NANDY: ASLAY /MPENZI WANGU/ TUNAFANYA USIKU/ NATAMANI MTOTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Nandy alishuka kwenye #TimesBox na kupiga stori na mshikaji wetu TEMIDAYO ( @temidayo_gm on IG) #Nandy alizungumza uhusu life style yake na mambo mengine yanayomuhusu kwa sasa, kuhusu muziki wake kwa ujumla. Unawea acha comments zako hapo chini.
    Instagram: @timesfmtz
    Twitter: @timesfm_live
    RUclips: Timesfmtz
    Facebook: Timesfmtz

Комментарии • 88

  • @TIMESFMTZ
    @TIMESFMTZ  6 лет назад +10

    Kituo Namba 1 kwa Interviews kali na za kipekee Afrka Mashariki na Kati. Hakikisha hupitwi kwa ku subscribe kama bado.

  • @fainesyjoachim3118
    @fainesyjoachim3118 6 лет назад +4

    Walaaah nakupenda bureee nandy

  • @yasinimnyonge5947
    @yasinimnyonge5947 6 лет назад +11

    Duh! kizazi hiki! tumwachieni mungu tu.

  • @newroadtaka5946
    @newroadtaka5946 6 лет назад +2

    hongera dogo so nice

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 6 лет назад +1

    Nandy kwer ilo neno tamu ati siez kua tegemez kwa mwanaume leo umenipea somo asate

  • @kimmagna1984
    @kimmagna1984 6 лет назад

    James ngunda kikuku ni pambo la mwanamke km shanga kiunoni au kidani shingoni na bangili n.k.na mwanamme akivaa mapambo,hayo huwa kajifananisha na mwanamke tu lkn km kuna zaid ni tafsiri,ya mapenzi ya mtu tu

  • @kasugagetruda2721
    @kasugagetruda2721 6 лет назад +13

    Kama humkibali nandy pita ivi matuc y nn kwakee jmn hakun mkamilifu dunian saw alikosea lkn why iwe ndo sourc y kumtuc jmn.....

  • @hayatmohammed388
    @hayatmohammed388 6 лет назад +9

    Maswali yamekuwa magumu! Mwacheni mtoto wa watu ajichokore pua mara kumi kumi. Ata mimi at the biginig niliona nandi awezi bila aslay ila baadae niligundua kuwa anajiweza ila wakifanya ushirikiano huwa wanatengeneza vitu vizuri zaidi na it's true bila asly nisingemjua nandi.

  • @sweetbertgeofrey8970
    @sweetbertgeofrey8970 6 лет назад

    nandy mwizi Uyo kwa njia ya mtandao

  • @babucheenyahega2778
    @babucheenyahega2778 6 лет назад +2

    Hataki kuwa tegemez kwa mwanaume kwa ujumla huyo hayupo kwenye swala zima la kukaa na mwanaume ndan yupo kiwizi wizi tu

  • @andersonmnyasenga7605
    @andersonmnyasenga7605 6 лет назад

    ebhana nandi ana fomas yakutosha tu pia amauwezo tu hongera sana

  • @margaretwangare4374
    @margaretwangare4374 6 лет назад +2

    Nandi is not scared of the camera kanatoa tu kitu kwa pua lol😂😂😂

  • @mussadaniely6070
    @mussadaniely6070 6 лет назад +2

    Nandi nimependa ila kusema mondi kuvaa kikukuu duh

  • @densimtatiprosper532
    @densimtatiprosper532 6 лет назад

    mwacheni Nandy jamani 'no body is perfect"kwahyo nawaombeni kausha

  • @johnpatrick5619
    @johnpatrick5619 6 лет назад +1

    shikamoo vikuku ad wew👄👄

  • @ashahamad614
    @ashahamad614 6 лет назад +4

    Kazi ndo heshima sio maneno

  • @lucynoel117
    @lucynoel117 6 лет назад +2

    Nand uko vzr sn dada hbu tujibu ht sms zt tupt kckia rah kuw nand leo katujb

  • @abdulyshabani9357
    @abdulyshabani9357 6 лет назад +6

    Mm nimekuelewa nakubali unaweza

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 6 лет назад +6

    nandy uko mzuri bana

  • @pauljohn1450
    @pauljohn1450 6 лет назад +2

    duuuh alaaaaah!!!

  • @makameclassic2795
    @makameclassic2795 6 лет назад

    nandy noma

  • @stanngonyan1924
    @stanngonyan1924 6 лет назад +4

    Poa nandi

  • @selinatano4481
    @selinatano4481 6 лет назад +3

    Mmmmmh! Jaman mimi napita tu

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 6 лет назад +7

    Hhahaha nimecheka mambo ya chumbani mmmmmm kwamimi siwezi kujibu kwani nawazazi

  • @hrithikroshani1935
    @hrithikroshani1935 6 лет назад

    nandy nice

  • @daudimalangisa3763
    @daudimalangisa3763 6 лет назад

    Duuh! mwacheni bhana

  • @saidamajidy1327
    @saidamajidy1327 6 лет назад +1

    Nimekpnd buree nandy

  • @dullayraschal8582
    @dullayraschal8582 6 лет назад

    Mmmmmmh ww nandy kikuku Eti ni urembo kwa wanaume wacha weeeeee.....

  • @barakatv4030
    @barakatv4030 6 лет назад +1

    Kizazi sana

  • @antonychirunga7117
    @antonychirunga7117 6 лет назад +1

    mhhhh we nandy umri umeenda Fanya mpango upate family kwan watoto n muhim kuliko pesa

  • @paulsaimon8750
    @paulsaimon8750 6 лет назад +10

    kikuku kwa mwanaume c urembo ni upuuz, ushoga na ushenz na ujnga

  • @carolinanjerimaina3227
    @carolinanjerimaina3227 6 лет назад +1

    stupid questions huna haya kuuliza

  • @hasansaid3177
    @hasansaid3177 6 лет назад +1

    Mambo ya binadamu hayo

  • @moodybabu8214
    @moodybabu8214 6 лет назад

    Shikomoo mapenzi jamani tobaaaa

  • @mkamibwoy3153
    @mkamibwoy3153 6 лет назад +2

    nawaahidi hamtajutia kusubscribe

  • @newstanzania7429
    @newstanzania7429 6 лет назад

    uko vizuri

  • @mwitadaud7767
    @mwitadaud7767 6 лет назад +2

    klyan mbake ndo nan tena?

  • @abdulyshabani9357
    @abdulyshabani9357 6 лет назад +1

    Nandy nicheki in box please

  • @janethtonny7363
    @janethtonny7363 6 лет назад

    nc

  • @neyjuma6492
    @neyjuma6492 6 лет назад

    Jmn

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 6 лет назад +1

    Hivii Mmhh unawazazi na watu unaowaheshimu wanakuangalia alafu unakutana na swali ambalo ni private la chumbani na mpenzi utalijibu vipi? Dah kiukweli mnawahitaji sana media lakini maadili ndio yanazidi kuondoka

  • @chesterbryton933
    @chesterbryton933 6 лет назад

    Tisha sana

  • @anjunurdin2763
    @anjunurdin2763 6 лет назад

    Kwrli kabisa Nandi kaongea.hawashangai kuvaa herini wanashangaa kikuku.mwanaume anaruhusiwa kuvaa herini? au kusuka mnyoosho lkn wanajaji kikuku.hereni a.a.a.

  • @happydany684
    @happydany684 6 лет назад +2

    acha ujinga wewe mbavu wewe anaeuliza maswari naye wale wale mbavu chenji nyinyi

  • @jimmymwainyekule6368
    @jimmymwainyekule6368 6 лет назад +1

    Nandi anajishauwa tuu ana lolote

  • @Athoben_tz
    @Athoben_tz 6 лет назад +3

    Hahahahahahahahaha

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 6 лет назад

    Mpumbavu herini kwa mwanamme ni urembo?

  • @sabunitv2121
    @sabunitv2121 6 лет назад +1

    Hio saut kwema!
    Ivi Nandy kabila gani?!!!

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 лет назад +1

    Kiafrica kikuku ni kiashilio cha ushoga na usagaji

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 6 лет назад

    Kumbe uyo dada ni mbaya hivo nilijua mzuli kumbe picha tuu ana rorote

    • @mariamabeid4005
      @mariamabeid4005 6 лет назад

      Roida tadey Roida tadey uliomuumba wako mzuri tuonyesheeeeee

  • @abroadschools4235
    @abroadschools4235 6 лет назад +1

    ujinga ujinga tu

  • @Kibitiyetu1
    @Kibitiyetu1 6 лет назад

    Duh

    • @abelkamela6710
      @abelkamela6710 6 лет назад

      Allah awafahamishe maana nahis imebak jua kutoka magharib --masharik nayule mnyma kuwasemesha watu mmmmmmm innalillah wainnaillah rajun

  • @unclesamtz6048
    @unclesamtz6048 6 лет назад

    Uwakirishe wanaume gn ww fala tu

  • @unclesamtz6048
    @unclesamtz6048 6 лет назад +3

    Toka zako ww machupi tu huna lolote

  • @georgetoms9706
    @georgetoms9706 6 лет назад

    .

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 6 лет назад

    Kumbe uyo dada ni mbaya hivo nilijua mzuli kumbe picha tuu ana rorote