wala sina hofu Yesu yupo mbele.....🙏🙏🙌
Hivi ndivyo mnavyotakiwa kuimba sio.kukata viuno hata ujumbe mnaofikisha haueleweki..well done
❤
Mbarikiwe sana wana wa Mungu
Adventist message and spirit being spread to the world. May God's name be praised forever more.
Other denominations should follow the suit. AMEEEEEN.
Barikiwa san mungu azid kuwainua
Am not getting tired listening your songs!stay blessed.
SHUA MKEMWA Be blessed!🙏
Hii ni KKKT mpya. Mungu amewabariki katika uimbaji wenu, sauti nzuri, maneno yanasikika ujumbe umefika
Siogopi wala sina hofu. Mmenipa nguvu sana Mola awajaze
Vijana kkkt ubungo ni twin wenu ee? Mungu awabariki
Yani hiii mm mungu wabariki
Barikiwa sana teacher uko vizur mungu akuzidishie ktk karama yako
Nice. Good mesg. Keep it up
You guys sound so adventist like us...Be blessed
The Performance of this Song On Heaven's Glory Choral festival pale Magomeni was amazing 🔥.. Barikiweni sana watu wa Mungu 🙏
Shaddy Ameen!
Barikiwa sana mungu azidi kuwainua zaidi
😭😭😭😭 mwalimu wa hii kwaya Mungu anakuona.
Mbona
Yaani ni mwl.Bora na waimbaji ni wakaliiiii
Wimbo mzuri Sana Sana!!!! Nabarikiwa Sana moyoni!!! Amen!
Hakika keko mko juu.
Stay blessed
Mbarikiweeeeee siogopi naupendaaaa,Wimbo Wa aliacha utukufu mbingun umefahamika kwa jina gan?
Mbarikiwe mno
I dont understand swahili so much but loves the song very nice
I can't stop listening to this from Kenya.Would wish to visit them someday.
Oooh wao where are they from?
@@faith3525 they are from Tanzania
Mungu awe pamoja sana
Loved it! Nice videography.
Keko nawapenda ila kit kimoj t kna step zinajirudia Sana Kwa Kila wimbo
Nabarikiwa sana Kwa wimbo huu Mungu awabariki
A perfect song for a perfect timing
Sound like seventh day Adventist Church choirs
You got lots of similarities with the Adventists
Siogopi wala sina hofu YESU ametangulia
Amina MUNGU you pamoja nasi
Wimbo unanibark xna
Ameni mbalikiwe
Amina 2024
amen, be blesdlsle
Tuwekeeni na ule wa niguse bwana kama bathlemayo
Tayari tumeshaiweka endelea kubarikiwa.
moja media ninayoiamni ni hii wasafi sema mna mambi ya kijinga kwenye kuweka caption mnaweka caption ya kichonganishi ambayo hata haiendan na video iliyopo