Tessy Chocolate: Nimemfumania, Irene Uwoya na Aslay, Hapa Basi / Utaendelea na Maisha yako Part 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 121

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 года назад +5

    Tessy anaongeaga vizuri Sana Yuko humble hana papara

  • @mariamshaban5193
    @mariamshaban5193 2 года назад +3

    Aisee, Fredy mdòo wangu umenipa chakula Cha ubongo....Nimependa sana mahojiano yako. Mungu akubariki sana

  • @Mariam-mr5bq
    @Mariam-mr5bq 2 года назад +4

    Tessy, you have beauty and brains. May God bless you more.

  • @evansbuninange7125
    @evansbuninange7125 2 года назад +5

    Tessy a modern lady..u deserving to be a queen jst frm ur out looking, smart brain. I lov ur enterview

  • @masika.zubeda.430
    @masika.zubeda.430 2 года назад +6

    I love the way she is calm 💕❤️💕❤️

  • @shabanirashid7797
    @shabanirashid7797 2 года назад +1

    Noumaaaaaaaa sana The MVP
    King of Interviews,,Big up Brother Lil Ommy.

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 2 года назад +10

    Congrats brother yr hv got 500k subscribers... you deserve more

    • @LilOmmyTV
      @LilOmmyTV  2 года назад +1

      Thanks Fam let’s go

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 2 года назад +3

    Katika watangazaji wengi wa Bongo wanashindwa kutamka sawa maneno mengi. Lakini weye unatamka maneno ya kiswahili na kingereza pia vizuri. Nimekusikiliza vizuri kwasababu ikiwa unamsikiliza mtu matamshi yake vizuri na anatamka vizuri inaleta ladha kusikiliza. Ila neno ''really'' linakushinda unatamka ''leally'' mnakosea wapi?

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 года назад +2

    Lilommy...2nkukubali uku kwe2 uswazi mombsa kenya

  • @shakira1301
    @shakira1301 2 года назад +3

    Nice interview 😘

  • @ramlakhamis6680
    @ramlakhamis6680 2 года назад +1

    Bomba sana

  • @muhinaselly2208
    @muhinaselly2208 2 года назад +5

    Acha kutuchanganya bhna tessy una miaka 20 eti ni mtoto na ungetak kujeng familly wew muongo bhna

    • @AMwamzola
      @AMwamzola 9 месяцев назад

      Elewa anasema kwa kipind hicho sio SS hiv

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 года назад +7

    Dada miaka 20 ni mtu mzim tayr mtt ni 17 or 10 kma umeshavuk 19 plusi ushkuwa mama....

    • @musakaphu4581
      @musakaphu4581 2 года назад

      Kabisa mtoto mdogo ni chini ya Miaka 18

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 2 года назад

      Ni kweli kabisa. Mimi niliolewa na miaka 19. Miaka 20 nikapata mtt. Na niliolewa nje ya nchi yetu. Nilikua mbali na familia. Lkn maisha yaliendelea. Mpaka sasa wtt wamekua, nashkuru. 💕❤️

  • @jbmsz2532
    @jbmsz2532 2 года назад +7

    The MVP ✊love from 🇧🇮

  • @evejap6887
    @evejap6887 2 года назад

    Great move ..go gal🥰🥰🥰💪💪💪

  • @لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه

    Rafiki kuwa naye mbali hawezi penda maendeleo yko hicho m pia huamn heri kubaki wew kama wew

  • @alhajbendahamisi1002
    @alhajbendahamisi1002 2 года назад +2

    THE MVP HIMSELF

  • @gladypetro1785
    @gladypetro1785 2 года назад

    Ok

  • @victoryjohn4179
    @victoryjohn4179 2 года назад

    Napenda niwe mteja WA products zako Tessy nawasilianaje nawe??

  • @maicondingoli2022
    @maicondingoli2022 2 года назад +2

    Napenda matangazo yako

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 2 года назад

    MVP mwenyew much love Bro

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 2 года назад +8

    Toeni miwani jamani tuonane

  • @mabwetebrown5432
    @mabwetebrown5432 2 года назад

    Oyeaaa like that

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 года назад

    I have no friends too

  • @لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه

    Nami nime subscribe 501k congratulations❤👏👏👏

  • @Kalthoom-ru3mq
    @Kalthoom-ru3mq Год назад

    Mvp oman🎉❤

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 2 года назад +7

    Ukinyoa unakuwa pisi kali zaidi wachana na mawigi

  • @essamwakipesile5034
    @essamwakipesile5034 2 года назад +4

    ❤❤❤❤❤❤ nakupenda tessy

    • @wmdrebo1359
      @wmdrebo1359 2 года назад

      Naitwa Shazymoney wmd mambo vp mjengon 🌹🌹🌹🌹🐉

  • @evalinmzava4341
    @evalinmzava4341 2 года назад +6

    Izo nywele zinashida gn Maana unazishika shika

  • @aliasa1414
    @aliasa1414 2 года назад +1

    Braza mshushe Simba kwenye audio jack itanoga sana

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 года назад +1

    MIEZI MINANE SI MINGI MIMI NILIKAA KARIBU TA 9

  • @mtoshauri9183
    @mtoshauri9183 2 года назад +2

    Dada napendaga unavyoongea ila ireine owoya ndo aliazaga kukuuza kwa akina dai

  • @doughtywanjaonditi5390
    @doughtywanjaonditi5390 2 года назад +2

    Staff like that sema wueeh

  • @jessicajosseph2993
    @jessicajosseph2993 2 года назад

    Mzee baba unajua

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 года назад +3

    500k subscribe congratulations

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 2 года назад +2

    Huyo demu ni muongo sana eti alisafiri nje kufanya fotoshoot demu mrembo lakini uongo wake unaharibu kila kitu Asley akasepa zake

    • @happynelson1180
      @happynelson1180 2 года назад

      @Queen TC hata kama utajiju mwenyewe

    • @niite_cousin1362
      @niite_cousin1362 2 года назад

      @Queen TC andika kiswahili una ahibika kwa kinge 😎😎😎

    • @happynelson1180
      @happynelson1180 2 года назад

      @Queen TC umeambiwa uandike kiswahili

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 2 года назад

      @Queen TC Queen usitufanyie hivo hatuelewi sie wa Kimbiji 🤣🤣🤣💚💚💚

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 2 года назад +1

    Mbona wrote mevaa miwani za mbao mnaoneana iyebu au vp yn?

  • @christinelihavi4068
    @christinelihavi4068 11 месяцев назад

    20 is not young kuna watu wanazaa na 16

  • @gerfasiamwingira4827
    @gerfasiamwingira4827 2 года назад

    Jina lako lingine ni Stuff like that

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 года назад +1

    Mna deserve, kuhama kwenu wadogo kuhamia kwa wanaume na kuzaa, halafu baadae mnaanza kulalamika

  • @hidayahassan8014
    @hidayahassan8014 2 года назад +1

    Jamani chocolate 🔥

  • @charmillaabdou3054
    @charmillaabdou3054 2 года назад +1

    Wow ❤❤lil ommy mfalme

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 2 года назад

    💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️❤️

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 года назад +1

    Umakini wako wa majibu hupayuki unajielewa sana

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 2 года назад +1

    Mtoto ungeweza kubeba mimba na kushili tendo

    • @loycelameck166
      @loycelameck166 2 года назад

      😂😂😂apo ss bora angesema miaka 16

  • @evamwarandu6829
    @evamwarandu6829 2 года назад

    Olovuthesaden🤣🤣🤣🤣

  • @herielmsuha7937
    @herielmsuha7937 2 года назад +4

    like back Show yakibabe sana😍

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 2 года назад

    Inaitwa fumanizi😂🤣🤣

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 года назад +1

    Io poa uzuri wako wa asili mrembo bila vipodozi rangi yko imeshaini kwnye ngozi

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 года назад +3

    Hizo nywele zina nini? Utasema zako😂

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 2 года назад +1

      😂😂

    • @swalehshumishee1193
      @swalehshumishee1193 2 года назад

      Muna makasiriko

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 2 года назад +1

      @Queen TC mm zangu km hizo original na sishiki hivyo 😂😂😂mnaovaa miwig ndio mnashobodeka utasema zenu,,halafu vipara vinawapendeza kuliko kujifanya pocahantas 😂

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 2 года назад

      @@swalehshumishee1193 sio makasiriko nasema Ukweli,,,hio minywele ya nn

    • @swalehshumishee1193
      @swalehshumishee1193 2 года назад +1

      @@NR-ll4sr haha

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 года назад +3

    Muongo humo usoni unga Wa poda na fondesheni umewekaaa labda hukwenda saluni umepaka mwenyewe

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 2 года назад +1

      Yani sijui wanatuonaje awa watu 😂😂😂🙌🏻

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 2 года назад

      @@ashurajengela3926 wanatuona hatujui kitu. Kumbe wao ndio hawatujui cc. 🤣🤣🤣

  • @ffrank6754
    @ffrank6754 2 года назад

    napenda xaut yako

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 года назад +7

    Huyu naye Eti coz sipaki make up, kila intervew lzm aseme hivyo hata km ajaulizwa......

    • @bekatv1009
      @bekatv1009 2 года назад

      Kujiamini

    • @jescamichael3901
      @jescamichael3901 2 года назад +1

      Anatangaz biashara

    • @macharosandra9467
      @macharosandra9467 2 года назад

      Anatangaza biashara /Mafuta yake

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 года назад +1

      @@macharosandra9467 hapo sawa nilijuwa rabda ndio misifa

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 года назад

      @Queen TC ww ndio unawashwa kudandia comments yngu kinyelo nn

  • @irakozesania1680
    @irakozesania1680 2 года назад +1

    Etii myka 20 mutt unanichekea sn

  • @daudimdio4985
    @daudimdio4985 2 года назад +1

    Ya kibabe

  • @mwanakihange8445
    @mwanakihange8445 2 года назад

    Yaani huyo binti ni muongo sana 20 ni mtu mzima tu,eti ulikuwa mdogo wakati una mtoto tayari,ongea ukweli umeachwa kubali

  • @abdallaali10
    @abdallaali10 2 года назад

    Subscribe 500k after six months itakua 1M subscribe hongera Lili omy

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 2 года назад

    Tunakuomba ukamfanyie interview Harmo ni msanii mkubwa. Au madudu yako na Dully.

  • @mnyamatv505
    @mnyamatv505 2 года назад

    PETERSON CRUZ AMEANZA BALAA CHEKI GOLI LAKE DHIDI YA TANZANIA PRISON ruclips.net/video/a_VYM4LLBhE/видео.html

  • @Boaz22
    @Boaz22 2 года назад +3

    Huyu tessy ni msenge,we huwez Sema ulikua huongei na kina uwoya halafu ukavunjiwa halafu mda huo huo unasema ulikua huna tatizo na mtu, we huongei nawatu halafu unasema hukua na tatizo na mtu, kweli tessy we ni matako mno wallahi,bora ata aslay aliachana na wewe,msichana mrembo una akili ya Mavi.. very poor,shame upon you..

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 2 года назад

      Muongo huyo anachukulia wenzie mabwana kisirisiri ndio maana aelewani na wenzie

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 2 года назад

      @Queen TC ata kama aibiwi lkn mtu rafiki yako kabisa na unajua inakuaje unatembea nae

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 2 года назад

    Na wewe na vunja beyi ww jembe ni jambe hajaacha mtu kwa tama zako testi

  • @jennifermlyakalam5000
    @jennifermlyakalam5000 2 года назад

    Overthiker

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 года назад +1

    MvP

  • @alimanana7564
    @alimanana7564 2 года назад +2

    Ngo miaka 20 ni mtoto hhhh apo ushakuwa mtoto hawezi kuza

    • @angelalyimo2862
      @angelalyimo2862 2 года назад

      Sijamwelewa hapo kwenye mtoto

    • @wmdrebo1359
      @wmdrebo1359 2 года назад

      WMD 🌍✨

    • @alimanana7564
      @alimanana7564 2 года назад

      @@angelalyimo2862 ngo ameza akingaliki mtoto ivi mtoto anaweza kuza jaman

    • @barakanatus5676
      @barakanatus5676 2 года назад

      Miaka 20, ni mtoto mbona atumuelew

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 года назад +1

      Mtoto kwa mamake labda. Sizani kama alikutwa bikra em atupumzishe sie

  • @gladypetro1785
    @gladypetro1785 2 года назад

    Ok